KESI YA 'AFANDE' YAKWAMA MAHAKAMANI, WAKILI MADELEKA AWAKA ADAI HANA IMANI NA MAHAKAMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 14

  • @ShillahKenny
    @ShillahKenny Месяц назад +2

    Hongera baba 💪🏽haki lazima itendeke na Allah akulinde

  • @lucia20240
    @lucia20240 Месяц назад +1

    Wakili safi sana,tuko nyuma yako hadi kieleweke👍

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 Месяц назад +2

    Nchi hii ukiwa mkubwa na cheo unawezaukaweka mhimil wowote mfukon😊.
    Mhimil unakupigia cm dah

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 Месяц назад

    Safi sana

  • @FedrickChambua
    @FedrickChambua Месяц назад

    Rushwa

  • @ayububrantaya6624
    @ayububrantaya6624 Месяц назад +1

    Tayal wamepigiwa sm😂😂😂😂

  • @edwardgerison
    @edwardgerison Месяц назад +1

    Tupo pamoja nawewe.mwamba.

  • @KIBOSHOUMBWESINDE
    @KIBOSHOUMBWESINDE Месяц назад

    Yaan kaka madereka tazama tu wew ni mwanasheria lakini unatendewa hayo mfano ingekuwa mimi masikini na huyo afande si ndo hakimu angeniona kama kinyaaa

  • @lucia20240
    @lucia20240 Месяц назад +1

    Rushwa inahusika hapo,so sad

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 Месяц назад +1

    Yaan 😢

  • @emmanuelmasatu
    @emmanuelmasatu Месяц назад

    Bro Mpaka kieleweke hakunakulaza damu.

  • @rosejohn8494
    @rosejohn8494 Месяц назад

    Tuko pamoja

  • @MwitaMuhiri-ir1eh
    @MwitaMuhiri-ir1eh Месяц назад

    Mahakama ni genge ramafisad tu

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 Месяц назад

    eti wakili wa upande wa utetezi wewe mwandishi umekariri eti