Diamond Platnumz - Holiday (Lyric Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 676

  • @AndrewFundi
    @AndrewFundi 10 часов назад +88

    Wanangu wa tz 🇹🇿 mukowapi kwaku support this 🦁🎉

  • @Ndege254
    @Ndege254 3 часа назад +18

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya tunamtambua simba mmoja Simba la Masimba😂😂

  • @Jk_rules_
    @Jk_rules_ 9 часов назад +192

    Ngoma Hatari sana🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Wakenya wenzangu tupo!!!! Najua mpo,,,show love❤

  • @danielmacharia9603
    @danielmacharia9603 9 часов назад +80

    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 diamond platinum is so good to be ignored karibu Kenya ❤

  • @awadhhemed3421
    @awadhhemed3421 10 часов назад +82

    Wa kwanza kufika hapa much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 salute Simba ❤❤

  • @JosephDavid-r8y
    @JosephDavid-r8y 9 часов назад +53

    Welcome in kenya again na umusamehe mwenye akili za kitoto wilipau

  • @mudibojaffar9269
    @mudibojaffar9269 8 часов назад +33

    Wakenya Karibuni Tanzania 🇹🇿 we Celebrate This Holiday Season 🎉🎉....Much love from Tanzania 🇹🇿...NI SIMBA LA MASIMBA DANGOTE🦁

  • @TonnyTonnyking
    @TonnyTonnyking 4 часа назад +12

    Kenya's tumependa sana simba utafanya hii holiday tuenjoy sana 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 hadi zakayo anasikiza huko state-owned.......

  • @UltraLegend-p7o
    @UltraLegend-p7o 4 часа назад +14

    #kila nikipiga mahesabu sijui nani atayeweza kuvaa viatu vya Diamond platinumz naona sioni.... jamaa anajua mpaka basi🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

    • @mohamediddi4425
      @mohamediddi4425 Час назад

      Bado sana kwa bongo wa ku mrithi huyo mnyamaa simba

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 6 часов назад +15

    Kenyan gang we here🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @dogogazadogogaza111
    @dogogazadogogaza111 5 часов назад +7

    Hii imeuwa sana hatari diamond to the world 🇰🇪 umeteka nani asikuambia mtu piga twende

  • @SucessoMoz
    @SucessoMoz 10 часов назад +20

    Wa kwanza leo naombeni like lutoka Mozambique 🇲🇿

  • @WafulaKing
    @WafulaKing 6 часов назад +7

    Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumeanguka nahii moto,,,hatari sana

  • @sammondke.5434
    @sammondke.5434 9 часов назад +18

    From kenya big love lion 🦁 🎉♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Tranipos_
    @Tranipos_ 9 часов назад +17

    Baba wa taifa...uekewe siku yako katika calendar ya nchi...

  • @TrendingTiktok-n1b
    @TrendingTiktok-n1b 9 часов назад +46

    Mnao view hii comment Mungu awabariki .....tuvuke mwaka salama

  • @JamRock_Jr.
    @JamRock_Jr. 9 часов назад +18

    I don't understand one bit but all I can say is Diamond Platinum is awesome.. liking the vibes. Been following for about 3 years already now. Diamond is an awesome person.

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 10 часов назад +12

    Nimekuwa wa 1 kwasababu ni namba Moja Kwa Simba kama unaamini hyu jamaa ni noma tia kopa❤❤❤❤

  • @Young-Valentin
    @Young-Valentin 9 часов назад +15

    Kama una amini platnumz ni m'maniema toka Congo🇨🇩 like zetu niapa wamanyema

  • @martinmomanyi6803
    @martinmomanyi6803 9 часов назад +14

    mimi ni mkenya napenda ngoma yako latest sana

  • @TovexAgro
    @TovexAgro 9 часов назад +11

    It's song 🇹🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
    Ámen Mungu awe nawe na akwongoze kwenye mambo yako weeee zoooby haujuiiiiiiii

  • @NestymmwampambaNestymmwampamba
    @NestymmwampambaNestymmwampamba 10 часов назад +20

    Wakwanza mimi leo holiday ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @tanzalandtv3311
    @tanzalandtv3311 9 часов назад +8

    Mwananguuu Chibuuuuu , Simba la Masimba
    Nooma sana tufunge nayo mwaka hii holiday mzee

  • @josephambele8874
    @josephambele8874 9 часов назад +6

    we ni next level my brodaaaa afu ume relax wavimba macho wanapiga kelele WCB for life HOLIDAY DAY

  • @cliffdinho
    @cliffdinho 57 минут назад +4

    Wakenya tunakupenda siku zote🇰🇪🇰🇪❤️💯

  • @kindulijumanne7632
    @kindulijumanne7632 5 часов назад +5

    Gud job Sasa Ndio umewaziiliishia kuwa wewe ni Noma

  • @muhindojohn730
    @muhindojohn730 9 часов назад +11

    Ngoma kali sana.... Holiday m'y favorite song

  • @Eric_kioko411
    @Eric_kioko411 8 часов назад +17

    Mih ni mkenya na Diamond platnumz got my attention since Primary school days...he has done great job from the days of sacrifices to now....then someone wants to spoil something that he never contributed...Mondi has nutured someone like Konde, Chui, Zuchu, lavalava,mbosso and many more...in our country artists are very selfish, hawana roho ya kusaidia small talents.. that's they also never grow, kuangalia matokea ya wengine.....Mondi We mind Zako ,tupe Ngoma,hit 🎯

    • @MultiBarberry
      @MultiBarberry 5 часов назад

      Mtoto wa juzi hujui mziki wewe

  • @fredricksisso3574
    @fredricksisso3574 10 часов назад +11

    Number one 😅 naomba likes zangu

  • @HalimaMichael-x6x
    @HalimaMichael-x6x 7 часов назад +5

    Asante kwa song tamu la kufungia mwaka kaka mond Mungu akulinde na husda za waja nakupenda sana unaeshimisha mziki wa east africa wanaokukataa ni wao sie watanzania tuko pamoja na wewe ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @BabiryeRachealMarian
    @BabiryeRachealMarian 4 часа назад +5

    Upendo mwingi kutoka Afrika Mashariki Uganda haswa

  • @NicksonMise
    @NicksonMise 10 часов назад +50

    Mm ni WA kwanza

  • @respicioustv5834
    @respicioustv5834 9 часов назад +4

    💥💥💥💥 Ngoma ya mwaka hiii Close year with Holiday ✌️✌️✌️✌️✌️🙌🙌🙌

  • @awadhhemed3421
    @awadhhemed3421 9 часов назад +5

    Jamanii ukubwa wa msanii ni moves zake simba ana move kiinternationally msijaribu kumfananisha na vitu vya ovyo EXPENSIVE LIFESTYLE

  • @geeoutfitdesgner
    @geeoutfitdesgner 4 часа назад +4

    simba wa mbuga ya TANDALE,,,,tajiri wetu tunakupenda💚💚

  • @PetroNicodemus-g3p
    @PetroNicodemus-g3p 8 часов назад +2

    This is what we call Tanzania top music east africa kazi kazi tu atuachii kiki tuna achia hit songs usiulize hii nyimbo club uku hii ngoma inapigwa balaaa tunaishi nayo balaa na ina week moja tu is holiday Tanzania on top ❤❤❤❤

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 10 часов назад +6

    Wa kwanza simba🔥🦁

  • @Arsenalidamu3538
    @Arsenalidamu3538 9 часов назад +4

    Hongera kwà kazi mzuri..Simba wa tandale👏👏👏👏👏👏👏

  • @PETERSAMWELY
    @PETERSAMWELY 6 часов назад +1

    Brother your kill it 🙌🙌🔥🔥
    No one like you from 🇰🇪🇰🇪

  • @Razeboy-j7q
    @Razeboy-j7q 7 часов назад +2

    If you're the best your best will come Kenya my bro 🎉 waiting you achana na sisi ukuwa hvyo Kenya is the home for everyone....ama niaje...

  • @erickomwocha596
    @erickomwocha596 9 часов назад +7

    Simba la masimba dangote🇰🇪❤️🔥

  • @cannally70
    @cannally70 10 часов назад +8

    Makopa kwa King ❤❤❤❤❤

  • @SmithAfande
    @SmithAfande 4 часа назад +4

    Na simba la masimba dangote 🎉 wasafi🎉 🇨🇩🇨🇩

  • @Blir-boy
    @Blir-boy 9 часов назад +8

    Love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
    Ngoma kali sna🔥🔥🔥🔥

    • @YoungmasterMaster
      @YoungmasterMaster 9 часов назад +1

      Much love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @jembelakijiji
    @jembelakijiji 9 часов назад +2

    I'm Kenya iwill listen to diamond song Hadi nitosheke good music with my bundles with my time don't force me to listen to someone idont like kijana sukuma we go we go

  • @TrendingTiktok-n1b
    @TrendingTiktok-n1b 9 часов назад +9

    Mamaeeee unabalaa wee mtoto

  • @ZillionaireRocky
    @ZillionaireRocky 7 часов назад +4

    Hatuijui kesho 💯🔥🔥

  • @Tresortreessy
    @Tresortreessy 9 часов назад +3

    Mimi wakwanza kutoka 🇧🇮simba namba 1

  • @JackdeStudios
    @JackdeStudios 3 часа назад +3

    Heshima sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @MgayaSteven
    @MgayaSteven 9 часов назад +3

    Ni yeye bwanaa from diamond 💎 tishaaaaa sanaaaa🎉

  • @kevinkorir-xm8ik
    @kevinkorir-xm8ik 45 минут назад +1

    Love you simba🎉

  • @Officialwizzosun
    @Officialwizzosun 9 часов назад +3

    Namimi fatilieni ngoma zangu ni kali sana🔥🔥🔥

  • @TawasiruHatibu
    @TawasiruHatibu 8 часов назад +3

    Huyu brother ni noma sana🎉

  • @MugenziMozart
    @MugenziMozart 9 часов назад +8

    From Burundi I love this legend🎉🎉🎉

  • @MpembaHalisi
    @MpembaHalisi 2 часа назад

    Diamond platnumz kilochobaki saiv Mungu anamsubir akamtie peponi tu baaaas ❤ kila aina ya mziki anaijua na kuimba anajua tena anajua yeye tu pekeake HAKUNA mwengine ao wengine wanapika kelele tu na pesa anayo sasa nin chengine kilochobaki kwake kama si pepo ya Mungu!? Msaada anatoa haya ana kosa gani!?

  • @Dcreature-b4m
    @Dcreature-b4m 9 часов назад +7

    Kipchoge wetu unakimbiza ❤❤❤

  • @gaspercollins5519
    @gaspercollins5519 9 часов назад +17

    Afu utackia wakenya wanadanganyana ooh sijui willy poze huyu jamaa ni maji ucpo kunywa basi utayaoga 😂😂🙌🏾

  • @FilbertKakiko
    @FilbertKakiko 4 часа назад +4

    Sifieni kila mtu ila huyu PAPILON. 🙌🙌🙌

  • @goldenbluez
    @goldenbluez 9 часов назад +3

    Ni Golden kutoka kenya. Wewe ni 👑

  • @IreneKapusanga
    @IreneKapusanga 3 часа назад +1

    Twende jazi mazeee ni mwendo wa kussaport simba ever❤❤❤❤🇹🇿🇰🇪

  • @Shibuzeman
    @Shibuzeman 9 часов назад

    Hooooo......Holiday x3 Mnyama kashaharibu hali ya hewa...Kajificheni...

  • @bestmalya325
    @bestmalya325 9 часов назад +2

    Noma sanaa🔥🚀🦁

  • @qualityquartzmusic
    @qualityquartzmusic Час назад +3

    Hauuujui we zombie

  • @SilivyoJoseph
    @SilivyoJoseph 9 часов назад +1

    Kumbe mm nikikaza,akuna mwanamzk tz nzima wakunigusa nkichek hii ngoma na hii yangu aisee sema nn kikubwa jina apa town ukishakuwa star every things easey🎉

  • @jenifferassenga361
    @jenifferassenga361 10 часов назад +3

    Wa kwanza🎉

  • @mr_delegue_officiel9839
    @mr_delegue_officiel9839 10 часов назад +4

    Je suis le premier à commenté depuis Congo RDC 🇨🇩🎉 Lubumbashi

  • @erickmbise1063
    @erickmbise1063 9 часов назад +1

    Mmevimba sana maaani a 🙌🙌💰💰💰

  • @imanihassanisaidilumanga
    @imanihassanisaidilumanga 10 часов назад +5

    Wakwanza hapa

  • @JohnMunga-n7j
    @JohnMunga-n7j Час назад +2

    Achia vitu Baba Zombie..achana na hao wa date 14valentine...tupe video Baba 💥💥💣💣💣💫

  • @Mtendesharkan-c9x
    @Mtendesharkan-c9x 2 часа назад

    Simba anaimb kwa kwl we ni fire from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @OfficialDEPRINCE
    @OfficialDEPRINCE 10 часов назад +3

    Wakwanzaaa🎉

  • @officialrichmondchibu2212
    @officialrichmondchibu2212 9 часов назад +11

    From🇰🇪 nko hapaaa

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 8 часов назад

      Ukielekea Wapi😂😂😂😂

  • @DannyCorenda
    @DannyCorenda 6 часов назад +1

    Hiy ngomaaaa mamaweeeee ❤❤

  • @giftfungo1404
    @giftfungo1404 10 часов назад +4

    Simbaaaaaa🎉❤

  • @collins_me8649
    @collins_me8649 9 часов назад +3

    This song elevates the holiday mood truly 🇰🇪🇹🇿

  • @KhizirSuleiman
    @KhizirSuleiman 9 часов назад +3

    Unalanaa mzee balaa tupuu

  • @baburex254
    @baburex254 9 часов назад +4

    Hello big boy? You created a good song for the holyday. Congratulation #Babu Rex

  • @DjibrilSyllasylla
    @DjibrilSyllasylla 9 часов назад +4

    From guinea 🇬🇳🇬🇳🥰🥰🇬🇧🇬🇧🇬🇧

  • @MosesModoga
    @MosesModoga Час назад

    Na simba la masimba dangotee tunakukubali sana kenya🇰🇪🇰🇪

  • @hamzamussa4898
    @hamzamussa4898 9 часов назад +5

    Simba lamasimbaaaahh

  • @DIEBEGUERELIQUE
    @DIEBEGUERELIQUE 4 часа назад +3

    even though I don't understand anything in this gentleman's music but I love it too much ❤❤❤❤🎉🎉❤

  • @MpendeMohamedi
    @MpendeMohamedi 9 часов назад +2

    Video tosha SIMBAAAAAA

  • @Tikijmlengo
    @Tikijmlengo 9 часов назад

    Umetisha mapenzi mauzauza kweli 🎉🎉🎉

  • @freedomamos
    @freedomamos 9 часов назад +4

    Mashabiki hawatakosa kuweka likes za SIMBA. who trusts DIAMOND

  • @Dibon30
    @Dibon30 10 часов назад +1

    The King Himself 👑👑👑👑 The song itself is lit 💥💥💥💥

  • @queenhamduni2220
    @queenhamduni2220 55 минут назад

    Simba la masimba much respect kijana wa tz...

  • @AgostinhocosmeNambanga
    @AgostinhocosmeNambanga 9 часов назад +3

    Weweeeee zombie hajuwi

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 9 часов назад +3

    REAL HOLIDAY SONG LA MWAKA

  • @AmaniItcha
    @AmaniItcha 10 часов назад +4

    Simba 🎉🎉❤

  • @AbuuBakari-pe5lu
    @AbuuBakari-pe5lu 9 минут назад +1

    oya uyu mondi kama michael 🦁we simba aujui

  • @Michambonline
    @Michambonline 8 часов назад +1

    Nahitaji wakunikuna wapenzi wangu Nina nyegeeh nyingi nahitaji wakunikuna sijapata wakuniweka vizuriii❤ashiiiiiiih raaaaha napenda kukojozwa aiiiishiii hapo hapo baby njoo Tena nataka tena❤

  • @ChristianSiriwayo-tutaboy
    @ChristianSiriwayo-tutaboy 9 часов назад +3

    Boss de boss

  • @sirallantoiske6250
    @sirallantoiske6250 9 часов назад +2

    Enjoy Platnumz you got our attention

  • @KamazimaAusoni
    @KamazimaAusoni 9 часов назад +3

    weeeeee simbaa🎉🎉🎉

  • @Leo-Braxton
    @Leo-Braxton 9 часов назад +1

    Zambia 🇿🇲🇿🇲 approves Diamond 💎 One Love,One Blood,One Africa!

  • @RamsboyAsingeUG
    @RamsboyAsingeUG 9 часов назад +2

    ❤❤❤kama unamukubali simba nipe lik❤

  • @Ym_classic_tz
    @Ym_classic_tz 9 часов назад +1

    Wakenya mtusamehe 😢😢😢yanaongereka😢😢

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 29 минут назад

    Ngoma yangu yakufungia mwaka na kufungua mwaka mpia Chupa la kinyamwezi baada ya jeje unapata Tena utam WA kioekee kupitia hiki kichupa hue una many huna kinachezeka 🔥🔥🔥🔥🔥❤🎵🎵🎵🎵❤❤❤️🎵🎵🎵

  • @pakaboyOfficial
    @pakaboyOfficial 9 часов назад +2

    Wakwanza apo❤❤❤

  • @emmanueljohn5162
    @emmanueljohn5162 9 часов назад +3

    All closing year Bangers