Nakumbuka mengi juu ya ukuu wa mungu,siku nimepata ajali ya basi nakutumbukia nalo korongoni,nanikaokolewa na mungu,kweli hakuna aliyejuu yake mungu.23-8-2019.hadi leo 17-10-2020 nimepona Amina.
Kabisa!!! ...hakuna aliyeijua nia ya Bwana wala hakuna aliyekuwa mshauri wa Mungu. I LOVE THIS SONG BASI TU!!! ENDELEENI MBELE NA UTUNGAJI WA NYIMBO KAMA HIZI, BWANA YESU ASIFIWE
Cvc Mungu awabariki na awainue pamoja na familia zenu.Mnapotunga nyimbo za sifa Mungu awake sauti na maneno ya kumtukuza.Msikawai pungukiwa.Mungu awatosheleleze wote.Amen.
Hakuna siku hii nyimbo itakuja kuchuja in miaka kama mi4 toka niisikilize kwa Mara ya kwanza ubora ni uleule mwimbaji alihtendea haki wimbo unawabariki wengi huu wimbo
Nawapenda sana aic changombe hakika MOYO wangu unafulahi sana napia nikisikiliza hizi nyimbo najisikia vizuli sana nawapenda sana. mungu awabaliki sana no Mimi shabani nikiwa musoma tuko pamoja
Nakumbuka mengi juu ya ukuu wa mungu,siku nimepata ajali ya basi nakutumbukia nalo korongoni,nanikaokolewa na mungu,kweli hakuna aliyejuu yake mungu.23-8-2019.hadi leo 17-10-2020 nimepona Amina.
Mungu ni mkubwa
My choir back then when i was in Sunday school ....mammaa i love you for raising me in the word of God
Nakumbuka wimbo back at 2014 watching with our family while I was at class seven hakika Mungu ni mkuu azidi kunibariki..❤❤❤
Huwa sichoki kusikiliza huu wimbo..huwa unanitafakarisha ukuu na uweza wa Mungu kwangu. Mbarikiwe sana watumishi.
Tangu Niko shule ya msingi mpaka leo chuoni,, nasikiliza nyimbo zenu hazijawahi kuchukua, MUNGU awabariki Sana.
Amen, Mungu azidi kuwatumia kwa jinsi apendavyo
Kabisa!!! ...hakuna aliyeijua nia ya Bwana wala hakuna aliyekuwa mshauri wa Mungu. I LOVE THIS SONG BASI TU!!! ENDELEENI MBELE NA UTUNGAJI WA NYIMBO KAMA HIZI, BWANA YESU ASIFIWE
Glory to God.
Focus Mengi Yeremia
yaani huu wimbo naupenda ile mbaya
Asante watumishi wa Mungu kwa kutuinjiliisha kwa wimbo mzuri
Cvc Mungu awabariki na awainue pamoja na familia zenu.Mnapotunga nyimbo za sifa Mungu awake sauti na maneno ya kumtukuza.Msikawai pungukiwa.Mungu awatosheleleze wote.Amen.
Amen amen barikiwa sana mtumishi wa mungu wimbo safi sana amen amen
This was my fav song when i was 12 years old , nitaya kumbuka matendo ya Bwana nami nitayakumbuka , when i was in form one Maajabu yake hata leo ,
Amen amen wapendwa mu barikiwe saana Mapendo ya na matendo yake ni ya Majabu Hosanna Hallelujah I love you All
kweli kabisa bila aic choir sings me nooooo glad kabisa. Jamani watu wa Mungu God of mercy bless you all I like the song so much.
I like this song God bless you so much.vyombo vimepangwa kwa ustadi this lovely.
true
Tip Top hongeleni na mungu awabaliki sana
watumishi wa mungu wanaofikisha neno la mungu kwa uimbaji wabarikiwe
Bwana Yesu asifiwe, huduma yenu ni nzuri Mungu azidi kuwapa nguvu katika huduma hii ya uinjilisti wa nyimbo.
❤❤mama anajua kuimba huyu Sijuhi siku hizi Yuko wap
The song has nice message to gospel listener I feel humbled & blessed this Sunday
ahsante Mungu , unaesitahili kutukuzwa! wimbo mzuri
Watu wa Mungu mbarikiwe sana. Nawaombea vipawa vyenu ving'ae zaidi na zaidi
mungu awalinde niji nyote nimeupenda huu wimbo unaujumbe mzuri mubarikiwe sana
amina
Daaaaah me ni kijana m1 hivi ukinambia kuhusu choir sikuelewi ilaa chang'ombe mbarikiwe sana nawaelewa dunia nzima
Hongereni sana wateule wa Mungu ❤❤❤
Mbarikiwe huu wimbo wa ''WASAMEHE'' umeimbwa kwa umaili wa juu sana+uzoefu wa siku nyingi.Hakika utaenda kuwa funzo kwa watu wa Mungu wengi
Mungu awabariki sana kwa wimbo huu mzuri! Nyimbo zenu za zamani huwa zinanibariki mno!
Its so fresh, strong message.maajabu yake hata leo,habari za matendo Yako mungu.barikiweni wateule.
hakika Mungu mwema,,,,,,nitayakumbuka matendo yake bwana,,,,""''blessed"""""
Wimbo mzuri sana, nimelelewa sana na wimbo huu
Mangu aibariki hii kwaya. Mziki wenu unanibariki sana
When I watch on this song I blessed more🎉
you have made my day today!!!wow!am just moving slow.
Nawakubali Aic Chang'ombe
The songs are inspiring by Changombe AIC.
may the Lord bless you for spreading His word thro the songs.Very very encouraging
BELIO SIMOTWO
kazi nzuri sana mbarikiwa
This relaxes me even though I don't understand the lyrics or language. Good music.
what's your IG
Nani aliyeijua nia ya Bwana...au ni nani aliyekuwa mshauri wake Mungu......kwa hivyo tumshukuru Mungu
Asanteni san
Hakika hukumu za Mungu hazichunguziki. Amen.
I like this your songs guys.keep it up and God bless you
Hakuna siku hii nyimbo itakuja kuchuja in miaka kama mi4 toka niisikilize kwa Mara ya kwanza ubora ni uleule mwimbaji alihtendea haki wimbo unawabariki wengi huu wimbo
MUNGU awabariki AIC DAR nawapenda sana.
Safi sana
Lyrics pls
Hongereni Sana Mungu awabariki
What a song!!! God bless you all...
Amina kubwa
Mko poa keep up .God bless you all
wimbo mzr sana mbarikiwe
Ujumbe mzur kwa njia ya nyimbo
Hapa Qatar Yesu pia AINULIWE
amen naburudika ndan ya yesu wimbo mzuri sana
mwakasege mwalim
mubarikiwe
mubarikiwe
mbarikiwe sana aic changombe
Nice song. God bless you a lot.
Nabarikiwa kila wakati Kwa nymbo zenu
Nawapenda sana aic changombe hakika MOYO wangu unafulahi sana napia nikisikiliza hizi nyimbo najisikia vizuli sana nawapenda sana. mungu awabaliki sana no Mimi shabani nikiwa musoma tuko pamoja
Penda sana nyie
Kweli hyo dada anaimba vzur sanaaa
very powerful song..be blessed
Mungu awabariki
Wimbo huu unanibariki sana
soo nc songs indeed .praise God always
Thanks be to our God Almighty! Amina.
I'm blessed via this song
wimbo mulua ubalikiwe mama na sauti yako zuri
good message in Ur songs,mubarikiwe sana
tumaini haydom
you always bless me
AIC changombe vijana choir I love your songs very much .where can get your original music please?
I used to have an original CD when I was younger, I wonder if we can get new ones now days
Nimefurahi sana munguawabariki
what a choir hizo sauti zimebarikiwa
lk
Linet Okari
Linet Okari
Barikiweni San
Kila nikiskiza huu wimbo .nazidi kubarkiwa
Thanks God bless you . Your songs are excellent but avoid some (dancing instances which don't reflect the spirit of aic faith
good song. god bless us
❤❤❤❤
I love This Song
Amen. Am blessed.
wimbo mxur huo am liking it songs
Very wonderful song, I like it too🥰
Hakuna aliye juu yake mungu
AIC Changombe Vijana choir of Dar-es-Salaam, Tanzania sw-ke.facebook.com/cvcchoir with song titled: Jinsi Zilivyo Kuu''
Ameeeeen
Nirushien hii nyimbo
Amina
Nice song all the time
mbatikiwe wooote
great job i like the songs
Mpigieni Mungu kelele za shangweeeee
ZILIVYO KUU
amen
Sawafi sana wimbo unaguza sana.
Fredrick Acheza amina
sounds great
Video
Changomb vijana
glory to God
Inyimbo sipati Audio yake
lovely
How can l download this song
Amen
Amen!!!!
please what album is this song from?
God bless
Lushoto irente view hiyo
ZABURI 77
safi
what a nice song b blessed
tumaini haydom
nice song
Stephen Ngugi prefect true
Ic shinyanga
2024