Thanks Davi big up 🤔 eti kuomba omba sasa huyo ukimpa Pesa yako inaenda moja kwa moja mpaka kuzimu ju alipewa hilo agizo kutoka huko halafu wewe unafirisika unakua masikini bila kujua MUNGU Atusaidie
Uyu jamaa bhana daah...sasa uko kuzimu kungekua kuzuri na kuna tiba kweli kwann ww ukumtibu pacha wako?kuzimu kungekua kuzuri au wanasaidia kwann pacha wako ulimpata akiwa tayali wamemualibu kwann awakumsaidia?na nani alimualibu kama sio aho majini?na bado eti unawapeleka watu inamana umetumwa ili uje udanganye watu waende uko waanze kuua watu .amna msahada upatikanao kuzimu amna kule ni mateso kuzimu ni sehemu ya shetani ndo mana kila mtu anaweza enda. Sijawah sikia mtu anasimulia kama shetani au mganga au jini akaweza mchukua mtu mpaka mbinguni sijawah. Naona shetani kila siku anawachukua watu na kuwaweka kuzimu na kuwaalibu then bado unasema unaweza saidia watu unasaidia vp wkt unafanya kazi na shetani?tangia lini kuzimu kukawa na msahada?pacha wako kakaa kuzimu miaka 20 umempata na ukamuua kwakua akua tena binadamu wa kawaida then now apa unasema kbs unasaidia na msahada unapata kuzimu wkt pacha wko alikua uko mbona akusaidiwa?na kina nani walimwalibu kama sio kuzimu uko? Jamani tumludie Mungu shetani sasa mnamuona kila siku anatumia watu wetu kutualibu sisi wenyewe. Yan binadamu saiz anashirikiana na shetani kujimaliza mwenyewe shetani kwetu anataka kutuumiza maana Sisi na wao ni maadui.atuna ushirikiano na majini ata siku1
My dear funga na usali kwa imani Mungu hashindwi na kitu ,,msaada wa mwanadamu haudumu na ni wa majonzi ,,mtoto wa mizimu au wa kuendea kwa waganga hafai kabisa,, I'm sure hujasikiza story ya Juma(kilingeni) ukiisikiza utabaki ukimtumainia Mungu ,,njoo watsp nikupe namba ya dokta alimsaidia dada yangu aliyekosa mtoto ndani ya miaka 7 juzi amepata ujauzito
Huyu jamaa ni muongo sana mm namba yake nnayo na hua naongea nae fuatilia part one namba yake utaikuta kule kwenye comment ni muongo sana tofauti na anavyoongea hapo
@@rosecruiz4348 mhhhhh" mwamposa na uyu jamaa kuna utotofauti gani mi namshauri afunge na kumuomba mungu atafute sehemu ambayo wanamtafuta mungu kweli kweli coz makanisa mengine ni sawa tu na waganga wa kienyeji ni bora ukose mtoto ila usiukose ufalme wa mungu
heshima yako mr facts..nakukubali sana bro.. ila naomba mawasiliano ya uyo bwana kuna ndugu yangu ni kilema myb atamsaidia...nipo mwanza. i begg u bro plz.send it via my email rubishamika@gmail.com thanks to the enough bro.
Pole Sana yule angetengenezwa kutoka Ile Ali ya umsukule yesu anaweza
Ooh nimechelew but sio mbaya...❣️
Thanks Davi big up 🤔 eti kuomba omba sasa huyo ukimpa Pesa yako inaenda moja kwa moja mpaka kuzimu ju alipewa hilo agizo kutoka huko halafu wewe unafirisika unakua masikini bila kujua MUNGU Atusaidie
Asante kaka Dv pamoja sana
SubhanahAllah, dunia ina mmbo mengi
Davista pamoja sana napenda kufatilia story zinavutia
Kuchelewa nayo 🤗
Safi sana Mr.Fact, tupo makini sana
Uyu jamaa bhana daah...sasa uko kuzimu kungekua kuzuri na kuna tiba kweli kwann ww ukumtibu pacha wako?kuzimu kungekua kuzuri au wanasaidia kwann pacha wako ulimpata akiwa tayali wamemualibu kwann awakumsaidia?na nani alimualibu kama sio aho majini?na bado eti unawapeleka watu inamana umetumwa ili uje udanganye watu waende uko waanze kuua watu .amna msahada upatikanao kuzimu amna kule ni mateso kuzimu ni sehemu ya shetani ndo mana kila mtu anaweza enda. Sijawah sikia mtu anasimulia kama shetani au mganga au jini akaweza mchukua mtu mpaka mbinguni sijawah. Naona shetani kila siku anawachukua watu na kuwaweka kuzimu na kuwaalibu then bado unasema unaweza saidia watu unasaidia vp wkt unafanya kazi na shetani?tangia lini kuzimu kukawa na msahada?pacha wako kakaa kuzimu miaka 20 umempata na ukamuua kwakua akua tena binadamu wa kawaida then now apa unasema kbs unasaidia na msahada unapata kuzimu wkt pacha wko alikua uko mbona akusaidiwa?na kina nani walimwalibu kama sio kuzimu uko? Jamani tumludie Mungu shetani sasa mnamuona kila siku anatumia watu wetu kutualibu sisi wenyewe. Yan binadamu saiz anashirikiana na shetani kujimaliza mwenyewe shetani kwetu anataka kutuumiza maana Sisi na wao ni maadui.atuna ushirikiano na majini ata siku1
Well said
Yani numecheka
Mm naomba namba yake
SubhanahAllah, yani unatoa dungu wa mtu unufaidike kweli dunia inapoelekea ni pabaya
Very sad what goes on in the world/ spiritual work. Very dark indeed.
Huyu mtu naomba no yake plz Mr fact..natafuta mtoto sipati😭😭😭😭.Plz
My dear funga na usali kwa imani Mungu hashindwi na kitu ,,msaada wa mwanadamu haudumu na ni wa majonzi ,,mtoto wa mizimu au wa kuendea kwa waganga hafai kabisa,, I'm sure hujasikiza story ya Juma(kilingeni) ukiisikiza utabaki ukimtumainia Mungu ,,njoo watsp nikupe namba ya dokta alimsaidia dada yangu aliyekosa mtoto ndani ya miaka 7 juzi amepata ujauzito
Nenda kwa mtumishi wa mungu mwamposa buldoza uta pata hata mapacha ila watoto wa kiganga wana mitihani dada omba mungu ata kupa kilicho chema
Huyu jamaa ni muongo sana mm namba yake nnayo na hua naongea nae fuatilia part one namba yake utaikuta kule kwenye comment ni muongo sana tofauti na anavyoongea hapo
@@rosecruiz4348 mhhhhh" mwamposa na uyu jamaa kuna utotofauti gani mi namshauri afunge na kumuomba mungu atafute sehemu ambayo wanamtafuta mungu kweli kweli coz makanisa mengine ni sawa tu na waganga wa kienyeji ni bora ukose mtoto ila usiukose ufalme wa mungu
David we choko tu
Hii ulitusahau ahsante
Omba omba wa kimataifa😂😂😂😂😂😂
Dhuuu, kwenda tena huko noma sana
Ety nikupige ngumi ya tumbo ushibe😀
Asante
Huyu jamaa atuangalizie magufuri kama yupo hai!!!!?
Alichukuliwa huko
Sabaa
Asante 💯🎶🎶🎶🎶
Tuma no ya sim
Tunahitaji no zake bro davi
Wadau mpo fastar kweli yani
Wasukuma hatari... Hebu safiri kwa wajita au ukerewe. Kisiwa cha tano kwa ukubwa duniani.
Naombn namba za huyu baba
Jamani nimewai wa kwanza Leo ila nimejisahau ku comment 😭😭😭
🤣🤣🤣🤣
Kesho wai zaidi
@@nurafedrick378 Inshallah 😋😋😋😋
Davistar siku mojamoja ukifanya live ili na sisi tugonge maswali itakua poa
Wajinaa...🔥
Kabisaa
Kama umesikia omba omba wa kimataifa
Omba omba wakimataifa🤔
Yani ata nje ya tz unaweza kufika
Mimi kwa hapa napita mana huko sikuwezi
First viewer
Naomba number yake plz nina shida ya msahada yake
Naomba namba zake davista please
ulipata namba yake?
Kuna jamas yangu mnageria anahitaji n ya huyu kk
Dunia inamengi mungu 🤔🇦🇪🇦🇪
naomba namba ya cm ya huyu bwana
Namba pls ya huyu jamaa
Huyo omba omba wakimataifa siataingixaa watu bonde kama ako kenyaa jamani asijekutufilisi
Mm naomba no yako davistar please 🙈
Mtu makini mwambie andondosha numbar tuonananae au Leo namazungumzo nae aje tu ruksa nilete mrejesho 🙏
Kk Davi, huyu jamaa ss anapatikana vp bila yy kutoa namba yake
Kila nikumuomba Davidstar number ya simu hapendi kutujulisha . Sasa tutasaidiwa ki vipi ?
Inabidi tupate number ya simu tuwasiliniane na Mtaalam.
Mtarogwa sikila anajielezea mkweli wakweli kawaida hua hawajitangazi mue makini NA DUNIA HII EYEE
@@mwambakakudji6288 noma kama umshapat nacc m22mie plz
Weka namba zake huyo jmas
... WICKEDNESS....
Bro hiyo kali Ila wote nima shetani duh
Kuomba kwa wakimataifa noma sana
Loo eti huko watu hawalali hapo hatari kweli huoniulimwengu wapili wagixaa Nusu ya uhai wabinadamu ni usingixi
🤔Nije ye pana ku face Camera ?? Davista take care of you! Nakufunika kwa Damu ya YESU!.. Awezi fanya mutu vibaya ili kuwe sababu??...
Ywapatikana vp huyu nae bro Davistar?
Omba omba wa kimataifa ee bwana htr
Tafadhali tafadhali nawaomba munisaidie na number ya cmu ya huyo mtibabu please please please please please please please please
ulipata namba?
Kumbe hawa omba omba si bure dunia ina mambo kweli
Anayetafuta mtoto akatafute kwa Mungu kwa mganga utapata zinduna.
Njia 7 rahisi za kutibu KIPANDAUSO
www.mrbunduki.com/2020/09/jitibu-kipandauso-kwa-njia-hizi-7-za.html?m=1
Ndio mikasa safi
Namba yake kaka
ulipata namba yake?
@@PeggyK-j2y badoo kaka na wewe
Ase basi neda ili ute utbjuden mana munatuzuga du
Unatoa kakayako msukule iliupate Mali watu bn AI kazi wanayo
🇰🇪😎
Bora umemtafuta tena maana sikujua mmeishia wap kiukweli
Aliesikia ombaomba wa kimataifa tujuane.....🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
😂😂
Neñda nae kuzm mkachukue matukio
Dunia ina mambo
Sana
🇺🇸🇺🇸Mimi sijakue lewa kabisa
Kuna watu mnacoment bila hata kusikiliza mkasa hebu like tujuane
Wanacoment wanaskiza baadaye
@@shantellemwanakombo3703 wachaaa weee🤣🤣
Naomba namba
@@FatimaFatima-gr6sg njoo nikupe
Nipe
Mimi naomba number yake pls nikashuhudie mwenye we nilete mrejesho 😊
🤣🤣🤣🤣kweli watu wamevurugwa,,,
Judue Hance nishajitoa muhanga njje niwaletee mambo ya huko
Ukipewa nishtue na mimi naitaka
Sawa nitakustua
Namba yake ipo part 2 kwenye comment
Doooh
Oyeee ombe omba wa kimataifa
Kaka Mata itabidii akupeleke huko tukuone uje kueleza live...
SAWA TWENDE WOTE WATU KIBAO NA VIDEO CAMERA TU RECORD LIVE TOKA HUKO
Wadau mnataka tumkose mtu makini wetu uko so kuzuri
heshima yako mr facts..nakukubali sana bro.. ila naomba mawasiliano ya uyo bwana kuna ndugu yangu ni kilema myb atamsaidia...nipo mwanza. i begg u bro plz.send it via my email rubishamika@gmail.com thanks to the enough bro.
David do not want to provide the contact's of his wataalam.
Very bad.
@@mwambakakudji6288 ooh! ok ...so how can i find him...? Let's do this give me any available number of davistar so i shall chek him private.
@@mwambakakudji6288 send it via my mail...rubishamika@gmail.com
huyu jamaa ni chuma, hv mti mkavu anaona ndani hapa?
jangombeboys1999