Prophet Frank Julius Kilawah : Kipindi cha 23 October

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024
  • Ibada ya Miujiza Mbalimbali Iliyotendeka Katika Mkutano uliofanyika Jijini Mbeya katika kanisa la Shiloh International Ministries Mbeya Branch ..
    Utukufu ni wake Bwana Yesu kwa Kumtumia Mtumishi wake Nabii Frank Julius Kilawah...

Комментарии • 41

  • @johnmafworo1079
    @johnmafworo1079 9 лет назад

    kiukweli mtumishi nabii ww ni mtumishi wa mungu nabarikiwa sana na ww mungu akutendee makuu.

  • @petermartin1207
    @petermartin1207 6 лет назад

    Najiunganisha na Neema yako Baba Nabii Frank

  • @mossdolla2705
    @mossdolla2705 7 лет назад

    Amen baba napokea katika jina la yesu uponyaji na uokoaji nimepokea kw iman amen

  • @yustvitalis1407
    @yustvitalis1407 6 лет назад

    Mungu ni mwema

  • @radhiahashim6394
    @radhiahashim6394 7 лет назад +1

    naamini nami nitapona baba

  • @JoyceFelah
    @JoyceFelah 9 лет назад

    You are KING of KINGS INDEED PAPA.

  • @enockaugustino9367
    @enockaugustino9367 8 лет назад

    I love prophetic church..... propert Frank Julius kilawah

  • @mariachahe7077
    @mariachahe7077 8 лет назад

    Mungu akubariki sana Uinuliwe zaidi nazaidi Mtumishi nabarikiwa sana wewe.

  • @vailethvedasto232
    @vailethvedasto232 8 лет назад

    balikiwa mtumishi

  • @zacharialucian4872
    @zacharialucian4872 9 лет назад +1

    Huduma ya ajabu sana Prophet Mungu akuinue mataifa wakuone na watoe ushuhuda

  • @ednada9033
    @ednada9033 8 лет назад

    mtumishi roho yako unione namimi u niombee pia mm niolewe

  • @martinotieno6086
    @martinotieno6086 8 лет назад

    ASANTE SANA MUNGU AKUBARIKI KWA HUDUMA HII

  • @michaelhaule7161
    @michaelhaule7161 7 лет назад

    amen nabii wa mungu naamini nimepona pia

  • @natamaniunigusehatamimimac4305
    @natamaniunigusehatamimimac4305 7 лет назад

    ubalikiwe mtumishi kwakazi ya mngu

  • @JoyceFelah
    @JoyceFelah 9 лет назад

    Mungu azidi kukusaidia papa!

  • @abdalahkassim2661
    @abdalahkassim2661 7 лет назад

    Mungu akuinue zaidi,huduma yako imetufungua sana.

  • @lilyrose4066
    @lilyrose4066 5 лет назад

    Ameen dady

  • @mossdolla2705
    @mossdolla2705 7 лет назад +1

    Asante yesu

  • @vicentmyovela755
    @vicentmyovela755 8 лет назад

    Bwana azid kukuinua kimataifa

    • @yustvitalis1407
      @yustvitalis1407 6 лет назад

      Vicent Myovela karibu Shiloh ununio tuko DSM

  • @eliamanigolitagolitamsengi9348
    @eliamanigolitagolitamsengi9348 9 лет назад +1

    Inukiwa Sana Nabii Frank.Nakuja Kanisani kwa nikuone Live.

    • @shilohtvtanzania8444
      @shilohtvtanzania8444  9 лет назад

      Amen karibu sana

    • @babuemmanuel1970
      @babuemmanuel1970 8 лет назад

      Shiloh International TV nawatakia amani na utulivu katika Maombi mungu akuongeze ujuzi wnye shida upate kuwaponya hata wnye zambi uwafute kunye jina LA ukumu uandike kweny kitabu cha uzima mi naitwa Emmanuel 0718825162

  • @lilyjimmy4029
    @lilyjimmy4029 6 лет назад

    Hakika mungu anaishi hata leo yupo

  • @mauakandanda1499
    @mauakandanda1499 6 лет назад

    hata mm naamin nimepona kwa damu ya yesu

  • @katerinadada6481
    @katerinadada6481 6 лет назад

    Amen mtumishi wa MUNGU

  • @cuteninahdavid259
    @cuteninahdavid259 9 лет назад

    Powerful major

  • @mossdolla2705
    @mossdolla2705 7 лет назад

    baba naomba roho na nguvu zako za uponyaji na uokoaji wako ninao ushuhudia hapo uamie kwangu sasa katika jina la yesu mimi Raphael jerome

  • @danielngatima2831
    @danielngatima2831 6 лет назад

    Amen

  • @mossdolla2705
    @mossdolla2705 7 лет назад

    Shaloom baba kipenzi cha wengi haswa mimi mwanao naitwa Raphael jerome nipo mererani nafanya kazi za migodini nachimba madini ya tanzanait baba yangu ni miaka kumi sijafanikiwa naitaji mkono wako wenye nguvu na huruma yako ndiyo tegemeo langu katika mafaniko ya kumiliki madini ya tanzanait makubwa mazuri ili niuze nikutolee sadaka ya shukrani katika jina la yesu Amen 0753465023

  • @mossdolla2705
    @mossdolla2705 7 лет назад

    baba niponye na uniokoe kwenye uchumi ili niwe mdau mkubwa kweye uchangiaji wa injili

  • @johnmafworo1079
    @johnmafworo1079 9 лет назад

    kiukweli mtumishi nabii ww ni mtumishi wa mungu nabarikiwa sana na ww mungu akutendee makuu.

  • @radhiahashim6394
    @radhiahashim6394 7 лет назад

    naamini nami nitapona baba

  • @radhiahashim6394
    @radhiahashim6394 7 лет назад

    naamini nami nitapona baba

  • @radhiahashim6394
    @radhiahashim6394 7 лет назад

    naamini nami nitapona baba

  • @radhiahashim6394
    @radhiahashim6394 7 лет назад

    naamini nami nitapona baba