TAMALAKI - KWAYA YA MT. GREGORY MKUU, CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE.
HTML-код
- Опубликовано: 1 ноя 2024
- Hii ni kwaya ya MT. GREGORY MKUU kutoka katika CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE.
TAMALAKI ni moja ya nyimbo iliyomo katika Albamu yenye Nyimbo za kumsifu na Kumtukuza Bwana Mungu wetu.
KARIBU TUUNGANE PAMOJA KATIKA KUUTAZAMA WIMBO HUU.
Unakaribishwa pia kuwa wakala wa Nyimbo zetu, kwa mawasiliano zaidi;
+225735245133 / +255620652793
Unaposikiliza wimbo huu tuombe Mwenyezi MUNGU atujalie daima moyo wa mapendo na daima tuendelee ku TAMALAKI kwa matendo yake makuu.
#kwayakatoliki
#ChuochaKumbukumbuyaMwalimuNyerere
#tmcsmnma
#jaysstudios
MTUNZI; YUSTES SAUTI
ORGANIST: AYUBU MYONGA
Yesu kristor wangu uwe nasi siku zote amina upokee maombi yetu amina ulinde family zetu kanisa katoriki duniani kote amina
Wimbo mzuri Sana umenivutia Sana Hadi nomekumbuka kwaya yangu my.cecilia parokia ya itumba ileje
Katka yeye atutiaye nguvu hakuna kinachoshindikana.....Kazi nzuri san ahsante mungu🙏🙏
Asante sana KATIBU wetu
pamoja sana
Duuuh hongereni kwa kweli wimbo mzuri umetulia
Kaz nzuriiiiiii Mungu awe pamoja Nañyi Amen 🙏 katika utume wenu na Mbingun mkaimbe
Mungu awatie nguvu mfanye zaidi aminaaaaaa
Barikiwa sana Rashid
Jamani MUNGU awabaliki mno awazidishie nguvu ya kumtukuza yeye Alie juu
Yesu kristor wangu uwe nasi siku zote amina upokee maombi yetu amina ulinde family zetu kanisa katoriki duniani kote amina viogozi wetu amina 12 2022 ibariki Tanzania 🇹🇿 ♥
Yeah mbarikiwee sanaaa vijanaa wa MNMA mmuwe mabalozii wa kuitangazaa neno la munguu
Amina
Amina barikiwa pia Mtumishi
Popularizing Swahili for Africans who could be interested.
Ni Wimbo Usioisha Hamu Kusikiliza.
Hongereni sana na Mungu Awabariki Vijana Wangu.
Aky nimemruhusu tu aingie rohoni mwamgu.come Jesus ❤
Bwana asifiwe wana wa Emmanuel
Mbarilikiwe kwa huduma
Mungu wangu unilinde kanisa katoriki takatifu ramitume apa duniani amina tarehe 12 2022 ibariki Tanzania
Mungu awabariki sana vijana hakika mmechagua njia sahihi 🙏🏾🙏🏾💫
Amina
Amina barikiwa pia Mtumishi wa Mungu
Vzriiii xana wanachuo wenzangu nmeipenda
Najivunia kuwa mkatoliki.
Hongereni sana vijana Kwa uinjilishaji Kwa njia ya uimbaji. Big up.
Hongereni sana Jamani. Mungu awabariki.
Wow!! Hakika najivunia kuwa mkatoliki, wimbo mzuri, sauti nzuri hakika natamani niusikilize muda wote. Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri.
Amina sana
Nabarikiwa sana na kwaya yetu✋mzidi kuhudumu vyema
Amina
Asante sana Mama mwenye tawi lake tunakupenda
Shoe shine umetisha
Amina Sana penda sana tyms mwalimu nyerere Mungu tupe moyo wa kukutumikia daima
Mmeimba vizuri
Mwenyezi Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri mwaka wa tatu mmepanda mbengu njema nayo itawaletea matunda mazur huko mbeleni
Biblia mkono wa kulia na kitabu upande wa kushoto mtafanikiwa Hongereni Wana SAUT.
Good
Thanks
Nzuri jamani mumgu awabariki
Amina
Nimebarikiwa Sana na wimbo huu mziri sana 🙏
Mungu awabariki vijana wa YESU.
Amina
Mungu ni mwema nyimbo nzuri zinatupa amani mungu awabaliki
Mko vizur sanaa wanachuo tumejionea vizur ht Udom tupo
Mbarikiwe sana kwa uinjilishaji wenu kupitia nyimbo hii nzuri.
Amina
Barikiwa san
Mungu awaongoze katika utume huo,
Asante Boss kwa mchango wako Mungu akubariki Sana
Nyimbo nzuri na video mmeitendea haki mungu awabariki
Amina Usikae mbal na account unakuja wimbo mwingine soon
Maisha yetu yapo mikononi mwa bwna
Wimbo mzuri sana unabariki sana mungu awatie Nguvu zaidi watumishi🙏🙏
good songs
Amina sana wimbo wenye mafunzo kwetuuu
Nice One 👌 God bless you guy's
Thank be Bleesed too
safi sana vijana kwa utume mnatubariki
Am real blessed!! Super sanaaa!!
Nawaombea muishi Kwa dhati hayo maudhui ya Efeso 6:10-20.
Amina, barikiwa sana kwa neno la faraja
Pongezi kwako mtunzi, tafakari njema kwa kila atakae guswa.
Aminaaa sana 😘😘
Asante sana Dada Mary
GOD BLESS
Amina kubwa mbarikiwe sana waimbaji,mungu awatie nguvu
Waaaooooo
Mungu wa Mbinguni ibariki kazi tunayofanya tukilitukuza jina lako na utusimamie tuendelee kuitenda katikaa roho na kweli. Amina 🙏🙏
@@anyesimhalu7096 Amina Dada
Ahsante
Keep going, God knows why some people should be musicians
Thank🙏🙏
Nice god bress 😃🙏🙏🤝🤝🙏🤝🤝🤝🤝🤝🙏🙏🙏🙏🤝🙏🙏🤝🤝🤝
Woow! Jaman hadi rahaa Beautiful one Hakika mungu azidi kuwatia nguvu katka maisha yenu roho ya upendo iwe juu yetu 🙏🙏
Amina barikiwa sana Kiongozi
@@mt.gregorymkuuchuochakumbu5640 Amina tuko pamja
@@mt.gregorymkuuchuochakumbu5640 Amina tuko pamja
@@mt.gregorymkuuchuochakumbu5640 amina 🤝
Aseeee hii ngoma huchoki kuiskiliza ,,hakika mmeutendea haki sana,,tukiachana na kusoma Bado mnaifanya kazi ya Mungu ,,hakika mbarikiwe sana ,,najivunia sana navyoona wanachuo mnafanya vema hivi,,
Ukwel mzki mmeutendea haki nmekua nkifatlia kuwa nan kawarecodia maana nlidhan ni rajo au holy Trinity,,daaah so amazing😘😘😘😘😘
Amina sana Ndugu
Am proud of being a Catholic as a teenager bwana yesu
Is good to preise God when you are still young
I am proud of you you guys be blessed blessed all MNMA wimbo mtamu saaan asee nazid barikiwa nao nao ❣️🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mwenyezi Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Ahsante sana..Mungu Akubariki piah
Amina
Hongereni sana Gregory the Great Kutoka mwalimu Nyerere University..Ndugu zetu Gregory The Great kutoka St.John's University of Tanzania tunawapa hongereni sana kwa kazi nzuri!!
Ahsanten sana.....New song is loading soon
Asee mpo juu mita mia
Imependeza kweli
Tumsifu yesu kristor
Safi sana
Utume mwema katika Bwana wetu yesu kristu
Mmbarikiwe saana🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongeren sana kazi nzuri sana.Mungu awatie nguvu msonge mbele .👏👏
Asante sana Dada Despina karibu
Waooooo
Amina Dada
Hongereni sana wapendwa.
Ogera kwa kuinua ijili na kutagasa ufalumi wake
Nice song, be blessed
Saf sana
wimbo mzuri barikiwa sana
Nyimbo mzuri sana
Safi
Mpo saf wapendwa
Mungu ni mwema Sana
Kila wakati...Mungu akubariki
Usisahau kushare, kulike na kusubscribe
Though am a Ugandan, born a catholic ,I love these songs, let me even subscribe
Thank share to others in Uganda🙏🙏🙏
@@mt.gregorymkuuchuochakumbu5640 I will do that dear, be blessed 🙏
Your welcome
Amina
Shukran dears kwa wimbo mzuriiii.
Amazing
Nice song you make as fell proud of you, stay blessed much and keep on going.
Aminaiii 🙏
Very nice 🥰
Well done 🙏 god wish tutakuwa weto next year 💪💪 💪🤝
thnk
Let the holy spirit be in you always
Even I can't hear anything but I love the way how you enjoy with good songs AMEN
Thank alot
Beautiful voices so talented congrats
Wimbo huu wapendeza.....
Amina sana....Mwingine soon zaid ya huu kuwa karibu na acccount yetu
ASANTENI Sana
Be always blessed to see his glory
Good voices, for God keep the spirit brothers and sisters, God bless you 🙏
thank🙏🙏
Wooow!!! One of my favorite songs.
Kwa majina naitwa Kevin KElEMENSI JUMA natokeya songwe ongereni sana na Mungu awabariki
Aminaaaa
It is good to praise the Lord
Thank Alot...God bless you.
Be blessed my brothers and sisters.a good spiritual nourishment.
Wow!amazing
Ahsante mwingine soon
🙏🙏
Nice song but very low
Gorgeous, brilliant song
Ii
Such an awesome tantalizing voice 💃💃💃💥💥💥❣️
thnk sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu wangu yesu kristor wangu mama bikira maria uwe nasi siku zote amina upokee maombi yetu amina ulinde family zetu kanisa katoriki duniani kote amina viogozi wetu amina
Woow! Jaman hadi rahaa Beautiful one Hakika mungu azidi kuwatia nguvu katka maisha yenu roho ya upendo iwe juu yetu 🙏🙏
🙏🙏
Kazi nzuri mbarikiwe