MCHUGAJI WA S.D.A ASHINDWA KUJIBU MASWALI YA WAISILAMU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 207

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 лет назад +5

    Allah awaongoze ma ustadh wetu nyote nawapenda nyote kwa ajil ya Allah

  • @nailahsaeed837
    @nailahsaeed837 4 года назад +1

    Raha walai shekh said umemleta vizuri sana Allah barik amekubali yesu sio munguu

  • @jayjayler2795
    @jayjayler2795 4 года назад +4

    Masha Allah

  • @absameosman9113
    @absameosman9113 4 года назад +3

    ManshaAllah am proud to be Muslim. Diini y haki n quran ndio kitabu yny haina shaka ndani yke.... Imagine sheikh ustad amir Yusuf wambugu na sheikh Mohamed wanacheka wakishangaa vle huyu pastor anajikaranga..... Takbiir Allahu Akbar yaani pastor anakiri yesu n mtoto wala sio mungu n bdo ako kwa hio diini

  • @ashamasudi9441
    @ashamasudi9441 5 лет назад +1

    MashaAllah Allah awaongoze mashehe wetu ustadh Muhammad nilikua nakutafuta kumbe umekaa kofia

  • @khalidhussein3655
    @khalidhussein3655 5 лет назад +3

    Mashallah ustadh wangu Wambugu watu wamewekwa kibano kweli

  • @jumjumsaid3552
    @jumjumsaid3552 5 лет назад +6

    Bado mapasta n wanafunzi ,si atuambie jina la mungu na la mwana yaani ukristo n msiba wa milele

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 лет назад +2

    Allah awaongoze na awajaalie elimu zaidi walimu wetu amiin

  • @osmankitale2330
    @osmankitale2330 5 лет назад +1

    Maanshalah shukran masheikh wetu mungu awahifadhi yarabi na sisi tupe hio bahati na tulio wagonjwa mungu atupe afya njema inshaalah

  • @mrboma4343
    @mrboma4343 4 года назад +1

    Sheik yusuf Allah akujaze kheri

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 5 лет назад +1

    Mashekh wetu Allah awatangulie kwa kila hatua, Allah atupe afya njema na awape humri mrefu

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 5 лет назад +2

    Shukran ustadh said kwa suala lako!

  • @نوراخمسالوي
    @نوراخمسالوي 5 лет назад +1

    Mashaa Allah tabarakallah mungu awahifadhi ma sheikh wetu ramadhan Mubarak wa saum maqbul

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 5 лет назад +2

    Mungu awahifadhi maustadhi wetu

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 3 года назад +1

    Inna lillahi wainna ilaihi rrajiuna, uyu mchungaji nisawa na sifuri! Hana kitu kichwani!!

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 5 лет назад +4

    Ahsante Sheikh SAID.. kajifanya mjanja lakini umemtia corner.

  • @fundimagari5825
    @fundimagari5825 5 лет назад +1

    Ustadh yusuph ili swali umeuwa kanisa,
    Takbir..

  • @malicboy7973
    @malicboy7973 5 лет назад +1

    hahhaha,, subhannallah mchungaji ajitetea lakini. Allah akuzidishie hikma ustadh mohamad.

  • @starbaby4864
    @starbaby4864 5 лет назад +3

    Masha Allah.. Na huyo mchungaji ajifanya haelewi ataelewa tu 😂😂😂😂😂😂 shukran walimu

  • @yakubhassan7194
    @yakubhassan7194 5 лет назад +1

    Allah awaongeze hao wanaojiita wakilisto

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 лет назад +1

    Masha Allah Masha Allah jazakallah kheyr wa barakallah fiiq

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 лет назад +6

    Haha wapeni wapeni
    Shukran walimu wangu mko sawa kwa daawah

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 лет назад +3

    Shukran sheikh Yusuf
    Acha niwaanzie Ku comment wadau wenzangu

  • @hamastien5439
    @hamastien5439 5 лет назад +3

    Wallah ostadh muhammad swal gum san jawab limekuw mshikel mar mung mar mwan wamung aka .tufuat lip tuach lip ahala wasahal fikum ktk uislam uislam ndio din ya haq ramadhan karim

  • @adamabdallah2245
    @adamabdallah2245 5 лет назад +1

    Duh, ustadh said huyo jamaa umemkwamisha Sana, kumbe unakuwa hot san,
    Mm ni mfuatiliaji mzuri sn wa mihadhara yenu, mungu akupeni nguvu insha-allah

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 лет назад +2

    uscheeze na muislamuu
    cc hatkurupuki na hatutaki ubavaishaji
    et yesu n mungu na mwana wangu
    sasa yy mwana wa mungu yupi? ......,

  • @mwaks3347
    @mwaks3347 5 лет назад +1

    Sheikh Yusuf makafiri unawapa tabuu sana naona huyu jamaa anangaika kwelii kweli.Allah atujalie mwisho mwema sote

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 5 лет назад +4

    Huyo mchungaji ana wazimu afaa kutiwa jela ya wenye wazimu

  • @hamadibabu6384
    @hamadibabu6384 5 лет назад +2

    Hi Kali muchungaji yesu ndie baba na yesu pia mtoto

  • @rukiamatano7764
    @rukiamatano7764 4 года назад +1

    Yani ukisikia tatu bila tazama huu mdahalo huu...walimu wa kislamu muko juu "Allah awape ilimu zaidi.. iyo Mume wapiga tatu bila,Mungu wa Maryam na yesu anaitwa Jehova..tumejua pia cc

  • @abubakarkassimmwinyimwinyi6382
    @abubakarkassimmwinyimwinyi6382 5 лет назад +1

    Nimesubiri ya leo ustadh Yusuf. Inshaallah tuekeeni

  • @ahmedmohamed9040
    @ahmedmohamed9040 5 лет назад +1

    Simwelewi pasta

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 лет назад +1

    Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun
    Hakika huo n msiba kwa kumuita Issa Mungu

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 лет назад +1

    Aya ustadh Yusuf tupe muendelezo sie tupo insha Allah

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 лет назад +2

    Mashallah

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 5 лет назад +5

    Huyu mchungaji akipigwa konzi akili zake zitakuwa sawa🤣🤣🤣🤣

  • @janekwahada580
    @janekwahada580 5 лет назад

    Ni yeye yule jana leo na milele yeye ndiye mungu tena ndiye Mwana na YESU si mwanadamu

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  5 лет назад

      😂😂😂😂1timotheo 2:5,yohana 8: 40(yesu ni mwanadamu Mia kwa Mia)

    • @janekwahada580
      @janekwahada580 5 лет назад

      @@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp kazi ya waisilamu ni siasa tu kama kitabu chanu wanyewe kinaeliza Jesus hata kinasema kiristo alikuja kambla ya yanu muende mukawauliza wa uliza Bible. Mwanye kuandika kitabu cha wisilamu alikuwa ni mwanadamu baada ya Muhammad kumuambiye yale ata andika akisha maliza alienda Ethopia akawa mukirito akafa mukirito kama aliandika ukweli kwa nini alikubali kuenda kusimu akaacha ndini ya kweli. Qran inasema yesu Bible hasemi Muhammad. Na musilam akiwacha wisilamu anaushuda mwafaka wakueliza watu but umeshapata mukirito akieliza maelizo ya mtu kueliwa kwa nini hawana tena ni wale hawajuwe Bible kama anajuwa ni yule amesoma kama vile mwisalimu hakisoma upside down

    • @janekwahada580
      @janekwahada580 5 лет назад

      @@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp niko warabuni hata hakuna kitu hata moja inaweza nafanya kuwa musilima hakuna na tabia zao mbaya wacha ni enda jahanamu but siwesi

    • @hamadshein935
      @hamadshein935 5 лет назад

      Kama yesu ndo mungu.halafu akafa alimuachia nani dunia ktka kutoa riziki.kulinda aman na n.k.

    • @janekwahada580
      @janekwahada580 5 лет назад

      @@hamadshein935 plz ready TITO 3:9-10 hata tupig kegele hamuta tupata juu nyinyi mwasoma neno la mungu kimweli nasi twaongozwa na roho wa mungu so hakuna siku tutaeliwana na ngiza sisi ni wa nuru na hakuna siku ngiza itakuwa pamoja na ngiza once again ready TITO 3:9-10

  • @banjatvofficial186
    @banjatvofficial186 5 лет назад +11

    We are living in a world where 2+2=5
    Just as 1+1+1=1
    As if you are confused
    Who is God? Jesus
    Is jesus the son of mary?Yes
    Who created mary?God
    Who is God?Jesus
    Jesus is the begotten son?Yes
    Who is his father?God
    Who is God?Jesus
    Juses is a servant of God?Yes
    Who is God?Jesus
    Jesus died on the cross?Yes
    Who resurrected him?God
    Who is God?Jesus
    Jesus is a messenger?Yes
    Who sent him?God
    Who is God?Jesus
    Did jesus worship while on earth?Yes
    Whom did he worship?God
    Who is God?Jesus
    Did God have a beginning?No
    Then who was born in 25 dec?Jesus
    Who is God?Jesus
    Where's God?In Heaven
    How many are their in heaven?Only one God
    Where's is jesus?He is sitted on the right hand of his father
    Who is God?Jesus
    Then how many are they in heaven?Only one God
    How man seats?Only one
    Where's is jesus?Seated next to God
    The how are they seated?On one chair
    Its only understood by those with the holy spirit
    Who is God?Jesus
    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 what a confussion
    So beautiful to be a muslim Allah Akbar
    RAMADHAN KAREEM

    • @saitotisapiyo7167
      @saitotisapiyo7167 5 лет назад

      Wht are you talking my friend

    • @ibrahimkhalif7019
      @ibrahimkhalif7019 5 лет назад +1

      @@saitotisapiyo7167 he is taking about how Christians are confused about God and his messenger Jesus the son of Mary

    • @saitotisapiyo7167
      @saitotisapiyo7167 5 лет назад

      @@ibrahimkhalif7019 😂 😂 😂 😂 Jesus is the son of Mary is that your Bible is tell you.

    • @ibrahimkhalif7019
      @ibrahimkhalif7019 5 лет назад

      @@saitotisapiyo7167 the bible is confused read Luke 2:48 in that verse it means that God an marry were looking for Jesus or who is the father there answer

    • @saitotisapiyo7167
      @saitotisapiyo7167 5 лет назад

      @@ibrahimkhalif7019 hahahaha between you and the Bible Who is confused. If you don't if you don't understand The Bible do you think you can understand the Quran my friend go back to school. You can call anyone father but not really your father you can call anyone mother but not really your mother that is respect.

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 лет назад +2

    Ustadh Muhammad Leo umevaa mavazi gani jaman 😀😀naona umekua Mtu wa huko sasa

  • @muhsinsalum2305
    @muhsinsalum2305 5 лет назад +4

    Hii Dunia inaviumbe jamaani.
    Oooh! Mara Yesu ni Mungu! Mara Mungu wa Yesu ni Yehovaa 😂😂😂😂

  • @schmidtmartin9335
    @schmidtmartin9335 5 лет назад +6

    Ustadh Mohamad ume wekelea swali ngumu mpaka mchungaji katoroka

    • @janekwahada580
      @janekwahada580 5 лет назад

      Wapi alirltoroka mwanye Bible ndani yake hawesi kimbaya nyinyi ni waongo Kama vile kitabu chenu kinapo wapowajamuru kutenda ndivyo munavyo enda wali wanao wasikiza mafuzo yenu niwale hawajuwe neno katika Roho wanasoma kama nyinyi but those who no who Jesus is he or she can not follow you the bland one are those who follow Muhammad.

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 4 года назад

      @@janekwahada580 ,unapayuka kwani hapa umeona waalimu wa kiislamu wamesoma kitabu chetu hau ni bibilia yenu? Maswali yamekua magumu mpaka watu waliokuja kuskiza wameshangaa 😁😁😁😁,eti kitabu chetu!!

  • @sarifimikidad3994
    @sarifimikidad3994 5 лет назад +2

    Ukristo ni kampuni ya majahiri kwahio wapewe msaada wa elimu wapatekusilimu waijue haki ilipo

  • @kausarabdulwahab3907
    @kausarabdulwahab3907 5 лет назад +1

    Assalam Alaykum. Mnakazi Kweli br Yusuf yaani huu jamaa akili zimemtoka au? Alhamdulillah nyote mbarikiwe kwa kuwaelimisha wakristo Ndugu zetu.

  • @abubakarkassimmwinyimwinyi6382
    @abubakarkassimmwinyimwinyi6382 5 лет назад +1

    Ustadh Yusuf washaumia hao

  • @abdilatifhashi9659
    @abdilatifhashi9659 5 лет назад +2

    Inalililahi wa ina ileyhi rajiun.ukristo ni confusion Sana na Tena those that believe such words said by the pastor are even worse.How can you be lead by a blind person?

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 лет назад +1

    mda hujaishan uctake kujimbiaaa hapa tulia utandkwe maswaliiiii

  • @wadadoharam6793
    @wadadoharam6793 5 лет назад +2

    Ustadh saidi amefanya meru town ikakaa kimya

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 5 лет назад +8

    Wakiristo hamuwezi kujibu maswali ya waislam mpaka kiama

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 5 лет назад +1

    mashaAllah

  • @jibabaazuaf162
    @jibabaazuaf162 5 лет назад +1

    Muendelezo vp amir yusuf

  • @abeidsaid4019
    @abeidsaid4019 5 лет назад +3

    Uislamu unatisha.....wachunganji mambo imekua ngumu. Kumechemka.............

  • @mwaks3347
    @mwaks3347 5 лет назад +1

    Yaani Ustadh leo umepiga ming’aro ya mtaani but makafir unawapa tabu sanaa

  • @alitabu31
    @alitabu31 5 лет назад +2

    Ustadh saidi. Mashaallah tumepata jibu kwa swali lako zuri mungu wa mariam na yesu ni jehova kwaio tumejuwa yesu sio mungu 😆😆😆

  • @mohammedomary9476
    @mohammedomary9476 5 лет назад +1

    Wallah ujinga ni mzigo,tatzo lao hawa jamaa hawatafakari

  • @osmanwako3099
    @osmanwako3099 5 лет назад +2

    USTATH YUSSUF HIYO SWALI UME WAKABA KOO

  • @danmutai7014
    @danmutai7014 5 лет назад

    This needs divine intervention Muslims will never understand this... but I pray God to help you understand.

    • @fatmamussa9679
      @fatmamussa9679 5 лет назад

      Hahahahahaaaaa, yaan ukristoo sio dinii ni biasharaa tu

    • @jei_Ibrahim
      @jei_Ibrahim 3 года назад +1

      Weee Dan wacha mchezo ww useme Mungu ni mmoja kisha ww urudi useme yesu ni mungu alafu useme yesu ni mwana wa mungu alafu uniambie sina roho mtakatifu kuelewe kiswahili

    • @danmutai7014
      @danmutai7014 3 года назад

      @@jei_Ibrahim I still insist that you need divine intervention to help you understand

  • @osmankitale2330
    @osmankitale2330 5 лет назад +1

    Jamani video ya leo iko wapi cnt wait lol

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 5 лет назад +4

    Jamani wakiristo mbona ni msiba jamani!

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  5 лет назад

      Subhanallah

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 лет назад

      Fatuma Mwalimu fikiri kwa akili kidogo tu ,vp wa kristo wawe msiba na wakati Kristo wanaemtumaini ameshinda kifo na mauti amefufuka ktk wafu, tena yu HAI na atarudi kuuhukumu ulimwengu na wote waliomkataa,naamewaambia wanaomwamini yani wa kristo kwamba maadui zenu na maadui zangu naye ndiye BWANA wa vita nani kati yenu atamshinda BWANA YESU

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 5 лет назад +1

      @@frankjohn8570 ,sasa huo ndio msiba wenyewe,yesu mwenyewe anasema, MSIPO MUAMINI MUSSA HAMTONIAMINI NA MIMI MAANA MUSSA NDIE ATAKAE WASHTAKI KWA BABA YANGU, ikiwa unasherekea walioshinda kifo basi ibilisi laana tulwahi pia hakufa bado yu hai, na ikiwa unasherekea na kuwasujudia walio hai basi msujudie na ENOKO pia maana huyu acha kufufuka yeye hajafa kabisa na yuko mbinguni

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  5 лет назад

      Frank Yesu kristo hajakufa na Hakuna ushahidi wakutosha kudhibitisha hayo unasema,hizo niporojo ,ZINGATIA (MATHAYO 12:38)

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 5 лет назад +2

    Nimeshinda kucheka leo nikiwangalia masheikhe, maswali yao hadi mchumgaji atamani kuondoka hao mumewafuma jamani

  • @osmanwako3099
    @osmanwako3099 5 лет назад +1

    WAKRISTO WAKO KWA NGIZA YESU KILA KITU BURE KABISSA

  • @swalehiddy2468
    @swalehiddy2468 3 года назад +1

    😂😂😂😂Pasta anatafta a way out 😂😂😂😂

  • @jacksonmwafongo1917
    @jacksonmwafongo1917 2 месяца назад +1

    We pasta vipi mbona haujibu maswali unajikanyaga kanyaga ? Jibu maswli kifasaha bwana

  • @allyhamisi4709
    @allyhamisi4709 5 лет назад +2

    Maswali yamewashid naon km wameramba msoo

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036 2 года назад +1

    Mchungaji kahepa hana elim huyo🤣🤣

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 5 лет назад +1

    Ame changanyikiwa

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 лет назад +1

    Ajibabaisha kama hakusikia suali

  • @frankjohn8570
    @frankjohn8570 5 лет назад

    msiwacheke hawa wenye ushupavu wa maneno wasio na elimu maana elimu ya Mungu haikai akilini kama wapendavyo wao,mambo yaMungu yatambulika kwa roho, hawa ni wa mwilini ndiomana hapa wanasumbukia JINA LA Mungu kimwili hawatojua Abadan japo biblia wanayojidai wanaijua imeeleza wazi JINA lipitalo KILA jina NI YESU, sasa kama Kristo mwenyewe akasema JiNA wala si lake Bali ni LA baba yake ambaye ndiye Mungu tena akasema kwa jina JINA lake uwalinde hawa, tena akasema JINA lake nimewajulisha wale ulionipa na ulimwengu umewachukia, sasa hawa wamwilini wana ushupavu wa maneno tangu mwanzo lkn hawajaipokea Neema ya Mungu

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  5 лет назад +1

      Frank jina yesu halina lolote maana kwanza ni jina lakuongezwa katika bibilia ,Soma dibaji ya bibilia utaelewa,bado wewe sio musomi

  • @abdulazizi6606
    @abdulazizi6606 5 лет назад +1

    yesu awe mungu alafu mungu awe nani????? wakristo acheni kudanganywa.

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 лет назад +2

    Alaa kumbe ni nyote ilikua cjawaona ustadh Yusuf na ustadh Said 😀😀 mumeambiana leo

  • @aishawangui6635
    @aishawangui6635 4 года назад +1

    Uyu mchungaji achunga nini yeye mwenyewe achanganyikiwa

  • @mohamedabdullahi5543
    @mohamedabdullahi5543 3 года назад +1

    Kkkkkkk mchungaji karibu kukimbia
    Yaani hiyo karibu kukibia kkkkk

  • @ashamasudi9441
    @ashamasudi9441 5 лет назад +1

    muhadhar wa Leo waniumiza mbavu kwa kucheka

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 лет назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @محمدعبدالله-غ1ق8ظ
    @محمدعبدالله-غ1ق8ظ 4 года назад +1

    😂😂😂huyu pasta onvyoo kabisa eti kuna mungu wawil ina lilah waina ilaih rajiuon

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 5 лет назад +1

    Vitimbi za wakristo ni hatari kweli😂😂😂😂😂😂mbavu zangu!

  • @AmiirAlwajidiAsomaal
    @AmiirAlwajidiAsomaal 5 лет назад +1

    Ustadh yusuf wacha dosi ndugu 😂

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 лет назад +1

    unajua wachungsji wanatangaza din ambayo wenye hawaijui
    mchungaji anahanya hanya tu

  • @ramazubery8396
    @ramazubery8396 5 лет назад +1

    Shekh saidy kiboko umemfanya kajibu maswali yote aliokua akiyakataa hahahaha.

  • @nooordubem2802
    @nooordubem2802 5 лет назад +1

    A confused n corrupted religion in this world is Christianity! How can one person be two persons? Jesus is God n again the same Jesus is the begotten son of God. So who is God n who is Jesus for God's sake?!!...inna lillahi wa inna illaihi rajiun! Am proud to be a muslim,Alhamdulillah

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 5 лет назад +3

    Yaan wakiristo sijui akili zao ziko sehem gan vichwa maji

    • @ayunramadhan3104
      @ayunramadhan3104 5 лет назад

      Huyo Huyo mungu Huyo mwana wa mungu duh kosa mali uwe na akili

  • @osmankitale2330
    @osmankitale2330 5 лет назад +2

    Muhammad kkkk umewavalia hio kofio ndio uwakaange wenyewe

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 4 года назад +1

    Pasta ushaumia ‘ hahahaaaa....kilichobaki unalazimisha tu ‘ Eti MUNGU Ndio huyo huyo’ na Ndio huyo huyo Yesu’...kila ukiulizwa hutoi andiko ‘ umekazani Ndio huyohuyo..hahahaaa...!
    Ila Mwalimu Said Mwirigi akakupata ukatoa jibu sahihi kwamba Yesu na Mariam na sisi Tunae MUNGU ‘ .....kwa hivyo Yesu si MUNGU...!
    ...ULIDANDIA GARIMOSHI KWA MBELE....!

  • @mussasualehe7146
    @mussasualehe7146 5 лет назад +1

    Lipo andiko linawapa wakristo kuwavisha wanawake pete!
    Au wamepata wapi maana yesu si hakuoa?

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 4 года назад +1

    Yani huyo anaejiita mchungaji ni mtihani kwakweli! Ustadh Mohammad ndie alieuliza swali wakwanza lakini alipo chukua kipaza sauti mara ya pili anamuuliza kama amekuja kuuliza maswali hau amevamia meza!!!ukiristo ni shida tupu

  • @abdulkasongo1079
    @abdulkasongo1079 4 года назад +1

    huyu bogazz

  • @seifsaid590
    @seifsaid590 5 лет назад

    Ivi kwanini waslam wanampinga yesu na kwanini wakristo awampingi mtume wtu mohamad

  • @shacshac7120
    @shacshac7120 5 лет назад

    wakristo hawana majibu jamani mbona wakristo hawajielewi