RELI YA UMEME TZ NJIA NZIMA DAR MORO NA NJIA ZA JUU ZA TRENI ULIPOFIKIA UJENZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 158

  • @pascalmayo7412
    @pascalmayo7412 4 года назад +3

    Jpm mbingu na nchi inakutazama kwa kazi nzuri unayoifanya binafsi natamani nikuchike mkono raisi wangu nakupenda sana na mungu aendelee kukupigania uwe na nguvu afya na uzima

  • @rukiakipande186
    @rukiakipande186 3 года назад +2

    Anae tamani huyu rais andelee kutuongoza anipe like zangu mm ingekua uwenzo wangu Ange endelea tu mpaka nizee niendelee kumuona nakupenda magu rais wawanyonge bado Tanzania umeifanya Kama ulaya ninakikao natanzania huyu tumuongeze Mika 10 Tena uwiiiiiiiiiiiiiii ckwamaendeleo haya magu ishi miaka mingi Kama yavocha yani nakupenda sana

  • @francismavika8109
    @francismavika8109 4 года назад

    Hongera sana serikali ya awamu ya tano kwa kazi nzuri sana.

  • @Duncan_kadesdal
    @Duncan_kadesdal 4 года назад

    Kazi nzuri Sana tumwombee Raisi wetu afya njema na pia watanzania wote tuzidi kujifunza na kuelewa uzalendo, nchi zote zilizoendelea watu wake wanapenda nchi zao na wanashirikiana kuhakikisha zinasonga mbele, I wish wizara ya Elimu ingeanzisha somo la uzalendo ikaanza kufundsha tokea vidudu ili uzalendo uwe sehemu yetu Siku zote. MUNGU IBARIKI TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA

  • @yustotumbo7620
    @yustotumbo7620 4 года назад

    Kwa kweli pongezi kubwa inastahili kwa serikali na watendaji wake. Hongera saaaana

  • @saidmakunganya5384
    @saidmakunganya5384 4 года назад

    Nampongeza sana zaidi ya sana mweshimiwa rais kwa kazi kubwa ya kujenga uchumi wetu

  • @mauliditwahachaulembo7487
    @mauliditwahachaulembo7487 4 года назад

    aa kusema kweri tunanamshukuru mungu kwakutupatia kiongoz muadilifu mchapakaz tumemchagua naametupati tunachoitaj mungu ibaliki tanzania mungu mbaliki rais wetu amini

  • @Ceramicmedia
    @Ceramicmedia 4 года назад +9

    Big up sana nakubali sana reli nzuri kwa maendeleo

  • @andrewtigiti575
    @andrewtigiti575 4 года назад

    Hongela sana kwa huu mladi wa reli ya umeme

  • @samwelkeraryo679
    @samwelkeraryo679 4 года назад

    Hongera rais magufuri hakika unafanya kazi Kwa masilai ya watanzania Mingu akupe maisha marefu

  • @joeleliphas2324
    @joeleliphas2324 4 года назад +1

    Kama no mm naomba nimuweke mikononi mwa Mungu mana tume mpaka mtumishi mwema atakaye tufikisha ng'ambo (kaanani) Joseph Mungu akukumbuke na uishi miaka isiyoisha hakikapesa inatumika vyeeeeeeema hakikapesa Nashon dear noon gee vp mkuu wangu na Rais wangu baba yangu kiongozi wetu Mungu yu pampas nawe mpaka mwisho wake Amen.by Joel Eliphas kutoka katavi...umeyatenda mkuu sana ujira wake mbingu unaandaliwa na Taji yako ipo na utafutwa machozi wanyonge uliopambana kufa na kupona

  • @evanselsonnene5106
    @evanselsonnene5106 4 года назад +1

    God bless people of Tanzania for their president Mr Magafuli on the good work in East Africa and other countries must follow Tanzania and Rwanda what they are doing for their lands as African not to be left behind and not depend to East and West countries for loan,God bless 🙏 🙏 Africa to open good governance on our leaders.

  • @joycenducha2467
    @joycenducha2467 4 года назад +1

    wos good sana nimeipenda kwataifa

  • @japhetdaud3781
    @japhetdaud3781 4 года назад +10

    JPM ndiye kiongozi booora duniani🙏💪👍✔️🇹🇿

  • @mitaocamilliusthegreatest9068
    @mitaocamilliusthegreatest9068 4 года назад

    Mwenyezi Azidi kumpatia afya njema Rais wetu na uongoz wote wazidi kufanya mambo makubwa zaidi ya haya yaliyopo hakika!Hii ndiyo Tanzania tuliyokuwa tunaililia daima!sasa sijui wanaosema hawayaoni maendeleo nivipofu amaaa laaaaah!

  • @ntemijoseph8996
    @ntemijoseph8996 4 года назад +5

    Mko vizuri sana jenifa lakini pongezi sana kwa serikali yetu mzima kwa kujali hitaji la kura yetu kwao

  • @nedkatunge5702
    @nedkatunge5702 4 года назад +4

    Binafsi nampongeza JPM na serikali take panoja na familia ya TRC kudos you all mungu awabariki sana jamani kilichofanyika kwa miaka minne tu inatosha kusaema JPM anatosha 2020

  • @mtanisongorwa8977
    @mtanisongorwa8977 4 года назад

    Kwa kweli kazi kubwa imefanyika, pongezi zimwendee Rais wetu Magufuri kwa njozi zake.

  • @zakariabangaiki2304
    @zakariabangaiki2304 4 года назад +29

    Mpaka machozi yanatoka kabisa kwa furaha. TANZANIA IS MY MOTHER LAND

  • @greysonponera7080
    @greysonponera7080 4 года назад +7

    Hongera Jpm kwa hili japo mimi ni chama pinzani

  • @nyaholongozahanatimbogwe1198
    @nyaholongozahanatimbogwe1198 4 года назад

    Viva jpm.roho inasuta wengi .we ni kiongozi toka kwa MUNGU.maisha marefu jpm madarakani

  • @michaelkachinga8665
    @michaelkachinga8665 4 года назад

    Mungu ni mwema

  • @mussagmasembo2447
    @mussagmasembo2447 4 года назад +1

    God bless Africa
    God bless Tanzania 🇹🇿🇹🇿

  • @nyaholongozahanatimbogwe1198
    @nyaholongozahanatimbogwe1198 4 года назад

    Pongezi mh.j.pombe great work

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 4 года назад +20

    "Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

    • @fadhilamaulid6100
      @fadhilamaulid6100 4 года назад

      Temkeza TV mzee safi sana regeza uchum

    • @jamessakaya6231
      @jamessakaya6231 4 года назад

      Kama urusi wameweza kubadili katiba ila rais Putin aendelee kuongoza kwann na sisi tusifanye hivyo...

  • @babanicole815
    @babanicole815 4 года назад

    Job well done. I am happy and proud of my country. Let us stay focused.

  • @issakigonza7790
    @issakigonza7790 4 года назад

    Kazi nzuri.Pongezi kwa Rais Magufuli.Pongezi kwa wasimamizi wote wa reli hii na wajenzi pia.

  • @lizp6826
    @lizp6826 4 года назад

    Safi sana hii video, hongera serikali kwa project kubwa kama hii, asanteni sana Jenafa TV hii ni moja kitu kizuri mmefanya,big up

  • @platnumztigerrayd1372
    @platnumztigerrayd1372 4 года назад +3

    Man the doing great job I love this man is so beautiful ❤️💙✊🏾✊🏿🙏🏾 I will love to visit Tanzania

    • @irenewile
      @irenewile 4 года назад +1

      Karibu Tanzania 🇹🇿,🤗🤗🤗💗

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 4 года назад +2

    Masha Allah mungu akutunze rais wetu kwa akili ulojaaliwa kutufanyia mazur rais wetu tunaon kwa macho wenyew ila tunsomba uendelee hadi mwisho w uhai wako maan raha tupu

  • @kedmonmjelwa3406
    @kedmonmjelwa3406 4 года назад +1

    Hii ndio Tanzania ya JPM: Mungu akupe afya njema na maisha marefu na akakuwezeshe kutimiza ndoto zako zote za maendeleo ya Taifa hili

  • @enockosward5813
    @enockosward5813 4 года назад +24

    Like kama unamkubali jpm

    • @mmbagapraygod5120
      @mmbagapraygod5120 4 года назад

      Baba kwel ww ni kichwa wala si mkia wazazi wako wamezaa jembe.hongera mnoo kwa kazi nzur unazofanya Mungu wa mbinguni akulinde na famil

  • @tundahatibu6738
    @tundahatibu6738 4 года назад +1

    Jpm wew nirais usiye na mfano yaan miaka 5 tu ukufanya kosa mungu mlinde rahis maguful

  • @damiankadamaa4046
    @damiankadamaa4046 4 года назад

    Mungu ibariki tanzania

  • @dickaugustino2214
    @dickaugustino2214 4 года назад +1

    Hongera jenafa na wajenzi na rais

  • @reubenkaduri8656
    @reubenkaduri8656 4 года назад +3

    Mungu abariki juhudi kubwa za Raisi wetu Dr Magufuli P J

  • @zahirzahirallyzorro3401
    @zahirzahirallyzorro3401 4 года назад +4

    High Tech, umechukuwa Filamu Kiutaalamu sana. Hongera, Kongole!

  • @ikmanaqbar161
    @ikmanaqbar161 4 года назад

    Ushaur wangu tumuenz baba magufuli na pia pongez kwake na viongoz wenzake ...Also ningependa tens kumuona maguful anaendelea hata miaka 10 kwan hakutokea kiongoz km huy....Then kma itakosekana kumpa tena urais aminini kua mirad mingi italost ...ALL THE BEST BABA MAGU

  • @mwallabuhussle7115
    @mwallabuhussle7115 4 года назад +4

    Like hapa unae nikubali jenafa tv na Kama umeskia pugu steshion itayo kua bize

  • @overwhelmenterprises411
    @overwhelmenterprises411 4 года назад

    Thanks for the video.job well done.i hope we Tanzanians will not vandalize the electric train.Is a good investment for the country.

  • @daudimpulumba6742
    @daudimpulumba6742 4 года назад +4

    Magufuli baba lao

  • @benmaasostenes5579
    @benmaasostenes5579 4 года назад +5

    Mungu amsaidie hadi ifike Hom mwanza ndo asitafu

    • @razackbakari749
      @razackbakari749 4 года назад +2

      Acha ukabila ww uo ushamba

    • @johnsilima6789
      @johnsilima6789 4 года назад

      Ben maa Sostenes kwel hata Mimi namuombea hivyo iende hadi musoma

  • @athmanihaji7771
    @athmanihaji7771 4 года назад +1

    Ndani ya mwaka itakwa isharegesha gharama chini ya urais wa Mheshimiwa Dr. Magufuli, abarikiwe sana Baba wa taifa

  • @juliasmtobesya5031
    @juliasmtobesya5031 4 года назад

    Hongereni sana na ujenzi. Keep it up.

  • @agnessjason9366
    @agnessjason9366 4 года назад +3

    Inapendeza kweli

  • @عليالندابي
    @عليالندابي 4 года назад

    Jaman nilaa tupu mungu amupe uzima baba yetu kiongozi

  • @khamisiosmani2249
    @khamisiosmani2249 4 года назад

    Kwa kweli baada miaka kumi ijoyo Tanzania tutatembea kifua mbele kama ulaya

  • @allyharunaalimasisanga9052
    @allyharunaalimasisanga9052 4 года назад +1

    Kazi inafanyika,inatia moyo

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 4 года назад +2

    Zanzibar sisi tunajenga siasa za chuki na ubaguzi looooo

  • @mohammadmujtaba4662
    @mohammadmujtaba4662 4 года назад

    Mpenzi wa mungu Rais j p magufuli kwanza pongezi
    Kutoka kwa mungu ziko pamoja nawe na ulimwengu kwa jumla.
    Maombi mema kutoka kwa viumbe wote hata sisimizi chungu yawe pamoja nawe.
    Binafsi nakupenda kwa ajili ya mungu na uwe na upendo
    Wake kadhalika.
    Mwisho wakubalie wanavyo
    Taka wana nchi wako uendelee
    Kuwaongoza kadhalika nakualika kwa UISLAMU Tukuite Jaafar p Maftaah.
    Mungu akubariki

  • @mgayaomary2518
    @mgayaomary2518 4 года назад +11

    Kiukweli katiba inabana lakini huyundoraisi tuliemtaka kwamiaka mingi baada ya nyerere kuondoka.

  • @alannyoni687
    @alannyoni687 4 года назад

    Safi sana jenafa tv

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 4 года назад +1

    Inapendeza sana

  • @joshualister9313
    @joshualister9313 4 года назад +1

    Makutupora ni Dododma ndugu sio singida

  • @hassanmkungile6021
    @hassanmkungile6021 4 года назад

    Anko magu hakuna wakupinga Kaz anafanya

  • @ismaila.morework
    @ismaila.morework 4 года назад

    Very good

  • @simonmungu6757
    @simonmungu6757 4 года назад

    Big up Rais wetu

  • @emanuelkija7522
    @emanuelkija7522 4 года назад +2

    Ni dhahiri kwamba watanzania tuko na viongozi eazalendo ila hatujui kuwatumia,,nani kama magufuli Tz toka awamu zote zilizopita hawakuliona hili,,pongezi kwa Jpm

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 года назад +1

    Now you are talking 👍🇹🇿🇬🇧. Waturuki sawa tuwe macho na Wachina wanahamu ya kuishi Afrika kumaliza madini na wanyama wetu.

    • @amourmtungo623
      @amourmtungo623 4 года назад

      Jenafa TV . Mzalendo mwezangu kama mimi mptoshaji nashirikiana na mabeberu subiri utanikumbuka. Hata Rais Magufuli kakataa nao baadhi ya madili

  • @markmukonesi8549
    @markmukonesi8549 4 года назад

    JPM the man to watch

  • @richardshibora36
    @richardshibora36 4 года назад +11

    Mzee yupo makini

  • @charlesmrina9002
    @charlesmrina9002 4 года назад

    Kweli mambo yanakwenda kama yalivyo pangwa Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa.Mungu tuponye na janga hili CORONA.

  • @lazerpacer189
    @lazerpacer189 4 года назад +1

    Alafu hapa Kenya reli serikali walitujengea ni bonoko tupu kwa hela nyingi zaidi (na nyingi iliibiwa)..wanafaa kupeleka mambo na rieng.. tukapewa ma train refurbished from China..corruption itatumaliza huku.. kongole kwa JPM..huko ni kazi tu..

  • @professamuddy5407
    @professamuddy5407 4 года назад +4

    Daaahh sijui nitamiliki nauli ya kusafiria ndani ya treni maana ninahamu nayo!

  • @hughomnaly6491
    @hughomnaly6491 4 года назад

    Kazi kubwa imefanyikaal kwa usimamisii wa viongoZ shupavu ukiongozwa na JPM

  • @johnchimaguli7501
    @johnchimaguli7501 4 года назад +1

    Tujitokeze kwa wingi October 2020 tumupe Kura magufuli.

  • @paulofumito7588
    @paulofumito7588 4 года назад +1

    hongera xan kwko wewe kwan bila ww nixingejua

  • @deomkanula7983
    @deomkanula7983 4 года назад +2

    Pongezi kwa Raisi pamoja na viongozi wooote wapenda maendeleo bila kuwa sahau watanzania wote kwaushilikiano nakuji tambua kulipa kodi bila shulut tulipe kodi hili tupate mazur zaidi

  • @jamesmwilima1358
    @jamesmwilima1358 4 года назад

    Nawashauri wananchi wenzangu tulipe kodi na kulinda rasilimali zetu nchini na nje

  • @juliusmichael8221
    @juliusmichael8221 4 года назад

    Keep it up.

  • @faidakisalya9658
    @faidakisalya9658 4 года назад

    Je umeme ukikatika inakuaje

  • @ashirafubakari7305
    @ashirafubakari7305 3 года назад

    Dar 2 Arusha inataiwa iwepo

  • @violetcarroll4930
    @violetcarroll4930 4 года назад

    mradi mkubwa sana wananchi watanufaika nao na kuboresha biashara. hongera JPM

    • @danfordlameck9858
      @danfordlameck9858 4 года назад

      I love you 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @boniphacesagati9177
    @boniphacesagati9177 4 года назад

    Asante tz tunaweza

  • @queenbahat6679
    @queenbahat6679 4 года назад

    safe sana

  • @jumakabuli5286
    @jumakabuli5286 4 года назад +1

    Safi sana,ila kusema Treni la mizingo nisawa na Magari 500,duhh hapo mmhhh!!!!

    • @jebace
      @jebace 4 года назад +1

      ni kweli

    • @triplea3463
      @triplea3463 4 года назад

      Tren ya mizigo itakuwa na urefu wa 2km

  • @andrewtigiti575
    @andrewtigiti575 4 года назад

    Kwa hali hii magufuli anafaa kuendelea kua kiongozi ,ni kweli hapa ni kazi tu

  • @doonyloony1043
    @doonyloony1043 4 года назад +1

    Serikali ya magufuli ni roho njema ya taifa la Tanzanian

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 4 года назад

    Unadanganya sana. Lol....stesheni Dar inawekwa Tanzanite!!!! Umenikimbiza .kwaheri.

  • @emmanuelreuben5014
    @emmanuelreuben5014 4 года назад

    Nawakumbusha tuu,wakati hiyo reli inajengwa na mandege,na mradi wa umeme inajengwa,namkumbuke,MIAKA 5 tu, MAGUFULI anatosha

  • @raphaelboy7051
    @raphaelboy7051 4 года назад +1

    Hongera kwa utaftii huu, kutifahamixha nasii, hapo mabasii mengii yatakoxaa pa kwendaa, Na maroli yatakoxa kazii

  • @mbukwaelphone4702
    @mbukwaelphone4702 4 года назад

    magufuli ndo kila kitu,
    nimefurahi kuiona live

  • @djohn5621
    @djohn5621 4 года назад +2

    Iko poa sana

  • @ishipalemypascokabeya6154
    @ishipalemypascokabeya6154 4 года назад

    Ndugu zangu naombeni kuuliza swali.drone inauwezo wa kuruka kilometa ngapi mpaka itakapo ishiwa charge na kuludi mahali husika

  • @josephkizuri4077
    @josephkizuri4077 4 года назад +1

    Marekebisho kidogo na kuelimishana; Nijuavyo mm Dar station haiwekwi vioo vya tanzanite na kwanza hakuna vioo vya tanzanite bali inajengwa kwa muonekano wa madini ya tanzanite kama heshima na sifa ya madini hayo kupatikana hapa nchini kwetu tu. Pia station nyingi zinajengwa kwa muonekano mbalimbali wa vitu vya asili ya Tz kama chungu, nyumba za makabila nk. Na kuhusu Makutopora tusichanganye ile wengi wanayoijua (JKT) iko Dodoma bali hii ya reli iko Singida. Na mwisho kuhusu fedha za ujenzi kuna mkopo pia ila hakuna msaada.

  • @gracedanfrod2318
    @gracedanfrod2318 4 года назад

    Raisi wetu ni moto Tanzania juu

  • @tatuathmani883
    @tatuathmani883 4 года назад

    pongezi kwalaisi wetu

  • @jumamasoud1188
    @jumamasoud1188 4 года назад

    Ukamilifu ni wa Allah, hatakama kunamapungufu kwa Jpm kama Mwanadamu lazima tumpatie sapoti kwa Mazuri mengi aliyoyafanya maana nivingi amefanya vizuri zaid kwa maendeleo ya Taifa letu.

  • @lebahatilaizer9777
    @lebahatilaizer9777 4 года назад

    Well done!!

  • @nsatosam2559
    @nsatosam2559 4 года назад

    Aseee tuleteee na updates za Mbezi luis bus stand na salender bridge

  • @evodiusrweyemamu2348
    @evodiusrweyemamu2348 4 года назад

    Viva JPM

  • @isumailbarongo7114
    @isumailbarongo7114 4 года назад

    Nimemkubali jembeletu atawale mpakauwezowake utakapoishia

  • @ramadhanisaidi4586
    @ramadhanisaidi4586 4 года назад +2

    No dalili njema ya kuingia kwenye uchumi wa kati. Pongezi kwa Rais wetu, na watendaji wake kwa kufanya kazi usiku na mchana mpaka kupata mafanikio.

  • @ilampahamisi5777
    @ilampahamisi5777 4 года назад

    Tupambane wote Watanzania;
    Kwa maombi, kwa fikra, kwa utashi, kwa nguvu zetu na kwa mapenzi mema katika kuwaombea wakandalasi na Serikali yote ya awamu ya Tano. Hasa tumuombee jemedari,kamanda JPM.

  • @deomkanula7983
    @deomkanula7983 4 года назад +1

    Ktka swala la katba naamini upinza watogoma kubadilishwa ili kusiwe na kikomo cha ulaisi

  • @asiaissah7385
    @asiaissah7385 4 года назад

    Magufuli hataree

  • @frankbob8718
    @frankbob8718 4 года назад

    Magufulification oyeeeeee

  • @saulomwakisongo6479
    @saulomwakisongo6479 4 года назад

    Nawapongeza wananchi wa Tanzania kwa kuwa walipaji wazuri wa kodi na haya ndio matunda yake, pia nampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwa uzalendo anaouonesha kwa vitendo, hakika anastahili pongezi na maombi azidi kuwa mwenye nguvu na afya wakati wote anapolitumikia Taifa lake. Mwisho, niombe tu itafutwe namna ya kufanyia ukarabati (maintenance) miradi hii tunayoianzisha ambayo imegharimu kiasi kikubwa cha fedha za walipa kodi, miradi mingi inakufa sababu kubwa ni tunaangalia faida tu bila kujali uhai wa hiyo miradi, na uhai wake ni kuifanyia ukarabati, utunzaji wa miundombinu na kusimamia mapato yake. Ukitaka kuamini hiki nenda kaangalie vituo vya mabasi....vyoo vilikuwa vinatoa maji lkn sasa watu wanaingia na makopo..huu ni uswahili mtupu, majengo mengi ya umma, ofisi za serikali, miundombinu mingi imeharibika na huku hela nyingi zinakusanywa, mfano wa hapa ni mwendokasi..viti vinaharibika, vituo vimeanza kuchakaa, kamba za kujishikiza abiria zinakatika hakuna marekebisho lkn magari yalikuwa yanajaza kabla ya Covid 19 kulikuwa hakuna pa kupumulia. Cha ajabu nenda sehemu inayomilikiwa na watu binafsi, mfano mzuri ni Mlimani city panafanyiwa ukarabati wa mara kwa mara ndio maana miundombinu yake haichakai na kuharibika hovyo, machache ni hayo mengi nabakisha kwa siku nyingine.

  • @mungamichael9354
    @mungamichael9354 4 года назад

    Sisi yetu ndo international east africa, 🇰🇪

    • @kingofccl6886
      @kingofccl6886 4 года назад

      reli yenu ambayo inatumia diesel kama mashine za kukobolea mahindi 😂😂😂labda ukabila wenu ndo wa kimataifa😂😂😂😂

    • @triplea3463
      @triplea3463 4 года назад

      @@kingofccl6886 😆😆😆

  • @razackbakari749
    @razackbakari749 4 года назад

    Jeanafa ww moto wawapi hauwezi shindana namzungu vinakotoka ivyo vitu

    • @mahdihemed4395
      @mahdihemed4395 4 года назад

      Acha ukuma wewe kwani mzungu nani hizo teknolojia zenyewe kaziiba kwa mababu zetu kaenda kuziendeleza kidogo kisha anadanganya ulimwengu kuwa ndo mgunduzi acha ufala wewe mzungu mtu wa kawaida tu