KENYA :POLISI ALIYELIPUKIWA NA BOMU NA KUPOTEZA VIGANJA AOMBEWA MSAMAHA KWA RAIA .

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 июн 2024
  • KENYA :POLISI ALIYELIPUKIWA NA BOMU NA KUPOTEZA VIGANJA AOMBEWA MSAMAHA KWA RAIA .

Комментарии • 68

  • @cleopajackson9934
    @cleopajackson9934 7 дней назад +11

    Vp angeua raia angeomba msamaha? Au angevimba kuwa ni Moja ya uwajibikaji😅😅 Natamani Kila mwenye kushika bomu lianze nayeye😂

    • @barakamanga5502
      @barakamanga5502 5 дней назад

      Huyo wa bomu atajuana na mkewake jukumu lake lilikuwa ni kuwalinda waandamanaji Sasa nashangaa chuma kupasukia mkononi, yote katika yote taken amani

  • @jfabbyhussein6861
    @jfabbyhussein6861 5 дней назад +3

    Mtakufa vibaya polisi,pamoja na viogozi wenu kina Ruto hatuwapendi kabisa😢

  • @user-lw3ne4zu3k
    @user-lw3ne4zu3k 7 дней назад +7

    Kiwete mpaka kifo chake mjinga sana na bado Mungu sio mjinga kama nyinyi police

  • @Jeneffershishi-ik4jo
    @Jeneffershishi-ik4jo 6 дней назад +3

    Mungu sio kipofu anaona mnavyofanyia wakenya, watu wanaadamana kwa amani wewe unataka kuwaua ugekufa kabisa maana mungu ajalala, hio ni fuzo kwa wengine

  • @muthokagregory6478
    @muthokagregory6478 5 дней назад +2

    Sasa hogo ni kumuwekea kwa pocket tamu sana

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 6 дней назад +1

    Akufe kabisa👍👍👍

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 7 дней назад +2

    Changamoto ya wenzetu ukabila umosaaana, nduguzangu poeni kwanza amani ni mhimu mno ,pigeni kelele ila ila leteni amani,

  • @demungate
    @demungate 7 дней назад +2

    padre aiiiiiiii...ulikuwa ukinjitafutia kifo..mwisho wa hio tendo ni jehanamu.

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 4 дня назад

    Da! Sizan Kama Tanzania yupo mwanamke wa kuongea kqma uyu mama apa 😂😂😂

  • @gazatv12
    @gazatv12 7 дней назад +2

    Angekatwa makende kbsaa

  • @user-xt4tp9mn2q
    @user-xt4tp9mn2q 3 дня назад

    Watu wasiende kanisa kutoka leo

  • @-bz7kr
    @-bz7kr 7 дней назад +1

    Women, its also your time. If you knew the power you have? Wacha tu!

  • @davidgichuru4237
    @davidgichuru4237 7 дней назад +2

    Wee askari unafanya nicheke

  • @user-js4bu1jp7n
    @user-js4bu1jp7n 6 дней назад +1

    Huyomkenya mwenye gauni la blue macho makavu

  • @Gblock-qj6hn
    @Gblock-qj6hn 2 дня назад

    Huyu sasa ni disable coz he had brains and forgot to use them

  • @johnfelixnatala6777
    @johnfelixnatala6777 7 дней назад +3

    ehhh😂😂😂😂😂Kenya imekua mbovu kushinda uganda😂😂

  • @Mina.15
    @Mina.15 5 дней назад

    Mwenye alimsuka huyo mama mungu ana kuona 😂😂😂

  • @Official83640
    @Official83640 5 дней назад

    Naomba yatokee Tz kwa wale wenye tabia za uonevu kwa raia

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 7 дней назад +2

    Wanamuombea msamaha ili viganja irudi?😅😅

    • @Mina.15
      @Mina.15 5 дней назад

      😂😂😂 kaziacha kwa parliament

  • @Vision_226
    @Vision_226 6 дней назад

    Sijui kwann hakukatika kichwa nivile tu kakosa viganja hata jembetile ilikua ikatike😂😂😂😂

  • @repentkingdomofheavenisnea1988
    @repentkingdomofheavenisnea1988 5 дней назад +1

    Private parts were swollen from over using them not being pulled😅

  • @user-jo3cs3yu3o
    @user-jo3cs3yu3o 7 дней назад

    Kumbe wakenya na wao wanatabanika hivi kama wakina fulani!??? Kkkkkkk, afrika ni shida tuu.

  • @eastermwaniki1297
    @eastermwaniki1297 7 дней назад

    Jilipueni akili juu huwa hamfikirii

  • @user-gq3fs3vo2w
    @user-gq3fs3vo2w 6 дней назад

    Mchimba kisima huyingia mwenyewe Mungu ni nani ningesíkia huyo polisi amekufa polisi hata ndio wanalaana kubwa sana hata wao ndio waliuwa Yesu potelea mbali .

  • @user-zb5qz6fk1v
    @user-zb5qz6fk1v 5 дней назад

    Police viherehere sana wacha yawakute na bado . Fundisho

  • @ShadrackCharoKenga
    @ShadrackCharoKenga 4 дня назад

    Anaombewa msaada wa nini na anafanya kwa government yenye ilimtuma akatupie guruneti watu wasio na hatia? Swali ni je kama ni raia aliumizwa na hiyo guruneti angefanyiwa mchango kweli?

  • @georgeroman655
    @georgeroman655 7 дней назад

    Ata akufe

  • @user-gq3fs3vo2w
    @user-gq3fs3vo2w 6 дней назад

    Tumefurahi sana police hananga msamaha na mwenye alikuwa analipua hiyo teargas ingekuaje wacha nisikie amekufa si achukue bunduki alinge vijana mikono ya kuchukuwa hongo ichukuwe

  • @damariskemuntoatambo2292
    @damariskemuntoatambo2292 7 дней назад

    Azii zii uchawi ni maombi

  • @faithcalos1078
    @faithcalos1078 6 дней назад

    🤭🤭Tulisema tucheke na Adabu ivi.. Hii ndio inaitwa bCk to the sender

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 7 дней назад

    Mama waambie ukweli hao manyangauuu.
    Huyo rutto ni kondoo.

  • @ilikweljames178
    @ilikweljames178 7 дней назад

    Commando 💥

  • @amosoluoch9770
    @amosoluoch9770 6 дней назад +2

    Umeona mishipa ya shingo ya huyo mwana dada?

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 5 дней назад

    Apewe vyeo sasa kishakua mkoma

  • @user-tx6dh6ii3m
    @user-tx6dh6ii3m 6 дней назад

    Alikua anamfurahisha rais chawa wa rais heri ungekufatuu

  • @user-dp8xe4zj8j
    @user-dp8xe4zj8j 7 дней назад

    Better yule karau kalewa aloongea vibaya angeumia.

  • @dullayomwinyi3359
    @dullayomwinyi3359 7 дней назад

    Waonevu wa wananchi

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 7 дней назад +2

    Akome kabisa. Wakenya mnawaobea sana! Na aliyeiba farasi amchinje wale nyama

  • @user-ih4kw5eb3d
    @user-ih4kw5eb3d 7 дней назад

    Anastailia chakumpata kilema kwani niya yake ilikua sio njema kueni nautu mutafaulu

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 6 дней назад

    Akwende huko

  • @MzeeNdege
    @MzeeNdege 7 дней назад +1

    angekufa kabisa 🐕 😅😅😅😅

  • @Vision_226
    @Vision_226 6 дней назад

    Angeua Raia angefurahia sana anaombewa msamaha ili iweje😂😂😂😂

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 6 дней назад

    Nimecheka kwa sauti. Huyu mama kajua kutema maneno 😅😅😅😅😅😆😆

  • @yohana1242
    @yohana1242 6 дней назад

    Uyo inaonesh sio askari mzur hata kidog kakamata bomu la nini anatak kuua raia au

    • @yohana1242
      @yohana1242 6 дней назад

      Hao ndo wayahudi wa kenya

  • @Zablon-ut7kv
    @Zablon-ut7kv 6 дней назад

    Napato mungu ako alali

  • @asminmakoha6889
    @asminmakoha6889 7 дней назад

    Huyu ako lawyers wangapi

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 7 дней назад +2

    Changamoto ya wenzetu ukabila umosaaana

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 дней назад

      Lkn wamesoma na wajuwa sheria sio nyinyi kazi mipasho mnataka kataba na mko juu ya kitanda 😂😂😂😂

    • @barakamanga5502
      @barakamanga5502 6 дней назад

      OK nimekuelewa

    • @barakamanga5502
      @barakamanga5502 6 дней назад

      OK nimekuelewa

    • @user-ug3eq2jv8i
      @user-ug3eq2jv8i 6 дней назад

      ni vile watanzania ni wajinga na masikini afu wengi hamjasoma hamuelewi chochote ndio maan mkiona wakenya wanapigania haki zao mnadhani ni ukabila wakenya hawaishi kwa uchawa wanafanya kazi na makampuni mengi wamiliki ni wakenya wenyewe kwaio wanahaki yakuandamana maana utajiri walio nao wameanzia chini hawategemei binadam

    • @amyskitchen_jikoni
      @amyskitchen_jikoni 6 дней назад

      Ukabila umeingilia wapi na bajeti? WaTZ mjue mnachokiongelelea. Sisi tunatetea bajeti (finance bill)ya Taifa si issue na siasa ama ukabila

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 7 дней назад

    .

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 7 дней назад

    Nyie police msiwe wajinga mnawalinda majambazi nchi gani mtu anamiliki ardhi karibu wilaya moja ya mkoa wa Tanzania?

  • @muindimulwa2102
    @muindimulwa2102 4 дня назад

    The headline is from a sick content creator,,two different stories

  • @johnoduor9370
    @johnoduor9370 5 дней назад

    Ruto juu

  • @gentricesengera4567
    @gentricesengera4567 6 дней назад

    GenZ vienyeji hehehe

  • @eastermwaniki1297
    @eastermwaniki1297 7 дней назад

    Nonsense! Tigai urimu!

  • @salimmashjary8028
    @salimmashjary8028 7 дней назад

    HAKUNA MSAMAHA NYINYI POLICE WAUWAJI MUKWENDE HUKO.CRIMINALS

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 6 дней назад

    Anaombewa msamaha vp wale vijana mliowakamata na kuwasweka ndani?? Bora angekatika shingo kabisa