HIYO KODI IPO WAZI, HAPO FEITOTO ANAANDALIWA KURUDI JANGWANI, FEI ANAENDA KUKABIDHIWA MIKOBA YA AZIZI KI YANGA HAPO BAADAE BAADA YA AZIZI KI KUMALIZA MPIRA WAKE NA MKATABA WAKE KUISHA NA NDIYO MAANA FEI HATAKI MKATABA WA MUDA MREFU SANA, ANAJUA BAADA YA MIAKA MIWILI AZIZI KI ATATUNDIKA DALUGA 😂😂😂
Sasa kwani fei atoke yanga kwenye makombe alafu aende azam akose makombe sasa simba sindoatakosa hata na usingizi maana kule ukifanya vibaya mechi 1 hufai ukifungwa na yanga umeuza mechi acha mtoto muda ukifika atarudi nyumbani😂😂😂
Ila huyu jamaa bana😅😅😅 Kwahyo simba haimwitaji Feitoto ila Yanga ndo wana nia ya kumrejesha😅😅😅 Yahani kila likija swala la Fei na simba Momo huwa ana pinga na kuumia kinoma hataki Fei aende simba Ila kurudi yanga mwamba anqchekelea kabisa 😅😅😅😅
Ricardo nakupenda sanaa kiukweli Bhanaa...
Yaaain taarifa za kiumbea unazipa uhalisiaa kama wambea vileee wanapeana umbeaa daa...
Ricardo upo vzr sana
Una present vzr sana😂😂😂😂😂😂
Za ndaaaaaanii
Jaman wasafi mtumbuke uku kagera atuwapati
Aende yanga aende utopoloni simba itabaki kua simba🔥🔥🔥
Yanga hawezi kwenda yule tena
Momo msenge sana kumamake 😀😀😀😀
Mmetudanganya sana mngeachana tu na hio habari ya Fey mbona habari zipo nyingi za kuongelea
🔥🔥🔥👏👏
😂😂😂 zandanii kbx 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Fei awez kulud yanga wew likado acha uwongo wesiyanga atakuz Kat ulitambulishwa
Kwa hiyo utasikia raha akisema ataenda Simba eti, acha upumbavu, FEISAL ana nafasi kubwa kurudi Yanga kuliko kwenda Simba ujuwe.
Kolo linateseka 😂😂😂
Mm nimekuja tu kuangalia vizur form six ya momo
Fei usithubutu kurudi yanga.kwa staili uliyo achana na yanga kwa dizaini zile.ukirud wanaenda kuuwa kipaji chako watakuweka benchi yanga wametimia ila wanakuhitaji walipe kisasi watakuweka bench
HUJUI KITU KUHUSU MPIRA KAA KIMYA UNAONGELEA USHABIKI
Fei yuko.na malaika za ndaaasni
Wasafi fm haipatikani dodoma ,Tusaidien kwa njia ya RADIO FM
Tabula izak islam kabuuuut 😃😃😃😃😃😃
Kuna kitu cha uongo hapo nisha shituka
Aah momo muongo huyu 😅
😅😅😅 MOMO Mpuudhi kweli aani
Kwa simba ulisema ujaona kma sahihi kwenda lkn nyanga unaona raha aende kwli simba uipendi
Hiking jamaa silipendi linaongea Mambo kwa kufichaficha imekua magendo haya
Wewe mpende tu mkeo inatosha
👏👏
HIYO KODI IPO WAZI, HAPO FEITOTO ANAANDALIWA KURUDI JANGWANI, FEI ANAENDA KUKABIDHIWA MIKOBA YA AZIZI KI YANGA HAPO BAADAE BAADA YA AZIZI KI KUMALIZA MPIRA WAKE NA MKATABA WAKE KUISHA NA NDIYO MAANA FEI HATAKI MKATABA WA MUDA MREFU SANA, ANAJUA BAADA YA MIAKA MIWILI AZIZI KI ATATUNDIKA DALUGA 😂😂😂
Sasa kwani fei atoke yanga kwenye makombe alafu aende azam akose makombe sasa simba sindoatakosa hata na usingizi maana kule ukifanya vibaya mechi 1 hufai ukifungwa na yanga umeuza mechi acha mtoto muda ukifika atarudi nyumbani😂😂😂
Unaumizwa sana na Simba , Utopoloooooo utaendelea kuuumia wewe endelea kucalculate 😂😂😂😂😂😂
Hiki kipndi bila mwalimu mzingizi akinogi
Wewe kaongo haka ngoja tusubili
Ila huyu jamaa bana😅😅😅
Kwahyo simba haimwitaji Feitoto ila Yanga ndo wana nia ya kumrejesha😅😅😅
Yahani kila likija swala la Fei na simba Momo huwa ana pinga na kuumia kinoma hataki Fei aende simba
Ila kurudi yanga mwamba anqchekelea kabisa 😅😅😅😅
Hana hadhi ya mshahara 50 milioni Kwa mwezi, labda nusu ya hapo
😂😂😂😂😂 eti vingedele
Feitoto>>>>Aziz ki😂😂
Ki mzawa?
@@Shaniatwain06 mgumu kuelewa azizi ampishe fei kwenye namba yake
KWA LIPI WACHEZAJI WAKUBWAA WANACHEZA KWENYE MICHUANO YA CAF,YEYE WANACHEZA TEAM NDOGO,NDOGO,HAMNA MCHEZAJI PALE VYOMBO VYA HABARI VINAMUKUZA TUU
Kwaio ww ndio mchezaji mkubwa 😅😂 acha hasira na maisha ya wa watu
Kwenu tanganyika nzima hakuna hodar kama Feisal boya wee
@@MohamedAbdalla-tq8qo unamjua mzize wew unamjua kibu wewe au unaropoka2
Wivu mbayaaaaa😂😂😂😂😂😂 sana
Acha wivu kijana
He deserves it home sweet home here is where he belongs
Ila momo😅😅😅😅
Nani pakome au max?
Aziz
Ila momo😅 eeh
feiiii
Mshamba wewe milioni 50 umelogwa wewe acha umbea kenge
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Fei Toto