Kabhika chambala - Hakuna mstari wowote katika maandiko matakatifu amabo unasema kwamba Bwana Yesu Kristo alitimiliza au kujazia torati. Ningependa kama ungeweza kunukuu mstari.
Most Christians do not understand the meaning of the terminology "Zaka" they think that the word "Zaka" means "Tithe" or "Tenth" this is a great misunderstanding of the concept of new testament. In the Arabic language dictionary as well as in the Theological Dictionary Containing Definitions Of All Religious And Ecclesiastical Terms By The Late Rev.Charles Buck And Rev.Dr.Henderson-London,the word "Zaka/Zakat" has been defined as "Purification" or "That purifys".Hence, saying that "Zaka ya fungu la kumi" means the "purification of a tenth" but this reality is being hiden.
Asante kaka kwa swali lako. Hakuna ukweli wowote kulingana na bibilia! Hiyo ni mbinu tu ya kuwalaghai watu! Bibilia inasema, Isaya 56:11,''Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande, wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote.'' Unaona hawa wachungaji wadanganyifu? Watatafuta kila mbinu ili waweze kujifaidisha. Kwanza; Melkizedeki hakutoa fungu la kumi bali ni Abramu ambaye alitoa. Hebu tusome, Mwanzo 14:20,'' Ahimidiwe Mungu Aliye juu sana, aliyewatia adui zako mikononi mwako. Abramu akampa fungu la kumi la vitu vyote. '' Sasa, swali ni; kwa nini Abramu alitoa fungu la kumi kabla ya sheria? Imekupasa kujua kwamba Abramu alitoa kwa mapenzi yake bila kuamriwa na mtu yeyote! Lakini kwa nini? Hebu tusome, Waebrania 7:9-10,''Tena yaweza kusemwa ya kuwa, kwa njia ya Ibrahimu, hata Lawi apokeaye sehemu ya kumi alitoa sehemu ya kumi; kwa maana alikuwa katika viuno vya baba yake, hapo Melkizedeki alipokutana naye.'' Unaona? Kulingana na bibilia, Abramu alitoa fungu la kumi kwa sababu ya Lawi ambaye alikuwa katika viuno vyake na ambaye baadaye alistahili kupokea fungu la kumi kwa sababu alitoa kupitia babake Abramu. Kuthibitisha, Waebrania 7:5,''Na katika wana wa Lawi nao, wale waupatao ukuhani, wana amri kutwaa sehemu ya kumi kwa watu wao, yaani, ndugu zao, kwa agizo la sheria, ijapokuwa wametoka katika viuno vya Ibrahimu.'' Unaona? Isitoshe, sheria ilikuja baada ya Abramu kupitia Musa na baadaye ilitanguliwa wakati wa Kristo. Ilikuwa Abramu - Sheria ya Musa - Sheria ya Kristo; sasa hawa wachungaji wa uongo wana haki gani kuruka sheria ya Kristo -Sheria ya Musa na kufuata maadili ya Ibrahimu? Sasa tupo chini ya sheria ya Kristo na sheria ya kristo inasema; 2 Wakorintho 9:7,''Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.'' Kwa hivyo, ukitaka kutoa asilimia 10, 20, 30 , 40 n.k. ni sawa, bora utoe kwa moyo mkunjufu! Kumbuka kaka, tupo katika kipindi cha Wakristo na usisahau kwamba kunao mbwa wasiotosheka! Natumai umepata wazo, ikiwa ungependa maelezo Zaidi basi uliza tu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu bibilia itakujibu. Shukrani iwe kwa Mwenyezi Mungu.
Mbona hamsikiliki tena mpo
hakika akili imefunguka
Mafundisho yalikomea wapi
Nimewahi kuuliza hilo swali.
lakini nika ambiwa fungu lakumi linatolewa kwa vile Milkizedeki alitoa fungu la kumi kabla ya sheria
Vipi kuhusu lile neno la yesu la kutimiliza (kutimiza au kujazia) torati.
Kabhika chambala - Hakuna mstari wowote katika maandiko matakatifu amabo unasema kwamba Bwana Yesu Kristo alitimiliza au kujazia torati. Ningependa kama ungeweza kunukuu mstari.
swali #Je bustan ya EDEN bado ipo ktk uli mwengu huu ? kama ipo ikatika nchi gan ?tafadhali naomben msaada wenu
Most Christians do not understand the meaning of the terminology "Zaka" they think that the word "Zaka" means "Tithe" or "Tenth" this is a great misunderstanding of the concept of new testament. In the Arabic language dictionary as well as in the Theological Dictionary Containing Definitions Of All Religious And Ecclesiastical Terms By The Late Rev.Charles Buck And Rev.Dr.Henderson-London,the word "Zaka/Zakat" has been defined as "Purification" or "That purifys".Hence, saying that "Zaka ya fungu la kumi" means the "purification of a tenth" but this reality is being hiden.
Labda uniambie hilo hapo limekaa vipi.
kuna ukweli ndani yake
Asante kaka kwa swali lako. Hakuna ukweli wowote kulingana na bibilia! Hiyo ni mbinu tu ya kuwalaghai watu! Bibilia inasema, Isaya 56:11,''Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande, wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote.'' Unaona hawa wachungaji wadanganyifu? Watatafuta kila mbinu ili waweze kujifaidisha. Kwanza; Melkizedeki hakutoa fungu la kumi bali ni Abramu ambaye alitoa. Hebu tusome, Mwanzo 14:20,'' Ahimidiwe Mungu Aliye juu sana, aliyewatia adui zako mikononi mwako. Abramu akampa fungu la kumi la vitu vyote. '' Sasa, swali ni; kwa nini Abramu alitoa fungu la kumi kabla ya sheria? Imekupasa kujua kwamba Abramu alitoa kwa mapenzi yake bila kuamriwa na mtu yeyote! Lakini kwa nini? Hebu tusome, Waebrania 7:9-10,''Tena yaweza kusemwa ya kuwa, kwa njia ya Ibrahimu, hata Lawi apokeaye sehemu ya kumi alitoa sehemu ya kumi; kwa maana alikuwa katika viuno vya baba yake, hapo Melkizedeki alipokutana naye.'' Unaona? Kulingana na bibilia, Abramu alitoa fungu la kumi kwa sababu ya Lawi ambaye alikuwa katika viuno vyake na ambaye baadaye alistahili kupokea fungu la kumi kwa sababu alitoa kupitia babake Abramu. Kuthibitisha, Waebrania 7:5,''Na katika wana wa Lawi nao, wale waupatao ukuhani, wana amri kutwaa sehemu ya kumi kwa watu wao, yaani, ndugu zao, kwa agizo la sheria, ijapokuwa wametoka katika viuno vya Ibrahimu.'' Unaona? Isitoshe, sheria ilikuja baada ya Abramu kupitia Musa na baadaye ilitanguliwa wakati wa Kristo. Ilikuwa Abramu - Sheria ya Musa - Sheria ya Kristo; sasa hawa wachungaji wa uongo wana haki gani kuruka sheria ya Kristo -Sheria ya Musa na kufuata maadili ya Ibrahimu? Sasa tupo chini ya sheria ya Kristo na sheria ya kristo inasema; 2 Wakorintho 9:7,''Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.'' Kwa hivyo, ukitaka kutoa asilimia 10, 20, 30 , 40 n.k. ni sawa, bora utoe kwa moyo mkunjufu! Kumbuka kaka, tupo katika kipindi cha Wakristo na usisahau kwamba kunao mbwa wasiotosheka! Natumai umepata wazo, ikiwa ungependa maelezo Zaidi basi uliza tu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu bibilia itakujibu. Shukrani iwe kwa Mwenyezi Mungu.
IDHAA YA UKWELI Nilikosea mwenyewe.
ila Ibrahimu alitoa fungu la kumi kwa Milkizedeki