Niliskia mtu langu mania mkewake na kapigwa na huyo mwanamme ambae ni mwizzi kisha hapo akaenda kwa wakwe zake akalia sana kisha kesho akakamatwa na polisi yule mwiz wake kaenda kumshtaki na lumande kashinda kutwa nzima anatoka hapo anaenda kumbembeleza mke analia kabisa
Kama mume haswali hata kama sio jukumu la mume , si watakuwa wanazini tu kwenye ndoa kwasababu kama mume haswali inamaana katoka kwenye ndoa , ni bora tu kuomba talaka
MA SHA ALLAH maneno yenye busara sana,shukran jazillah sheikh,ila hujanijibu swali langu nilikuuliza
Nakupenda shekh kwaajili ya Allah
Man'sha Allah mwenye zimungu Ghaz'wajallah akujariye wing wa elimu! Shukran 🌹
Mmhh mitihani ya kila aina Mungu atupe Imani!!
MashaALLAH. Baraq'ALLAH
Mawaidha mazuri sanaa shukran
mashallah mawaidha majarabu Allah akuzidishie sanaa
MASHALLAH ALEIK
Shukran.....Jazaaka Allah Kheir
mashaallah mungu akuzidishie umri
Sheikh very informative shukran
Shukran sana sheikh kwa kutuelimisha
mashallah mashallah mngu akujalie Kheri Na je Na mume asie swali hafungi Na wamwambia bt htk
Hutaulizwa juu yake. Lakini kama haikupendezi unaruhusiwa kudai talaka
MashaAllah barakallah fiyk
Masha Allah
na kuna waume wengine hawafanyi ibada hata surat lfatiha hawajui uislam jina tu hapo yafaa mwanamke adai talaka
Jee kama amesilimishwa lakini hataki mambo ya waislamu hukmu yake nikumuacha ama... sheikh Izudin
Wanawake wetu wa Leo NI mtihaan SANA
Nasibu Omary na wanaume walio hatar sana
shukran sana
Niliskia mtu langu mania mkewake na kapigwa na huyo mwanamme ambae ni mwizzi kisha hapo akaenda kwa wakwe zake akalia sana kisha kesho akakamatwa na polisi yule mwiz wake kaenda kumshtaki na lumande kashinda kutwa nzima anatoka hapo anaenda kumbembeleza mke analia kabisa
Kama mume haswali hata kama sio jukumu la mume , si watakuwa wanazini tu kwenye ndoa kwasababu kama mume haswali inamaana katoka kwenye ndoa , ni bora tu kuomba talaka
Sasa km nimeomba thalaka na uwasema hajui kuatha yy uwajua kuoa,na hazingatii mambo ta dini je!! nifanyeje?
😂😂😂
Na jee unaweza kuachwa na mume asopenda ibada ila mke ana ibada???
Ustadh naomba namba zako.
Just imagine😂😂😂
خبيث الأعمال ......صحيح
Shedan huyo
Duyuth?? What this
mwanaume asiye na wivu na mkewe
Shut off your mouth😂😂😂 ghai sieziii....nasimama wima...ntamforce
Maa Shaa Allah