Allah atuongoze sote mimi na wewe atufishe katika sunnah akuzidishie elimu ya haq na yenye khery kwako akuepushe na elimu ya mchongo, bainisha haq na batili kwa kutaraji malipo kutoka kwa Allah sio vinginevyo:
tumefundishwa kujipamba na sifa njema,tufanye mema na kuacha mabaya,Mtume aliletwa awe kiigizo chetu ndio maana Allah amesema katika Qur an Nimewaletea mtume anayetokana na nyinyi ili wasitokee watu wakaongea kama makafiri wa nyuma,walimbeza kwamba mtume gani anakwenda sokoni kwanini asingekuwa malaika ,hikma yake ili kiigizo chetu mtume tupate kumuiga lazima tuishi nawe tule nae,tufanye mambo mengine ili tukimuiga tupate role model wa kweli ndio maana mtume aliumwa kama sisi ,alisikia njaa,alichoka lakini vipi alizishinda changamoto za kidunia na kufaulu kiuchamungu ndio tunapopupia waumini kumfata yeye ,kwahiyo hata yeye alirogwa ili kutufundisha Kwamba mambo hayo yapo na vipi tufanye,Allah ndio mjuzi zaidi
Assalam alayqum. SHEKH wetu walid alhad Mimi Ninauliza suali MTU kwaiyo alirogeka VIP na alikua na mambo yote hayo matano. Na twambiwa kwa mtume alirogwa?
Ilikuwa katika Hali ya kupeana mafunzo kwa mfano ulio hai. Mungu alitaka limfike Hilo ndio ipatikane sababu ya kuelezea kinga na kujitibia kutokana na Hilo. Mungu anao uwexo wa kumkinga mtume Kwa Hilo, ila alipenda limfikie ili yapatikane mafunzo
Swalu ala na bii Allahuma swalli ala saiidina muhammadi waalihi waas habihi asallamu 😢
SIFA 05
1.Kuunga udugu
2. Kua mkweli
3. Kubeba mazito ya watu
4. Kupokea wageni na kama hawapo kuwatafuta
5. Kuondosha majanga ktk Jamiii.
Mashaallah tabarak rahmani
Allah akuondoshee kila shari
Amiin Ya Rabb
Jazaqallah kheir
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Jazzaka Allahu Kheir Ya Sheikh
Allah akuzidishie shekh elm nakupenda kwa ajili ya Allah namwomba Allah japo siku moja akukutanishe na ww nikuone kwa macho yanqu live
Walid akiongea anaeleweka sana
Allah ampe umri wenye kheyr azidi kutufunza kheyr.
Allahumma Swalli Wassallim Wa Baarik Ala Sayyedna Muhammad Wa Alihi Wa As'Habihi Wassallaam
Allah akupe kila kheir shiekh
Allahumma Amiin
Mawaidha mazuri ,mungu akuzidoshie
Amiin
Allah atuongoze sote mimi na wewe atufishe katika sunnah akuzidishie elimu ya haq na yenye khery kwako akuepushe na elimu ya mchongo, bainisha haq na batili kwa kutaraji malipo kutoka kwa Allah sio vinginevyo:
Aslm alkm ww.... Masha Allah 🌹. Ameen ya Rabbal alamin 🙏
Ameen yarab
MaashaAlahu
Ukitoa mawaidha unaeleweka ssana,wald wetu.ALLAH atuongezee mashekh wengi kama wewe inshllah.wewe mpole,mkarim,maashaallaah.
Machallah
Shukran Allah akujaze kheir
waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Shukran jazakaAllah kheir. sheikh walid .
Asante sana sheikh Walid nakuombea afya njema na umri mrefu
Allahuma swali alaa nabiina muhammad
Shukran sheikh Mola akujaze kheri nyingi na barka Amin na inshaAllah tutayafanyia kazi 😊
Prof Walid from now I call Allah hakuifadh na hakupe umri mrefu tupate dawa ya nafsi inshaAllah
Mashallah ukumbusho mzuri, Mmungu akulipe mazùri inshallah.
Mashallah Allah akupe umri mrefu uzid kuwanufaisha watu kwa ilmu
Mashaallah allah akujaze kher sheikh wetu
Maashaallaah.alwalid,unaeleweka ssana uktoa maisha.ALLAH aklinde nachchote kbaya,naatupe pepo sote
Amiin🤲
MashaAllah Tabarakallah
Ma shaaa Allah
Kurogeka si kwa kuwa una kasoro ni mapenzi ya mungu kuwapotosha zaidi warogaji
MashaaAllah kabisa!!!
Maa Sha ALLAH sheikh wangu kipenzi... ALLAH Akupe Umri Mrefu wa Manufaa Aamin...
Barakallah fiik
MashaAllah .
mashaalah
Mashaallah
MashaAllah, Allah akulipe kheir Sheikh wetu.
JE رسول الله صلى الله عليه وسلم ALIPOTOGWA HAKUWA NA HAYO MAMBO MATANO?
tumefundishwa kujipamba na sifa njema,tufanye mema na kuacha mabaya,Mtume aliletwa awe kiigizo chetu ndio maana Allah amesema katika Qur an Nimewaletea mtume anayetokana na nyinyi ili wasitokee watu wakaongea kama makafiri wa nyuma,walimbeza kwamba mtume gani anakwenda sokoni kwanini asingekuwa malaika ,hikma yake ili kiigizo chetu mtume tupate kumuiga lazima tuishi nawe tule nae,tufanye mambo mengine ili tukimuiga tupate role model wa kweli ndio maana mtume aliumwa kama sisi ,alisikia njaa,alichoka lakini vipi alizishinda changamoto za kidunia na kufaulu kiuchamungu ndio tunapopupia waumini kumfata yeye ,kwahiyo hata yeye alirogwa ili kutufundisha Kwamba mambo hayo yapo na vipi tufanye,Allah ndio mjuzi zaidi
Jaman
Assalam alayqum. SHEKH wetu walid alhad Mimi Ninauliza suali MTU kwaiyo alirogeka VIP na alikua na mambo yote hayo matano. Na twambiwa kwa mtume alirogwa?
Ulikuwa ni mtihani kwake ili tupate salama sisi. Ndio tukapata aya zile