MISSION IMPOSSIBLE [16] SEASON 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии •

  • @SaidaMbunguli-i9p
    @SaidaMbunguli-i9p Месяц назад +267

    Enae angalia movie iiih mungu akuvushe salama mwaka huu

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur Месяц назад +77

    Mzee wa misumali❤❤❤
    Nimependa icho kibao cha mwisho ulimpiga kidem jau....yaani cha mwana ukome..kidem unajisahau sana kibuli kimekujaa. Piga tena

  • @DeboraLufingo
    @DeboraLufingo Месяц назад +316

    Mzee wa misumali Safii sanaa kwa kumfunza Najma🎉🎉 wananiunga mkono gonga like apa🎉🎉🎉🎉

    • @TumaMwinyi-sk6dw
      @TumaMwinyi-sk6dw Месяц назад +4

      Anaelekea pabaya najma Bora apigwe👍

    • @Ominar2024
      @Ominar2024 Месяц назад +4

      Najma anaudhi sasa

    • @Laureensaid
      @Laureensaid Месяц назад +4

      😂😂😂safari hii anaambulia makofi tuu😂😂😂

    • @BabaFarzan-ml4er
      @BabaFarzan-ml4er Месяц назад +5

      Madem wakishaanza kutombwa tu basi
      Uwe Baba uwe Kaka uwe Mjomba
      Kwake huna thamani na utu wote anasahau kisa MBOO
      Huwezikuta mtoto wa kiume anamdharau Dada kisa ameanza kutomba
      Hao nyau hadi rtb ya kupikiwa home mnabadirishiwa ...kumamae

    • @EverianaCostantine-bp5hr
      @EverianaCostantine-bp5hr Месяц назад +1

      Akipigwa vizur akazima hata siku tatu akiamka akili itakuwa imemkaa sawa looooh 😂

  • @PrettyCuty-q2z
    @PrettyCuty-q2z Месяц назад +227

    😂😂😂😂😂😂Tunaimkubali mjomb ngwengwe gonga like hapaaa

  • @JamilaRajabu-g8p
    @JamilaRajabu-g8p Месяц назад +70

    Dadyy mkumbushe wajibu wake najma safii sana Kwa kumkandaaa anakuzoea huyooo

  • @JumanneIdrissa
    @JumanneIdrissa Месяц назад +65

    Tangu mission itoke sijawahi kuacha kucoment nipe like hata zote bc kazi nzuri Sana brother chado

  • @MohammedBilali-n3e
    @MohammedBilali-n3e Месяц назад +80

    Mzee wa misumali nakubali sema ungemuongeza kibao kingine kwajili yangu😂😂😂😂😂😂

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 Месяц назад +2

      ikiendlea tena kesho kutwa aongze vingne 2 😂😂😂

    • @munaOmar-lb7bq
      @munaOmar-lb7bq Месяц назад

      Mbona viwili kidogo aongeze hata v4 akili imkae sawa 😅😅​@@ywydhhd7941

    • @KKK-v6j
      @KKK-v6j Месяц назад +2

      😂😂😂😂😂 si kwa vibao hivo

    • @naomisamwel18
      @naomisamwel18 Месяц назад +2

      Mpe na kwenzi la utosi huyo asikutanie😂

    • @mariammohamed8499
      @mariammohamed8499 Месяц назад +2

      😂😂😂

  • @MamaLaty-u8g
    @MamaLaty-u8g Месяц назад +121

    km unapenda michambo ya ima..gonga lile😂😂😂😂

    • @djrajtmk
      @djrajtmk Месяц назад +3

      @@MamaLaty-u8g Nimegonga

    • @SabrinaHosseni
      @SabrinaHosseni 25 дней назад

      Jmn nataman awe mwalimu wangu wa michambo maàn xo pouw

  • @Yesunijibuu
    @Yesunijibuu Месяц назад +58

    jamaa anachamba kiasi kwamba mama ngwengwe imebidi ashike kiuno abaki kumuangalia kakaake tu avyochama😂😂😂

  • @MwanahamisMsumar
    @MwanahamisMsumar Месяц назад +77

    Jomoni uncle wa ngwengwe pokea maua yako nimekupenda buree ety🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

    • @ButoyiRukiya
      @ButoyiRukiya Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂 Yani nimeceka mpka basi😂😂😂

    • @RajabuMkonje
      @RajabuMkonje Месяц назад

      Kijambo kimepata mjambaji😂😂😂😂😂

    • @KhadijaSallum-b7l
      @KhadijaSallum-b7l Месяц назад

      Cwez kuish bil ya uncle wa ngwngwe😂😂

  • @RabiaSaid-sh1km
    @RabiaSaid-sh1km Месяц назад +51

    Alhamdulillah kwa kuiona siku nyengine Allah atufanyie wepes watafutaji wenzangu wana wa gulf ❤❤❤

  • @Dr.msigwa1
    @Dr.msigwa1 Месяц назад +20

    Oyaaaah mzee misumari leo Umetisha, Mdg Ako hawez kukujibu hvyo af umuangalie tu
    Safi sana

  • @officialeliudcharles3817
    @officialeliudcharles3817 Месяц назад +88

    Bwana Yesu Kristo apewe sifa watoto wa Mungu, Mungu awabariki

  • @mildredzainab170
    @mildredzainab170 Месяц назад +20

    ❤❤❤❤❤mzee wa misumari hongera,,pokea maua yako,,nimependa hyo,,mtwange kbsaaa huyo mtoto wa shule

  • @Matildafilms-e2p
    @Matildafilms-e2p Месяц назад +100

    Chado umefika mbali sana sio uy chado wa mwazo hongera sana❤🎉

    • @suzybarton
      @suzybarton Месяц назад +1

      kwer kabisaa

    • @NaomiMwandelile
      @NaomiMwandelile Месяц назад

      Nakupenda maty Jmn mm nishabiki wako nakupendaaaa mnooo naomba namba zako dear

    • @AMIRIRAJABU-ld5ry
      @AMIRIRAJABU-ld5ry Месяц назад +1

      👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑 chado respect sana salute

    • @NaaJuma-o5u
      @NaaJuma-o5u Месяц назад

      ❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 Месяц назад

      Napenda sana matty unavosapoti kazi za wenzako❤🎉

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 Месяц назад +36

    Mjombake ngwengwe kwanza chukuwa mauwa yako😂🌹🌹🌹🌹🌹💋🌹🌹🙌umenikosha mpaka huyo mama ngwengwe mwenyewe amerudi nyuma😂😂 masingle mother wote tujuane hii episode imetufunza kitu👌

  • @RamadanRamadhaniJackson
    @RamadanRamadhaniJackson Месяц назад +81

    Alie mkubali mzee wa misumar leo gong like hap

  • @Aziza-z5z
    @Aziza-z5z 17 дней назад +2

    Manyonga huwezi kusema kitu bila kusifia roho yako pole umepigwa na kitu kizito😂😂😂😂😂

  • @faidhajumer
    @faidhajumer Месяц назад +21

    Alhamdulillah nimekuwa wakwanza mashallah naomba mnilike jomoom❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MryamHusan
    @MryamHusan Месяц назад +10

    Kiukweli najima kanikera kisawasawa hongera Dady kumchapa vibao Sema umemchapa kidogo😂😂😂

  • @KadzoEvaline
    @KadzoEvaline Месяц назад +56

    Mjomba wa ngwengwe namukubali Hana baya😅😅

  • @Hamisahemedi-h2q
    @Hamisahemedi-h2q Месяц назад +44

    Jaman leo nimewahi kabla lisaa halijaisha😂😂😂 basi mnipe hata kumi tu 😂😂

  • @MichaelMosesmg
    @MichaelMosesmg Месяц назад +332

    Wa kwanza mm jaman kama we ni shabiki wa mission impossible,dunia,siri ya huba na Melisa bas gonga like hapa

    • @Deloveally-o8g
      @Deloveally-o8g Месяц назад +8

      Nipo apa pamoja na dada wa kaz na my daughter ya clam VEVO 😂😂

    • @husnabilali3099
      @husnabilali3099 Месяц назад +5

      Bila kusahau Simba mweusi ya kwake chumvi nyingi🎉🎉🎉❤❤

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r Месяц назад +4

      Malaika ya kicheche

    • @AntoninaNeema-e7d
      @AntoninaNeema-e7d Месяц назад +1

      Sana tu

    • @zamdajux
      @zamdajux Месяц назад +1

      husisau mimba ya jini wake weza ya mathina

  • @PrianshPatrick
    @PrianshPatrick Месяц назад +5

    Dady Leo kasimama kama kaka perfect sanaaaa 🥰

  • @Shepherd-gc5py
    @Shepherd-gc5py Месяц назад +16

    Hila chado amekua mkali Sana ❤️🥰🥰 yupo vizuri Kwa kutoka hili sinema

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur Месяц назад +17

    Nimekumis sana manyonga maprosoo tajiri kama tajiri.
    Nimekuona tu kiroho kimefanya paa❤❤

  • @samiuhassan8153
    @samiuhassan8153 Месяц назад +152

    Huku mission impossible
    Huku dunia ya manyanya
    Huku my daughter ya clam
    Huku samahani Ahsante ya kitale
    Wanao fatilia hizi series tujuane kwa like❤❤

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz Месяц назад +21

    Chado ume@nza kutucheleweshea 😂😂😂

    • @CecyAdoly-dy8gu
      @CecyAdoly-dy8gu Месяц назад

      Chado anTucheleweshea dozi jmn😂😂😂

  • @Kifutubrandfilm
    @Kifutubrandfilm Месяц назад +40

    Noma sana hii kazi writer,director, editor, camera man pamoja na waigizaji kiujumla hongereni sana. Like 50 kwao❤❤❤

    • @Issakulwa
      @Issakulwa 28 дней назад

      Safi kk umeona hicho kitu

  • @AsiaMpenja-s7c
    @AsiaMpenja-s7c Месяц назад +6

    Safi sana mzee wa misumari lazima heshima iwepo na najma atambue mipaka yake 💪💪

  • @JamilaRajabu-g8p
    @JamilaRajabu-g8p Месяц назад +15

    Mhhhh manyonga-------- kayavagaaaa leo Kwa mama ngwengwe🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RahmaSadick-zl6zp
    @RahmaSadick-zl6zp Месяц назад +7

    Mie kiukwelii simpendii manyongaaa

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr Месяц назад +13

    Kwa wanangu wote wapambanaji bila kujali wakati gani mgum unaopitia ✝️☪️ Weka imani na uamini unachokipambania One Day Yes mungu sio babu Yao Bali niwakwetu sote 🎉🎉🎉 nakubari mr chado kitengo

  • @jdjdhhdhdh7099
    @jdjdhhdhdh7099 Месяц назад +6

    Mzee wa misumari leo umenifurahisha Sana kwq adhab ulo mupa huyo njiwa wa kufuga 🤣🤣🤣eti malaya wautotoni😁😁😁

  • @RashidOmary-c4g
    @RashidOmary-c4g Месяц назад +28

    Mwenyezimungu akatujalie ote humu ndani akatujalie kila mwenye gum bas na wewpesi ukawepon na akatujalie tukamalize mwaka salam na kila mwenye hitaji lake likatimie km upo namimi gonga like

  • @WardaMaulidi-y1o
    @WardaMaulidi-y1o Месяц назад +18

    Mzee wa misumali shindilia msumali mwngne bd anapumua uyo

    • @NasraaAdamuu
      @NasraaAdamuu Месяц назад +1

      😅😅😂😂😂😂😊

  • @AminaHassan-mn4hl
    @AminaHassan-mn4hl Месяц назад +33

    Like yako mjomba wa gwegwe master nakupenda bure😂🎉🎉

    • @ArafaAmirAmir-ci7ld
      @ArafaAmirAmir-ci7ld Месяц назад

      Manyongaa Manyongaa Manyongaa Leo umekula za uso mjomba mgwe
      Ngwe Umeza Yani Igweeeeeeeeeeeee😂😂😂

  • @Hadijaalikorosheni
    @Hadijaalikorosheni Месяц назад +6

    ameni maliza mjombake ngonge kwabusara alotumia kumuitia polisi baba ngenge.tano hapo.❤❤❤❤

  • @WizmanTiger-kp3pp
    @WizmanTiger-kp3pp Месяц назад +64

    Tunamshukuru mungu kwa kuiona siku nyingine kama ya leo twende like za chado na kuiona leo kwa baraka za mungu

  • @sharifamahamudu182
    @sharifamahamudu182 Месяц назад +48

    Mjomba ni mama 😂😂😂😂 mama ngwengwe mpaka kaduaa mjomba 🎉🎉🎉🎉🎉

    • @kenyaabdul6781
      @kenyaabdul6781 Месяц назад +1

      Mjomba anaongea sana kuliko vitendo😅😅😅

    • @DavisMmole-i6p
      @DavisMmole-i6p Месяц назад

      😂😂😂ila mdomo wake unasaidia​@@kenyaabdul6781

    • @LatifaIddy-d9m
      @LatifaIddy-d9m Месяц назад +1

      Mambo

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 Месяц назад +2

      @@kenyaabdul6781 😁😁😁😁as vitendo sindo hvyo kajifanyq kapiga mapolisi kumbe hewa ila waongeaji sikuzote vitendo zilo

  • @PhilisNesh-nz9yp
    @PhilisNesh-nz9yp Месяц назад +13

    Safi sana chado iyo ndio I like it👍👍

  • @tadeihamadi
    @tadeihamadi Месяц назад +6

    Daaa najmaa hapa anaonesha anakiburi sana cha mapenzi hii movie imenibamba sana kiongozi wao chado mastar ni kiongozi bora sana kidogo nataka kumsogeza karibu na marehem kanumba

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 Месяц назад +14

    Utakayesoma hii comment mungu akuweszeshe uvuke mwakan salama 🤲🙏🤲🙏🤲🤝🙏🤲🤝👈👈🙏🤲🤝👈👈👈🤲🤲😅

  • @ZuhuraShekoloa
    @ZuhuraShekoloa Месяц назад +17

    😂😂😂 mchambaj unanichekesha sanaa

  • @aminaabdalla-uo9zq
    @aminaabdalla-uo9zq Месяц назад +22

    Chado nd uchlew hiv jmn😢pole kw changmoto nyie w keanzaa😢❤❤

  • @happyyohana-y7m
    @happyyohana-y7m Месяц назад +2

    Wanaomkubali kaka wa mama ngwengwe gonga like

  • @hassanseleman2301
    @hassanseleman2301 Месяц назад +6

    Duuh wanangu mnajua kutufurahisha Sana big up Sana kwenu

  • @ArafaAmirAmir-ci7ld
    @ArafaAmirAmir-ci7ld Месяц назад +20

    Najma Najma Kwa hili Sina uruma na wewe uwende jella Ima uko vereeeeeeeee❤❤❤

  • @SeverinoBernardo-ps4bb
    @SeverinoBernardo-ps4bb Месяц назад +36

    Unachelewa sana master chado, unatuangusha mashabik, nipeni like zangu

    • @MerianNyoha-bg5cb
      @MerianNyoha-bg5cb Месяц назад +1

      anakera sijui amejikuta nan

    • @masalumanoni4012
      @masalumanoni4012 Месяц назад

      😂😂​@AmosSinkala-lx4sl

    • @ShamsaHassan-k5v8
      @ShamsaHassan-k5v8 Месяц назад

      Uwongo siku ya 1 ya 2 tayar mzigo umetuwa. We danganya iyo kitu ikutoke😂😂😂

    • @Lissahford
      @Lissahford Месяц назад

      ​@@MerianNyoha-bg5cbwe nae acha kujichetua mda mwingine network inasumbua nd maana inachelewa kupanda hewani

  • @WinnieKahindi-cl9in
    @WinnieKahindi-cl9in Месяц назад +6

    Dokta amepoa kweli😍mpeeni salamu zangu😅

  • @izerebrandon
    @izerebrandon Месяц назад +18

    Courage à toi Chado masta je t'aime.
    TEAM CHADO MASTA WE ARE THE WINNERS ❤❤❤❤❤

  • @os3kizzytheclassegang937
    @os3kizzytheclassegang937 Месяц назад +8

    Visto em Moçambique 😜😜 saluty sana Chado Masta 🎉🎉🎉

  • @JamilaRajabu-g8p
    @JamilaRajabu-g8p Месяц назад +14

    Mama ngwengwe anamshangaa kaka yake timua vumbiii😂😂😂😂😂

  • @HajraRamadhan-x5f
    @HajraRamadhan-x5f Месяц назад +12

    Najima alakoelekea pabaya kisa wivuu haya mapenz hatar😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @plnewstvofficial898
    @plnewstvofficial898 Месяц назад +12

    Wakwanza leo Mwenyezi Mungu atu bariki❤

  • @JescaFelix-e4x
    @JescaFelix-e4x Месяц назад +3

    Kaka Ake mama gwegwe Leo kanifurahisha🎉🎉

  • @djrajtmk
    @djrajtmk Месяц назад +9

    Kama Kawa Wakenya Njooni Hapa Munipige Back Up.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Hamisahemedi-h2q
    @Hamisahemedi-h2q Месяц назад +5

    Leo mzee wa misumari kanikosha sana Yale makofi mawili matakatifu😂😂😂

  • @Jastne-j1x
    @Jastne-j1x Месяц назад +3

    😂😂😂😂 eeeh Leo najima amekutana nacho weee mikofi hyo niatali nauyu nae najma amekuwaje sjui ss me nasema hv najma alikuwa anastail hyo alicho kipata maan ajaeshim kaka ake ata angekuwa me nimdogo wangu ananiambia maneno km ayo weee kwanza naona akupgwa 😅😅😅

  • @muffidahemed
    @muffidahemed Месяц назад +9

    Hahaha jmn huyu mkaka Leo kasema maneno pambeee kabisa aloikubal sehem ya leo naomba like jamn 😂

  • @BlessilaKastory
    @BlessilaKastory Месяц назад +9

    Mimi na mjomba ngwengwe jamn nampenda bure❤

  • @SagaNda-j6i
    @SagaNda-j6i Месяц назад +2

    Uko vizuri mzee wa misumali kwa adhabu ya Najima umeonesha msimamo ka mlezi

  • @Tobias_mhina
    @Tobias_mhina Месяц назад +8

    Safi sana mwanangu Dady ivyo ndivyo unavyo takiwa ata kama ata nyanyuka na kuondoka ni sawa tu maana mapenzi Yana mfanya mpaka ana kuzalau ana sahau kuwa wewe ni kaka yake Safi sana

  • @Special_tz
    @Special_tz Месяц назад +17

    Chado, cheusi, na ngwengwe, hawajaonekana kabisa kwenye hii episode😮😢

    • @SipesiozaJuliasy
      @SipesiozaJuliasy Месяц назад

      Umemeahau bonge

    • @o.ballek.e4265
      @o.ballek.e4265 Месяц назад

      Cheusi anauguza, ngwengwe yupo quarantine mjomba Ke hatari yule na chado anapanga sheria

    • @SipesiozaJuliasy
      @SipesiozaJuliasy Месяц назад

      @o.ballek.e4265 🤣🤣🤣

  • @YusrahRamadan
    @YusrahRamadan Месяц назад +9

    mbn najma kapagawa hata kama mapenzi ndo utake kumuua mwenzako jmn ujui kama kuna kuachwa hii kitu imeniuma sana asante chado masta kwa kutufundisha 😢😢

  • @rashidsaid120
    @rashidsaid120 Месяц назад +2

    Kama na wewe ilivyofika mwisho ukarudisha nyuma kidogo gonga like apa😂

  • @chikuketo4279
    @chikuketo4279 Месяц назад +30

    Mjombaake NgweNgwe Mbabe WA Mdomo Katisha Sana😂😂😂

  • @young_deway
    @young_deway Месяц назад +1

    Mzee wa misumari ume nifuraisha ulivyo mchapa dada yako hizo kofi kbs 👍👍

  • @PENETRATOR.002
    @PENETRATOR.002 Месяц назад +37

    From Mombasa Kenya 🇰🇪 Bamburi tuko locked..... Tujuane wakenya

    • @djrajtmk
      @djrajtmk Месяц назад +2

      Mu Kenya Mu Nairobi Mimi Hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @FridaAnzazi
      @FridaAnzazi Месяц назад +2

      From Malindi Kenya 🇰🇪Nko hpa kma nn

    • @NeemaBandika-i3u
      @NeemaBandika-i3u Месяц назад +2

      Mmi niko kenya 🇰🇪 mtopanga

    • @sithysithy3740
      @sithysithy3740 Месяц назад +2

      🇰🇪 mombasa Barsheba

    • @djrajtmk
      @djrajtmk Месяц назад +2

      @@NeemaBandika-i3u Shwari Kabisa

  • @KheryEmmanuel-sb4xr
    @KheryEmmanuel-sb4xr Месяц назад +5

    Aah kubabako hizo Kofi za mzee wa misumali nimeipenda sana❤❤😅😅

  • @LucyLucy-h9f
    @LucyLucy-h9f Месяц назад +4

    Mzee wa misumari safii sana kwa kumfuza adabu nimeipedaiyo atakama nimapezi aitakikani ivyo

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 Месяц назад +35

    Huyu Najma atiwe mimba sasa aheme Chado hebu mtulize na kimimba 😂😂😂 team strong team furusi team free WiFi 🇴🇲🇴🇲 watoto wa sultanate humu tu

  • @AminaHassan-mn4hl
    @AminaHassan-mn4hl Месяц назад +14

    Najima kaonja jiglo chando jamani umeonyesha ya wakubwa mwana hataki kwenda shule tenaa owa banaa weka ndani😂😂😂😂

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur Месяц назад +11

    Ima acha kunichambia maprosoo wangu😂😂khasidi Kiwembe adui wa nyusi.😂🤣😂🤣mwenzenu najifunza kuchamba kupitia kwa lma🎉🎉🎉

    • @HudhaimaYussuf
      @HudhaimaYussuf Месяц назад

      Na mie naona matege ya ndani kam fuko la uzazi 😂😂😂😂😂

  • @AsnathSelemani
    @AsnathSelemani Месяц назад +6

    😆😅😅madiwani ndo washachana nguo nimeipenda iyoooo

  • @sehelsalum1843
    @sehelsalum1843 Месяц назад +5

    Sura ina mabakabaka kama kikoi cha batiki😂😂😂😂

  • @AUTRISFILMPRODUCTION
    @AUTRISFILMPRODUCTION Месяц назад +10

    Sure misumari...najma anafaa kufunzwa adabu

  • @NadsmaaliAli
    @NadsmaaliAli Месяц назад +4

    😂😂😂😂😂Mjomba uko sawa kabisa nakukubali hila Najma unatamani kwenda jele ndio utajuwa mapenzi nini nabado uja mpiga vile nataka ukimaliza niletee na mm ni muonyeshe kazi

  • @SabrinaAbdallah-r6b
    @SabrinaAbdallah-r6b Месяц назад +26

    Safii, yaan ali dady umenikosha muongeze kibao kingn kwa ajili yangu

  • @KorogoshoTv
    @KorogoshoTv Месяц назад +3

    Mzee wa misumari kazi mzuri ngonga like mzee

  • @UpeenduIvantibu-dd6nh
    @UpeenduIvantibu-dd6nh Месяц назад +9

    Muongeze na la kwangu huyo ngedele mdogo😂😂😂

    • @nahcartik4096
      @nahcartik4096 Месяц назад +1

      Kama unachafukwa na tabia mbaya za najma gonga like hapa

  • @JumaNdume
    @JumaNdume Месяц назад +2

    Unyama mwingi kweli amjawai kuniangusha vichaa wangu yaani kazi inaendelea vizuri San kabisa👍👍🌹🌹❤️❤️

  • @FunnyBooks-sv8ls
    @FunnyBooks-sv8ls Месяц назад +12

    Najma aja kosea lolote we unajua mahali wametoana na chado ni wivu wa mapenzi tu😂😂

    • @PhinaMango-r6t
      @PhinaMango-r6t Месяц назад

      @AmosSinkala-lx4sl si ndo hapo

    • @HelenmichaelNshunju
      @HelenmichaelNshunju Месяц назад

      ​@AmosSinkala-lx4slkabisa wivu wa kipmbavu ata mm nngempiga vibao

    • @Lissahford
      @Lissahford Месяц назад

      we nae ndo walewale,mpenz gani ya kisenge kias hicho mpaka anakosa nidham kwa kakake

  • @augustinoraymundi1721
    @augustinoraymundi1721 24 дня назад

    Noma sana hiki chuma cha pua mzeey hujawah kufel chado master kwel master wa hizi kaziiiiii

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma9388 Месяц назад +6

    Mapnz mabaya kwel😢😢 Najma waelekea kubaya sai mpk nakuonea huruma😢 Anyway much love team Chado from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BabuRapperog
    @BabuRapperog 28 дней назад +3

    Mr manyonga maploso nakukubali sn ahiseee 💯💯💯👍

  • @Tobias_mhina
    @Tobias_mhina Месяц назад +11

    Ivi nime muelewa vibaya mjomba wa ngwengwe kweli kuwa mtoto sitoi au nikupe mtoto wa jicho 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @MwajumaAthuman-wv9mo
      @MwajumaAthuman-wv9mo Месяц назад +2

      Umeelewa vby.kweny jicho kunakuwaga na mtoto nd anaemsemea yy

  • @Awoshy
    @Awoshy Месяц назад +6

    Ali dady hebu niite nje kukusaidia kumnyoosha huyo Najma 😂wallah naona hiyo mibao haimtoshi😢khaaah mapenzi gani ujinga huo😢yaani hata kama mnaigza hivi kuna watu wapo hivyo kweli 🙌🙌Alhamdulillah sijawahi kuteseka na mapenzi 😊🙏

  • @FaudhiaMgeni
    @FaudhiaMgeni Месяц назад +27

    nimewah leo jaman kidem jau umenidhalilisha sana kukulupuka ila hasira mbaya

  • @AishaAbduli-y9n
    @AishaAbduli-y9n Месяц назад +6

    Muongeze kingine ivyo avimtoshi 😂😂 et mapenz 🤣🤣 kidege upepo wew Malay wa utoton 🤣🤣🤣🤔

  • @PatrickSanga-wt8tq
    @PatrickSanga-wt8tq Месяц назад +17

    Yaaani unasubilia movie toka asubuhi ili uwe wakawanza kulike wanalusha jioni unachelewa duuuh imeniuma 😢😂😂😂😂😂😂

  • @MasauShida
    @MasauShida Месяц назад +5

    Kazi nzuri sana Mr. Chado Masta🇹🇿

  • @FarhatSheha
    @FarhatSheha Месяц назад +4

    Mjomba nae mom wew😂😂😂

  • @NgalamnyaziScolasticah
    @NgalamnyaziScolasticah Месяц назад +1

    Mjomba nakuaminia kwa michambi,umechamba manyonga adi akanyooka akasepa taratibu😂😂😂😂

  • @evodiamdendemi9652
    @evodiamdendemi9652 Месяц назад +9

    njoen uku nimewai jmn naomben like izo jmn 🎉🎉🎉

  • @NajimaShabani
    @NajimaShabani Месяц назад +5

    Jaman wa jinaa.umezinguaaa😢😢

  • @PrinceMasta254
    @PrinceMasta254 Месяц назад +3

    Mjomba ake ngwengwe nakukubali sana kichau wangu🤝🤝🤝

  • @NasraBakari-r4l
    @NasraBakari-r4l Месяц назад +3

    Bwana Maunooo Wee huogopi ukavaa sweta la champion kwa ushindi gani ulikuwa nao 😂Adui wa Nyusi fyuuu😂😂😂😂💔Najifunza zangu vichambo miye mke mwenza akija ajipangeee😂😂😂😂

  • @wardaAbdoullah
    @wardaAbdoullah Месяц назад +7

    Jamani kila mtu anafuatalia movies Kama mim. Samahan Asante . Melissa . Siri ya huba . Mgeni wa Kijiji maji shingo pini 🎉🎉🎉 Ni full happy❤🎉🎉

  • @AngelMfikwa
    @AngelMfikwa Месяц назад +29

    Mzeee wa misumari umenifirahisha saana. Vibao 2. Safi kesho usisahai mkwenzi wa utosi.😂😂😂