Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Napenda sana Naomi Hana ubaya na mtu mpenzi maua yake 🎉🎉❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hana mbambamba
Jila lanyimbo plz
Wa kwanza from Burundi +257🇧🇮🇧🇮❤❤nipe lik at 10 basi😊 Bhaïlam n'a team Yako I❤❤❤ uu all
Fatuma unaweza gushindana na kila kitu kwa bba bhailam hapo umeyakanyaga 😅😅❤❤❤
Jamani leo sijachelewa naipenda sana hii tamthilia inafundisha sana❤❤
Team strong mko wapi km tupo pamoja kuangalia mke mwenza naomba tudondoshe like ❤❤❤❤❤🙏🙏
Tupo kipenzi❤🎉
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Yltuko hapa
Semaga tem hammamu
Number 1 today much love from BURUNDI 🇧🇮 gong likes 5 Guys Fatma ❤ 😂😂😂😂
Na dinyo unapenda vita, ila kwa wanaume unatoka mbio😂😂
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 1wakwanza leo all the way from zambia wake wenza give me some likes
Fatuma tangu ep1 mpaka hapo tulipo niko upande wako, lakini kama umeamuwa ku andaa ugomvi na babayake bhailam simba huyo mzee ni moto 🔥 waku otea mbali 😂😂 kuwa makini Rachel wangu❤❤ kama unabisha muulize bwana dinho😂😢
😂😂😂😂😂😂
Umeonaeeeeh
𝙺𝚒𝚝𝚊𝚖𝚛𝚊𝚖𝚋𝚊🤣🤣
Huyu Mzee nampenda sana
@@AsmaAsma-gd3mv 😆😆 hana bahati
Team 2024 tukutane kwa comment 😂😂soon ukwiru utatolewa team strong hoyeee unawatch mke mwenza ukiwa wapi🇸🇦🇰🇪😂😂😂😂😂😂
Mume wakupiga wanawake ikifika kwawaume wenzake ana toka nduki 😂😂
Bi mkubwà kachoka kuvaa mawigi kaamua anyoe sasa😂😂😂😂😂😂😂😂
Rachel nakuhurumia snaa hpo kwa babake bhailam utauponzaa wew hyo mzee siwakuchezea wallah
Tena nahuyo mzee Yanga naye kitamkuta kitu pamoja na wafuasi wake😂😂, kama alishindwa kwa Dinyo ataweza safari hii? yetu macho😮😮 atageuzwa mtu bubu.
Wa kwanza mimi kutoka musoma naombeni lake zenu jaman japo kumi
Jamani kwani mumenitanguliya 😂😂😂 nimefika kwa mbioo kama Kawa kama dawa❤❤❤
Nilikua nasubir kwa ham kwel hatimae imetoka ❤❤❤
Safi sana baba bailam nakubali sana sana washiskishe adabu Hao nimeipenda hiii
Jamani dinho wey niatar 😂😂😂😂
Nakukubali sana bii fatuma unajuwa sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Safi dinyo piga uyo...alikuwa anaona raha alivyokuwa anapigwa mariamu....😂😂😂
Mganga tabia yako sijapenda ya kuwazagamua wanawake Kwaajili ya madawa yako kama unaungana na mm kuchukia matendo ya mganga gonga like
Mbna mwendelezo hamna au imeisha
Mwenyewe naitafta Sion😥
Recho unabalaa ww utakuja juta😂😂😂😂
Wow now a days hamtueki Sana.. good job 👍❤️
Recho mpuuzi pamoja na mganga wake chefuuuuuuuu
Muko salama huko nasisi tuko poa ❤❤❤❤
Mm simpendi baba bhailam, kila analofanya Rachel yy keshawai
Tuangalie na nguo za kuvaa jamaaaa mwana kavaa t-shirt imeandikwa The end na kaachika😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 waah Mzee Simba na yanga🎉🎉🎉🎉❤
Recho kipenz kuwa mpolee huyo mzee ni hatari ujue usicheze na moto kipenz changu ♥️💖
Ndinyooo Kofi ilo mkono utapinda kama wakati ule usisahau 😂😂😂😂😂😂😂😂ulikua kilema chunga Sanaa recho nawe mdomo funga baba mkwe kasha kadirika ww na huyo mganga wako mtageuzwa kuku 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
The best series ever 👌
❤❤❤❤😂😂😂
Dinyo amesahau haraka Anataka kumpiga tena Mariam😂😂😂
Hata mipia nilitasema hivyo 😂😂😅😂
Yan hii naipenda hasa naomi ❤❤❤❤
Nampenda San naomy ❤Ana sura nzuri afu tabasamu yake huwa inanifanya na mimi ni tabasamu😩😘
kazi nzuri inapendeza ❤❤❤
hupambika Sana na Rechal, kazi yako iko mambo wagwani, watching from kenya
Recho and Diknonever disappoint always😂😂,
Maashaallah tabarakallah ivi haikawii❤❤❤🎉🎉
💝💝ipetu petu mufihale twivelye tulema 😅😅😅
Ht mm nmekua wa kwnza nipeni like zngu team fulus 💪
Much love from Kenya
mke mwenza imekua story nzuri sana
Mashaallah tabarka allah, hongereni sana ila kizunguzungu leo,amka limemkuta dinyo umesahau unanyanyulia marim mkono😂😂😂😂utakumbushwa piga ucheke.❤❤❤❤nawapenda bure nyote
Nishatokea jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂😂😂
mbn mnachelewesha sana kuitoa wake wenza jaman tunaisubili kwa ham
Mashaallah mubarikiwe sana kazi zenu nzuri mno
Jaman inaishia patamuu sema saiv sio ndefuu
Me Romain from DRC , very nice season, congratulations my man bhailam.
Wa kwanza leo naombeni like zenu wapenzi😢😂😂😂😂
Aaitwa mzee mang'anya hapendagi shobo
Allow me to laugh 😃 😀 😄 😁 🤣 😂 😃 😀 😄 😁 🤣 😂 😃 kweli people are talent 😮❤
Nampenda sana naomy jinaa la mdgo wagu ❤ Naomi
Naomi yani umekuwa mpole sana mpak upole umekufanan
Huyu DINHO vipi kwani ameoa wanawake wote wa wanaume wenzio 😂😂😂
Dinyo Dinyo Dinyo nakuita Mala 3 wewe unaco kitafuta utapana unaludia tena safali iiiii utakufa tukuzike😂😂😂😅😅😅
M/mwenyez mungu awjalie namtuletee miendelezo mapema ❤
Love it ....❤ Very nice ❤
DINHO unamussi kiwa chizi tena muguse mariam uone 😂😂😂😂😂😂
Yan dinho kasahau😂kwel mjasili haachi asili
Ila dinyo kichwa majii sanaa anapenda kupiga wake zake Jamni
Baba BHAILAM 🎉🎉🎉🎉
Wow hamjawai kufel kbsa❤❤❤❤🎉🎉
Jamani mi wakwanza naombeni likes zangu❤
Hongereni akina bhailam na timu yako
Namimi kuwahi🎉🎉
Umekua mbali bahilam mpaka unaanza fanya presatetion 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Leo angalau umeongeza dakika wow🎉🎉
Dinyonyo kaanza Tena ubabe wake🎉🎉😅😅😅
Team recho tukutane hapa❤
Dah 🙆🏾♀️😂😂😂 mganga kanifurahisha eti Cocomelon 😂😂😂 Wueh 🙆🏾♀️. Interesting kama kawa 👏🏽👏🏽👏🏽💯💥
Nmemiss kafia ghetto ❤😂😂
@VictoriaSalama-vc4hm iliishaje aaah ilikua tam
Iliisha hio
@@fatumabakari2640 sjui iliishaje walete Pete basi au pia hio iliisha
Imeisha. bailm alifugwa bhona
@@HappyKibure-iz9xk nmekumbuka Sasa Asante ❤️ mpenzi
😂😂kwaiyo Leo Kuna Vita ya Simba na mzee yanga
Nice🎉🎉🎉
Good work congratulations
Nampenda.sana.naomi.hana.baya.na.mtu❤❤❤
Huyu mwarabu angeachwaa naulemavuu wake hivyo hivyo
Kiukweli naipenda sana hii series ila sipendi sana tabia za Rachel
😂😂😂 yaaa
Nikweli kabisa tabia za Rachel ifike mahali zibadilishwe ,zifikie kikomo basi.
@@Mary-fs4mc natamani siku 1 azibwe mdomo Shobo ziishe
Angepigwa ububu akae kwakutulia kwanza .
😂😂@@Mary-fs4mc
Team Rachel mwamage mko wap tujuane
Kumbe mashetan mpo na hamsemi😅
Dinyo weee hujakoma kumbe 😂😂😂😂😂
Nice ❤🔥🔥🔥🙏
Asa ww mzee yanga timu simba tuko hapa kwa baba bairam humuwez😅😅
Huku ndio kumechacha xx😂😂😂 lazma pachimbike kila cku na jipya... Nafatlia tuu nkiwa Kenya ukuu
Movie yangu pendwa hii,jua kali ishachosha
Wewe Fatma unalitafuta bala😂😂😂😂
Atleast hizo dakik pia zmeongezka which is good
Love from Chadia Official to🇧🇮
Bora kuwa single again 2024😂 Rachel jamani we kiboko ina wachezea nyuki isije ukaumwa😂😂
❤❤❤❤❤ hongera kwa kazi nzuri
sijui n wangap ila nmefika😂😂😂 japo nmeechelewa
Mashallah Mashallah ❤❤❤❤🎉
Vita ya simba na yanga😅😅😅😂😂😂😂(kivumbi leooooooo
Dino Mbona unapenda kupigana❤❤
Mbona mnachelewesha sanaa
Mganga nawavaa kanzu mbna lakin wakosea snaa wee hyo haifai akii
Jamn naomba jina la huo wimbo team bhailam
Dinyo anampenda sana naumi so ndomana maumivu yake ayaamishia kwa wake zake dah kweli mapenz kumanyoko 😢
Baba simba keep going
Nasubiri season 4.naitafuta sijaipata
Diny subutu yakukut yaliyokukut mwanz huskiy wew
Maashallah❤❤