Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Goba noma asisee
Wajenge hospitali, sekondari kama tatu , shule za msingi mbili chekechea Nne na open park yenye miti na maua. Hapo ndio maneno ya maendeleo. Nje ya hapo ni majengo tu.
Duuh kuna mijengo sana😮
Home sweet home
Iyo nyumba nyeupe yenye geti jeusi ya kwangu nipigieni makofi tafadhari
Pakishua sana😮
Ila mitaa michafu sana akuna rami na wamejenga fence kubwa hadi mitaa wameinyonya ila nyumba nzuri sana
Hoooomeeeee
Rich kid
Mijengo 100%Barabara 0%

Mijengo 100%
Barabara 0%