MWIJAKU amchana WILLY PAUL kwa kutaka BIFU na DIAMOND, awaomba WATANZANIA waache kumzungumzia KABISA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 139

  • @Sultanrawahy
    @Sultanrawahy 4 дня назад +27

    Hapa mwijaku nakusapoti

  • @DonijaplatnumzDonijah
    @DonijaplatnumzDonijah 4 дня назад +15

    Leo mwijaku umeketa point

  • @TrameBoy-r4e
    @TrameBoy-r4e 4 дня назад +8

    Kabisah kakaa yangu chawa

  • @joyhylton7901
    @joyhylton7901 4 дня назад +7

    Simba forever!! ❤❤❤❤❤❤❤

  • @NeutralHumanKing
    @NeutralHumanKing 4 дня назад +1

    We only Respect King Kiba cz he Respect Eastern Africa uwezi kumpata kwa mambo hazifai. Long live pozzeee

  • @MajidBomu
    @MajidBomu 3 дня назад +1

    Mnamkosea Sana Simba Kumlinganisha na Willy Paul....Alikuwa na Wasiwasi diamond Akiimba Watu wataondoka aimbie viti.

  • @philipotieno9996
    @philipotieno9996 3 дня назад +3

    Mwijaaakuu huyuu😂😂 mara anampendaa Diamond tena hampeeendii tenaaa😂😂😂❤.

    • @reachmanofficial2627
      @reachmanofficial2627 3 дня назад +1

      Hana a pesaa.....gunia lakubeba maindi.....aapana s maindi.....Maindi ghali......gunia la miogooo

  • @SaidSaid-ef8md
    @SaidSaid-ef8md 4 дня назад +4

    Very true ✔️

  • @Abby_Shawn_KE
    @Abby_Shawn_KE 3 дня назад +2

    😂Anayemsikilizaga WILLY PAUL kichwa chake ni kifaa cha kubebea meno tu akili hana,.. 😂😂huwa anaimba nini huyu surely?

  • @Moshiguillaume
    @Moshiguillaume 4 дня назад +7

    Mwijaku poa kabisa

  • @djzkhankb3754
    @djzkhankb3754 4 дня назад +5

    ❤❤kweli myijaku😅😅😅

  • @FrankElias-u9i
    @FrankElias-u9i 4 дня назад +1

    Kubababaake mwijaku❤❤❤❤❤❤

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 4 дня назад +5

    Hichi kichwa nacho 😂😂😂😂

  • @KarisBaya
    @KarisBaya 4 дня назад +2

    Kwa hivyo mnalinda vya kwenu sio,kumbavu nyinyi, wacha pia sisi wakenya tulinde vya kwetu ,eeeeeh mcheza kwao hutuzwa na hutunzwa, nimejua maana halisi ya msemo huo Leo.

    • @Samueldavics
      @Samueldavics 3 дня назад

      Wasanii wote wa Kenya laba mshindane na mbosso khan tuuu maminaaa

  • @edwinkarani5593
    @edwinkarani5593 День назад

    Poleni tusamehe sanasana huyu kiherehere wetu Willy Paul.

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 4 дня назад +2

    Will P anajua kupaka piko kichwan ndio kuweza mziki😂😂😂

  • @ShaibuRamji
    @ShaibuRamji 4 дня назад +3

    Wakenya toen msanni wenu munaemuamin tushindane nae

  • @AndrewChishambo
    @AndrewChishambo 3 дня назад

    Yupi mwenye kipaji talent willy Iko Mondy sahii anabahatisha

  • @MtuSafi
    @MtuSafi 3 дня назад +1

    yani leo mwijaku anamsifia diamond ndo watu wanamwambia ana akili. Kwahyo mnataka diamond awe anasifiwa tu?. Hanaga Mistake kwenye maisha yake ambayo itamfanya watu waseme ukweli?..

    • @patrickngowa6234
      @patrickngowa6234 3 дня назад

      Its very unfortunate that Mwijaku you threaten Willy Paul wakati ww you are no body.. just domo tupu ngombe ww

  • @AishaASO
    @AishaASO 4 дня назад +3

    ❤❤❤❤❤

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 3 дня назад

    True fact mwijakuu

  • @Jpn_Studios
    @Jpn_Studios 3 дня назад

    HAPA NIMEONA UMUHIMU WA ELIMU YAKO KAKA BigUp ✅✅

  • @freenewztv9143
    @freenewztv9143 4 дня назад +7

    Mwijaku umetisha saana leo umeongea pointi saana

  • @fredrickmaitha4427
    @fredrickmaitha4427 4 дня назад +1

    Nye nye kwani we ni mungu???

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 4 дня назад +1

    Kume uyu choko sometimes anaongeaga points.

  • @nazuutv4062
    @nazuutv4062 3 дня назад

    Uko sahihi mwamba

  • @kibwanaidriss
    @kibwanaidriss 3 дня назад

    Kabisa leo nimekuelew sana

  • @EzekielMwaipopo-m4o
    @EzekielMwaipopo-m4o 2 дня назад

    Kweli kabisa

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 3 дня назад

    Mbona simfahamu mwijakuuuu

  • @elsiekendi1792
    @elsiekendi1792 3 дня назад

    Uyo mwambino hatuna Imani naye kenya bac 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @PiusWerema-k2y
      @PiusWerema-k2y День назад

      Usijal 😅😅watanzania tuna Imani na ww

  • @ShebzShabani
    @ShebzShabani 3 дня назад

    Pamoja

  • @HusseinJamal-v9v
    @HusseinJamal-v9v 2 дня назад

    Plan za wcb ni moto lazima willy Paul aludishe ufalme wake kenya

  • @nobiffb
    @nobiffb День назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @conganyoyo3195
    @conganyoyo3195 3 дня назад

    Leo umeongea ki2 Cha maana sanaa

  • @Rm2024-x3d
    @Rm2024-x3d 2 дня назад

    Nimekupenda bure Mwijaku mtoto wa maka mkubwa

  • @iradukundafabrice-q1d
    @iradukundafabrice-q1d 4 дня назад +1

    Wakubebe mahakaman uwo niwoga jana ulimualibia brandi

  • @ZakazDoctor-u8s
    @ZakazDoctor-u8s 3 дня назад

    Mwijako akifanya kosa fasta anajipendekeza baada ya kukosoa tangazo la diamond Serengeti lagar

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 3 дня назад

    Ilaaa mwijakuu

  • @nelsonkoi148
    @nelsonkoi148 4 дня назад +4

    Mwijaku nakukubali,Lakin kwa hili uongo akili yako nnayoijua hujaitumia hapa

  • @GidioniMwakatobe
    @GidioniMwakatobe 4 дня назад +1

    Kweli kichwa mviringo

    • @imanuelnguya9277
      @imanuelnguya9277 4 дня назад

      😂😂 jiangalie wewe akawii kukupeleka maakamani shauli yako

  • @DjMswati
    @DjMswati 3 дня назад

    apo nakubar mwijaku😂😂😂

  • @SamuelKitonga9698
    @SamuelKitonga9698 4 дня назад +1

    We matako kwenda huko😂😂😂

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 3 дня назад

    Ja kila kitu sasa Ni willypaul mwambino hakuna media inayosikika kwa sasa

  • @DjMswati
    @DjMswati 3 дня назад

    mwijak mdom utakuponz mwish willy paul apat ajar wat watakujia😂😂

  • @kenyafarm9891
    @kenyafarm9891 3 дня назад

    Kenya hakuna stage ya mashonga 😂😂😂

  • @seifsaidseifsaid1210
    @seifsaidseifsaid1210 3 дня назад

    We nani?

  • @12345678938129
    @12345678938129 4 дня назад

    Akili za Msomi ukilinganisha naza Babalevo 😂😂😂. Mwijaku ni Mali ya Taifa

  • @HajiHausi
    @HajiHausi 4 дня назад +1

    hayakuusu ,usisahau ulichokifanya mumbvu

  • @omarsakwa-zs2zy
    @omarsakwa-zs2zy 3 дня назад

    Mwijaku..think before you talk...kumbuka maneno uliyo muambia..dida..kisha ukaomba msamaha

  • @Jontekany254
    @Jontekany254 3 дня назад +1

    Pozee is our king here in Kenya ..,,💯

  • @Nosma2003
    @Nosma2003 3 дня назад

    kweli mwanang

  • @KenyaSihami-xb8ul
    @KenyaSihami-xb8ul 3 дня назад

    Apo umesema ikifika international wenu ni wenu kama ssi willy ni wetu

  • @lynnedarling1135
    @lynnedarling1135 4 дня назад +1

    Is that a threat?

  • @chichamusiq1498
    @chichamusiq1498 4 дня назад +1

    Hata wewe ungejifunza kukaa kimya... Ila imebidi uongee

  • @elsiekendi1792
    @elsiekendi1792 3 дня назад

    Ww nawe haueleweki mara uko kwa mwambino mara uko kwa harmonize

  • @xfamefatetv
    @xfamefatetv 3 дня назад

    Umesema DC. 4 the 1st time nadhani

  • @emmanuelnyakunga8320
    @emmanuelnyakunga8320 3 дня назад

    Kichwa mvilingo anajisafisha😅

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 3 дня назад

    Waambie sns na Rick media na baadhi ya online TV ndo wapo bize na kumtag willy

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 3 дня назад

    Hivi mwijaku ni Nani mbona simfahamu

  • @ronzevannyboychui1661
    @ronzevannyboychui1661 3 дня назад

    Hapo nimekuelewa

  • @rajimuashirafa8265
    @rajimuashirafa8265 4 дня назад

    Sasa willy Paul kayataka na kalikoroga analeta ukenya kwenye kazi za muziki kajichanganya snaaaa

  • @jeckobass7502
    @jeckobass7502 3 дня назад

    Anajisafisha 😂😂😂kwa kumponda juzi mond

  • @MsemoHusseini
    @MsemoHusseini 4 дня назад

    Pwent kaka😂😂

  • @NeutralHumanKing
    @NeutralHumanKing 4 дня назад

    Tanzania are broke! We humbled Diamond in south sudan yet kenyan are richer than us. Who's Omondi?

  • @NassimAliahmed
    @NassimAliahmed 4 дня назад

    Jhhhhhhhh wewe mnafiki sana

  • @elvisernest3280
    @elvisernest3280 4 дня назад

    Hata diamond asinge paswa kuongelea hili swala

  • @edwinokalo9790
    @edwinokalo9790 4 дня назад

    Hayaa sasawaaaa

  • @amanimartin5527
    @amanimartin5527 3 дня назад

    kumbe unaakili wakati mwingine

  • @ErickMbuma
    @ErickMbuma 4 дня назад +1

    bloo kunamda kumbe unaongeaga madini

  • @Martin..Ndegwano
    @Martin..Ndegwano 3 дня назад

    Mwijaku hiobni makende imefuraha na uko kwa trouser

  • @jumamohamed102
    @jumamohamed102 3 дня назад

    Chawa

  • @MamNassor
    @MamNassor 3 дня назад

    Leo umekua mtu wa mana

  • @ranboythetiger5346
    @ranboythetiger5346 3 дня назад

    Hauwezi tutishiaaaa

  • @EinestainBoera
    @EinestainBoera 3 дня назад

    Willy Paul alikuwa kwao make kwenu

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 4 дня назад

    Labda ni kutofahamiana , shetani imepita. Isiwe kila mtu anaongea ki vyake. Ila simba wa tz kila mtu anamlalamikia mpaka wantazania wenzake ama ni management yake. Ni too much . Tuliona all that happened. Pozeee hakuonysha nia mbaya aliongia kikawaida tu. 😢😢😢 🇬🇧 🇰🇪

  • @FridahAchieng-k1x
    @FridahAchieng-k1x 4 дня назад

    Mwambieni diamond hatumtaki ssi mtu alieliwa na p Diddy aimbe uko kwenu mashoga wenzio

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 2 дня назад

    Iv ni mwijaku uyu uyu nimekubal

  • @CLINTONMOMANYI-o4i
    @CLINTONMOMANYI-o4i 3 дня назад

    Asipovuka tunakupata bro

    • @DJ_RIGHTSIDE
      @DJ_RIGHTSIDE 2 дня назад

      ni mdomo tu unless aende kwa hao wachawi wao...hakuna kitu apo

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 3 дня назад

    Kuuliza tu mwambino ndio Nn

  • @kibwanaidriss
    @kibwanaidriss 3 дня назад

    Ivi uyu will ni msanii kweli mbn kama ling'ombe

  • @PrinceKellyOfficial
    @PrinceKellyOfficial 4 дня назад

    Watanzania kweli wapumbavu sana... Unasema tusimuongelee Tena we mwenyewe unamtaja

  • @takwimutanzania
    @takwimutanzania 3 дня назад

    Tatizo wakenya wako na wivu sana, mfano juzi hapa kwenye comment nyingi za RUclips walikuwa wakimtaja diamond kama ni msanii wao wa Kenya also they claim kuwa mlima Kilimanjaro uko kwao, they use Swahili, which is tanzanian native language, they use English which is western language, so I think wakenya wako na wivu dhidi ya watanzania

  • @verbalverbal2019
    @verbalverbal2019 4 дня назад

    Halaaa

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 4 дня назад

    Yaani wewe kiboko umeanza vizuri umemaliza vibaya diamond ndiyo mnyonge wenu na nyie ndiyo mnao sababisha mpaka huyo willy Paul adharau simba hamumueshim msanii wenu yy ndiyo atamuheshim anza wewe kumheshimu wengine watafuata

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 4 дня назад

    Unataka kumuua . Willy pozee. Bwana. Wa. Menina wewe..? Mchweee. Jaribu

  • @itsmwalebrian
    @itsmwalebrian 3 дня назад

    kumbavu zenu

  • @abrahamchengo5118
    @abrahamchengo5118 3 дня назад

    Mwijaku,matako yako,unaona wakenya tunatrend Kwa kucreate scandals kama wasanii wenu wa Tanzania mfano huo ni diamond,sisi Kenya tunatrenda na real situations

  • @JigangaNyema
    @JigangaNyema 4 дня назад +1

    Toka nikujue kaka mwijaku Leo ndo point

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 3 дня назад

    Mwijaku huomdomo wako sikumoja utakutia kwa shida.usicheze na sisi wa Kenya unamtishia msaniiwetu hilonikosa kubwa sana Willy anaweza kukushitaki na ukaptikana namakosa.chochote kikifanyika kwa Willy utajua Kobe hapimwi joto.

  • @NuruAmina-h1q
    @NuruAmina-h1q 4 дня назад

    Kwendraaaaàa

  • @elvisernest3280
    @elvisernest3280 4 дня назад +2

    Kwa mara ya kwanza mwijaku ana ongea point. Japo kua ana ongeaga shit some times

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 4 дня назад +3

    Willy paul mbona hajakosea

  • @ADISIA-FU4TI
    @ADISIA-FU4TI 4 дня назад

    Mbona wewe umeshindwa!! Kukaa kimya..!??

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 4 дня назад

    100%%

  • @vdjanseh
    @vdjanseh 3 дня назад

    Hatukatambui

  • @amaroo1220
    @amaroo1220 3 дня назад

    Wewe unauwezo gani wa kuvusha au usivushe mtu? Basi litakalo mfika Posse, utajibu wewe.

  • @mwisaentertainment2650
    @mwisaentertainment2650 3 дня назад

    Ongea ikutoke ww

  • @FabyLudo
    @FabyLudo 3 дня назад

    Kaka Leo umeongea vzuri sana nakukubali mwijaku hawala🫡🙏🏼

  • @IssaTayari
    @IssaTayari 4 дня назад

    We kwa upepo nawe

  • @yvngtrayson
    @yvngtrayson 4 дня назад +1

    Mbona mwabonga sana watz willy Paul ni mkali alafu diamond Hana kitu sisi ndo tumefanya diamond akafika mahali apo

    • @AsiaHamis-b4o
      @AsiaHamis-b4o 4 дня назад +2

      Acha hizo wew mbona mnalilia Collab na wasafi festival???kama yeye ni mkubwa

    • @niubility5745
      @niubility5745 4 дня назад +3

      Diamond hajafika hapo because of Kenyans, Tanzania are 65m population, 80% are supporting Diamond, stop lying yourself.
      We have known and supported Diamond before u guys, Tanzania is 1M miles ahead of Kenya in Music, even before Diamond we have kina Rajaab, Mwinshehe, Prof J, Mr 2,Mr nice , so we have history. RESPECT THAT. Acheni Ujinga.

    • @yvngtrayson
      @yvngtrayson 4 дня назад +1

      @AsiaHamis-b4o kwasababu hatutaki kupromote chuki kwenu but tukiamua ahatutaki story zenu hamta amini sababu ona nchi yenye inastream ngoma za diamond kwa nambari kubwa ni Kenya ata diamond anajua apa ndo alipata umaarufu so asilete kiburi

    • @RachelKavenga
      @RachelKavenga 4 дня назад +1

      Pumbavu wewe mkenya

    • @yvngtrayson
      @yvngtrayson 4 дня назад

      @@niubility5745 let me tell you something uliona video diamond alikuja Kenya kutafuta willy m tuva cause alitaka amsaidie cause alikuwa hana fan base kubwa willy mtuva akampa platform Sahi diamond ameeka kiburi but he will regret I promise you cause ata fallback kabisa bro let me tell you the thing itahappen