MACHINGA MWISHO KESHO KUWAPO BARABARANI'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 29

  • @godfreysamson3069
    @godfreysamson3069 3 года назад +2

    Piga Kaz mkuu nakuelewaga sana machinga unaombwaa kutii sheriaa bla.kushurutishwaa vigezo na masharti kuzingatiwaa

  • @msetikebwasi8367
    @msetikebwasi8367 3 года назад +1

    Safi mkuu , tufanyie wepesi.

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 3 года назад +3

    Rc sijawah kukuelewaga kbca

  • @kiatu
    @kiatu 3 года назад +3

    Tayarisha defenders, wakaidi wakione

  • @saidimkombe9842
    @saidimkombe9842 3 года назад +2

    Tutamkumbuka Sana kiongozi wa awamu ya 5

  • @vascomwansile8140
    @vascomwansile8140 3 года назад

    Waongezeni na mitaji hao nao wanamajukum

  • @sebastianw1013
    @sebastianw1013 3 года назад +1

    Tafuteni sehemu nyingine ya kujenga soko. Kariakoo yabaki maduka tu.

  • @vascomwansile8140
    @vascomwansile8140 3 года назад

    Magu magu nenda kwa amani

  • @prospermsemwa1433
    @prospermsemwa1433 3 года назад +1

    Ombi langu kwa makala dala dala zot ed zishushe machinga complex ili kuwezesha machinga

  • @salmanabdulmajid2037
    @salmanabdulmajid2037 3 года назад +1

    muheshimiwa piga bakora hawa wakaidiii asiyetakaa

  • @mohamedjeizan5929
    @mohamedjeizan5929 3 года назад +1

    Kiongozi tuko pamoja.
    Polisi virungu viwe full muziki.
    Safari hii wataipata.

  • @daawaonlinetv4486
    @daawaonlinetv4486 3 года назад +3

    HUO NDIYO UKWELI MHESHIMIWA MAKALA FANYA KAZI

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 3 года назад +1

      Ila hivyo vinafasi ninahitaji moyo na inategemea unafanya biashara Gani

    • @magretkijanga6038
      @magretkijanga6038 3 года назад

      Km biashara kubwa fungua duka lipa kodi

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 3 года назад

      @@magretkijanga6038 hata km ni ndogo lkn kasehm jmn mmebanana hivyo

    • @harunasamweli2446
      @harunasamweli2446 3 года назад +1

      Hawa wanatuyeyusha bana afu unakuta jitu zima linasapoti ujinga ata yeye anashindwa kujiongeza eneo kama hlo utafanya biashara gan au kwasababu cyo yeye anaeifanya biashara labda wote wauze vipini vya pua

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 3 года назад +1

    Hawa waliobaki karikoo wanajiona magwji ni mpaka Kesho waone GRADER ndio watashtuka. Hivi hivi hawatoki hawa.

  • @gabrieljohn7242
    @gabrieljohn7242 3 года назад

    Tatzo juu huko mzee nani atakufwata

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 3 года назад +2

    Unamkomoa magufuli

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 3 года назад +2

    Unajifanya mungu mtu

  • @eliaspeter4017
    @eliaspeter4017 3 года назад

    Bongo sihami

  • @matokeobalizila1684
    @matokeobalizila1684 3 года назад +1

    Kama nafas zipo nje mmejenga vyann

  • @harunasamweli2446
    @harunasamweli2446 3 года назад +1

    Achen ujinga bana hvi kwa kinnafas kama hcho unafanya biashara gan achen kutuyeyusha bana sisi syo watoto hyo si danganya toto hyo

  • @geoffreykayombo6524
    @geoffreykayombo6524 3 года назад +2

    Sisi wa mbez tuende wapi

  • @mohamedjeizan5929
    @mohamedjeizan5929 3 года назад

    Kwani barabarani kuna taa?
    Wasilete pingamizi