Beat ya Holiday ya Diamond imezaliwa toka kwenye mdundo wa Msouth huyu! S2kizzy aonesha ilivyozaliwa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 45

  • @martinjosephat4694
    @martinjosephat4694 7 часов назад +1

    Waaaoo🎉🎉 ver nice

  • @DouglasMassop
    @DouglasMassop День назад +12

    Wabongo wanawekeza sana kweny music pia wanajifunza vitu vipya kwa inchi zingine, so, lazma wapige hatua.

  • @Boniphacetz-w9x
    @Boniphacetz-w9x 14 часов назад +2

    Zombi ni mmoja tu 💥💥💥

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 День назад +18

    Apo zombie kawakomeshaje wambea Yani..we zombie haujui

  • @RaheemBwanamalundi
    @RaheemBwanamalundi День назад +8

    Wakenya bado wapo kwenye mahandamano na Willy po 😂😂😂😂😂 sisi tupo holiday

  • @filskischannel9737
    @filskischannel9737 День назад +17

    Kisha baada ya apo wa Nigeria watasema Diamond kafanya copy kwa Asake sounds😂😂😂 , Nigerians always fear Diamond platnumz 🔥

    • @Meeknego
      @Meeknego 16 часов назад

      Wamuogope mtu walomzidi kila kitu? Una mavi kichwani?

  • @kiatu
    @kiatu День назад +2

    Good admission of guilty 😅😅

  • @paizinhosaide-cv9pm
    @paizinhosaide-cv9pm День назад +8

    Simbaa

  • @MasterMindtech_305
    @MasterMindtech_305 День назад +5

    Hio sio copy maana yake ni collaboration ya producers hio inaruhusiwa

  • @frankrobertkomba2318
    @frankrobertkomba2318 23 часа назад +1

    Umesikia kuwe na sound ya mexico na bongo flavour nyie hamuogopi

  • @enockmahenge4830
    @enockmahenge4830 День назад +1

    Saiz akuna mtu ataimba wimbo bila kukopi coz tusapoti goma za wasanii weto

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 22 часа назад +1

    Kukopi mwanzo mwishoo atarii sanaaa

  • @Meeknego
    @Meeknego 16 часов назад +1

    Baada ya kugundua kila wakicopy bila ruhusa wanakamatwa, sasa wameamua kuwa COPIERS wa kujitangaza.

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 День назад +1

    so beat ilibeba mimba

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 День назад

    🤣🤣🤣🤣niceeee

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri День назад +2

    Wakenya ni wapumbavu

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc День назад +5

    Sasa kuna ubaya gani kufanya hivyo?? Nyinyi wa tz mnanini? Wa Kenya tuko na shida lakini nyinyi wa tz mumezidi

    • @shanatatrigger6537
      @shanatatrigger6537 День назад +1

      Ni kwel kabisa ss wabongo sijui hatujui biashara

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 23 часа назад +1

      😅😅😅😅😅Manina wabongo ujuaji kitu wakenya wao nimsimamo ata kama sio ndio tafauti yetu nanyie

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o 17 часов назад +1

    Wazee wa ku copy tu mnafahamika, acheni siasa

    • @ciscojr2277
      @ciscojr2277 7 часов назад

      It's called sampling na It's a work of art...sawa mshamba🙂👍🏻

  • @SulePonda
    @SulePonda День назад +3

    Awez pata grammy kwa kucopy hata upewe ruhusa

  • @Kibabe2024
    @Kibabe2024 День назад +1

    Nilijua km lazima kukopi 2

  • @humbleshoal
    @humbleshoal День назад +7

    Inamaanisha kukopi au mie ndio sijaelewa!?

    • @Sean1877
      @Sean1877 День назад +1

      S2KEEZY kawa inspired na sound ya huyo jamaa sio copy

    • @humbleshoal
      @humbleshoal День назад

      @Sean1877
      Wamezidi na wao c watafute ya kwao!!

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc День назад

      Hata ukielewa itakusaidiaje

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc День назад +1

      ​@@humbleshoalwewe ukitafuta ina Tosha

    • @Sean1877
      @Sean1877 День назад +1

      @humbleshoal Ubunifu amechanganya Bongo flavor drums za amapiano gitaa za kispanish na funky

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 День назад +2

    Mond jini copy weye tuone

  • @Kibabe2024
    @Kibabe2024 День назад +1

    Wewe zombi Acha kikopi hauna uwezo wakutenge Bt yeyete tuache zombi kumbe na wewe upo kwenye makopi pumbavu

  • @DieudonneMbazumutima
    @DieudonneMbazumutima День назад +1

    Mzee wa ku copy

  • @nyandutozy_1
    @nyandutozy_1 День назад +1

    alafu sample kama hzi unataka uchukue grams

  • @V.6ixEmmanuel-w2g
    @V.6ixEmmanuel-w2g День назад +1

    Mzee wa kukop

  • @habarugiraRodrigue
    @habarugiraRodrigue День назад +1

    Harmo ndo anajua mziki wengine ote nifujo tu

  • @SaidIddi-y6i
    @SaidIddi-y6i День назад +1

    Mondi copy