Mshana upo sahihi sana. Tatizo kubwa tulilo nalo wengi Ni uelewa finyu juu ya maisha Kuna kanuni tunazikosea Kuzaa watoto na kuoa hata katika umri mdogo sio kosa. Tatizo ni mpangilio. Hata huku bongo kuna watu wana mke zaidi ya mmoja na watoto wanaenjoy maisha Mfano Dr. Mwaka anajitambua sana Wengi hatuna mpangilio mzuri wa kufanya mambo Tuna maamuzi ambayo hatufikirii kiuchumi yana athari gani Mwisho wa siku tunaishi maisha ya kubahatisha Unakuta mtu yupo nyumba ya kupanga anazidi kuzaa kwa kasi. Au ana ndoto ya kuoa wake wanne Ukimuuliza anakwambia riziki anatoa Allah 😂😂😂
Nimewaza sana kaka ukweli umeongea point sana yani icho kitu basi tu ambaye kasikiliza hiii kujifunza zaidi mkuu from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
MUME APIGWA MAKOFI NA WAUGUZI, NI BAADA YA MKEWE KUSHINDWA KUJIFUNGUA, ALIKUWA ANAINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ruclips.net/video/mQiMfFyY3TA/видео.html FEA OF GOD” HII NI AIBU KUBWA, MUME AELEZA JINSI ALIVYOCHEZEA MAKOFI TOKA KWA WAUGUZI WA HOSPITAL YA MWANANYAMALA BAADA YA MKEWE KUSHINDWA KUJIFUNGUA KAWAIDA BAADA YA KUGUNDULIKA ALIKUWA ANA FANYA TENDO KINYUME NA MAUMBILE LAKINI KATIKA HALI SIO YA KAWAIDA MUMEWE HUYO ALIAPA KWA KUSHIKA MSAAFU KUWA TOKA AMEMUOA HAYAWAHI KUFANYA DHAMBI HIYO MBAYA MBELE ZA MUNGU. MKE ALIPOTAKIWA NA YEYE KUSHIKA MSAAFU AAPE KAMA NI KWELU MUMEWE NDIYE ALIKUWA ANAMFANYA MKE AKAGOMA KATU KATU KUGUSA MSAAFU. VIDEO HII HAPA, USISAHU KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KUCOMMENT AU KAMA UNA MAONI WALISIANA NA CHUMBA CHETU CHA HABARI KWA SIMU NO +255713575718
Brother nakufatiliaga sana mimi ni mkongomani nilie zaliwa bongo ila saizi naishi new york ila unachokiongea nikweli ila sio kweli pia ungewambia watu jitaidi kutafuta mama bora ambae atakubali kuwa mamamlezi ivyo tu ndo changamoto kitu chakukuambia akuna kitu kizuri na cha muhimu duniani kama mtoto maisha sikuzote nimagumu nakunasiku yatakaa sawa ni Brother mda unakimbia utapata pesa zitakazo shindwa kuwalea wanao pesa azilei mtoto ni wew na mkeo na Kumuomba Mungu basi anyway zaa
Hongera sana Mshana The black Smith Ila mshana nikushauri wekeza nyumbani pia Hakikisha unawekeza nyumbani viwanja, nyumba n.k Najua unasadia nyumbani. Lakini isiwe kwa kiwango cha kushindwa kujiwekeza
Ni rahisi wewe kufanya hivyo sababu huku vitu bei nafuu. Mfano ningeweza kushauri ununue ardhi kubwa. Baade unaweza fungua hata REAL ESTATE. Ukitenga mil 100 kununua mashamba na viwanja. Baada ya miaka 10. Wewe ni billionea ardhi inapanda bei. Au Jenga nyumba za kupangisha hata mbili au frame za biasharaaa itakuwa ni rahisi pia kukusanya Kodi utakayosaidia ndugu au wazazi kirahisi na kuongeza miradi.
Kamanda umeongea point sana, kiukweli kuanzisha familia kabla hujajipata kibongobongo ni stress tu...mbaya zaidi uoe mwanamke mwenye watoto labda wawili yan ni balaa kulea watoto wa mwanaume mwenzio
Kwa maisha yetu ingelikuwa kila mmoja anajiandaa kimaisha mpaka apate fedha nadhani hata wewe usingezaliwa Tuambie basi kwa maisha yetu ituchukue miaka mingapi ili tuamue kuwa na watoto? Mimi nadhani wewe kutokuwa na mtoto ni insecurity tu inakusumbua una lack of confidence kubeba majukumu au pengine moto umekata 🤣 Unafkiri kuna nini tena katika maisha unachokitafuta na kukipata ndo hicho utakachoshare na watoto wako na watu walokuzunguka hakuna maisha mengine Mungu aendelee kutubless kwa wenzangu na mimi wenye maisha ya kawaida sana ila tuliamua kuoa na kupata watoto na tunashkuru kwa mapambano yetu kila mtoto Mungu anampa riziki yake Binaadamu haachi kutafuta maisha mpaka anafukiwa kaburini kiufupi binaadamu hana kinai hatosheki na utafitaji uwe huna mtoto wewe utaenda mbio kutafuta hata ukipata watoto pia wewe unahangaika tu mpaka unafukiwa kaburini
Wacha hizo umeenda Marekane umekuwa na mawazo mabaya unajua Afrika vijana huanza familia hata kama hawajapata kazi na hata sahi wamefikisha vyuo vikuu mara nyingine mapato huja badaye.
Asante sana bruh kwa ushauliri wako, ila mim ninaswali kwako hivi ni mda gani au miaka mingapi ndio unaona ni mzuri kwa mtu kuowa au kuolewa nikimahanisha age.? Kaka
Hamna mda wala miaka maalumu ni ww binafsi unavyojihisi upo teyari kuingia ktk majukumu hayo but make sure unaweza ku take care your family financially
Mr mshana upo sahihi,lakini jitahidi upate watoto kaka,kama ushafikisha miaka 30 zaa kaka tayari una ajira yako kuwahudumia haiwezi kuwa shida,kibongo bongo ukishakuwa na vibiashara vyako pamoja na ajira basi sio issue unazaa tu mzee wangu,sema shida kwa upande wa marekani inakuwa ngumu kupata watoto maana ukizalisha mtu inabidi child support ukatwe kwenye mshahara moja kwa moja tofauti na huku africa .yani mzazi ukipata dagaa watoto watakula hizohizo ,mkipata mchele watakula huo huo,lakini marekani ni tofauti na ndio maana watu wanaweza sex lakini hawataki watoto maana watoto ni expensive sana,kuanzia day care
Mim Nina Mtoto na naweza sema mambo yangu naona supa kuliko hata wale wasio kuwa na watot wa umri wangu. Me naeza sema nijinsi utakavyo panga mambo yako
Kwani kutokuwa na watoto ni sifa? Watoto ni faraja, ya pekee kuliko hata hiyo pesa, hiyo itakusalimia, itakwambia pole baba unaumwa, itakuletea maji, mtoto ni tiba ya moyo
@@mshanatheblacksmith#SADBWOY_TZ watoto jambo nzur either mapema or late but kabla ujapanga kuza unatakiwa kuwa umejiandaa ili usiyumbe kimaisha....sababu moja ya umasikin,street children's, homeless ni kupata watoto katika umri mdogo na bado una strategies za maisha..how to make 💰 🤑 💸 🎉 nimekupata vzur kaka Mshanatheblacksmith
Hapa hakuna msichana/mwanamke ambaye ni single mother atachangia mada hii. Wengi wameharibu maisha yao kwa kudanganyana kuzaa kabla hawajaolewa. Matokeo yake wamejaa stress na malalamiko. Wanalalamikia kila mwanaume.
Haya mambo yanataka akili ndefu sana ndio maana wazungu wametuzidi sana katika maswala ya familia, wewe huku africa unaambiwa zaa tu watoto watakuja na sahani zao, ila lazima ujifahamu sana katika uwezo wako wa kifedha lazima utumie akili ndefu sana wazee wanatuambia mambo amabayo hayafanyi kazi katika wakati huu, kama huna hela na uwezo achana na mambo ya familia kabisa maana hakuna haja ya kuteseka, lazma ujiandae kwanza
Bonge moja la somo mkuu nimelipata from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Waambie vijana… mimi nikiwaambia wanasema sipendi watoto 🤣🤣
Waitu wakola Muno Muno thanks for Good advice
Mshana upo sahihi sana.
Tatizo kubwa tulilo nalo wengi
Ni uelewa finyu juu ya maisha
Kuna kanuni tunazikosea
Kuzaa watoto na kuoa hata katika umri mdogo sio kosa.
Tatizo ni mpangilio.
Hata huku bongo kuna watu wana mke zaidi ya mmoja na watoto wanaenjoy maisha
Mfano Dr. Mwaka anajitambua sana
Wengi hatuna mpangilio mzuri wa kufanya mambo
Tuna maamuzi ambayo hatufikirii kiuchumi yana athari gani
Mwisho wa siku tunaishi maisha ya kubahatisha
Unakuta mtu yupo nyumba ya kupanga anazidi kuzaa kwa kasi.
Au ana ndoto ya kuoa wake wanne
Ukimuuliza anakwambia riziki anatoa Allah
😂😂😂
Rizki anatoa Allah hii kauli inawaumiza wengi sana🙌🏼 😢
Noma sana nakupata ktk Zanzibar
For real man....alafu kuna issues za baby mamas drama ni tatizo na linaleta mental health problems
Uliyoyaongea ninge yaongea mimi pia. Big up.
Umeongea Fact💯💯👍
Nimewaza sana kaka ukweli umeongea point sana yani icho kitu basi tu ambaye kasikiliza hiii kujifunza zaidi mkuu from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ability Talent apa broo somo kali sana hilo shukrani sana kaka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉t🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
MUME APIGWA MAKOFI NA WAUGUZI, NI BAADA YA MKEWE KUSHINDWA KUJIFUNGUA, ALIKUWA ANAINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE
ruclips.net/video/mQiMfFyY3TA/видео.html
FEA OF GOD”
HII NI AIBU KUBWA, MUME AELEZA JINSI ALIVYOCHEZEA MAKOFI TOKA KWA WAUGUZI WA HOSPITAL YA MWANANYAMALA BAADA YA MKEWE KUSHINDWA KUJIFUNGUA KAWAIDA BAADA YA KUGUNDULIKA ALIKUWA ANA FANYA TENDO KINYUME NA MAUMBILE
LAKINI KATIKA HALI SIO YA KAWAIDA MUMEWE HUYO ALIAPA KWA KUSHIKA MSAAFU KUWA TOKA AMEMUOA HAYAWAHI KUFANYA DHAMBI HIYO MBAYA MBELE ZA MUNGU.
MKE ALIPOTAKIWA NA YEYE KUSHIKA MSAAFU AAPE KAMA NI KWELU MUMEWE NDIYE ALIKUWA ANAMFANYA MKE AKAGOMA KATU KATU KUGUSA MSAAFU.
VIDEO HII HAPA, USISAHU KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KUCOMMENT AU KAMA UNA MAONI WALISIANA NA CHUMBA CHETU CHA HABARI KWA SIMU NO +255713575718
Nimejifunza kitu kutoka kwako brother,main point: do if u can in general life and if u can't don't do it
THANKS A LOT MY BROTHER
👏👏👏👏👏👏👏
Big up bro
Big up sana boy🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊👊👊
mshana ni kweli kabisa watu wanakurupuka kwakufuata mkumbo
Brother nakufatiliaga sana mimi ni mkongomani nilie zaliwa bongo ila saizi naishi new york ila unachokiongea nikweli ila sio kweli pia ungewambia watu jitaidi kutafuta mama bora ambae atakubali kuwa mamamlezi ivyo tu ndo changamoto kitu chakukuambia akuna kitu kizuri na cha muhimu duniani kama mtoto maisha sikuzote nimagumu nakunasiku yatakaa sawa ni Brother mda unakimbia utapata pesa zitakazo shindwa kuwalea wanao pesa azilei mtoto ni wew na mkeo na Kumuomba Mungu basi anyway zaa
Hongera sana Mshana The black Smith
Ila mshana nikushauri wekeza nyumbani pia
Hakikisha unawekeza nyumbani viwanja, nyumba n.k
Najua unasadia nyumbani. Lakini isiwe kwa kiwango cha kushindwa kujiwekeza
Ni rahisi wewe kufanya hivyo sababu huku vitu bei nafuu.
Mfano ningeweza kushauri ununue ardhi kubwa. Baade unaweza fungua hata REAL ESTATE. Ukitenga mil 100 kununua mashamba na viwanja. Baada ya miaka 10. Wewe ni billionea ardhi inapanda bei.
Au Jenga nyumba za kupangisha hata mbili au frame za biasharaaa itakuwa ni rahisi pia kukusanya Kodi utakayosaidia ndugu au wazazi kirahisi na kuongeza miradi.
@@WTC492 we umewekeza kijijini kwenu?au ndo ushauri kwa watu wakati kipindi hawajajipata ulikuwa wap?
@@arafathussein7910😂😂😂😂😂😂
safi brother mshana hata mimi bado sina mtoto najitafuta kwanza
Good settle your life kwanza
Kamanda umeongea point sana, kiukweli kuanzisha familia kabla hujajipata kibongobongo ni stress tu...mbaya zaidi uoe mwanamke mwenye watoto labda wawili yan ni balaa kulea watoto wa mwanaume mwenzio
Kabisa 🫱🫲
@@mshanatheblacksmith kaka naweza kupata namba yako nipo NC Raleigh
Sure
Bro mshana Asante kwa ushauri mzuri nitamfata dogo pale town nitakutafuta WhatsApp nahitaji msaada wako na Amini utaniaaidia bro
Wavivu wote wasiojiamini wote wabinafsi wote wasiomjali mungu na neno lake wote msioe wala msizae kaeni hivo hivo wala msizae
Umarekani unawaharibu.......zaa pesa zinatafutwa...
bro lete wajomba ww acha maneno au moto hamna😂
#SADBWOY_TZ GAINING KNOWLEDGE...+
Manana umeongea point
Kila la kheri kaka, wadau naomba support yenu nifike 1k subscriber
Yes guys please go and support our new content creators. Pia kk piga kazi wataelewa tu💪🏻
@mshanatheblacksmith shukrani Kaka nakufatilia kutokea kigamboni darajani hapa kila la kheri huko UGHAIBUNI🇹🇿🇺🇸
brother na mimi niko na akili kama zako kama uliona uzungumzie hiyo kitu
Thank you
Huyu jamaa anaongea madini sana
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
pamoja
💣💣💣
Nakubali baba Ze Black Smith 🫡
Kwa maisha yetu ingelikuwa kila mmoja anajiandaa kimaisha mpaka apate fedha nadhani hata wewe usingezaliwa
Tuambie basi kwa maisha yetu ituchukue miaka mingapi ili tuamue kuwa na watoto?
Mimi nadhani wewe kutokuwa na mtoto ni insecurity tu inakusumbua una lack of confidence kubeba majukumu au pengine moto umekata 🤣
Unafkiri kuna nini tena katika maisha unachokitafuta na kukipata ndo hicho utakachoshare na watoto wako na watu walokuzunguka hakuna maisha mengine
Mungu aendelee kutubless kwa wenzangu na mimi wenye maisha ya kawaida sana ila tuliamua kuoa na kupata watoto na tunashkuru kwa mapambano yetu kila mtoto Mungu anampa riziki yake
Binaadamu haachi kutafuta maisha mpaka anafukiwa kaburini kiufupi binaadamu hana kinai hatosheki na utafitaji uwe huna mtoto wewe utaenda mbio kutafuta hata ukipata watoto pia wewe unahangaika tu mpaka unafukiwa kaburini
Wacha hizo umeenda Marekane umekuwa na mawazo mabaya unajua Afrika vijana huanza familia hata kama hawajapata kazi na
hata sahi wamefikisha vyuo vikuu mara nyingine mapato huja badaye.
wanajidanganya hawa
Asante sana bruh kwa ushauliri wako, ila mim ninaswali kwako hivi ni mda gani au miaka mingapi ndio unaona ni mzuri kwa mtu kuowa au kuolewa nikimahanisha age.? Kaka
Hamna mda wala miaka maalumu ni ww binafsi unavyojihisi upo teyari kuingia ktk majukumu hayo but make sure unaweza ku take care your family financially
Wacha ku tueng kunguni Wewe
kila mbongo akienda ulaya na america hataki watoto
😂
kulea watoto huku Africa ukiwa na kipato cha dola 1000 kwa mwezi unalea vizuri sana huko ulaya ndio ghali
Mr mshana upo sahihi,lakini jitahidi upate watoto kaka,kama ushafikisha miaka 30 zaa kaka tayari una ajira yako kuwahudumia haiwezi kuwa shida,kibongo bongo ukishakuwa na vibiashara vyako pamoja na ajira basi sio issue unazaa tu mzee wangu,sema shida kwa upande wa marekani inakuwa ngumu kupata watoto maana ukizalisha mtu inabidi child support ukatwe kwenye mshahara moja kwa moja tofauti na huku africa .yani mzazi ukipata dagaa watoto watakula hizohizo ,mkipata mchele watakula huo huo,lakini marekani ni tofauti na ndio maana watu wanaweza sex lakini hawataki watoto maana watoto ni expensive sana,kuanzia day care
@@calvinjudica1989 well said 👏🏻
Bro Naona Ushaanza kuwa na mawazo ya watu wa Ulaya 😂😂... Yani badae uje ulee watoto Ushakuwa Mzee aaagh wapi broo huo uoga wa maisha
@@issambela8279 🤣🤣 but nachoongea is the reality here
Mim Nina Mtoto na naweza sema mambo yangu naona supa kuliko hata wale wasio kuwa na watot wa umri wangu. Me naeza sema nijinsi utakavyo panga mambo yako
Great ila wengine tunawaogopa 😂😂
Lete madini mkuu asiyekuelewa kwenye hii tv yako ndio basi tena imeisha hiyo
Kaka nachukua namba yako nataka tuongee hivyo nitakutafuta mm nipo Zanzibar,,
MSIOGOPE KUOA NA KUPATA WATOTO .WENGI WAKISHAPATA MTOTO NJIA ZAFUNGUKA TU
Kwani kutokuwa na watoto ni sifa? Watoto ni faraja, ya pekee kuliko hata hiyo pesa, hiyo itakusalimia, itakwambia pole baba unaumwa, itakuletea maji, mtoto ni tiba ya moyo
Nakubaliana na ww kuwa watoto ni faraja na blessings ila point yangu hukuielewa 😂 get ready kabla ya kuwapata
@@mshanatheblacksmith#SADBWOY_TZ watoto jambo nzur either mapema or late but kabla ujapanga kuza unatakiwa kuwa umejiandaa ili usiyumbe kimaisha....sababu moja ya umasikin,street children's, homeless ni kupata watoto katika umri mdogo na bado una strategies za maisha..how to make 💰 🤑 💸 🎉 nimekupata vzur kaka Mshanatheblacksmith
Hapa hakuna msichana/mwanamke ambaye ni single mother atachangia mada hii. Wengi wameharibu maisha yao kwa kudanganyana kuzaa kabla hawajaolewa. Matokeo yake wamejaa stress na malalamiko. Wanalalamikia kila mwanaume.
Haya mambo yanataka akili ndefu sana ndio maana wazungu wametuzidi sana katika maswala ya familia, wewe huku africa unaambiwa zaa tu watoto watakuja na sahani zao, ila lazima ujifahamu sana katika uwezo wako wa kifedha lazima utumie akili ndefu sana wazee wanatuambia mambo amabayo hayafanyi kazi katika wakati huu, kama huna hela na uwezo achana na mambo ya familia kabisa maana hakuna haja ya kuteseka, lazma ujiandae kwanza
@@casillascicero7944 Bro Code ya maisha ushaijua tupo 2024-25 lakini wazee wetu wa Africa wanatuhusia mambo yaliyokuwa sawa kufanya 1900s
Dah brother us isikufanye ukufuru ayo unayo ongea niujinga wakizungu maadili yakipumbavu kuzaa ndokitu muhimu duniani akuna kingine aijalishi vipi nikukumbushe kunamda wakulea wamarekani wengi ni wajinga sana usifate izo akili zakijinga😂
Kama una watch hiii
Katafute hata wa kusingiziwa 😅
@@HUMAID_FITNESS 🤣😂🏃♂️
Njoo nitakupa watoto wa bure 😂😂😂
😂😂
Pumbav unapoteshs.
bro napenda kujiunga na jeshi la marekani lakin nilipata 4 ya 29 kwenye cheti je naweza kukubaliwa kuingia jeshini
Labda JKT
Upo jimbo gani hapa marekani
@@Iam_fadheel bado sijaingia marekani lakini ningependa tu kujua kwanza kabla ya kwenda
Four??
@@stevengerald-e2e Pambana kwanza uingie maana kuingia ndio big ishu ukishaingia vyote vinakuwa rahisi