Serikali yatakiwa kutoa msimamo sahihi kuhusiana na adhabu ya kifo nchini.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 окт 2016
  • Serikali imetakiwa kutoa msimamo sahihi kuhusiana na adhabu ya kifo kwani tangu mwaka 94 haijatekelezeka licha ya watu kuendelea kuhukumiwa huku wadau mbalimbali yakiwemo madhehebu ya dini wakiipinga kwa madai kuwa inakiuka haki za binadamu.

Комментарии •