MESSAGE to Exray... Niaje broo Nakuaga nimekufollow IG I see what you post and you are genius bro👊 Very few understand your plan ya kufanya release after release You want the Kenyan music industry to rise I know you want us tukuage pale tu kwa trend kila mara, tutoe wa TZ kwa trendings na Naijas, juu walikua wamezoea sanaa Najua you not just a musician but an eye opener to us , your funs.. Before niendelee, I am *Vostie From TriVo entertainment*😌 I study hii ya game ya music sana sana saaana and I saw very technical issues in TZ. Kwa hii ngoma latest ya Daimond and Juxx, Diamond ametaja 'mangoto' na amezidunga kwa vidole... *That is Kenya culture manzeee and they are treing to trend with it to keep capturing our attention* Tz walikua wanasupportiana kwa music, watu wanaraise na kusic industry yao inarise untill it was monotomous... Now they are treing to use Kenyan ways and methods to Keep relevance in the music business🌺 That made sense right?? Examples of these methods are beefs.. Kenya inajulikana na beefs between artists, na izo beefs na ndo hufanya artists wakue relevent Mtu Kama OG aliingia industry akibeef Octo, akazidi kumbeef adi tukaget attention.. Within the beefing yao, Khali alisaidia Octo sama kukua relevant, juu thia is business... Kukona siku Octopizzo amesema, *' I am doing this for dooh, not for the culture* '.... Meaning that saii ni dooh tu anadai.... But bado iyo ni style yake ya kuhusstle you know...After OG alifika place akamake it, akasare beef😂😂😂 Juu already alishaget attention yetu... That is why kuna watu husema OG ni mbaya na kunao husema OG ni mpoa Haaya, sasa ona TZ wameanza kutokana na kubeefiana, lakini yao adi inakua bizz😭😭 Example poa ni ya Diamond na Harmonize.... Wanajibuzana tu kwa ngoma zao na tuntaka kuskia ni nini hawa watu wanaambiana Kwa *BABA LAO* Diamond anaumiza *Harmonize* na Yeye Harmonize anamjibu kwa *KUSHOTO KULIA*🤦♂ This business tactic ni ya Kenya broooo Au sio😭👊👊 No wonder OG juzi alikua analia play KE music😭😭😭 Sasa iyo ndio kitu inafanya waTZ watrend😌.... We are the *TRIVO GANG*😭 With a track called *RIENG* in youtube Tuokolee brooo kumfikishia hii ripotii😭😭👏👏
I look forward to the day when our media will be playing 70% of Kenyan songs, these Genge kids have really worked hard to ensure that we're entertained
Who is still listening in 2024 piga likes hapa
Hapa tu😂🔥🔥
Tuko hapa😂
Kimangoto
Mimi hapa
Mimi hapa
Huyo dem amevaa black full na ako na dredi huwa anaitwa nani😍😍😍
Hakuna mtu wa mazematics😂😂😂
Wale wa kusoma comments gonga like hapa...😂😂😂😂
wapi likes za eddu maddox this guy is so underrated
For real, for real💯💯
Maddox ako sawa
So true
Thats true
👊🏾👊🏾
Nimeletwa hapa namwamba Timmy D🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Likes za odi wa muranga zikuwe blue hapo👇
Wapi likes za GENGETONE
👇👇👇
odi di baddest
MESSAGE to Exray...
Niaje broo
Nakuaga nimekufollow IG
I see what you post and you are genius bro👊
Very few understand your plan ya kufanya release after release
You want the Kenyan music industry to rise
I know you want us tukuage pale tu kwa trend kila mara, tutoe wa TZ kwa trendings na Naijas, juu walikua wamezoea sanaa
Najua you not just a musician but an eye opener to us , your funs.. Before niendelee, I am *Vostie From TriVo entertainment*😌
I study hii ya game ya music sana sana saaana and I saw very technical issues in TZ.
Kwa hii ngoma latest ya Daimond and Juxx, Diamond ametaja 'mangoto' na amezidunga kwa vidole... *That is Kenya culture manzeee and they are treing to trend with it to keep capturing our attention*
Tz walikua wanasupportiana kwa music, watu wanaraise na kusic industry yao inarise untill it was monotomous...
Now they are treing to use Kenyan ways and methods to Keep relevance in the music business🌺 That made sense right??
Examples of these methods are beefs.. Kenya inajulikana na beefs between artists, na izo beefs na ndo hufanya artists wakue relevent
Mtu Kama OG aliingia industry akibeef Octo, akazidi kumbeef adi tukaget attention.. Within the beefing yao, Khali alisaidia Octo sama kukua relevant, juu thia is business... Kukona siku Octopizzo amesema, *' I am doing this for dooh, not for the culture* '.... Meaning that saii ni dooh tu anadai.... But bado iyo ni style yake ya kuhusstle you know...After OG alifika place akamake it, akasare beef😂😂😂 Juu already alishaget attention yetu... That is why kuna watu husema OG ni mbaya na kunao husema OG ni mpoa
Haaya, sasa ona TZ wameanza kutokana na kubeefiana, lakini yao adi inakua bizz😭😭 Example poa ni ya Diamond na Harmonize.... Wanajibuzana tu kwa ngoma zao na tuntaka kuskia ni nini hawa watu wanaambiana
Kwa *BABA LAO* Diamond anaumiza *Harmonize* na Yeye Harmonize anamjibu kwa *KUSHOTO KULIA*🤦♂ This business tactic ni ya Kenya broooo
Au sio😭👊👊 No wonder OG juzi alikua analia play KE music😭😭😭 Sasa iyo ndio kitu inafanya waTZ watrend😌....
We are the *TRIVO GANG*😭
With a track called *RIENG* in youtube
Tuokolee brooo kumfikishia hii ripotii😭😭👏👏
ruclips.net/video/XmU7epw1KoA/видео.html
Please
#subscribe
@@VostieChei real 🙌
Orea ni makushoto,
Orea ni kimangoto, Taniua
June 1 2023 and I still love these old gengetone jams😍 will always love them
Wananiita God atty mi ndio hukata godeh.....likes za timmy zkam
Odi wa muranga wapeee🔥🔥🔥🔥ndio waache kunyeta juu wataitisha soda
"Anapenda D na alipata A aje?"-Exray 2019🔥🔥🔥🔥
Walae 🔥
Kama beats ya hii ngoma imekubamba Kama mimi .click button ya like hapo chini tujuane
beats ni kali broooh
Energy ya timmy tdat inaweza kufanya uende sudan mguu na urudi na confidence ya exray inaweza maliza corruption hii Kenya
Wananiita god ju mi ndio hukula goddess 😂😂💥💥timmy
*"Kama una mbegu kuja nikupande"* kama umesikia hiyo jua wewe ni legend 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪
#Approved by the KFCB
x_ray
Leta keroma ukam nikumange😅
😂😂😂😂
Aaah.. taniuaah 💞.... finally my wish have been settled 🤗🤗likes za Timmy na boondocks tafadhali 🙏
Yaani music ya nigeria iliisha kabisa
I look forward to the day when our media will be playing 70% of Kenyan songs, these Genge kids have really worked hard to ensure that we're entertained
Jana nimekulimbiza presenter Fulani aje ig😂😂😂waweke 80% Kama Nigeria tuanze kuchukua grammy
you call it entertainment, I call it falsehood.
@@bestronginthelord5413 I don't think you understand our generation
so sad to come back after 3 years and see this
ati wananiita god juu mi ndo hukata godesss..... tdat
who else is watching 2024
🙋
Weeeeeeeeee sauti ya odi wa moranga ghaiiiiiii😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋ukiniongelesh t na hiyo Bess na undress mwenyewe😂😂😋😋😋😋😋😋
Mum: iyo ni ngoma gani
Trev: ni ya genge la boondoxi na timmy
Mum : ongeza volume
Trev: taniua
💥💥💣
Taniua*
💣 bomb😂😂
@@adriankivai9802 exactly what I thought 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Taniua😂😂😂
Skia hiyo sauti ya odi akiiiii😘😘
Wanapay attention na hata silipishi...timmy is underrated in this
Manze, nmekubali hii 100% kimangoto,, lyk za odi hapa
Uweeee hio sauti ya odi wa murang'a ka inakupa goosebumps 🥳🥳🥳weka like
Achicho dimples...naona umewakilisha hapo mwisho
The most hardworking artist in KENYA....T DAAAAAAAAAT
Exactly
Very true,
The guy is not jealous ,gives collabo to any artist as long you are interested
Bangi uache
@@kidings765 😂😂😂😂 walai
Unajua Jones?
sijakula yako , hauwezi niita mfisi ..........waaaaaazimu
I'm a simple man I see boondocks I click..(odi wa muranga)..amepewa verse kiac aje..😩😭
Ulipenda shada sana ukakosa stashahada
Td@ Ni mbayaa aisee 🤩🤩🤩 verse 1 tu inafaa ipatie song likes Kama 10k in 24 hours.. likes zake zikam maze 😜😜✌️
Boondocks is the best gang in Kenya juu ata hii si band ni gang like ukisonga
Who else noticed Odi wa Muranga amekuwa akicharge sauti tangu ngoma ianze hadi vile verse yake ilifika??😂🔥🔥🔥RESPECT
Odi wa Murang'a amewezaaaaaa😘😘😘iyo hook....
Walai ile sauti odi wa muranga anatoa kwa sony home theatre inanifanya niongeze volume💯💯💯💯
1000watts
Wananiitanga god juu MI hukata goddess
Mr Mkuruweng Maddox my all time favorite eishhh amespit ma vitu 🔥🔥🔥
Hakuna mtu wa mazematic⚡💯
Iyo voice ya odi wasee wakiendelea kuimba 😂🔥🔥🔥🔥🔥
Msee alikuwa anacharge Tu Hadi vile time yake ilifika😂😂😂😊
likes za X ray ziko wapi ........#aaaah taniuaaa #Kimangoto....inatesaaa
Kama we Ni msee wa Boondocks jooh drop hiyo like hapo 🔥
Siku hizi Maddox ako on fire mbaya sana
I listen to this song 100 times a day..... its a vibe
hadi saa hii?
Exray anapenda punyeto sana.Kila ngoma lazima ataje punyeto
Sana😂
Mbya still 2024
Hawaii vixens wanaweza sana.Kwanza hugo lightskin namtaka
'' Nilipenda shada sana hadi niakakosa stashada..." Odi Wa Muranga 2019
Mimi nilipata A hata kama bado napenda D...D is Life
Odi wa muranga hio backup sounds💥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥
Za vicky pon dis ukill....... Likes zake ziko wapi
Idle kenyans sitawi comment wa kwanza
Nilipenda sana shada adi nkakosa stashahada.
#odi wa Muranga
Timmy met genge la Boondocks kaliiiiiiii
Timmy nipigie n munga n a scqrdee❤
likes za maddoxx na comments za odi wa muranga
Sad to see him in a bad state...in 2024!!
Ukiskia tu Timmy jua mahaga lazima zi represent
Ngoma Kali.💥
Collabo moto.🔥
Likes za Kimangoto zikam👊👍
Hubert Munyao beats imeweza.....hii ukiskia Na hoofer kwa hao. Mabati inatingika
Hiyo chorus ni addictive inapiga tu kwa kichwa ata ngoma ikiisha😁
mwoto sanaa kama hii ngoma imeku nice nipee like 👇🏾👇🏾👇🏾
Dj cheza Ile ngoma ya wooo ,,wooo kwa background 🤣🤣🤣 noma sana
Maddox finally getting the love that he deserves. Easily the best lyricist in the group.
hio part ya mambirooo
now a total drunkard
kali sanaaaaa bless up kabisa
Wapi likes za pastor nganga" hakuna watu wa mazematics"😂😂😂
ChokorAa one side ..izi wimbo zitaisha to ,isipokuwa kulimana na mashada akuna kitu ingine mnaeza imba
Maddox aimbe chorus banaaaa 🔥🔥
Check out Kiloki song, he has the chorus💥💥
Nikishapiga hata Uber siitisha, kali
T d@🔥🔥 Exray utaniua aah!!
msiseme hamuoni my dancer Rachael apo haha wapi like zakeee..................... liiiiiiiit
🔥🔥🔥Maddoxx🔥🔥🔥🙌#Kimangoto
Huyo dem anadance na amevaa black...buda anashame hao mavixens wote💥😀
Can't ignore the guy dancing in black🔥
Kali sana... The Best
BOONDOCKS GANG TO THE WORLD........
#Tujenge ngoma za Kenya nanii,,, Tdaat we umejikoroga saana
Likes za Odi zikam manzeee..ngoma ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Tanuia....nishauliwaa😋⚡⚡🔥🔥🔥
Boondocks are the undisputed Kings of gengetone
Odi Wa Murang'a tusha agree...tinny keepnit up
#Boondocks gang....Never disappoints...Alfu ongezea timmy Mambo qwishaa😂😂🙂
"wananiita God mimi ndio ukata goddess" it took me to understand this line
I love the School Girls Theme...... 🔥 🔥 🔥 🔥 "ANAPENDA D AMEPATA. A.. aje?" 🙈 😂 😂 😂 😂 KALI SANA 💯
Anamanisha D dick
@@spoilerman1764...... Exactly 🍆
Odi wa Murangaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉😍😍😍💕💕💕💕💕💕
Maddox killed it
Yani this guy timmy video haiwezi Isha kaa hajabaki uchi
When Exray said anapenda D alipata A aje I felt that
Big up boondocks mko na bidii sana
Wapi like za exray
fty sana odi wa muraqa
Wananiita God ata mi ndio hukata goddess.
Likes za Mr Taniua Exray
'
Anapenda D na alipata A aje?'
Hii ngoma ni kali sna💯💯hao madem wameweza
ni kimangoto 💯🔥🔥🔥🔥
hahaha ati minyoo zimepigwa na kindom maddox litt
i still don't understand why some people are against this tunes i mean they are 🔥🔥❤️
Td@ unajua mbaya man...na hiyo ni chuo gni nice design sahizi 😂😂😂😂😂😂😁😁🤩
Xray and PUNYETO , a better love story than twilight 😂😂
Odi wa muranga meeeen hiyo sauti😍😍😍😍
Kimangoto like za Timmy apa
Huyo dem amebebwa na Timmy ni mtoto wa pastor yetu....👏👏👏👏 nice move siz