Assalamu alaykum warahmatu wabarakatu ustadhi nataka unieleweshe vzr ktk kuswali swala ya safari kwa wakatai wa adhuhuri na alasiri. Jee unaziswali vp hizi kirakaa mbili2 au unaswali mbili kwa 4
Haupati dhambi allah amefanya hivyo ili kukupa wepesi kama alivyosema ktk quran:allah anakutakieni wepesi na wala hakutekieni uzito kwaiyo inapendeza zaidi hiyo fursa ukiitumia lau ukiswali kawaida hamnashida.Allah ndio mjuzi zaid
W.SALAM W.W. KWANZA SAMAHANI SANA KWA KUCHELEWA KUJIBU LEO NDIO NAONA SUALI LAKO, HALAFU KUHUSIANA NA SUALI LAKO JIBU NI KWAMBA PANAPO NA UWEZEKANO KUSWALI KATIKA KIPANDO UTASWALI NA KAMA HAIWEZEKANI BASI UTASWALI UFIKAPO. SHUKRAN
Alhamdulillah shukran
Shukran
Mash Allah tabarak Allah kheri.
Assalam alaykum 👋 Masha llah baraka llahu fiik ❤️
Mashallah❤
Mashallah Allah azidi kukupa ufahamu ni darasa zuri na lenye mafunzo
Ma shaa Allah sheikh
Allah azidi kukupa afya uzidi kutuelimisha
Aamiin sote inshaa Allaah
Allah akuzidishie elimu In shaa Allah
Mashallah
Xhukuran
Mashallah mashallah
mashall ujumbe mzri shukuran sikujuwa👏👏👏👏
Mashaallah
Assalam aleykum
Kama unatoka zanzibar hadi dar es salaam kwa sbb ya masomo jee unawez kuswal safar
UKIFIKA DAR ITAKUA NI BASI HUFAI TENA KWA SABABU UTAKUA UMEFIKA MJI UTAKAO KAA KWA MDA MREFU
UKIFIKA NI BASI KWA SABABU UMEFIKA MAHALI ULIPO KUSUDIA KUKAA ZAIDI YA SIKU NNE. SHUKRAN NA SAMAHANI KUCHELEWA KUJIBU.
Assalamu alaykum warahmatu wabarakatu ustadhi nataka unieleweshe vzr ktk kuswali swala ya safari kwa wakatai wa adhuhuri na alasiri. Jee unaziswali vp hizi kirakaa mbili2 au unaswali mbili kwa 4
Unaswali mbili unatoa salam halaf unakimu unaswali tena mbili
Na uliza swali nikiwa niko katika bus ntaswali vp ilhali sn udhu
Utatayammam kwa kili kilicho karibu yako ambacho ni tohara
Je mie nimesafiiri kikaazi muda wa mwezi je naweza sali mwezi wote kwa kupunguuza???
NAAM UNAWEZA
Je,ni lazima kupunguza swala nikiwa mji ambao c wangu??
Nop, hakuna ulazima kupunguza ila ni jambo linafaa kwa masharti yake. Sgukran
Niko na madhambi iwapo ntaswali kawaida nikiwa safari?
Haupati dhambi allah amefanya hivyo ili kukupa wepesi kama alivyosema ktk quran:allah anakutakieni wepesi na wala hakutekieni uzito kwaiyo inapendeza zaidi hiyo fursa ukiitumia lau ukiswali kawaida hamnashida.Allah ndio mjuzi zaid
As salamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuh je hizo sala za kupunguza ninatakiwa kusali katika kipandio ?
Popote bora sharia ukuruhusu kuswali tu