Azamu toeni ushaidi msifiche dhambi. Haya yamesemwa muda mrefu lakini sasa ushaidi tumeuona. Sindano ndani ya vyumba vya kubadilisha nguo hazina sababu nyingine yoyote zaidi ya kujiboost. Hata madaktari wa kawaida wa timu huwa hawatembei na Sindano uwanjani. Mchezaji akiumia uwanjani hupewa huduma ya awali tu na kukimbizwa hospitali. Naingekuwa siyo kujiboost walizima camera ya CCTV kwanini? Ni kitu gani walitaka kisionekane? Mungu amewaumbua acha wafungiwe kama Makongoro wao alivyofungiwa maisha kujishughulisha na mpira.
Ndio maana yanga hatupendi kabisa camera jamani dah!😢😢😢
Shahidi ni camera 😂😂
Tena ikiwezekana Yanga ipewe adhabu ya kufungiwa mechi zote 2024-2025 ili waache mpira wa kishirikina