Hiyo jamaa ni muongo inakuwaje Kila kitu kipelekwe Rwanda,anatumia propaganda ya Tshisekedi,sio mkweli kwani wananchi walio wengine wanakiri uwepo wa Amani na utulivu.
Viongozi wa congo hawajitambui, nchi ina madini ya kutosha, wanunue setelait za kisasa, wawe na makombora ya masafa marefu, wakiona wanavuka kutoka rwanda wawakaange kama kumbikumbi kwenye mafuta ya moto
Congo ni nchi ya mwisho duniani
Chombo chahabari ichiii ni wanafiki piyaa. Waitaki memaha kwa afirika
Hawa wanataka wawaletee silaha tena kupitia ndege zao itakuwa washaambiwa silaha zimeisha...mngegoma ktk hilo
Hiyo jamaa ni muongo inakuwaje Kila kitu kipelekwe Rwanda,anatumia propaganda ya Tshisekedi,sio mkweli kwani wananchi walio wengine wanakiri uwepo wa Amani na utulivu.
Pas question de cessez le feu.