Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Naam.
Maisha ya imani ni mapambano mama, usiwe na shaka, mimi huwa naamini kwamba kushindwa ni kufa na alimaadamu bado upo hai, bado wewe ni shujaa.
Nampongeza sana kwa unyenyekevu. Sijui kwamba kwanini ameanza na msamaha, ila nijualo ni kwamba ni lugha ya unyenyekevu na inaweza kuwa na dhamira ya kushuka na kutaka kupiga hatua bora zaidi. Naomba comment yangu imfikie ameen.
-Mama hongera kwa unyenyekevu, -HONGERENI SANA MAMA NA PASTOR ALEX TEWELE Kaa malezi ya binti WIT.
Naam.
Maisha ya imani ni mapambano mama, usiwe na shaka, mimi huwa naamini kwamba kushindwa ni kufa na alimaadamu bado upo hai, bado wewe ni shujaa.
Nampongeza sana kwa unyenyekevu. Sijui kwamba kwanini ameanza na msamaha, ila nijualo ni kwamba ni lugha ya unyenyekevu na inaweza kuwa na dhamira ya kushuka na kutaka kupiga hatua bora zaidi. Naomba comment yangu imfikie ameen.
-Mama hongera kwa unyenyekevu,
-HONGERENI SANA MAMA NA PASTOR ALEX TEWELE Kaa malezi ya binti WIT.