Hawo walaghai niwengi sana washikwe wote kwanza ukienda kweke anakwambia hutapeleka mahali tunakula na police kwahivyo zako nikelele tu aki washikeni wote
Walaghai wako wengi, Wako wale ambao wanalaghai kwa mrefu bado hawaja shikwa kwa vile wako na pesa na wako above the law, Ningeomba serikali wafanye msako ili wakomeshwe kudhulumu wakenya.
Huyo jamaa angepewa raiyaa wakamshulikia utapelekaje mtu Dubai na wajua wazi hakuna kitu anaenda kupata zaidi ya mateso aki Kuna watu Wana roho mbaya Sana
Abu wa mombasa pia ni mmoja wapo
Haswa
Vzr KABISAA kama hao majenti watafatiliwa vzr wengi ni wakora aki
Safiii san hao ndio wanasababisha wasichan kuja kupatmatatixo wao wako kimya 😢
Mkimfunga jela huyu ndio fundisho kwa wenzake ☝️🤲🙏🇹🇿
Hawo walaghai niwengi sana washikwe wote kwanza ukienda kweke anakwambia hutapeleka mahali tunakula na police kwahivyo zako nikelele tu aki washikeni wote
Waende.pia washike hassan mwachatamu undanganya watu kuna kazi ukishatoa commision humpati tena ata kwa ofisi yake
Pliz kuna mwengine anaitwa Fatuma Ali bakari anaishi kiembeni pia ni tapeli tuomba pia ashikwe......
Makadara pia avaa kanzu na kofia na ndevu.
Huyo wa kiembeni amejichubua amekaa kama alibino juu ya pesa za watu
Mm piaa amenilaa jmn Na sai kajenga ofisi likoni mbuyuniii
Nipitieni guys pale kwangu youtube channel.
Daa.huyo.namujuwa pia mm@@valentinanduku8718
Wengine walipelekwa mpka Egypt na wakarudishwa kumbe walikatiwa ticket fake zaidi ya vijana 15,,washikwe wote kbsaaa
Ashindwe,Ata mimi walikula zangu siwezi wahurumia warudishe pesa za wenyewe
Auwawe kabisaa mbwa huyoo
Subhanallah kaki mbili na mungu wangu watu wamekosa imani mtu pengine alichukua loan zaitaji kulwaawa najent wote watafutwe wenye kulaghai watu
Safi sna wamezoeya sna
Make sure the'll be brought to book
Walaghai wako wengi, Wako wale ambao wanalaghai kwa mrefu bado hawaja shikwa kwa vile wako na pesa na wako above the law, Ningeomba serikali wafanye msako ili wakomeshwe kudhulumu wakenya.
Huyo jamaa angepewa raiyaa wakamshulikia utapelekaje mtu Dubai na wajua wazi hakuna kitu anaenda kupata zaidi ya mateso aki Kuna watu Wana roho mbaya Sana
Fatuma Ali ashikwe sasa,ndio mwingine
Fatuma Ali yupi usije ukatushikisha buree😅😅😅
Washikwe wote na hata yule anaitwa Rhoda Kanini alikula za kwangu.
Such people we don't need in our country they are pulling as behind
Hawo walaghai niwengi sana
Mnatupotezea mda wetu kwani media Siku hizi mnalipwa? Mmeshindwa na nini kumtaja Jina?
Waah 😢😢
Wapo wengi wakora mwaguzo pia ni mwizi
Wamejitajirisha pesa za watu warundishe zote
Shinda ni akitwa pesa anawachiliwa 😢
Nipitieni guys pale kwangu youtube channel.
Wengi sanaaa afungweee
Mbn hamsemi ni agent gani huyo agency yake yaitwaje watoa habari nusu nusu tu apa
Kwl kabsa wangetaja ni agent gani?
Kenya is a crime scene
Wakamatwe,mashetani wamemeku
la watu Doo zao
Kasongo new the deal very well, hakuna mahali atapelekwa, 😢
Mmmmmh huyo ni ruto 🤮 mtachoka ruto atapitia katikati yenyu.
Aaaah wako wengi wanahadaaa
Yafaa atombwe huko ndani. Atukunwe hadi anye
😂😂😂😂😂waaah
😂😂😂Pia konyolo ipasuke
@@valentinanduku8718 😆😆😆😆😆
😂😂😂😂😂 nipitieni guys pale kwangu youtube channel.
Uli maanisha atumbukizwe jela pole!
Mwengine yuko shikaadabu anajiita bakari
Je fb yake najiita nani?
Mwengine aitwa Saadaa yuko mkomani wsko wengii kati kati ya mji pia likoni wako wengi sanaaa
Mkomani pande gani...
@AbdullahiHassan-k2l near mkoma I hosy
Nipitieni guys pale kwangu youtube channel.
Saada shee ana ni yupi kama ni uyo nilimuwahi kidogo amalizwe na brother yangu tulishika gari yake
Your now displaying police number plates, but if it's about abduction you cannot see the number...it's not fair...
Huyo jamaa ni mwizi mkubwa na maajabu ni mlemavu lakini ni mwizi,mm alinikoni pia but nlimshitaki nilipata pesa nusu but achaa naenda kumshitaki tenaa
Mbn wao wanatoroka inchi yao Kwan apa Kenya hamna kazi
Hii nchi imeporwa kila kitu, ndio tunahepa🤔
tembea uone mengi
Wapi kazi
Kama uko kazi sio kila mtu ako kazini Kenya kuna matatitzo mengi
Shukuru mungu uko na kazi wengine wako qualified na kazi hamna