Juvenile gangs fight each other in Mombasa County

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 23

  • @samiasalim8322
    @samiasalim8322 4 года назад

    Sawa mtoto wetu hivi na sawa jamani watito wetu twawaoenda na hamukui hasara gani twaoata kuwakosa nyinyi mwetu muna faida kubwa kwa jamii nkooni njooni watito wetu teawaoenda na tutaws galia vizuri njooni kea wakubea wenu muwasikize mungu na ghafuur raheem 🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️🙏

  • @oyay2821
    @oyay2821 6 лет назад

    Sad, So Sad

  • @hassanalhussein3982
    @hassanalhussein3982 6 лет назад +7

    Send all the members of gangs to Shimo la tewa prison.There they will learn good lessons.Let their parents suffer so what?

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 5 лет назад +1

    Ukipata kijana mmoja wa Mombasa ambae amesimama kama huyu wanamuita chizi..yani tabu tupu

  • @akeem1221
    @akeem1221 6 лет назад +2

    260 divorce yearly is alarming. Poor economy can be a reason to divorce, high joblessness among the swahili community leads to divorce. Jobs must be created for the Swahili community to sustain themselves.

  • @IM-tn2tg
    @IM-tn2tg 6 лет назад +7

    non sense..watafunzwa na ulimwengu

  • @gaddafialjabry
    @gaddafialjabry 6 лет назад +3

    Mwizi akatwe mkono na tuone nani ataiba! Bure kabisa vijana hao

  • @abumosa9682
    @abumosa9682 6 лет назад +11

    those mistake are created by joho..he is the ring leader of this gangs. .until joho out things can be solved

  • @mariamamer9312
    @mariamamer9312 2 года назад +1

    acha hzo teja wewe

  • @earlymanhamza5018
    @earlymanhamza5018 6 лет назад

    na wanaopogwa pia wana wazazi.mkuki kwa nguruwe tu,wakipatikana wao mbona mwaenda mbio?

  • @ramambongo4069
    @ramambongo4069 6 лет назад +4

    Hamtaki kufanya kazi mnaishin kwenu sasa na haya mabugiz ndio mnakata kata watu mapanga uhuru rudisha marwa

    • @ruweidambarak6975
      @ruweidambarak6975 6 лет назад

      Rama Mbongo sio ati hawataki kufanya kazi the thing is hata ukiwapeleka kufanya kazi eventually wataacha cz kitu inawaharibia ni 'DRUGS' so exportation of drugs can lead to wat ur saying so kwanza waondoe drugs kisha wawataftie kazi hope u get wat am sayin

  • @ammohamed1937
    @ammohamed1937 3 года назад

    Vijana hawana makazi viongozi na maimamu ndio wakulaumiwa. WAPENI MAKAZI

  • @ameeraaljassim4138
    @ameeraaljassim4138 5 лет назад

    Sisi wazazi tujaribuni kukana watoto wetu kuwaeleza .ju wengi unaletewa pesa na masimu yakupora ww mama unafurai akiuwawa unasema ameonewa

  • @saidmohammed4989
    @saidmohammed4989 6 лет назад

    Tusingoje serekali ww mwenyewe unajua unaishi vp katika hii dunia so mume akili sio kulaumu maskini