NAPENDA MADEM- NAUZA FIGO :STARING MKOJANI/NEEMA/BEN Q/KAMUGISHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2021
  • #osoonlinetv #mkojani #comedy
    -
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 378

  • @omariamiri5556
    @omariamiri5556 3 года назад +9

    Karib nyumbani uje kula mkojani si kwa kujua huko kwenye bongo muvi

  • @emanuelernest8710
    @emanuelernest8710 3 года назад +24

    🤣😂🤣 mwanaume wa kwanza kukosa hela ya gest kwenye pochi 🤣😂

  • @bwittozmjomba7019
    @bwittozmjomba7019 3 года назад +21

    Mm ni shabiki mkubwa wa #mkojani namkubali sana 😀 namfatia #Mkojani nikiwa Germany🇩🇪🤞

  • @abdulbora5369
    @abdulbora5369 3 года назад +2

    Vipi mazingira TZ samahani mitaro ya maji machafu tutaishi mpaka lini na mazingira haya wafrica.maguli baba magufuli tusaidie baba.anyway sinema nzuri mungu awape umri wasaniii wetu kwani nyinyi ndio sabuni yetu yaroho.mwatutoa mawazo na kutuburudisha.mungu awalinde AMEEN

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 3 года назад +6

    Mkojani siku zote anachagua wanawake wenye mvuto..

  • @novidadegreener2004
    @novidadegreener2004 3 года назад +3

    Kwenye movie zenu mtu mwenye namkubali sana ni nagwa 2,nagwa ana kipaji jamani,,nagwa regelea movie nyingine kama siaba,,huwa naipendaga sana.

  • @ramadhaniseifuledi513
    @ramadhaniseifuledi513 3 года назад +14

    Ww upendi mademu unapenda mabwana 😂😂

  • @wilbard3692
    @wilbard3692 3 года назад +8

    wakija awamu nyingine waambien na ma korodanii yapoo washindwe waoooo

  • @rashidkafashe9248
    @rashidkafashe9248 3 года назад +9

    Director hapatag kaz kwa huyu jamaa cdhan ktk swala la kumuelekeza😂😂😂

  • @globalnewstv32
    @globalnewstv32 3 года назад +3

    #Mkojani kweli kwa sasa huna mpinzani tupe raha mzee baba

  • @ibrahimu_tz1419
    @ibrahimu_tz1419 3 года назад +22

    Mkojanii huna mpinzan hapa 🇹🇿✔️🤣🤣

  • @mussamiraji2376
    @mussamiraji2376 3 года назад +39

    Nmeiwahi haha kazi yngu kuangalia feni from tanga

  • @josephsanga474
    @josephsanga474 3 года назад +32

    Nimekuwaa wa Kwanzaa like zenuu kwanguu

  • @chavarehan7773
    @chavarehan7773 3 года назад +16

    😁😁🇨🇩🇨🇩 mkojani whay aujali mbavu zetu

  • @meshackjoshua1279
    @meshackjoshua1279 3 года назад +3

    Nampenda sana huyu bro mrithi wa king majuto

  • @aliabdullah8771
    @aliabdullah8771 3 года назад +10

    Aaaa wee mokjan umenishinda tabiya eti mnakataa figo kwa chips yai

  • @labanijr5195
    @labanijr5195 3 года назад +21

    Et "usiniombeombe hela ntakutafutia bwana " 😄😄😄😄😄

  • @mwanahamisseif5506
    @mwanahamisseif5506 3 года назад +1

    Kutana na mwanaume wa kwanza kukosa hela ya gest 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kdb4230
    @kdb4230 3 года назад +11

    Wa kwanzaaa ni mm mkojanii juu

  • @estatekisombola9251
    @estatekisombola9251 3 года назад +33

    No heri nikose taulo nipate mafuta 😂 unapenda kunduchi (kwampalange)😂😂😂 ata korodani 😂🇨🇩🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺

    • @alexaiddan979
      @alexaiddan979 3 года назад +1

      Hahahah uyo mtoto Kama nimimi naenda kumuua

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 3 года назад +6

    Ata angekua anatak utosi me niko tayar 🤣🤣🤣

  • @arafasalum7534
    @arafasalum7534 3 года назад +2

    Ata km wanataka utosi mkojani yupo tayar

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 3 года назад +27

    Eti elfu Kumi yangu😂😂😂😂wew mdananda mkojan daah

  • @hazardihnokantez7270
    @hazardihnokantez7270 3 года назад +7

    😂😂😂waambie viungo vipo Tanzania watajaza kwenye ma helicopter

  • @hassanmnimbo457
    @hassanmnimbo457 3 года назад +4

    😂😂😂😂Eti siku nyingine wakitaka.hata korodani wambie zipo. 😂😂😂😂😂

  • @hasnahasna6009
    @hasnahasna6009 3 года назад +2

    Ohooo jmn mkojani usitufanyie ivo unabadilisha figo na chipsi yao🤣

  • @fatmamasoud572
    @fatmamasoud572 3 года назад +17

    Kuna siku nilikuja kulala ndani peke yangu jaalia ndio leo😂😂😂😂 Dada izo. Nywele ni Zako au wigi sasa yanakuhusu nn mkojani

    • @jayfadhil8404
      @jayfadhil8404 3 года назад +1

      🤣🤣🤣yuashindw ongea hela ya guest yuauliza wigi

    • @fatmamasoud572
      @fatmamasoud572 3 года назад

      @@jayfadhil8404 mzee chenga kweli😂😂

    • @farajaahmadmaulid3087
      @farajaahmadmaulid3087 3 года назад

      We mzee unapenda madem.. we unapenda mabwana?😀

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 3 года назад +145

    Wale ambao uaga wanaingia RUclips kwa sababu ya #mkojani like zenu jmn

  • @joventjohansenmushwaimi1988
    @joventjohansenmushwaimi1988 3 года назад +6

    "Eti unapenda mademu sana ,kwani we unapenda mabwanaa teh teh teh teh

  • @Mc_Kibonge_Mwepesi
    @Mc_Kibonge_Mwepesi 3 года назад +16

    Na mie naombeni like! Twende pamoja!

  • @abdulhamidomar8638
    @abdulhamidomar8638 3 года назад +12

    Mfumo wa upimaji wake ni km mfumo wa tezi dume😂😂😂😂

  • @nulatygoa7952
    @nulatygoa7952 3 года назад +5

    Ataangekuwa anataka Utos😂😂😂

  • @nurujuma3881
    @nurujuma3881 3 года назад +8

    Hahhaahjaahha mkojani ww hakuna wakukufanananisha nae🤣🤣🤣nakupenda kinouma

  • @azizimhina3259
    @azizimhina3259 3 года назад +1

    Dah mkojan unatuvnja mbavu ata utosi

  • @vjkesaofficial8485
    @vjkesaofficial8485 3 года назад +24

    Piten na kwangu nimepost jaman

  • @bhuzahope2746
    @bhuzahope2746 3 года назад +7

    Mnajitahidi sana wazee wangu

  • @ibragsnation2175
    @ibragsnation2175 3 года назад +2

    Haaaapaaaaanaaaa HAPANAAAA
    MKOJANI NAKUBALI SANA SWAGA ZAKO DAM YANGU

  • @user-hq1od8un9e
    @user-hq1od8un9e 10 месяцев назад

    Mkojaniii we noma sanaaa hata utosiiii pia 😂😂😂😂

  • @dantafai1020
    @dantafai1020 3 года назад +5

    We mkojani Yani hatali sana uko lazi ukose Figo ufwate dem 😁😁😁😁😁

  • @humphreynduye6239
    @humphreynduye6239 3 года назад +1

    Hkuna,,,kitu knauma kma kutngulia gesty ,,,alafu dem asje ,,et bora ufiwe,, ,yan huyuuu

  • @muadhiwahabi1593
    @muadhiwahabi1593 3 года назад +5

    🤣🤣🤣🤣figo kwa chips yai napo amegoma

  • @anwarally7611
    @anwarally7611 3 года назад +3

    Mafuta mafuta yapo eeehh tuelewane vizuri maaafutaaa

  • @yusufuassani2032
    @yusufuassani2032 3 года назад +15

    Hinaumaga hiiiiyo,nakumbuka wakati nipo kijana,nilikuwa nasubiria yani mbendeza hinapepea hata upepo hujafika .

  • @husseinhajjihussein6898
    @husseinhajjihussein6898 3 года назад +9

    Mkojani mshenzi... Tuelewane Vizury mafutaaa😆😆😆😆😆😆

  • @emanuelmasingisa8865
    @emanuelmasingisa8865 3 года назад +7

    Nzuri sana dj🔥🔥🔥🔥

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 3 года назад +5

    Nimecheka mpak nimejamba eti Ata angekua anataka utosi Mim nipo tayar utanivunja mbavu bwan mkojan

  • @bernardmathayo9881
    @bernardmathayo9881 3 года назад +8

    Hahaha mkojan shikamoo mzee baba yani ww jamaa ni noma mno watu wa wekeze kwako zaidi ya hapa ww ni unique sana bro

  • @johnbernad6806
    @johnbernad6806 3 года назад +4

    Mkojani wewe jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 3 года назад +11

    Shukran oso ndani ya damam city

  • @emanuelekking9543
    @emanuelekking9543 3 года назад +10

    Hhhhhhhhhhhhhh hhhhhhhhhhhhhh moto

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 3 года назад +6

    Kile kisabuni kidogo dogo kipo😅

  • @hamiskengwa6148
    @hamiskengwa6148 3 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣duh eti ww unapenda mwabwana au

  • @husseinbakari123
    @husseinbakari123 Год назад

    Mrithi wa king majuto huyo from Tanga

  • @Bombom-ze1sj
    @Bombom-ze1sj 3 года назад +4

    😂😂😂chips Yai anakataa

  • @mussamakange8903
    @mussamakange8903 3 года назад +6

    😁😁😁😁😁 kwa wale tunaotumia wife za bure naombeni like zenu jaman kwa mkojanj

  • @AliAli-yf5xr
    @AliAli-yf5xr 3 года назад +1

    😀😀😀 weee unapenda mabwana au

  • @kwizerasamia5397
    @kwizerasamia5397 3 года назад +4

    Kwn unajuw mafuta nin? 🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅 Mkojali
    amefili 😁😁😁

  • @franknurudin5959
    @franknurudin5959 3 года назад +1

    Ata akitaga utosi me napenda sana madem

  • @saidihamzaramadhan5577
    @saidihamzaramadhan5577 3 года назад +1

    Kkkkkkkkkkkkkkkk Mkojani jaaaamani kweli vunja mbavu

  • @saidkifunta1068
    @saidkifunta1068 3 года назад +1

    Hahahahah eti wee unapenda mabwana au

  • @moshiyusuf6379
    @moshiyusuf6379 3 года назад +2

    Dah nmecheka mpka nataka kufa

  • @ankotemba7369
    @ankotemba7369 3 года назад +1

    Tabata yetu hii

  • @severinaseverinanyoni707
    @severinaseverinanyoni707 3 года назад +1

    Sasa mkojani ukiuza figo leo hayo mapenzi utafanyaje

  • @RobbyDejan1234
    @RobbyDejan1234 3 года назад +5

    "Maaafuta"....🤣🤣🤣 Mkojani

  • @hajielmi7518
    @hajielmi7518 3 года назад +6

    Tunawapenda Sana

  • @Metpas
    @Metpas 3 года назад +14

    Wa kwanza me nipen like zanga🤣

  • @shaliffsongambele2879
    @shaliffsongambele2879 2 года назад

    Hujawahi niangusha bro iko poa sana..Mungu akuweke

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 3 года назад +6

    Mkojani nishida 😂😂😂😂

  • @bakamuubakamuu1556
    @bakamuubakamuu1556 3 года назад +1

    Ww unapenda mabwana😀😁😃

  • @fatmamasoud572
    @fatmamasoud572 3 года назад +6

    mafuta mafuta yamo eeeeh tuelewane😂😂😂😂

  • @kamalabdulla7526
    @kamalabdulla7526 3 года назад +9

    Hahahahahah wewe nooomaaaaaah heshema yako mkojani 🙌

  • @angelruth6103
    @angelruth6103 2 года назад

    Mkojan unafany kaz nzur

  • @zumemooha6504
    @zumemooha6504 3 года назад

    Oyaa movu zako zote nzuri ila unarekodi porini

  • @arafatifamauaraboy8644
    @arafatifamauaraboy8644 3 года назад

    nakubali mkojani upo ju

  • @suleimanbakari4377
    @suleimanbakari4377 3 года назад +20

    Hapnaaa, happanaaaaa.......😂😂😂

  • @petermusa4745
    @petermusa4745 3 года назад

    Mkojani umenishinda tabiya kwahapa bongo sijaona kama ww

  • @dalalimpemba
    @dalalimpemba 3 года назад +2

    Kila hatua Dua Inshaallah

  • @user-lq1lm2fg7u
    @user-lq1lm2fg7u 3 года назад +1

    Hahaaaaaaaa hahaaaaaaaa hahaaaaaaaa jaman nacheka mpaka basi

  • @eliswed7812
    @eliswed7812 3 года назад

    Hahahahahaaha kwamba ata kama angekuwa anataka utosi ungempatia noma sana mkojaniii

  • @hambalhusba9638
    @hambalhusba9638 3 года назад +4

    Nawapenda mademu wa kibongo wamejaaliwa makalio makubwa ila wamenyimwa akili na maarifa

  • @seifmohamed836
    @seifmohamed836 3 года назад +1

    yess yess mkojani naye mzungu 🤪🤪🤪🤪

  • @willyclassic9263
    @willyclassic9263 3 года назад +2

    Et at angekuwa anataka utosiii hahahaah

  • @Tech-ol3dp
    @Tech-ol3dp 3 года назад +5

    😂😂😂 usubir demu gheto af asije 🙌

  • @mbarakahamadihamadi758
    @mbarakahamadihamadi758 2 года назад

    Nywele zake

  • @graphixmaster6146
    @graphixmaster6146 3 года назад +1

    Nimekuelewa rasmi kupitia video hii😆😆😆🙌

  • @abrajuma7014
    @abrajuma7014 3 года назад +3

    Apo kwenye mafuta sasa, mafuuuuta yapo

  • @hemedbabdallah5044
    @hemedbabdallah5044 2 года назад

    Dada hizo nywele zako au wigi🤣😂😂

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 3 года назад +2

    Nyege noma

  • @diegowamutingwa8719
    @diegowamutingwa8719 3 года назад +1

    Nakubali kazi ya mkojani

  • @mtallitv9995
    @mtallitv9995 3 года назад +1

    Nakubali wanangu wa kazi

  • @dukeamos9483
    @dukeamos9483 3 года назад +4

    Wataalam wa hizi kazi.
    #100%

  • @mariatess4207
    @mariatess4207 3 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣 eti viungo vipo Tanzania

  • @mwalungoakida1092
    @mwalungoakida1092 3 года назад

    😃😃mkojan umetisha,,figo sh.25

  • @thuvakonde2584
    @thuvakonde2584 3 года назад

    Nimecheka kwa sauti mpka wananishangaa eti ata wakataka utosi 😂😂😂😂😂 mkojoni 😂😂😂

  • @salumshakespeare
    @salumshakespeare 3 года назад +3

    Happaaaanaaa

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 3 года назад

    Jamani mkojani ww kiboko yani nime cheka sana uuuuiiii

  • @Milly_tz
    @Milly_tz 3 года назад

    Mkojaniiiii wweeeeeeeee3e ishi sana 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @presidentgwimille1705
    @presidentgwimille1705 3 года назад +1

    Hahaa mkojani aminia sana 🙌🙌🙌🙌

  • @kingayo4272
    @kingayo4272 3 года назад +1

    Uyu demu kwenye mapokezi km namjua ivi

  • @muddyabdalah8968
    @muddyabdalah8968 3 года назад +2

    Mkojani chiz figo nachips yai