The big thing is that you have faith and courage my dear brother you are not alone you are with the big Father of fathers fear not more brave May God protect you and see you through and hear our prayers
Amen Sinior Dave mungu aendelee kukufunika na damu yayesu ila aujapata nguvu jamani, tena uko mwenyewe wah, damu yayesu ikufunike unapo mtafuta mwenzako,
kila la kheri kazi njema Seniors MWENYEZI MUNGU yuko kila kitu kitakua Sawa kwa Imani kulingana na mapenzi yake yatimize hapa duniani na kama huko mbinguni ameeeen tumshukuru kwa kila Jambo katika Jina la YESU KRISTO aliye BWANA na MWOKOZI wetu ameeeen barikiwa Sana nyote shalom
Dave we love you so much and am your number one fan allow me to say this today it's like you have a mental problem ni kama hao magaidi walikudunga sindano ya kutojielewa why risk your life dave😢😢we still need you si uende na dci than risking please
Ebu rudi home wewe acha kusumbua,unataka fred aanze kukutafuta tena,he's also dealing with some other things,upate shida ukiwa huko juu kazi ni live kuonyesha watu mahali uko alafu wale magoons wakukujie😢usiseme hukuambiwa juu huskiangi,dci fred is working for jay apatikane,rudi and work as a team dave please for your safety,usiku iingie tena urudi kwa ile choo,you should think twice not just making decisions by your own,dave you need advice and please just hear us,RUDI NYUMBANI MTAFUTE JAY MKIWA NYOTE😢😢😢
senior wacha kujaribu mungu....sasa uko pekee yako...kama simu iko kwa kichaka si inamaanisha Jay ako na goons..sasa wakitokea utajisaidia aje kweli?mungu atusaidie
Mungu ndiye anafanye usimpate. juu huwezani na wenye wamemficha hala jaribu kufichako vitu zako kiasi juu hujui ni wangapi maadui wanakuona ukisema mahali upo na unasema uko pekee yako. Mbona Freddy na bunduki haendangi mission pekee lazima anakuwa na back up. Senior acha kutafuta kifo na umetolewa kwayo. Unasema huogopi then ukiumwa na siafu unapiga nduru. Come home uende na DCI juu hata True K wasn't alone wakati alikutafuta
Aki dave nashidwa cha kusema,ujapona ,umeenda msituni peke yako na unajua venye uko na madui wengi aki dave umewatch kwel watu wenye walikua wamekuweka kwa msitu na dci alingangana sana .tunapenda true k but mngeenda na fred .acha kupea fred kaz ngumu sasa na ukichukuliwa tena atanzia wapi .dave plz mm ninilia yangu yote acha kwanza tuheal jay atapatikana in jesus name
Kutoka dave apatikane ako na mabadiliko sana woii mungu akuzingire na damu yake takatifu 🙏🙏 mbona ukaenda peke yako sasa 😢😢 unastahili ufanyiwe deliverance aki huyuko peke yako aki 😢
Senior aki Wacha kufufua vidonda vyenye tulipata wakati ulikua umekidnapiwa,,,y can't you hand over the case and get better first,,,ukipotea tenaaa😭😭😭😭
Dave sikia maneno enda kwa fred muende mission pamoja don't add problems juu ya problem even fred is getting tired na akikuacha no one can help you than fred
I think Dave is not in his right mind. He is even making the work of finding true K harder because now people's attention will not focus on only True K but will be divided between the two. Wisdom is needed here. Even if you love True K, you don't have to make work harder. Don't take your fans for granted.
SURELY DAVIE,,!! HOW DO YOU RISK YOUR LIFE?!,, HATA KAMA NI KUMTAFUTA TRUE K, HAKUKUTAFUTA PEKE YAKE, THERE'S STRATEGIES THAT HAVE FOR BE FOLLOWED DAVIE. TUMELIA YA KUTOSHA TAFADHALI. GO AND REUNITE WITH OTHERS, DCI FREDRICK AND THE REST.
Wilderness?,,, peke yako. Senior Dave utatuma tupate heart attack aki 😭😭. You can't go to the mission alone My Son. Mambo hupangwa watu wakiwa pamoja. Unajua hukapona bado, Wewe Davie unahitaji Maombi aki, Surely 😢
Dave please your are doing a good work but at the same time you need a team and Jay could not make it alone they joined had to get you: join hands na akina Freddie na bella
You need prayers my brother...auko peke yako there is something wrong...God protect senior dave
True
Uko peke yako
For sure Dave is not alone .
He has something in him which wants to finish his life . He needs a serious Prayer . 🙏
The big thing is that you have faith and courage my dear brother you are not alone you are with the big Father of fathers fear not more brave May God protect you and see you through and hear our prayers
May God protect Jay alfu guys Dave hayuko sawa kabsa walai 😢
Amen Sinior Dave mungu aendelee kukufunika na damu yayesu ila aujapata nguvu jamani, tena uko mwenyewe wah, damu yayesu ikufunike unapo mtafuta mwenzako,
Ulikosea kwenda peke Yako,angarau ungengojea fred
I think Dave he is not alone in his mind 😢😢😢
Dave you need prayers it's like you are not alone in your mind . Go for deliverence please
Sure
Vile Annita alimfanya hawezi kuwa sawa...
Acha mwenyezi mungu akutangulie ukutane na jay ishallah
God protect you senior dave
kila la kheri kazi njema Seniors MWENYEZI MUNGU yuko kila kitu kitakua Sawa kwa Imani kulingana na mapenzi yake yatimize hapa duniani na kama huko mbinguni ameeeen tumshukuru kwa kila Jambo katika Jina la YESU KRISTO aliye BWANA na MWOKOZI wetu ameeeen barikiwa Sana nyote shalom
Guys I think SD needs prayers this is not normal, praying for you God protect you
Senior anahitaji maombi ni kama akili yake haiko sawa
Kabisa, ako na shinda huyu
Ukweli
True
Nikama kurogwo huyu
Ebu Rudi wewe usilete shida ingine coz adi hukuli dawa zenuewe hukunywi sijui hunipedi au n Fred alisema atashughulikia true k
Mungu akusaide mubatane na rafiki yako na hii pepo ya kupotea tunaingoa katika jina la yesu Dave everything will be okey
Ebu chuga io maji isikubebe tunakuitaji sana, Mungu akufunike na damu yake in jesus name
Pole Dave Mungu akutangulie umuokoe True k
SD please recover from your first ..let DCI and the rest of team deal. I pronounce Gods protection and grace upon you
Please DCI take Dave to hospital for check up
Mm sijafuraihia ukiwa pekeyako ju nikama ujipendi
Guys pray for Senior Dave,i think he is not all alone, something is not adding up on him please
Mimi nakuombea mungu tu aweze kuwa nawe daima, 🙏
two or more heads are more than one, and remember him alone couldn't manage to rescue u so go back as Mr. Fred told u and then unite as a strong team
Aki Dave hauko serious how can you go alone a place like there and you know well you have enemies all over.
Aki Mungu akusaindie sana
Sd ayuko sawa jamani, mungu vunika yy na damu ya yesu
Seriously? 😢 SD needs counselling.
Honestly
True? Ata hajiurumii?
Dave we love you so much and am your number one fan allow me to say this today it's like you have a mental problem ni kama hao magaidi walikudunga sindano ya kutojielewa why risk your life dave😢😢we still need you si uende na dci than risking please
Wewe Dave kwanza unataka maombi xna ju hauko xwa kabisa 🙏❤️ God protect you
Senior Dave stay safe 😁😃😮😢
God,God protect your people 🙏🙏 always
Rudi studio Fred anakuitaji ndio mtoke na yeye na bellah
🙏
Ebu rudi home wewe acha kusumbua,unataka fred aanze kukutafuta tena,he's also dealing with some other things,upate shida ukiwa huko juu kazi ni live kuonyesha watu mahali uko alafu wale magoons wakukujie😢usiseme hukuambiwa juu huskiangi,dci fred is working for jay apatikane,rudi and work as a team dave please for your safety,usiku iingie tena urudi kwa ile choo,you should think twice not just making decisions by your own,dave you need advice and please just hear us,RUDI NYUMBANI MTAFUTE JAY MKIWA NYOTE😢😢😢
Senior, Senior, Senior. Sikia ya watu please. Therevus a saying that "thunder strike only once not twice" usijaribyu Mungu wako.
Dave valia sweta baridi isikungia sana kwa kifua
senior wacha kujaribu mungu....sasa uko pekee yako...kama simu iko kwa kichaka si inamaanisha Jay ako na goons..sasa wakitokea utajisaidia aje kweli?mungu atusaidie
Pastor Joshua come for your sheep. He needs special prayer now
😂we dave ww ukikufa basi utakuwa umekufa kishujaa sanaaa aiseee ❤🎉but we love u so much
God is with you
Lkni urongo waenda VP ukiwa pekeako jay hakuna pekeyke DCI mwenyewe anamiliki gun nae hakuna pekeyke ukweli NI friend lkni sio uwende pekeako kumtafuta
Honestly
Jamaa ako na kichwa ngumu kweli kweli...why don't you listen to DCi Fred
Mungu awapee neema y kutosha n dave nn mbaya n uso aky
Mungu ndiye anafanye usimpate. juu huwezani na wenye wamemficha hala jaribu kufichako vitu zako kiasi juu hujui ni wangapi maadui wanakuona ukisema mahali upo na unasema uko pekee yako. Mbona Freddy na bunduki haendangi mission pekee lazima anakuwa na back up. Senior acha kutafuta kifo na umetolewa kwayo. Unasema huogopi then ukiumwa na siafu unapiga nduru. Come home uende na DCI juu hata True K wasn't alone wakati alikutafuta
😅😅😅umeongea ukweli hata Mungu anasema anasaidia mwenye anajisaidia Sasa Dave hajipendi, pia siafu zilimfanya apige nduru kama mwanamke😂😂😂
SD waja kurisk maisha yako peke yako,rudi nyumbani muanze mission mkiwa na fred kma ingewezekana fred apewe asikari kaa watano mkitafuta jay pls rudi
The place looks familia
Aki dave nashidwa cha kusema,ujapona ,umeenda msituni peke yako na unajua venye uko na madui wengi aki dave umewatch kwel watu wenye walikua wamekuweka kwa msitu na dci alingangana sana .tunapenda true k but mngeenda na fred .acha kupea fred kaz ngumu sasa na ukichukuliwa tena atanzia wapi .dave plz mm ninilia yangu yote acha kwanza tuheal jay atapatikana in jesus name
Senior you are not okay,Toka huko msituni kama unasikia, acha kushinda ukisumbua
SENIOR DAVE GO FOR DELIVERANCE PRAYERS, APOSTLE JOSHUA IS AVAILABLE... PLEASE 🙏🙏
May God hear your prayers 🙏
Mungu tu awaonekanie Dave n jay.mnapitia shida.ju yakusaidia watu.
Wewe Dave, br careful. Remember ungenjulisha Fred, si kuenda kimandszi hivo. We are crying for you.
Kutoka dave apatikane ako na mabadiliko sana woii mungu akuzingire na damu yake takatifu 🙏🙏 mbona ukaenda peke yako sasa 😢😢 unastahili ufanyiwe deliverance aki huyuko peke yako aki 😢
Senior aki Wacha kufufua vidonda vyenye tulipata wakati ulikua umekidnapiwa,,,y can't you hand over the case and get better first,,,ukipotea tenaaa😭😭😭😭
But teck care Dave maisha yako pia ni muhimu kwetu 😢😢
Mungu akulinde
Mi nazidi kuombea mungu akua pamoja na wew
Senior Dave apimwe vizuri, apelekwe hospitali
Dave sikia maneno enda kwa fred muende mission pamoja don't add problems juu ya problem even fred is getting tired na akikuacha no one can help you than fred
How comes unaeda uko peke yako.unge ogernise team kubwa.other wise uta kidnapiwa tena aki wacha ku risk.may the Lord protect you and director Jay.
Dave pingia dci plz akusaidie juu hata mwenyezi mungu anasema usijaribu bwana mungu wako
All the best
Dave hayuko sawa cz hafanyangi kazi yake hivi ,naona akili yake pia iko overloaded na mambo
Kujipanga nayo niya maana sana.all the best
Fred please we trust on you is Dave Okey or ako under depression resque him plz na uchape yeye batako viboko
Please u can't alone this needs teamwork mshikane wewe true k hakuwa alone ,na ujue dealings with goons sio rahisi use mind wacha kutumia emotions
Mungu Linda jay penye Ako tunazidi kumuombea sana
Stay safe
I think Dave is not in his right mind. He is even making the work of finding true K harder because now people's attention will not focus on only True K but will be divided between the two.
Wisdom is needed here. Even if you love True K, you don't have to make work harder. Don't take your fans for granted.
Jay Mungu amulinde penye ako
THE BIBLE SAYS TWO ARE BETTER THAN ONE,THINK TWICE DAVE
Be careful senior Devi plz
Ungemsikiza fred,mnampea kazi ngumu
Hyu dave hayuko sw mm kila nikimwangalia
SURELY DAVIE,,!!
HOW DO YOU RISK YOUR LIFE?!,, HATA KAMA NI KUMTAFUTA TRUE K, HAKUKUTAFUTA PEKE YAKE, THERE'S STRATEGIES THAT HAVE FOR BE FOLLOWED DAVIE. TUMELIA YA KUTOSHA TAFADHALI. GO AND REUNITE WITH OTHERS, DCI FREDRICK AND THE REST.
God please linda Dave na true K
Ulilala kwa choo ama ulikutwa next time never say mahali umenjificha just say uko save nothing much your enemies are also watching
Wewe unataka maombi dave,,kwa kichaka unafanya nini peke yakoo😢😢
The problem with Dave is that he doesn't listen. Freddie told him to go back home but still he is talking about searching true k
Cunga usibebwe na maji, dave
Senior ako depressed apelekwe hosi he is not ok
Mungu akulinde 🙏🙏
Dave needs prayer aki hayuko sawa
Dci Fred pls arrange to take him to the hospital
Kweli uko sawa kweli mbona maisha yako huyapendi unaenda sehemu ya kichaka pekeyako pili huna bunduki yaani kunakitu unakitafuta
Huyu hapendi maisha yake kabisa anarisk life yake sana!
Mungu akufunike kwa na damu yake
Mungu usika tu na umusingire na damu yake🙏🙏🙏
Omba mitume waje wakusaidie plz
Pliz Dave take care of yourself because this is not normal pliz guys pigieni pastor joshua amsaindie na maombi😢
Remember vituko vya charity na philifu 😂😂 think thriwce bro
It is like Dave is depressed at all overloaded with stress
Dave, now remember your daughter Cynthia and think about her, if you love her go back so that pasters can pray for you.
Wilderness?,,, peke yako. Senior Dave utatuma tupate heart attack aki 😭😭. You can't go to the mission alone My Son. Mambo hupangwa watu wakiwa pamoja. Unajua hukapona bado, Wewe Davie unahitaji Maombi aki, Surely 😢
Dave please your are doing a good work but at the same time you need a team and Jay could not make it alone they joined had to get you: join hands na akina Freddie na bella
SD Jana ulisalitiwa na kamzee karibu wakumalize please ungengoja DCI Fred
Ju usikiangi but can't blame u hauko Sawa,,,,, unaeda aje peke yako surely
Sd pls watchout on your life and may the Blood of Jesus Christ cover and protect you. Amen!!!! 10:58
Ths guy needs deliverance and counseling, plus his parents need to have him for sometime, asaidiwe mawazo
Uchunge sana usituletee shinda juu ya shinda ingine
Plz fred jaribu utafute dave kwanza hayuko sawa
Dave mission gani unafanya?Can you do rescue nission alone ama content ndio unataka? Have atleast 2 people with you.I wish you well.
Davvy be careful
Ohoo my God whats happening senior? So sad
Ulitoka aje mck ukafika yala shinda ukifunga ukiomba mungu afungue njia
God said love your neighbor as you love yourself, meaning unafaa kujipenda mwanzo dave😢