Uzushi tuuuu hapo . sisi wazanzibar Tunatumia Jasmini kufurahisha bwana zetu kwa harufu nzuri chumbani , Na mikungu tuna panda kwa ajili ya kivuli , hapa kwangu imenizunguka sijawahi kumuona jini hapo .
🤣🤣🤣 Ila dada mwandishi "Hivi biashara ya maua inalipa?" kwahiyo kama hailipi mhusika angekua anatoka kwake aje ahudumie maua yapendeze ayatizame tu au? What kind of journalism is this?Nyie ndo mnadhalilishaga uandishi haki.
Waooo nimependa sana mimi ni mjonjwa wa maua napenda sana
Ww kama mimi siangaliagi hata gharama kwenye maua
Asante kwa JESUS
Asante Imelda nime nufaika
Mbona hamtuonyeshi hayo maua yenyewe hatarishi
Uzushi tuuuu hapo . sisi wazanzibar Tunatumia Jasmini kufurahisha bwana zetu kwa harufu nzuri chumbani , Na mikungu tuna panda kwa ajili ya kivuli , hapa kwangu imenizunguka sijawahi kumuona jini hapo .
Daa Imani zingine daa😜
Ni upanga uzazi sio mkungu.
Huo mti sio mzuri sana
Asante kutujuza
Spiritual plants
Ua gesus❣️
JAMANI NAPENDA SANA MAUA KULIKO MAELEZO YAAANI SANA
ua gani hilo
Jasmin pia Kwa siisi watu wa Zanzibar tuntumia Kwa Makati nabkutengeneza (kikubwa)
🤣🤣🤣 Ila dada mwandishi
"Hivi biashara ya maua inalipa?" kwahiyo kama hailipi mhusika angekua anatoka kwake aje ahudumie maua yapendeze ayatizame tu au? What kind of journalism is this?Nyie ndo mnadhalilishaga uandishi haki.
Mbona hamuonyeshi hayo maua husika kipindi kinakosa mvuto ongeza ubunifu
Swara iri nikweri kabisa misipuuze
Nonsense