Jaafar Jacka Jini huyu, nimemkumbuka Kaka yangu Ustadh Jaka, Allah ampe pepo iliyo ya juu kabisa na amsamehe madhambi yake. Ardhi imeshiba watu kwelikweli Wallahi
Wallahi miaka hii Masoud akiwa kwenye kiwango cha kijini mpaka sasa hakuna mtu aliyewahi kufikia kiwango hiki Nchini. Ukibisha nipe mfano na kama huna huyu ndiye Bingwa wa vipindi vyote. JINI HUYU KABISA
Maashaallaah masoud unatukumbusha mbaaaali sana maashaallaah
Ndugu yangu Masoud Adam unanikumbusha miaka mingi nyuma 😭😭😭
الله يحفظك يا اخ مسعود
Na piya Mngu akuzidishiye
Watu wengine kwenye fani mnamakamasi
Maaa shaaa ALLAH Maaa shaaa ALLAH ALLAH AKBAR akili yng imerudi nyuma kbs nmekmbka vitu vingi sssanna mambo mengi sana 😭😭😭Alhamdulillah
Jaafar Jacka Jini huyu, nimemkumbuka Kaka yangu Ustadh Jaka, Allah ampe pepo iliyo ya juu kabisa na amsamehe madhambi yake. Ardhi imeshiba watu kwelikweli Wallahi
Wallahi miaka hii Masoud akiwa kwenye kiwango cha kijini mpaka sasa hakuna mtu aliyewahi kufikia kiwango hiki Nchini. Ukibisha nipe mfano na kama huna huyu ndiye Bingwa wa vipindi vyote. JINI HUYU KABISA
Mm cbsh ila anaemfat kdg n bihak hapo unasmj
Mahadhi fulani ya misri
Unamjua Al marhuum Anas Omary wa Mgaya wewe? Muulize mwenyewe Masoud atakupa taarifa zake.
Hii qawida, nliwah kuiskia ikiimbwa na family ya Badawi
@@namelessnameless4868 duh hiyo mgaya ilikuwa khatari sana,nakumbuka ust.shaban haruna,sharifu,Hamid hilal,na wengine maskini maashaallaah
Naomba naomba jamani qaswida nyoyo zimefurahika ya shekh adam
😭😭😭😭
Mungu akupe kila lenye kheri @Babdeo Ne3ma kubwa hii!
Amin amin kwa sote habib
SAS Angham allahm maswali alaa muhammadi
Naiomba kasida yako. Ni nuru yake amini
Mashallah Mashallah
Dooooh ,hivi vitaa mwamba
Please can i I have contact of this beautiful artist Mr,masoud please babdeo
Mashaallah kipindi hicho muhiyya alikua mkubwa au muhiyya mwingine?
Naam hii ni barabara kabisa, Ust. Masoud unaonaje ukairudia hii tukapata remix yake,