IGP SIRRO Alivyofika eneo ambalo MO Dewji alitelekezwa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 154

  • @mussahassan2660
    @mussahassan2660 6 лет назад +77

    Kama ulikua pamoja na mimi kwnye maombi dhidi ya MO apatikane salama,Gonga like hapa

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 6 лет назад

      Dah! Mimi nikila, nikilala, nikisali, napika naomba, Alhamdulilah Allah Kareem 🙏

  • @mwanajuma2666
    @mwanajuma2666 5 лет назад

    Hongera jeshi la polisi kwa kazi nzuri

  • @alsam4881
    @alsam4881 6 лет назад +3

    Alhamdulilahi namshukuru sana Mnyeezi Mungu kwa kupatikana kwa Mo Dewji.

  • @babuusemvua4831
    @babuusemvua4831 6 лет назад

    Hongereni Jeshi la Polisi tunaona na tunatambua kazi nzur mnayoifanyia nchi yetu

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 6 лет назад

    Asante san mwenyez MUNGU kwa kuzidi kuwatia nguvu najeshi yetu na viyongoz wetu

  • @rossemtui9411
    @rossemtui9411 6 лет назад

    Asante mungu mo wetu amepatikana mungu ni mwema duniani tunapita tu ila kwakweli kuna mambo yke wamemuharibia sana siku 10 kwa mfanyabiashara mkubwa kama huyu pole sana mo

  • @onlysiyetv1314
    @onlysiyetv1314 6 лет назад

    Duuh Ahsante kwa kazi yenu Police ila ya Ngoswe muachie Ngoswe Mdomo hutoa maneno na Binadam hufanya Vitendo ila Nafsi Hua inaumia maana ukweli hua unajulikana? Only Allah no yuko sahihi

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 6 лет назад

    Mbona sauti ya uoga.. Jamani tujifunze kiswahili fasaha..wamekuta siraha ama wamekamata siraga...jamani tuulizane imamana dar police hawatishi awu tatzoio kuhuni au kupanga kaz.??kiukweli binafsi sielewi kwanini watelekeze kilakitu...simple iwe movie, ....Asante Allah Karudi salàma..ila story INA kasoro. Kitaalam mtu majanga hayo uacha apumzike..akatwe 1 tu naomba..na ndio

  • @nyabittasalome9749
    @nyabittasalome9749 6 лет назад

    Binadamu siku zote tuna Mapungufu sana''' ila Wangekwepo Manabii wa Zamani kama Nabii Jeremiah, Hosea, kina Amosi wangeweza tuambia nini kilitokea, kama ni tukio halisi au limetengenezwa'' Yote kwa Yote Mungu ni Mwema''' sidhani kama kuna Mwananchi aliyefanikisha Mo kuletwa hadi Gymkhana''' Mungu ni Mwema'' Tanzania kwanza'''

  • @methodiarugakingila7594
    @methodiarugakingila7594 6 лет назад

    Hivi WaTZ tumelogwa??? Siku hizi wengi tunapinga WAKWELI,na kushangilia WAONGO!! Dreva wa Lisu alisharudishwa kutuambia hao WASIOJULIKANA in akina nani?????

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 6 лет назад +7

    Jamani waandishi mtanitoa roho dou kuna wakubwa wa tz wanajua hii dili wao wamekula njama na watu wa incho nyengine dhambi sana

  • @habibadhikr9406
    @habibadhikr9406 6 лет назад

    Sana sana nikusema hasbiya rahu waaneman wakili ubaya wao uwarudie wenyewe hao wasojulikana

  • @johnkihiyo6090
    @johnkihiyo6090 6 лет назад +2

    Hivi mnadhani watanzania hatuna akili?? yaani mnatengeneza muvi bila aibu!!! acheni zenu sio mazombi ss

  • @yasinihasani7411
    @yasinihasani7411 6 лет назад

    Mmmh kilahisi sana....wamrudishe salama..tena na silaha waache mmmmh?????? Gari pia hata kulichoma moto (dah! Majini wakibongo wakivuka barabra wanaangaria magari wasigongwe)

  • @alex86613
    @alex86613 6 лет назад

    Duh Jama ana uoga kinoma
    huyu atakuwa moja ya watekaji

  • @fakhirspaciol2509
    @fakhirspaciol2509 6 лет назад

    Hongera vyombo vyetu vya ulinz tunajua thaman yenu tupo pamoja nany

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 6 лет назад +7

    Mbona huyo Mambosasa kila akiongelea hii Habari ANATETEMEKA Sana.!!??

    • @aishalucas7640
      @aishalucas7640 6 лет назад +1

      Aloyce Kiwia namm najiuliza saana

    • @carinadavid9462
      @carinadavid9462 6 лет назад +1

      Ukiona mtu anatetemeka hajazoea kusema uongo ndo anaoazimishwa

    • @braysonzawad4705
      @braysonzawad4705 6 лет назад +1

      Unajua siku zote mtu mwovu hata awaje lazima ataonekana

  • @yohanamaugila743
    @yohanamaugila743 6 лет назад

    Hao watekaji ni watu wema sana yaani wanateka halafu wanampa taarifa mtekwaji kuwa tunakaribia kukamatwa

  • @Mozline1
    @Mozline1 6 лет назад +8

    WAONGO wakubwa hata aibu hawana. Ayo maelezo tosha kwamba wao ndio walimteka. Watekaji hawaogopi kelele za polisi hata siku 1. Waongo waongo waongo

    • @faridahhamza8704
      @faridahhamza8704 6 лет назад

      Mhhh mungu hamfichi dhalimu atambainisha tu mwisho wa siku

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 6 лет назад

      Haji Martins yan ht uongo hawajui kuutunga

    • @mackenzie8037
      @mackenzie8037 6 лет назад

      Inaonekana unajua jinsi watekaji wanavyofanyaga??

    • @Mozline1
      @Mozline1 6 лет назад

      judith paul kweli kabisa
      Ni wapimbavu. Wanadhani ni kipindi kile cha kusikiliza RTD.

    • @fakhirspaciol2509
      @fakhirspaciol2509 6 лет назад

      Ww haj huna akil

  • @omarisalum4760
    @omarisalum4760 6 лет назад

    dua zangu zimekubaliwa tuu type amen kwa kulike

  • @hassanisadiki824
    @hassanisadiki824 6 лет назад

    Mambosasa vp tena mbona km unasikia baridi hivi maana sio kwa mtetemeko huo km umepigwa na shoti😅😅😅😅

  • @realnewz2261
    @realnewz2261 6 лет назад +2

    Mbona anatetemeaka kunaniiiiii mhhhhhh ndi ndo tanzania lengo letu ni kujenga taifa bovu kwa pamoja

  • @hilalisaidseif8483
    @hilalisaidseif8483 6 лет назад

    Muogopeni mola hii pumzi ni yake manani.hapo mi kuwapongeza mpaka muwashike watekaji ila haya ya awiiiii aweeee kweli Kodi yangu Basi tuuuu

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 лет назад

    Alhamdulilah, Mungu ni mwema

  • @emmanuelmogela5871
    @emmanuelmogela5871 6 лет назад

    Mimi najua ni Mimi kwenye hofu yakuongea na wakubwa kumbe hata mambo sasa naukamanda wake ana hofu du mtihani

  • @flyhigher5393
    @flyhigher5393 6 лет назад +2

    Waliomteka mo dewji ni hao hao.. pumbavu sanaa

  • @carinadavid9462
    @carinadavid9462 6 лет назад

    Waache bunduki bastora 😂😂😂😂😂😂 hivi kweli wametuona sisi watanzania wote mataahira eeh?mtu katekwa alafu katelekezwa mahali salama,mo atapatikana akiwa salama jamani mungu tunusuru na mashetani watu

  • @jumamaele8493
    @jumamaele8493 6 лет назад

    Wananchi wameelimika sana kwa sasa.
    Mfano mimi hapa nilipo nina DEGREE tena ya Science so kuweni makini.

  • @agnessjackson2743
    @agnessjackson2743 6 лет назад

    Ninacho shukuru ni kitu kimoja tu MO wetu kurudishwa salama mengine hayaniusu namshukuru MUNGU kwa kujibu maombi

    • @priscamlyuka5531
      @priscamlyuka5531 6 лет назад

      Physicaally anaweza uwa guud but psychologically

  • @amanlenatus9067
    @amanlenatus9067 6 лет назад

    MASHAKA TUPU APO ...

  • @hadija846
    @hadija846 6 лет назад +1

    Mh. Makonda simuoni imekuwaje jamani?

  • @highburywapemba5165
    @highburywapemba5165 6 лет назад

    bado sana Tanzania hiii mnaecti steringi anakufa mwanzo wa mchezo

  • @charlskpc1103
    @charlskpc1103 6 лет назад +1

    Why vibration 🤗🤗. nawasalim tyu

  • @frankjanuary5301
    @frankjanuary5301 6 лет назад

    aya jamani ...chukueni mtoto mdanganyeni ..sio sisi
    kweli mtu analudishwa na gari wanatelekeza silaa pia
    basi nyie ni noma lakin kwangu mm this is trike

  • @nasibumutabazi8721
    @nasibumutabazi8721 6 лет назад

    yaani yaonekana kabisa kuku kaliwa hapa hapa kwa jirani ni manyoya tu

  • @fraviusflugence2569
    @fraviusflugence2569 6 лет назад

    Hahahaaa sisi sio watoto

  • @ftmat2805
    @ftmat2805 6 лет назад +5

    Mombassa ashajiharia sauti imeshikwa na uoga🤣🤣🤣

  • @amileyissa9684
    @amileyissa9684 6 лет назад +15

    Wizi mtupu wote mnajua kinachoendelea

  • @carinadavid9462
    @carinadavid9462 6 лет назад

    Hili picha la kihindi kabisa waje wamtekeze gym khana kwanini isiwe mkulanga?

  • @habibadhikr9406
    @habibadhikr9406 6 лет назад

    Dua za dunia nzima hazimuachi mtu bule walanike hao wasojulikana rana kum hao

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 6 лет назад

    Km kweli hilo gali la.majambazi lichomeni moto .

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 6 лет назад

    Anayeeleza mbona hana comfindense

  • @amanimdami5775
    @amanimdami5775 6 лет назад +21

    Mambosasa vp mbona sauti inatetemeka??🤔

    • @ftmat2805
      @ftmat2805 6 лет назад

      😂😂😂😂😂

    • @asiakheir6406
      @asiakheir6406 6 лет назад +1

      Nashangaaa!! Kama anaogopa vile

    • @fatumasimba5244
      @fatumasimba5244 6 лет назад

      amani mdami 0

    • @blackmc8806
      @blackmc8806 6 лет назад

      sio sauti yake mungu aliweka roho iwe inasema ukweli tu

    • @uwimanaraoul6824
      @uwimanaraoul6824 6 лет назад

      Kwahilo nami nilimskia toka mwanzo wakati akielezea kutekwa kwa Mo mwenyewe

  • @motherland2279
    @motherland2279 6 лет назад

    wanajua kila kitu wanadanganya jamii tu

  • @mathewshedrack4833
    @mathewshedrack4833 6 лет назад

    Watakuwa wamempiga mkwanja mrefu sana

  • @monicajulius905
    @monicajulius905 6 лет назад

    Serikali inahusika,mtakufa kama vibudu nyaaaambafuuu(Mungu chaaaapa wote toa mmojammoja shuwaaaain

  • @harunmohammed2220
    @harunmohammed2220 6 лет назад

    Awii awaa naona safari mtajulikana wasio julikana hehehe

  • @hemedmsella6496
    @hemedmsella6496 6 лет назад

    MBONA KAMA MAMBO LEO SAUTI YAKE INA TETEMA

  • @hassanmsangi1155
    @hassanmsangi1155 6 лет назад

    Hiii ndo tanzagiza

  • @sadickrajabu1191
    @sadickrajabu1191 6 лет назад

    Kweli mkuu na mkuu wake mambo sasa anatetemeka mbele ya mkuu

  • @adamnguvu1020
    @adamnguvu1020 6 лет назад

    Umeona ujinga waloufanya ahaaaaa mtekaji aache siraha kweli inaingia akilini?watz sio wajinga kiasi hcho

  • @asiakheir6406
    @asiakheir6406 6 лет назад +3

    Waachenituu dua ile haimwachi mtu

  • @ellyowino4073
    @ellyowino4073 6 лет назад

    Wanipo hiyo gar nitembelee

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 6 лет назад

    MANGI ALISEMA KWELI,WACHENI KUCHEZEA AKILI WATANZANIA

  • @reginandege7196
    @reginandege7196 6 лет назад

    mungunimwemasanaamee

  • @shaabankhamis1051
    @shaabankhamis1051 6 лет назад

    styled tz Wewe ni chizi kabisa

  • @barcelonagirl2329
    @barcelonagirl2329 6 лет назад

    Mbona unatetemeka sasa

  • @davidorito1707
    @davidorito1707 6 лет назад

    Safi sana

  • @ambaryahaya7442
    @ambaryahaya7442 6 лет назад

    nivitu vya aibu sana

  • @uwimanaraoul6824
    @uwimanaraoul6824 6 лет назад +1

    Ndindindi💃ndindindi💃ndindindi💃ndindindi 💃ndindindi💃ndindindi💃

  • @ellyowino4073
    @ellyowino4073 6 лет назад

    Mbona mwanzo gar halikuonekan

  • @rashidmsengwa.4789
    @rashidmsengwa.4789 6 лет назад

    #mdomo koma🤗

  • @gabrielmbua4412
    @gabrielmbua4412 6 лет назад +2

    Hko kutetemeka vp tena

  • @emmanuelrange4818
    @emmanuelrange4818 6 лет назад

    Uyumzee mbona anaongea anatetemeka kuna nn

  • @wilbroadsiyonga5889
    @wilbroadsiyonga5889 6 лет назад

    Save the state by any means necessary

  • @omybagenda
    @omybagenda 6 лет назад

    Ok

  • @mudyramadhani3020
    @mudyramadhani3020 6 лет назад

    mbn anatetemeka sasa

  • @asiakheir6406
    @asiakheir6406 6 лет назад +10

    Sasa kwanini wameacha silaha ambazo wanafanyia kazi?

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 6 лет назад

      Asia kheir nam nd nashangaa

    • @suleimanali3716
      @suleimanali3716 6 лет назад

      Siwajinga walijua watapatikana, wakitoka nazo, usiwe bwege mkundu wewe wao c wajinga km wewe acha siasa hizo,

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 6 лет назад

      Suleiman Ali kwan lazm utukane nd ujumbe ufike

    • @simon__tz
      @simon__tz 6 лет назад

      ME nadhani vyote vina wamiliki kazi kwenu au havijasajiliwa

    • @gerrolldstephen2866
      @gerrolldstephen2866 6 лет назад

      Na mm hapo Naumiza kichwa

  • @abuumansur9007
    @abuumansur9007 6 лет назад

    Finar jehanamu

  • @joh255tv4
    @joh255tv4 6 лет назад +6

    Hiii hai make sense kabisa Mungu atajibu tu

  • @sadockjohn3926
    @sadockjohn3926 6 лет назад

    Chani kuwadanganya watu mlijua alipo

  • @betweljackson375
    @betweljackson375 6 лет назад

    #Mambosasa anatetemeka hatari

  • @mustaphajaffary1898
    @mustaphajaffary1898 6 лет назад

    Bongo kila MTU msanii

  • @bakamuubakamuu8628
    @bakamuubakamuu8628 6 лет назад

    Mchezo wa kuigiza huo wanamficha wenyewe then wanamtoa😂😂😂

  • @jimjam4162
    @jimjam4162 6 лет назад +1

    Kizungu mkuti ama ni sege mnege ya polisi?

    • @habebaal2894
      @habebaal2894 6 лет назад

      semeni mapema msha somewa halbadili mlete mchezo mtakufa wote

  • @epifaniapaul9993
    @epifaniapaul9993 6 лет назад

    duh mbona unatetemeka ivo..kwel kila mkuu ana mkuu wake

  • @shafihabdull8656
    @shafihabdull8656 6 лет назад

    Hao n ccm wenyew waseng

  • @marystansilaus6431
    @marystansilaus6431 6 лет назад +7

    Anatetemeka

  • @godfreynongastz6912
    @godfreynongastz6912 6 лет назад

    Mbona gar aifanani na ilee alio post picha juzi

  • @sharondivine2797
    @sharondivine2797 6 лет назад

    Mungu tusaidie

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 6 лет назад +1

      Adhabu Ni hapa hapa duniani binadamu siyo mungu hakuna siri chini ya jua hili waliohusika wanafahamika sana tushukuru Kwa sala Na dua maana mungu hafananishwi Na chochote mjue hilo

    • @rebekamongo8817
      @rebekamongo8817 6 лет назад

      lo makubwa sauti ya kamanda kutetemeka

    • @zakwani885
      @zakwani885 6 лет назад

      Alhamdu lillah Allah kareem
      Na watajulikana tu wanayo fanya hayo M mungu mkubwa na mwenye rehma

  • @maryammarym4437
    @maryammarym4437 6 лет назад

    Mungu mkubwa

  • @adamnguvu1020
    @adamnguvu1020 6 лет назад

    Mlimchukuwa wenyewe mnataka muwafanye watz wajinga sana sio?

  • @Ndondiafrika254
    @Ndondiafrika254 6 лет назад

    Lol, wakaacha silaha zao huko? hahahahaha. Serikali ya Tanzania haijui kudanganya.

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 6 лет назад

    MZEE ANABABAIKA MNO

  • @ahmednuhu2386
    @ahmednuhu2386 6 лет назад

    HAHAHAAAAAAAA mtumzima anatetemeka

  • @odenopm9714
    @odenopm9714 6 лет назад

    mbn sauti inatetemeka

  • @winifridamakunja410
    @winifridamakunja410 6 лет назад +6

    eeeh mungu amtupi mjaa wake

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 6 лет назад

    Duuh

  • @aishalucas7640
    @aishalucas7640 6 лет назад

    wajinga hao walijua mo alipo wasitudanganye sisi

  • @privatuswapeter4457
    @privatuswapeter4457 6 лет назад

    فعلسص

  • @taizanguard2567
    @taizanguard2567 6 лет назад +3

    Hello
    Je unaweza kupenda au unamfaam mtu mwenyewe uhitaji wa fursa na kulipwaTsh 200000 kwa wiki kwa kufanya biashara full time au party time kwa siku ?
    Kam unahitaji tuma neno *NAHITAJI*kwenda no +225752530495

  • @privatuswapeter4457
    @privatuswapeter4457 6 лет назад

    فعلسص

  • @privatuswapeter4457
    @privatuswapeter4457 6 лет назад

    فعلسص

  • @privatuswapeter4457
    @privatuswapeter4457 6 лет назад

    فعلسص