Hey Yesu eee Wanabi Wa Ma Joka Vipères He ! Ni HATARI Apostasy He! Wateule To Funguwe Macho Amen Dada watu Fenny Ubarikiwe Sana Mutakatifu wa Mungu Shalom ❤❤❤
Naomba mungu akusaidiie usije ukawe unatumiwa bila kujua na akufugue macho ya kiroho pia nawe ujitoe katika mateka yao in jesus name na mungu azidi kukurehemu uzidi kufanya kazi yake kwa roho na imani dada yur going far
Watu wa Mungu tulioitwa kwa roho na kweli tujihatari na manabii wa uongo,,simameni imara hadi wokovu utakapoonekana,,,be blessed our sister may God be with you as you are preaching a wonderful message to this end time generation which have wondered away from the presence of God.
Tulips ha Ku watambuwa kueli Hana hat Uruma kidogo sasa Wa na Womba 1000 dollars 🇺🇸 Wala 15.000 Dollars Ju Ufanyikiwe Heeee Dangerous Na Ba Imbwa Muitu Walokole Tukamatichane tu Pendane tu Hepuke Tu Funguwe Macho Ha wana Uruma hata kwa wa Maskini Thank you Dada Mupendwa Fenny Wetu 🌹💋💋❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️♥️
Ohhh please can we give Fenny the likes she deserve.She has totally sang what is happening in this world.More Grace mama❤❤❤.l have really liked this song 😍😍🔥🔥
Kweli manabii wa uongo wamejaa ulimwengu. Kerubo waambie watu waskie kabiza. Watu wengi wamepotoswa sana manabii waongo. Mukiambiwa muskie na mufuate njia ya aki 😊
Kumbe the song had a prophecy on fake pastors. That's why it has taken months to be uploaded. This is the right timing. Be blessed Our queen Fenny Kerubo
Ujumbe ni timely kabisa. Heri Neno la Mungu na tujisomee bibilia. Manabii wa uongo wamejaa sana. This is a wake up call to test every prophecy by seeking the face of God.
Hii sitachoka kushare mpaka iwafikie hao matapeli ..na maombi yangu kwako my sister mungu awe nawe kila wakati na kwa kila dakika na kwa hiyo..hakuna siraha itainuka kinyume nawe haitafauru itashindwa kwa jila la Yesu 🙇♀️🙇♀️🙏🙏
Kweli Mungu atusaidie hizi ni siku za hatari ni watu wengi wa menaswa na mtego wa manabii kupitia huu ujumbe kupitia wimbo wa Injili tunapokea uponyaji mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu kwa ujumbe
Sure we have come to and end wanabii wa uongo pekee n kuomba pesa ndio maana Mungu amelaani hiki kizazi tutafute uso wa Bwana n kuomba msamaha atusamamee dhambi zetu 😢😢
Amen amen mwenye masikio na asikie hiyo si wimbo ni injili ya mungu barikiwa sana queen mungu barikiwa na akupe kibali na neema ya kufungua watu macho na masikio Mimi ni mebarikiwa Dada
If someone Is keen,u can realise how Jesus is coming soon,the preaching,songs etc talking about the reality,come to Jesus before late.now you are doing what God called u for,keep up sister
The life we’re living today It breaks my heart 💔 to see how people can’t hear the voice of the calling and the voice of someone who have called nafsiyo Too bad kwa hao manabii😭😭😭
😢😢😢 I'm watching this from Namibia 🇳🇦 SADC and I'm very much touched by this massage. As many of pastors and prophets are using God's name to kill His(God's)people. Like the news what broke in Kenya Uuuhh you don't even want to listen and look to a lot of people died because of individuals who are enriching themselves through cults/ illuminati. God have mercy on your people And open our spiritual eyes. To decern. God comfort those who have lost their loved ones 💔 in that incident.i cried 😢😢😢really. God deal with those have done that And Kenyan law has to be strict
Sister umetoka mbali. I remember long time ago when you was starting the ministry you came to our little village Geta,Ukarusha Gospel, but because our church was small you never bothered to sleep down with other visitors down kabisa! You have a good heart I don't know if you can remember that day,it has been long 🙏
Tuombeni sana roho wa Bwana atuogoze na atupe macho ya kiroho,na pia masikio ya Kiroho tusikie sauti ya Yesu. Barikiwa dadagu na Yesu akufugue zaidi na zaidi.
Wimbo huu hakika umenitoa machozi 😭😭😭 oooh yesu tusaidie tusizame katika dhambi barikiwa Sana dada yangu pamoja na waimbaji wako wote hallelujah Amina 🙏🙏
YEREMIA 23:16 msisikize maneno ya MANABII hoa wanaowatabiria na kuwapa matumaini ya Uongo
Be careful
1 timothy 2:8
Good song,congratulations be blessed.
Acha mungu was amani akubariku dada kwa kusema ukweli this song has message bnah
All QAAA
Amen mummy fenny
Waimbaji. Wa injili wakenya woote mpeni maua. Yake huyo
I have been always blessed with your songs, ubarikiweee sanaa dada ,nyimbo zako zinatafakarisha sanaa rohoni
Our queen from 254 tunakupenda sana team strong nipe like ata tano tu
Indeed she sings according to the bible am blessed and God bless our sister on her music much love from labanon
Wadau njooni kwa moyo wa Imani tumimine likes kwa wingi 🙏🙏🙏 wimbo huu Ni mtamu Sana🔥🔥🔥
A7
@@wycliffeochieng3387 neema imbebe Mtumishi wa MUNGU@Fenny kerubo🙏🙏
Imani ya hali ya juu...hio iko top🎉
@@sheddywisdom-tx9tz kabiisa 🙏
Yii ni niw'o munaaa wakwa...
Fenny mungu akubaliki sana kwanyimbo nzuli unaendelea kudupea kwahiyi nyakati zamwisho ,🙏🙏🙏
Aki fenny kerubo our queen from Gusii Bible nayo umekula yote ubarikiwe kwa ujumbe ya Mungu
Fenny Kerubo,may God bless you,let the truth be spoken, ategemeae mwanadamu amelaaniwa, true Gospel, keep it up, waambie ukweli.
Mungu yu na wewe ubarikiwe ni musani Udabandu
Keep it up the good work 👏 🙌 hizi ni zile nyakati zilisemwa ndizo hizi sasa manabii wa uongo watainuka n Mungu sasa atatusaidiq
acha mungu atusaidie aki tumepitea 😢 barikiwa dada fenny mungu akutie nguvu mummy
Hakika Fenny wewe ni Baraka kwanguuu,keep up the good work,you sing facts and not fiction,ubarikiwe mummy🎉🎉🎉
Hapo kwa ndimu weee😫😫😫na hiyo ndio watu wanaamini
Amen God bless you all the best time,ndio wanabii waungo,wako, likes Mackenzie, Ezekiel God bless you sister fenny keep this song, thanks again amen 🙏
😭😭😭😭😭 inspirational song sister wakati huu Mackenzie amefanya ndugu zetu kukufa tu💔💔
AaaaAh😭😭🤗🤗
Yesu yuaja🙏🙌
Hey Yesu eee Wanabi Wa Ma Joka Vipères He ! Ni HATARI Apostasy He! Wateule To Funguwe Macho Amen Dada watu Fenny Ubarikiwe Sana Mutakatifu wa Mungu Shalom ❤❤❤
Ee Mungu saidia kanisa lako twaomba🙏
Very true,,miguu zangu isiwe mepesi kuenda kwa hao manabii
Naomba mungu akusaidiie usije ukawe unatumiwa bila kujua na akufugue macho ya kiroho pia nawe ujitoe katika mateka yao in jesus name na mungu azidi kukurehemu uzidi kufanya kazi yake kwa roho na imani dada yur going far
Our very Queen, I am proud of listening to your music composition... mi hapa shabiki wako endeleeni kusimama kwa Injili nzuri hiyi. Nakupenda mama❤
Huu wimbo una message nzuri. Na kwakweli mungu tuongoze wewe mungu wetu.barikiwa sana dadangu ✋
Love you sisy with your songs with a powerful msgs,,mungu azidi kukubariki na nyimbo zako nzuri
Barikiwa sana nauongeza sauti wanao masikio wasikie ni nyakati za mwisho.Nchi imejawa na upotovu mwingi.
Watu wa Mungu tulioitwa kwa roho na kweli tujihatari na manabii wa uongo,,simameni imara hadi wokovu utakapoonekana,,,be blessed our sister may God be with you as you are preaching a wonderful message to this end time generation which have wondered away from the presence of God.
Powerful 😢😢😢😢😢😢 Mungu shuka kumechafuka
Tulips ha Ku watambuwa kueli Hana hat Uruma kidogo sasa Wa na Womba 1000 dollars 🇺🇸 Wala 15.000 Dollars Ju Ufanyikiwe Heeee Dangerous Na Ba Imbwa Muitu Walokole Tukamatichane tu Pendane tu Hepuke Tu Funguwe Macho Ha wana Uruma hata kwa wa Maskini Thank you Dada Mupendwa Fenny Wetu 🌹💋💋❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️♥️
Your Message is always Timely. Mungu azidi kukuinua❤️❤️
Asante dada kwa ujumbe nadhani ujumbe umewafikia kwakweli nyimbo zako ni biblia tupu mungu akuinue uzidi kuwafungua watu macho
Ohhh please can we give Fenny the likes she deserve.She has totally sang what is happening in this world.More Grace mama❤❤❤.l have really liked this song 😍😍🔥🔥
Ohhh please can we give fenny the likes she deserve. She has totally sang what is happening in kenya❤❤❤.lhave really liked
Mungu tufungue macho ya ndani tuweze kuwajua asante dada Fenny kwa kazi nzuri ❤️
Mungu atukumbuke walie wake wanao omba kwa imani manapii wasidwe hisi ni nyakati sa mwisho sister yangu Asante kwa message
HongerA mama maana umeshatuambia yumebaki sisi tujiulize kuwa Dunia imeisha tujihadharini jamani nice this song ❤❤❤❤❤❤❤
😭God do your will the false prophets are too many 😢ee Yehova tufunike na kutuongoza ww. Tujue manabii hawa
Fenny umenifunza kitu , MUNGU akubariki
Kweli manabii wa uongo wamejaa ulimwengu. Kerubo waambie watu waskie kabiza. Watu wengi wamepotoswa sana manabii waongo. Mukiambiwa muskie na mufuate njia ya aki 😊
Kumbe the song had a prophecy on fake pastors. That's why it has taken months to be uploaded. This is the right timing. Be blessed Our queen Fenny Kerubo
Kabsa yani God's plans..and everything work together for good reason God is leading
Natokwa macozi kweli nimungu ndiye aliye kufunuliya wimbo huwo mungu akuongezeye karama mpian 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Wooow this song teach me something some where
Ngai Baba,tuangalie wapi?🤯
Ujumbe ni timely kabisa. Heri Neno la Mungu na tujisomee bibilia. Manabii wa uongo wamejaa sana. This is a wake up call to test every prophecy by seeking the face of God.
Waawh ❤❤ hakika huu wimbo niukweli mtupu ambalo wengine unaumiza huu ukweli
Hii sitachoka kushare mpaka iwafikie hao matapeli ..na maombi yangu kwako my sister mungu awe nawe kila wakati na kwa kila dakika na kwa hiyo..hakuna siraha itainuka kinyume nawe haitafauru itashindwa kwa jila la Yesu 🙇♀️🙇♀️🙏🙏
Umbarikiwe fenny kerubo kwa nyimbo sa ko
Amen. Kubwa mtumishi Wa Mungu. Asante Dada Kwa ufunuwo huyu. Haki hawa wanabii wametesa watu. Ebu njoni Wa ndugu tufunguke macho.
Napenda ulivyochanganya Kiswahili 😂 umejaribu
Njooni kumekuchaaaa❤❤❤❤❤very nice
Amen Amen. Pasa sauti kabisaa mwenye masikio na asikie.
NIPO Tanzania 🇹🇿 hakika huu WIMBO umefungua akili ZETU Mama YESU akutunze tunakupenda mno 👏👏👏👏
Unafanana Millicent Omanga!
Asante sana wimbo mtamu mno inaonekana hizi ni nyakati za mwizo zimefika tiamini mungu sio manabii wa uongo ati hauna nyota ,nyota gani
Kazi nzuri sister.. good message 👏
saf sana dada YESU akubaliki kwaujumbe uo Wenda Wenda wakasikia BWANA akupe neena uenderee kuubili kweli
Fenny thanks 🙏 ujumbe umefika Shakaola hatuendi tena 💕 God bless your work.
True fenny_ sijuhi tukimbilie wapi
Mungu akubariki Sana mam tunapenda ujumbe nzuri
Kweli Mungu atusaidie hizi ni siku za hatari ni watu wengi wa menaswa na mtego wa manabii kupitia huu ujumbe kupitia wimbo wa Injili tunapokea uponyaji mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu kwa ujumbe
Kwa mapezi ya Mungu utufungue akili zetu tuweze kuwatambua kupitia 🎉Bwana wetu YESU kristo❤🙏 Fenny Kerubo Mungu akubariki kwa ujumbe huu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mafundisho jupitia nyimbo zenu ni ya thamani kubwa kwa mukristo mcha Mungu.
Sure we have come to and end wanabii wa uongo pekee n kuomba pesa ndio maana Mungu amelaani hiki kizazi tutafute uso wa Bwana n kuomba msamaha atusamamee dhambi zetu 😢😢
Ameeen MUNGU akubariki Sana Mtumishi kwa ujumbe mzr kupitia uimbaji
Producer cosmas kazi nzuri najua kazi yako piano umeibembeleza smart
Amen amen mwenye masikio na asikie hiyo si wimbo ni injili ya mungu barikiwa sana queen mungu barikiwa na akupe kibali na neema ya kufungua watu macho na masikio Mimi ni mebarikiwa Dada
Powerful Message My Dear Mungu Aenderee kukuinua na kukutumia kwa ujumbe kupitia uimbaji wako Love you cct Fenny
haki hii wimbo jameni umeenda baka juu mbiguni ndani amina amina😭😭nasikia tu kulia kwa wimbo
Very true mesaange from God...direct....manabiii...apostles...waimbaji...waijilist...mapastor....habari ndio hio.
If someone Is keen,u can realise how Jesus is coming soon,the preaching,songs etc talking about the reality,come to Jesus before late.now you are doing what God called u for,keep up sister
Amen sister fenny kerubo kwa nyimbo sa ko zimenifusa mengi ngak uniombe
Bariwa fenny is True ❤❤
Fenny nakupenda sana nyimbo zako zinanibariki sana may the Almighty God bless you
Wacha Mungu atusaidie tujue wale wa ukweli, katika jina la Yesu
Afu shetani amewasambaza kote duniani na kupotosha watu.Kanisa lifundishe dini la kweli,dini la miaka yote
Amen 🙏🏻 🙏🏻 God bless you mtumishi wa mungu, song at the right time
Ukambi in Europe tunabatikiwa woman of God hpa do umelipua xx so powerful
Amen, hu wimbo umeniguza
Kweli Mungu akubariki,wanapenda kusema hio maneno umetaja alafu ukikataa wanaanza kukuchukia,heri nisimame na imani yangu❤
This is a good massage iwafikie wote ulimwenguni God bless you my dear 🙏🙏🙏
Kanyangia hapo hapo my sister, tuhubiri ijiri ya kweli
Yesu yuaja
Watumishi wampotosha neno la Mungu. Wanalinena kinyume.
True mungu tufugue macho ya kiroho
😭😭😭😭 finally 🙏. Mungu kumbuka watu wako.
This is very true. The false prophets are now everywhere.
The life we’re living today
It breaks my heart 💔 to see how people can’t hear the voice of the calling and the voice of someone who have called nafsiyo
Too bad kwa hao manabii😭😭😭
What i was just waiting for,God is using you to warn people,be warned church
😢😢😢 I'm watching this from Namibia 🇳🇦 SADC and I'm very much touched by this massage. As many of pastors and prophets are using God's name to kill His(God's)people. Like the news what broke in Kenya Uuuhh you don't even want to listen and look to a lot of people died because of individuals who are enriching themselves through cults/ illuminati. God have mercy on your people And open our spiritual eyes. To decern. God comfort those who have lost their loved ones 💔 in that incident.i cried 😢😢😢really. God deal with those have done that And Kenyan law has to be strict
We love you our brothers and sisters from Namibia 🇳🇦
Waiting! Fenny kerumbo oyeeeee
Ooooh please can we give Fenny the likes she deserve.She has totally sang what is happening in this world 🌍❤❤️❤️💃
Keep it up mama Its nice song iko na ujumbe mzuri sana mungu akubariki
Mungu asidi kukubariki siz❤umnenaukweli
Mungu atusaidie sana wake up calling jamani be blessed
Omosubati Gachie Motwe Ni Moya Frm JKIA Mitchell Ctts ltd.
Amen ukweli kabisa barikiwa nyimbo yenyewe ni maubiri kamili Ameen hallelujah hallelujah
Sister umetoka mbali. I remember long time ago when you was starting the ministry you came to our little village Geta,Ukarusha Gospel, but because our church was small you never bothered to sleep down with other visitors down kabisa! You have a good heart I don't know if you can remember that day,it has been long 🙏
Message on the right time dada nakupenda nyimbo zako niza mawaidha Sana.
Barikiwa sana Dada, kitu kama hiki nimekingoja sana lakini umekitamka
These lady has revelation .mungu tusaidie kukujua bila short cut
Love you mama 💕,,,,,,ukweli mtupu,kanisa imekuwa biashara jamani,mungu tusaidie
Ahsante dadangu mungu🙏🙏🙏 aendelee kukutumia zaidi
It's true zilenyakati ndio hizi walai mungutukumbuke🙏🙏🙏🙏🙏
Tuombeni sana roho wa Bwana atuogoze na atupe macho ya kiroho,na pia masikio ya Kiroho tusikie sauti ya Yesu. Barikiwa dadagu na Yesu akufugue zaidi na zaidi.
Barikiwa sana dada yetu🙏
Wimbo huu hakika umenitoa machozi 😭😭😭 oooh yesu tusaidie tusizame katika dhambi barikiwa Sana dada yangu pamoja na waimbaji wako wote hallelujah Amina 🙏🙏
Mungu wa mbinguni akutetee na akupiganie in Jesus name
Powerful sister Fenny kerubo,soon nitakutafuta tuhubiri pamoja
Eagerly waiting for this #psalmist kim
Wimbo mzuri huu aki may God bless you Fenny Kerubo
❤❤❤