Najua utopolo watatani league ifutwe ingawa hata ingeendelea wakashinda match zote bado wasingepata hata nafadi ya pili kwa kumtoa Azam!.Simba apewe kombe lake.
Hahahahahahaa kama na muona Karia kwa mbaaali aliyokuwa kimya wakati makocha wenye uelewa wlivo kuwa wanalalamikia uongozi wake ulivo kimya kuhusiana na baadhi ya marefa wanavyo boronga kwenye ligi na penalty za mikia DC zilivokuwa zinatukera na magoli ya offside
Rudisheni timu 18 walau tunapiga hatua kusonga mbele c kurudi nyuma
acha
Simba apewe kombe lake
#Simba hatr trick kombe👑
Mungu yup
Ligi ifutwe tu
Huwasipendi kuiona sura ya rais wa tff huwa namuona ni muuwaji no mja wa soka la Yanga na tz
Maneno mengi nenda kwenye point
Najua utopolo watatani league ifutwe ingawa hata ingeendelea wakashinda match zote bado wasingepata hata nafadi ya pili kwa kumtoa Azam!.Simba apewe kombe lake.
Hakuna chabure hapa
Hap paka kielewek 2 akuna kupewa mtu ap mpaka mwisho wa lig
Hapana ubngxa wa mezan haupo man ashke daraja ma ypi apande ma kvp
Utopolo apewe nini sasa??
Futeni tu lkn Kiongozi wa ligi apewe kombe lake
Zuch
simba apewe ndoo
Kombe ipewe timu ya SIMBA, kwani hats ligi ikiendelea simba bado itachukua tu ubingwa
Jd;w😊
League iyendelee hakuna ubingwa wa mezan hap
Ramadhani Adam we fala kwani psg gor mahia club blugge kachukua wa mezani au acha uswahili ww
Ramadhani adam ubingwa apewe utopolo fc
Kochamuludishekisindakabulayauti
Kombe wampe dingii? Anapoint kama zote
ligi ifutwe
Simba apewe kombe lake
Hahahahahahaa kama na muona Karia kwa mbaaali aliyokuwa kimya wakati makocha wenye uelewa wlivo kuwa wanalalamikia uongozi wake ulivo kimya kuhusiana na baadhi ya marefa wanavyo boronga kwenye ligi na penalty za mikia DC zilivokuwa zinatukera na magoli ya offside
Na magoli ya kona mbona usemi acha ushabiki hewa
Kombe apewe manara maana kabebwa sana
Ubigwa wakupewa mezani
Jombo
Haiwezekani