Wimbo mzuri sana wa kuabudu.unatuleta karibu na Yesu wa Ekaristi. Hongereni wote Mtunzi Mungu Ambariki sana.alizama sana ktk Roho wakati wa kutunga huu wimbo🎉🎉
The source and summit of our christian life ... christ the pasch .. food for the angels in Him our souls find sanctity of life and in that small Host is the solution to our problems
Oh sweet Jesus...i honestly lost count of the times i have watched and listened to the sweetnes of words contained in this song❤!! ...its just a prayer 🙏❤❤... peace...joy...love... adoration
Hello LÀ FEL POSSE , with this production , you ignite tremendous joy and desire in our hearts to ADORE the BLESSED SACRAMENT . It is a great production and we thank you very much for giving it to us . Such are PRECIOUS and LOVELY moments in our lives .
Hongera sana Ray Ufunguo kwa utunzi bora na uchezaji kinanda wa hali ya juu. Naomba utunge nyingine nyingi za Kuabudu Ekaristi Takatifu.Nahisi uwepo wa Roho mtakatifu ndani ya kazi hii. Hongereni waimbaji kwa kujituma kuinjilisha kwa kuimba.Mbarikiwe nyote.
Wimbo mzuri sana wa kuabudu.unatuleta karibu na Yesu wa Ekaristi.
Hongereni wote Mtunzi Mungu Ambariki sana.alizama sana ktk Roho wakati wa kutunga huu wimbo🎉🎉
@@despinae.mdende Asante sana dada
Why i,m i crying?? Someone tell me please??? Is Jesus so sweet?? I adore you Lord God Jesus
Wimbo mzuri sana
Good job well done Felistas
i love the song, congrats
Kazi safi sana ❤❤❤ hongera sana felistas mburugu na wote walioufanikisha
❤❤❤
Kazi safi ...the mood is adoration ❤... congratulations fely and team❤ ..tunakupendangaa
❤
❤
Hakika Mungu ametukuzwa na kuabudiwa
Amina
Wimbo huu kwa kweli ni tulizo cha moyo ..imenibariki na kunipa tumaini kufanya ndoa ndo niweze kumpokea na kushiriki Ekaristia...
Asante sana. Fanya hima ndio uweze kumpokea
🎉Heavenly song ❤
Wimbo nzuri Sana nimeparikiwa sana
The source and summit of our christian life ... christ the pasch .. food for the angels in Him our souls find sanctity of life and in that small Host is the solution to our problems
@maxywellikutwaa4335 sure yes. Thank you
Oh sweet Jesus...i honestly lost count of the times i have watched and listened to the sweetnes of words contained in this song❤!! ...its just a prayer 🙏❤❤... peace...joy...love... adoration
Nice song congrats❤❤🎉
Thanks 😊
Nice one ❤
You have done justice to the song.
God bless you felistas mburugu .May God continue using you to touch the world 🌍🌍 more and more
Hongera sana Msanii❤❤❤❤
Wow ,just wow ,blessed Adoration🎉
Thank you
Amazing songs, infact one of my favorites ❤❤❤🎉
Hongera sana kwa kazi nzuri unaiyofanya.very nice
Ubarikiwe sana mtunzi
congrats Felistas. thanks for this wonderful hymn
Thank you too!
I can't get enough of this song🎉🎉
Thank you
one of the best Eucharistic songs🥰🙏
@@eucharisticmarianservant2000 Thank you 😊
Much thanks to the Mtunzi for composing this touching hymn
@@AngellaLuke-gl5ro Amen
Waaaaahu Kazi Nzuri Watoto Wa MUNGU..
@@jobnyakundi2036 Asante mtoto wa Mungu
Atukuzwe milele❤❤Wimbo mzuri kweli katika kuiabudu Ekaristia takatifu❤❤❤
Wimbo mzuri sana.Ekaristi takatifu ♦️🙏🙏♦️ hongera Felistus na wote walioufanikisha wimbo huu 👌
A very solemn one... great composition Na ikapangika vema sana. Tuiabudu ekaristia takatifu ya Altare. Amen
Nice solemn song for adoration 🙏🙏
@@AliceManoti-h2w Thank you
Listened more than 10 times this song is very solemn and very liturgical thankyou for blessing us
@@James123-e1z Thank you James
Muito lindo este cântico religioso.
Wonderful piece! Please keep going.
Wonderful song 🙏🙏🙏
Nice composition. Tuiabudu Ekaristia Takatifu❤❤❤❤
Atukuzwe milele, Yesu Kristu wa ekaristi takatifu, aabudiwe Yesu... Nice one Felly... 👏🏾👏🏾
@kariukianthonyireri7256 Thank you Tonny 😊
Hello LÀ FEL POSSE , with this production , you ignite tremendous joy and desire in our hearts to ADORE the BLESSED SACRAMENT .
It is a great production and we thank you very much for giving it to us .
Such are PRECIOUS and LOVELY moments in our lives .
Wimbo mzuri sana shuka kwetu ee bwana❤❤❤🎉🎉🎉
Yes listening to this song right now my heart is at peace just how wonderful it’s to adore Christ in the Holy Eucharist 💙
@@christerbeloyuru4605 Thank you
Twakuabudu ee Yesu katika Ekaristi 🙏🏽❤️
Wimbo mzuri sana hongereni mno mno
Great piece we have. Congrats
Wow.... Wow.... Wow...... Very cool song here🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@@jokersclubjokesonly1774 Thank you
Wimbo hutuliza roho❤ hongereni nyote
Asante. Sifa kwa Mungu
Meditative adoration nice song.hongereni saaaana
Thank you. Nashukuru
Hongera dada
😊
Msifuni bwana hogera sana
How wonderful that we are being blessed by this song for the first day , being a Thursday when the holy Eucharist was instituted❤️❤️❤️❤️❤️
@@janemumbi1765 Thank you 😊
I'm loving this❤🙏
I just love the song,it really inspires me and touch my heart.
@@DianaAkinyi-if6hg Thank you Diana
Kazi Zuri
Pongezi Sana Felistas Mburugu Kwa wimbo Wa Kuabudu Eucharistic Takatifu; (Mwili na Damu Takatifu ya Mwokizi wetu Yesu Kristo🎉🎉🎉
Asante sana Jecy. Glory to God
Amazing hit🎉❤❤
Hongereni wahusika wote wimbo mzuri sana Mungu azidi kutukuzwa
Courtesy of tiktok,,,am feeling blessed,,
Asante team tiktok
KAZI nzuri sana hongera Mdete na Felister
Hongera sana Ray Ufunguo kwa utunzi bora na uchezaji kinanda wa hali ya juu. Naomba utunge nyingine nyingi za Kuabudu Ekaristi Takatifu.Nahisi uwepo wa Roho mtakatifu ndani ya kazi hii. Hongereni waimbaji kwa kujituma kuinjilisha kwa kuimba.Mbarikiwe nyote.
@@annastasiakimonyi8641 Asante.
Nice song so deep in spirit, God bless you abundantly
Thank you and God bless you
Shuka kwetu ukae ndani yetu wewe uliye chakula cha uzima 🙏🙏 beautiful song congratulations fely❤❤🎉🎉
Having an opportunity to adore and shoot at the same time must have been phenomenal ❤🤍🙏 this is definitely touching souls🫂🤲
Hii unaskiza unajipatanext kanisa adoration.... thanks for this blessing 🎉🎉
Ekaristi Takatifu.........this one brings us so close to Jesus and makes us feel the Holy Spirit. Brilliant!!
@doreenkawirapatrick5569 Thank you sis 😘
What a nice adoration song🙏🙏🙏 congrats servants and the team 🎉🎉🎉
This is wonderful 👍 wimbo mzuri sana.God bless you
The song is very sweet🥰 Adore🙏
Ekaristi takatifu ni uzima wa milele🙏🙏
Wonderful Adoration song❤❤❤🎉
Pongezi sana dadangu kwa wimbo mzuri wa kuabudu ekarestia 🎉🎉🎉
@@nicholas_mango Asante sana bro
Twakuabudu Ee yesu🙏🙏kazi safi sana felistas 🎉🎉🎉
Awesome🎉🎉🎉🎉❤
Wow it's amazing well done
Thank you so much 😀
Adorable, nyimbo nzuri sana ya kuabudu
Wimbo mzuri huu.
Congratulations to you🎉
Fantastic 🎉🎉❤a very wonderful song .....kazi mzuri sana❤❤❤🎉🎉
So touching, an amazing song for adoration . Keep doing the good job Felistas
@priscahdiana-praiseworthym5358 Thank you sana Prisca. Barikiwa
Kazi safi 🎉❤
Congrats beautiful 😍.
Good song for adoration 🤲🏿🤲🏿.
Congratulations, surely a great song
Love u Jesus Christ
Amen
Kazi poa sana naomba unipe tuchape collable ❤❤
Sijaelewa
Anything felistas.... I am watching 🎉
Such a beautiful song. Congratulations 🎉
Well done in keeping the faith my friend Samuel
Wow!!❤❤❤❤.. congratulations.. The song is blessing in a mighty way.
Waiting for more of such ❤❤
Nice song ❤
Excellent work as always🎉
wimbo uliotulia vizuri, bringing us close to the eucharist and meditation of our wellbeing. Great Piece Feli keep on keeping on.😇😇😇😇😇😇😇
I love this song
Congratulations..ooh sweet jesus 3:00
Good job🎉
Shuka kwetu ukae ndani yetu🤲🤲🤲
Amina
Good job Felly and team🔥🔥🔥♥️
God bless you
Nice song 🤩
Asante
Wow🎉 wimbo mzuri sana.Hongera sana dada❤
Kazi safii Madzaam Felii🔥🔥
amazing works🙏🙏 Video on top👍
🔥 🔥 ❤❤❤
Waaaah nmesikia adoration song buh this wacha tuh....its very meditative
Amazing song for adoration, very soothing and brings us closer to God. May God continue blessing you dear 🙏
@@carolinemwitiofficial Thank you Carol
@@felistasmburuguhongera dada, naomba nota za wimbo huu kama hutojali