Shallom mtumishi kipekee Nina shukuru mungu Kwa maombi Yako sana Kwa kweli nimemwoma mungu na siku ya maombi ya kufunga kumshusha Goliath Kwa kweli siku weza kufunga kulingana na kazi yangu ila nilikuwa Nina omba mungu na Kwa kweli mungu aliqeza kumshusha Goliath aliye kuwa ananisumbua ambae ni awara ya Mume wangu nikaweza kuwasiliana nae na badae akamkana Mume wangu ila jumapili jioni ibada ilipokuwa inaisha Mume wangu akamfata huyo Dada na wakarudiana ninaomba sana nisaidie ana roho ya uzinzi inamsubua sana Hadi Kwa wake za watu mwalimu nimechoka
Tunaomba Sauti maaana hatusikii vizuri. Amina
Mungu tunakurudishia sifa na utukufu kwa ajili ya kutuletea mwl Onesmo.Tunakuomba umtunze na familia yake na vizazi vyake vyote.
Amen mtu wa MUNGU barikiwa
Shallom mtumishi kipekee Nina shukuru mungu Kwa maombi Yako sana Kwa kweli nimemwoma mungu na siku ya maombi ya kufunga kumshusha Goliath Kwa kweli siku weza kufunga kulingana na kazi yangu ila nilikuwa Nina omba mungu na Kwa kweli mungu aliqeza kumshusha Goliath aliye kuwa ananisumbua ambae ni awara ya Mume wangu nikaweza kuwasiliana nae na badae akamkana Mume wangu ila jumapili jioni ibada ilipokuwa inaisha Mume wangu akamfata huyo Dada na wakarudiana ninaomba sana nisaidie ana roho ya uzinzi inamsubua sana Hadi Kwa wake za watu mwalimu nimechoka
Amina baba Mungu akutunze sanaa
Amen mtu wa MUNGU barikiwa
Tunakushuru Mungu kwa yote umetenda na unaendelea kutenda kwa jina la Yesu kristo
Amen mtu wa MUNGU barikiwa
Halleluyah
Sauti ipo chini😊
Amen amen
BABA ASANTE NINA KUSHUKURU KWASABABU YA NEEMA YA KUFUNGA NA KUOMBA,ASANTE YESU KRISTO ILI KUMUANGUSHA KILA GOLIATH KWENYE MAISHA YANGU,
Tunaomba saut plz