Hukuweli leo nimeamini vile watu husema, ata baba akuruke mama angangane akulee hukikuwa mkubwa lazima utafte babako😢😢😢 Munga saidia tu msichana wangu hasiwai niuliza mambo za babake coz naeza kata mguu😢😢
Mama it doesn't matter the differences you have with the father, Rashid has a right to know his father and where he is. The mother is in a rush to get what she can get from Rashid before disclosing who the father is that is so mean to her son.
Bona unauliza habari ya baba yako wakati amekuwa na miaka thirty? Mama yako amekulea ukasoma Sasa uko mutu muzima baba yako niwanini kwa maisha yako juu kama alikuwa na aja na wewe ni yeye angengutafuta zio wewe ukamutafute,Rashidi huna aja na mama yako ata kidogo dio ulikuwa unakataa kushaidia mama yako,wewe kitakuramba wewe
Miaka yote mama yake apambana mpaka amefikia hapo leo hii ndio amuulize baba yake huyu rashid hizi pesa si halali aki ndiomaana anampitisha mama ake magumu aki huyu mama achane na mwanae aishi maisha yake
MMA nmkweli hwezi kungangana n mtoto pekeyako alafu ati anaulizia babake sangeuliza wakati anasoma inauma sna ulolanjaa Kwasababu y mtoto Leo anaulizia baba
Rashid ataki kusaidia mama maneno ya wazazi aja mama usimwabie mama uaju na mimba arafu mutoroka arafu haaaa abana lam ujinga baba yako alikutoro kwasabu yako nimemupea jibo asiulise iyo
Weee hii dunia iko na mambo hata kama unatafuta babako mtu huenda pole pole na kuuliza na mpango ikiwa Rashid anadai kupea mamake nyumba yenye alibuy si ampee arafu afuatilie story ya baba sasa
RASHID YOU HAVE RIGHT TO KNOW YOUR FATHER BECAUSE BLESSINGS COMES FROM THE FATHER AND CURSES COMES FROM THE MOTHER FUATILIA BABAKO HUYU MAMAKO KUNA KITU ANAKUFICHA NA VYENYE AMEKUPELEKA SPEED
Wanawake hata ukuwe na mamilioni hizo hazina maana wala faida kwa watoto,jua baraka zinatoka kwa baba hatakama unadharau huyo mwanaume ulizaa nae hao watoto wanataka baraka za baba
Mbona kuuliza tangu uko chekechea wauliza nn kwa SSI utapatalana ujui vile mamako amepata tabu na wwe saizi wajua kunyoa wajifanya subiri Kula karatasi
Rashid wewe ni mjinga tu umegrow bila baba saa ndo unauliza pia mm cjui baba angu na nimelelewa na mamapekee na ninaishi c lbd baba alimfanyia madharau akaenda
Lazima ajue babake
Waa hpa Kuna mmbo fiche uyu mama anaficha juu mbon anakataa asijue
But uyu mama pia Kuna kitu anaficha😂😂
Mama rashid nikama ako na maneno ana ficha, lamo umsikilize na rashid usi sikilize pande moja
Rashid heri mama kuliko baba single mothers wenye tumesimama kama baba/mama n hatupangwanwi mkono juu n tujipikie 👏👏
Mama Rashidi enda tu uendelee na maisha yako kijana angekusaidia kitambo na kama hajakusaidia had saai endelea ng’ang’ana na watoto wengine
Mum, please just open up. Where's your son father
Truth
Wee rashid nenda kwa watu Wa hakina huyu mama wakuelezee babako Yuko wapi
Watu WA kina mama ndio walimzaa?mama ndio anafaa aelezee mtoto penye BABAKE ako
Mama be true to your son because Rashid is a grown up let him know the ukwali wa maisha
Rashid please respect your mum
Ngaii Rashid will come to regret
Mom? There's something you're hiding behind.
Rashid ameanza kumdharau mamake ukiskia akiulizia babake anafaa afikilie vyenye atatengeneza maisha yake na mamake akae vizuri
Kuna wengi wamelea watoto bila baba.na mtoto one day atatafuta babake
True
Heshimu mama Yako usije ukajute badae ukipata laana utajua hujuwi maana wewe ndo unajitafutia kwenye Green card kunapesa zinaitajika unatakakujuwa babayako ungemuuliza polepole siyo hivo
lasima baba awonekane
Rashid wewe utakuja kujua haujui,wengi wanatamani wawe na mama kama huyu wako.unless u behave kuna hatari hapa mbele
Ameeen
so you mean it's bad for him to ask for his fathers where abouts
Kwan amefanya vibaya kuuliza babake 😢
Unjua rashid ata huyo Mtoto yako atakuliza one day mama ako wapi uzuri media is a gòod remembrances
Rashid kweli kama mm hana ndoa ata wewe ndoa tu itakuangaisha .Ni Mungu tu akusaidie sasa.
Mamake Rashid😂😂Mara Tano
Rashid even you won a green card huyo ni mamako plz plz, baraka hutoka kwa wazazi don't jadge your mam
Msimlazimishe kuongea huyu mama rashidihuna heshima
Lamo Rashid has avery reason to know the whereabouts of his Father. I pray Mama Rashid to be open and explain everything if nothing is hidden
Stellah ni relative ya mama Rashid? Mbona ni mcheshi,mpole na anaongea kaa stellah
Ama ni sister juu Stella nikama Hana wazazi 😢
Weee! Kumechemka meb mama aliua baba ama hakazaa na villager
Ndo mm husema siwezi ficha watoto wangu babayao ht km nimbaya aje.mm sitaki kushikiwa mapangq😂😂😂
Iteni daktari haraka iwezekanavyo tujue ukweli.
Na nilijua tu kuna kitu Mahali ndio maana Rashid hakua anasaidia mamake
Upendo wa mama ni muhimu
Hukuweli leo nimeamini vile watu husema, ata baba akuruke mama angangane akulee hukikuwa mkubwa lazima utafte babako😢😢😢 Munga saidia tu msichana wangu hasiwai niuliza mambo za babake coz naeza kata mguu😢😢
Imagine
mtoi wangu alisema ataenda kwa babake na polisi asipokubali mwenzake atoke kwake😅
Aki na vile hawasaidii watoto
Huyu Rashid atakufa maskini
Atakufa vibaya 😢😂😂
rashid ungeelewa mamako utaarikiwa
Mama it doesn't matter the differences you have with the father, Rashid has a right to know his father and where he is. The mother is in a rush to get what she can get from Rashid before disclosing who the father is that is so mean to her son.
Rashid utakuja lia uchungu wa singlemother MUNGU ndio anajua
May be the father was a present -absent dad who never provided as a father when the children were young ....
Bona unauliza habari ya baba yako wakati amekuwa na miaka thirty? Mama yako amekulea ukasoma Sasa uko mutu muzima baba yako niwanini kwa maisha yako juu kama alikuwa na aja na wewe ni yeye angengutafuta zio wewe ukamutafute,Rashidi huna aja na mama yako ata kidogo dio ulikuwa unakataa kushaidia mama yako,wewe kitakuramba wewe
I wonder wanaume wanazalisha wanawake thn wanawawacha
Wewe rashid aja ufala hiyo miaka yote mamako amekulea sai ndio unataka babako
Baba ndio mwenye baraka Kwa watoto
Pole mama tashidi
Waaaa
What if uambiwe babako ni relative na mamako juu anafichA utadoo
Iko kitu fiche hapa.
Wamama hawapendi baba ya mtu kujulikana when there is Money...utajiri
Mbona wakati wa shida hakutafuta baba amsaidie 😢😢😢
Wee lamo si mkiwa kisii mlienda kwa akina Rashid
Miaka yote mama yake apambana mpaka amefikia hapo leo hii ndio amuulize baba yake huyu rashid hizi pesa si halali aki ndiomaana anampitisha mama ake magumu aki huyu mama achane na mwanae aishi maisha yake
baraka hutoka kwa baba sio mama, wale wakristo
MMA nmkweli hwezi kungangana n mtoto pekeyako alafu ati anaulizia babake sangeuliza wakati anasoma inauma sna ulolanjaa Kwasababu y mtoto Leo anaulizia baba
Lamo sikiliza kilamumoja Ako nahaki wazazi wegine wanaigiza watoto kwashida nitamaa Rashid sio mutoto jimbu swali baba akowapi unafichanini sema rashidi kanyagia apo wenimwanaume uyu mama anajifanya kwani kumuonyesha babake Kuna ubayagani nanimuzazi kama nimali unatetea utapewatu
Rashid ataki kusaidia mama maneno ya wazazi aja mama usimwabie mama uaju na mimba arafu mutoroka arafu haaaa abana lam ujinga baba yako alikutoro kwasabu yako nimemupea jibo asiulise iyo
Hyu kijana atakufa vibaya sana hana heshima kwa mama.... Mzazi ni mtu wa ku argue naye uyu laana ndo anatafuta
Kweli kabisa sai ana jidai na mama ndie ameishi kumlea
RASHID HUNAHESHIMA KWA MAMA YAKO
Weee hii dunia iko na mambo hata kama unatafuta babako mtu huenda pole pole na kuuliza na mpango ikiwa Rashid anadai kupea mamake nyumba yenye alibuy si ampee arafu afuatilie story ya baba sasa
This guy has to know his father and his mum there's a big secret she's hiding.
Rashidi ww usije ukahuta badae
Mm mtoto akiniuliza about dead beat dad nitampeleka kwa kaburi yenye nimejichimbia
RASHID YOU HAVE RIGHT TO KNOW YOUR FATHER BECAUSE BLESSINGS COMES FROM THE FATHER AND CURSES COMES FROM THE MOTHER FUATILIA BABAKO HUYU MAMAKO KUNA KITU ANAKUFICHA NA VYENYE AMEKUPELEKA SPEED
We as mother's we also bless not easy for a mother to curse his /her son
@GladyKalekye you are the one who is saying but I talk according to the bible
Rashid saa hii ndio unaulizia baba Yako?Tangu mapema mbona hukuuuliza kitambo..
Enyewe akuna kitu uuma kutojua babako. Lakini ukifika mtu mkubwa uko kwa 30s and above akuna haja
Aiii na vile natamani kujua babangu
Rashid uko na ujiga sana mbna. Ujawai uliza babako tangu sai ndio unakumbuka ulikua na baba kufafu ww
Baba maybe aliruka ball unaexpect nini nonsense uyo mama alimsomesha achana na uyu mjinga lamoo
Huko penye lamonike walienda si ni kwa akina Rashid kisii
She has no respect for his mother,ijaz if he doesn't want to help her yy can't she ket her alone
Kwani lamo na rashid ni brothers??
Wanawake hata ukuwe na mamilioni hizo hazina maana wala faida kwa watoto,jua baraka zinatoka kwa baba hatakama unadharau huyo mwanaume ulizaa nae hao watoto wanataka baraka za baba
Hyo ni kweli kabisa dear juu Rashid ni mwanaume anafaa kuongea na babake pia
Mbona kuuliza tangu uko chekechea wauliza nn kwa SSI utapatalana ujui vile mamako amepata tabu na wwe saizi wajua kunyoa wajifanya subiri Kula karatasi
Rashid hayo yote sai aisadii muhimu sadia mamako Rashid unamadharau sana kwa mamako
Hunamtaka WA nini ukiwa mzee
Hapa sina maneno Lamo saidia mama yako kama ni yy amekulipia fee umsaidie tu ukiendelea kutafuta baba yako
Rashid wewe ni mjinga tu umegrow bila baba saa ndo unauliza pia mm cjui baba angu na nimelelewa na mamapekee na ninaishi c lbd baba alimfanyia madharau akaenda
These man no
Rashid anatafuta excuse
Lamo ita Dactari himambo I gmu
Uyu kaka anatafuta sababu
Lamo nataka pesa zangu wewe na daktari
Leta chai yao sasa😢