PENZI LA MUME WA BOSS EP 23 | SO1 || Love Story 💞💕

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • #busatitv #lovestory #bongomovie
  • КиноКино

Комментарии • 33

  • @LilianJuma-q6y
    @LilianJuma-q6y 11 дней назад +3

    Tressy pole chimamy kwa changamoto unazozipata katika ndoa yako 🌹💯

  • @ChitsakaMkindo
    @ChitsakaMkindo 11 дней назад +2

    Hii movie sai hata imepoa sana qwan walienda wapi hawa watu wawili grace n rahem wangpi wanakubaliana n mm

  • @PillyEliasa
    @PillyEliasa 11 дней назад +5

    Jamani naombeni hizo like Leo watatu jmn 😢😅😅❤️❤️

  • @Hellen-l9o
    @Hellen-l9o 11 дней назад

    Good job ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 11 дней назад

    Movie kali maua yenu🎉🎉🎉🎉

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa 11 дней назад

    Safi sana 🎉🎉🎉

  • @MalkaNinik
    @MalkaNinik 11 дней назад +6

    Hakuna anayeweza kumuiga rahma labda mumlete riama ila hao wengine hawawezani hiyo pati

    • @RucyTenguri-uk6nl
      @RucyTenguri-uk6nl 11 дней назад +1

      Kwahiyo rahma pia alibadilishwa mhmm😢

    • @EuniceOyamo
      @EuniceOyamo 11 дней назад

      ​@@RucyTenguri-uk6nlemagen nishaboeka na kipindi

  • @SilviaLucas-s1b
    @SilviaLucas-s1b 10 дней назад

    Jamn sijapendeaaaaa kabsa kumbadilisha rahma

  • @AnethStraton-c6j
    @AnethStraton-c6j 11 дней назад +3

    Jaman huyo aliechukua nafasi ya rakhma haendani nayo

  • @BertinaCatitiAdamu
    @BertinaCatitiAdamu 11 дней назад +3

    Leo nimewai ila movies wachangamshaji awapo

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 11 дней назад +1

    Wa mwisho lakini wengine wako ila mi ndo wa mwisho jaman 😂😂😂kazi nzuri sana Raymond Daniel mdimu😂😂😂😂😂

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 11 дней назад

    Kazi nizuri sana tunawapenda sana waigizaji wetu kwakazi zenu zinafundisha sana

  • @ZaidathJustine-cv7dm
    @ZaidathJustine-cv7dm 11 дней назад +2

    Watano leo❤❤

  • @bunnybinky8263
    @bunnybinky8263 11 дней назад +3

    Rahma na Grace wa kitambo walifanya movie ikuwe tamu zaidi😢

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik 11 дней назад +1

      Tena sana awa wamepoa sana

  • @NoëllaNiyungeko
    @NoëllaNiyungeko 11 дней назад +1

    Wa kwanza leo❤😂😂

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 11 дней назад +1

    Jamn hiyo nafas ya Giles na Rahma mmmmh kwani wameenda wapi yani hawaendani kabisa yani...

  • @RaelYeko
    @RaelYeko 11 дней назад +1

    😂😂😂🎉🎉🎉🎉Leo wa pili wee🎉🎉

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 11 дней назад +2

    Movie yenu imepowa sawa 😂😂😂😂😂😂 ..

    • @AnnaStazia-d9n
      @AnnaStazia-d9n 7 дней назад

      Mngemludisha rahma achangamshe movie

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 10 дней назад

    Rahma yuko wpi

  • @ChristinaJonathan-wh3wq
    @ChristinaJonathan-wh3wq 11 дней назад +1

    Mbna mmetubadilixhia watu humo jmn ata hatuwaelew grace na dada yake warda mbna cio hao

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 11 дней назад

    ❤❤❤❤❤

  • @ElizabethKimario-m5n
    @ElizabethKimario-m5n 10 дней назад

    Rahma jmn

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 11 дней назад

    Hili la huyu dada kumuelezea huyu grace mh kilinikuta kwa ex wangu tunaonge yote baadae akamwambia mwanaume na mambo ya ajabu nilitaka kukatwa miguu nikabaatika kuzuia panga nikaumia mkono 😢😢 tusipende kuwaambia watu tusiowajua mambo yetu 😢

  • @HonorineMalaas-p9n
    @HonorineMalaas-p9n 11 дней назад

    wa sita jamani

  • @MwanamkuuKaroyo-lc8ph
    @MwanamkuuKaroyo-lc8ph 11 дней назад

    Movie inaboa kwli rahma yko wap

  • @mojelydah1521
    @mojelydah1521 11 дней назад +1

    Watu wanapata nguvu wapi ya kuvumilia mapenzi haya

  • @MisjoyMutuma
    @MisjoyMutuma 11 дней назад

    Rahma yuko wapi