That's what you get my brother , marriage is for one man , one woman, for better or for worse in the vows, u could have stayed with your wife even if he couldn't bare children, God paying you back omera 🤣🤣🙏🙏
You see Sara told Abraham to go n sleep with her maid, and they had a son and later the same Sarah who after God had blessed her with a son she demands that haggai n her son to be chased away. So it's the same case with this, only that the 1st yf has not been blessed with her child, whereby she doesn't want her husband to bore many children that's y I feel she did something to the sister so as not to enjoy marriage, and afterwards she may leave as long as her husband has the 2kids.
Mambo ya kapedo haina undungu au dada wala urafiki ,mwishowe kutakuwa wivu, remember the story of Abraham,Sarah and Hagar that led to the birth of Ishmael.
Mzee lazima aongee ya bibi wote kwa ujumla na wajaribu kupata solution. Talk to them separately and then arrange for big meeting with both the sisters and hear what they would want.
Jalago na Mwakideu hii ufanyika.nilikaa kwa ndoa miaka 7 bila katiba kusomeka.mpaka ndoa tukamaliza mikono juu.wote tuko na nyumba tofauti na kila mmoja hako sawa kwake.tulikubali na hatukuamini mashetani ama uchawi.tulikuwa na watoto wawili na tunawapenda ingawa hawajui kilichofanya tuachane .hii ni jambo tumeshashuhudia.ndugu yetu utayazoea shinda ni kwa bibi mdogo labda umruhusu aende zake usimweke jera
Wacha urogo kwani uliambiwa mtu akizaa hakuna Twa Twa yatengemea na mtu mbona mimi niliaza na napenda Twa Twa mpaka mume yatoroka kwa room. Huyo mume amefanyiwa uchawi hakuna kuokoka hapo
6th viewer please nipatieni izo likes jamani 😜😜😜😜😜
😂😂Jalas 'ingia kasarani nkiwa watatu,uone kama utapepeta ikikufa'😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Noma sana😢😢hyo 1st wife ako na chenye amemtendea dadake 😕😕😢😢mdogo uchawi is real ooooh ako na wivu juu ya watoto labda😃😃
It just came into my mind that way
Tueleze sababu unajua juu ya uchawi .mwizi usema wezake.😉
Make sense 🤔
Thought so too
Mungu wangu Kuna jambo hapo🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jalas na mwakideu hapo huyo ndungu apelekwe icu bibi mdogo ameekewa road block😂😂😂😂😂
Nzisa Kasau 😂😂😂😂😂
@@jbo8096 😂😂
@@nzisakasau8234 as usual hrmere we r😂😂😂
@@nzisakasau8234 plz date 8 uniiite kuna appointment apa🤣🤣🤣🤣
@@militocalito7422 🤣🤣🤣
Jamani bibi Mdogo aww msafi pia yeye mwenye Hana nguvu za kusoma katiba mbili
Nakubaliana na jelas kabisa ajaribu wote wawili kwa pamoja aone
Jalango kwa Makatiba weee ni noma😂😂😂😂😂😂
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Huyu ni motooo
Kabisa 😅😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahahahaaa nakuambia Jalas na katiba ni hatariiiii balaaaaa
@@wisdomwasound9759 🤣🤣🤣🤣
Jalasss..... You win Katiba specialist
Redio itafungwa yawa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂 😂 😂 😂 Huhuhu
@@peninahwambui3867 🤣🤣🤣
Nzisaaa my girl.... Today am here on time.....😄😄😄....remember me? 😆😂
@@pkay6716 😂😂umejaribu
@@nzisakasau8234 subscribe to my channel
Ati ipepete inakufa.mama yangu,you guys are the best.
Hii jamii ni kali ati wanashare mjulus pamoja madada wawili imagine inatisha...
😂 😂 😂 😂 Huku ni wapi sisters wanashare mjulubeng 😋😋... Kuna watu roho juu kweli mm is a NO GO ZONE
Wakamba kitambo ilikua inafanyika in such a situation like that of that man.
Ata wajaluo wanashare
Kabisa mimi nikona uwivu siwezi
Walai this is total crazy🙄🙄
Pia me siwezi
Hiii ni nzito ..... 😂😂😂😂😂 Alshabab Wana mshida nguvu 😂😂😂😂😂 Watatu on the same bed ohhh nooo really??? Waiting for 8th .....
Aky...... Jalas anachangamkia hii waahhh.... Anapenda hizo....
Jaluo guyz milaa znu noma.kwa wakuria my laana
Inawezekana Alex leta wote wawili kwa nyumba kubwa
Bibi mkubwa alikua anataka watoto kwa dadake sasa amefuka mme wake 😂😂😂😂Hio ni uchawi
Hi story ni tamu na uchungu at the same time... Nimecheka yangu yote thoo... Hapo kwa Alshaabab
hahaha, mnanichekesha pia nyinyi Alex na Jalas
No 10 nipe like .watu wa gulf
Nawapenda bure
I support jalango advise wacha mpira ikanyangwe na watatu wote ni Bibi yake hapa hapa kwanza kitanda moja
Bibi mdogo aliosha katiba na madawa maybe ndio inaeza fanya katiba ijifunge 😂😂😂😂
Aki na mnacheka..Mungu anawaona tu 😂😂😂😂
Whaaaaaaaaat!!!
Wonders never end
Huyo amefungwa na bb mkubwa ita kijiko kijiko wacha kupita kando kando
Jalas...wacha kutafuna maneno...hehehe😁😁😁
Inafaa ivo ivo, aanzie nyumba ndogo ili aone kama kuna tofauti, hiyo ya kuingia kasarani watatu ni noma aki, waaaaaaah!!
Maxwell nitafute😎😎
Jalas wooii😂😂😂u will kill us
🤣🤣
Ushirikana
That's what you get my brother , marriage is for one man , one woman, for better or for worse in the vows, u could have stayed with your wife even if he couldn't bare children, God paying you back omera 🤣🤣🙏🙏
go easy on a brother😎
@@inspiremotivatekenya2286 Ain't going easy bruh, pple need to learn what the bible dictates, then we wont have all these issues
Hahahaaa......😂😂😂😂wooiiii........ati ipepete ipepeteee.... hahahaa
Hahaaaaa bas utauliwa na alishabab mzee ww
Wuuuuuuuui hakuna kuingia shimo la tewa🙄🙄🙄
Uuuiii 🙆 uchawi is real. 1st yf has something to do with all this
You see Sara told Abraham to go n sleep with her maid, and they had a son and later the same Sarah who after God had blessed her with a son she demands that haggai n her son to be chased away. So it's the same case with this, only that the 1st yf has not been blessed with her child, whereby she doesn't want her husband to bore many children that's y I feel she did something to the sister so as not to enjoy marriage, and afterwards she may leave as long as her husband has the 2kids.
4:32 Alex million-dollar reaction hahahha
What is ushirikina?
Mambo ya kapedo haina undungu au dada wala urafiki ,mwishowe kutakuwa wivu, remember the story of Abraham,Sarah and Hagar that led to the birth of Ishmael.
Excatly labda juju amewekewa
Aki jalasi duu wewe ni moto wakuotea mbali. Hadi umeita mamako jina 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦
Huyo Mkubwa Big Jealous amemfunga
Wah ipepete ipepete😋😋😋
Ifanye NN 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ipepete ipepete😅😅😅😅😅😅😅😅
Majirani zangu wakenya katiba zitawamaliza 😁😁😁
where is the follow up on this
Jalangooo,eti alshabab😁😁😁😁😁😁😁
😎
Mzee lazima aongee ya bibi wote kwa ujumla na wajaribu kupata solution. Talk to them separately and then arrange for big meeting with both the sisters and hear what they would want.
Jalago na Mwakideu hii ufanyika.nilikaa kwa ndoa miaka 7 bila katiba kusomeka.mpaka ndoa tukamaliza mikono juu.wote tuko na nyumba tofauti na kila mmoja hako sawa kwake.tulikubali na hatukuamini mashetani ama uchawi.tulikuwa na watoto wawili na tunawapenda ingawa hawajui kilichofanya tuachane .hii ni jambo tumeshashuhudia.ndugu yetu utayazoea shinda ni kwa bibi mdogo labda umruhusu aende zake usimweke jera
Yaan only two years hakuzaa ukaamua kuoa?
Fisically fit
Hio simu ya Jalas inaitwaje? Naona iko na wind screen
Kubwa ndogo kubwa ndogo mwakideo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo ni mazinga umbwee aky 😭😭😭
Aki hii clinic ni original yawa
Waaah wonders
24 th commenter huh,aki hii ni mageni
Changanya nyumba,kasarani at the same time
Kama unaskiza from 974 gonga like napenda hii clinic
Unasikiza ukiwa wapi
Haha aye baba noonde banana island.
Jamaneni kamba ake inacheza pamoja😂😂😂😂
Huyo dada mkubwa amemfunga mume wao nishaa wahi kua kwenye uhusiano kama huo mpaka yule mama akamfungua yule mwanaume this is real
Jalas venye anaelezea😂😂😂😂😂
Tuingie wote kasarani.. 😂😂😂 every man loves 3mes or mo women
Sisemi kitu🙆♂️
Jals usisirikina😄😄😄
Hebu muulize kama bibi mdogo anakojoa vizuri
Mke mdogo mujubenge inakataa kusimama🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hata mm nimeshidwa vile Bude aitaki kufyatua rizasi😃 wacha tupate jibu tarehe tisa
Katiba katiba katiba wale wenye wacommentingi wanipe like .
Bibi mkumbw amefanya kitu
Utasaidiwa tu kaka
Jalas the way you laugh😂😂😂
Game ipelekwe Kasa,itakuwa Derby
September 2023 I'm still here laughing
Hii chemistry haiezi ,,,yani mma watoto ivo nto utampoteza sabu ya mti usio zaa matunda.bada think again
Watu wa 966 kuja hapa kusikie haya maneno
Tunangoja update ya date 8 kwa hamu 🤣🤣🤣udaku inataka uvumilivu
Udaku tena,,haah
Witchcraft is real walai wawaaa I am shocked
Ukweli Jalas huyo jamaa ajaribu tu 3 sum ikishindikana bas ni Bibi mkubwa ameweka road block.
Acha nimumunyeko njugu
Kenya sihami
Hahaa
First wife is behind it all,,,but the world is crazy how could you invite your sister then you turn to,,,jeeees
Uchawi is real
Huyo mke mkubwa amekuchezea amekuendea mahali chunguza utapata jawabu.
Hakuna ukristo kwa bibi wawili uwazi ni bibi mkubwa amemfunga coz he wivu as mwenzako kuwa na watoto naye hana
Dawa mzuri ni 3sam
At the same time
I thought of the same thing
Ndio maona yangu hio
Bibi wa kwanza ndiye ako na jibu kwa hao wawili ...... Witchcraft is real meeen
Yaani sisters Wanashare Mjulus🤔
Alex ameokoka
Jalas amekauka macho kama locusts🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii ni ngumu
Daktari Jalas anangoja matokeo
first viewer.....
Aki woyee Ni Kama huyo dadake mkumbwa. Amefanya uchawi.
Huku ni wapi mtu anaoa sisters 🤔no wonder katiba imekataa kazi kwa nyumba ndogo 😂😂😂🤣
Wivu wivu wivu kwa wife wa kwanza juu ana mtoto .Sioni vile anasoma katimba ya bibi wa kwanza akifika kwa wa plili iwezekani hapo kuna kitu
Waaah
Jalas tuingie kasa
Hii station ifungwe inapenda mambo ya ngono
Apo n kupikilia kapedo pamoja kW uwanja mmoja
Mtu akishaa zaa mara kama mbili mwili hubadilika na yeye mwenye aja zaa mwili iko na difference kubwa sana kwa mama aliezaa
Wacha urogo kwani uliambiwa mtu akizaa hakuna Twa Twa yatengemea na mtu mbona mimi niliaza na napenda Twa Twa mpaka mume yatoroka kwa room. Huyo mume amefanyiwa uchawi hakuna kuokoka hapo
Njeri describe , tofauti huingia aje
Sisters with one man in a marriage sio laana iyo majameniiiii🙄🙄🙄🤔🤔🤔
Laana kwetu
No..hakuna laana kabisa
Kwetu ni laana not only sisters hata relatives u can't
@@eunicewairimu5015 absolutely
@@winniengesa9421 🙄🙄🙄
Hhahahahaaaaaa nmeisha
MIMI NATAKA KUSKIA FOLLOW UP RESULTS
Ingia kasarani 🤣🤣🤣
Huyo mkubwa kachuna dawa ni shapitia hayo