Asalaam aleykum. Masha Allah. Allah awa lipe kheri uongozi na waandaaji wa kipindi nyeti sanaaa cha Busati la Mtoro. Hakika Sisi wa majumbani tuna pata faida kubwa sana. Toka Ramadhan ime Anza Mpaka Leo Nime kosa cku nne tu kwasababu king'amuzi kime haribika. Roho ili niuma sana kukosa busati. Natamani liendelee hata baada ya ramadhani Km mada ya Leo ya Shk walid. Masha Allah!!!
Shekh Walid Allah akuhifadhi na akupe umri wenye baraka. Ila ninaombi moja kwa shekh Abbasia Ramadhan awe anatumia busara kwenye kuzungumza na ampe nafasi mzungumzaji sio kumkatisha katisha ili watu wafaidike na mawaidha sio kuingizia maneno mpaka wasikilizaji online kama Mimi sifurahishwi. Allah atuongoze kwenye njia iliyonyooka sote kwa pamoja.
Mwali wa fundi ni fundi, Mwenyezi Mungu akuhifadhi Alhabibi Sheikh Walid, Mwenyezi Mungu alinawirishe kaburi la Sheikh wako Mwalimu Sheikh Mohammad bin Ayoub.
Masha'allah Tabarakallah Mwenyeez Mungu atujaalie tuwe miongoni mwa wenyekufuzu, Insha'Allah.
Asalaam aleykum. Masha Allah. Allah awa lipe kheri uongozi na waandaaji wa kipindi nyeti sanaaa cha Busati la Mtoro. Hakika Sisi wa majumbani tuna pata faida kubwa sana. Toka Ramadhan ime Anza Mpaka Leo Nime kosa cku nne tu kwasababu king'amuzi kime haribika. Roho ili niuma sana kukosa busati. Natamani liendelee hata baada ya ramadhani Km mada ya Leo ya Shk walid. Masha Allah!!!
Shk Abbas ana changamsha sana busati. Ingekuwa Sio ushk anafaa kuwa mtangazaji. Masha Allah. Allah amhifadhi.
Shekh Walid Allah akuhifadhi na akupe umri wenye baraka.
Ila ninaombi moja kwa shekh Abbasia Ramadhan awe anatumia busara kwenye kuzungumza na ampe nafasi mzungumzaji sio kumkatisha katisha ili watu wafaidike na mawaidha sio kuingizia maneno mpaka wasikilizaji online kama Mimi sifurahishwi. Allah atuongoze kwenye njia iliyonyooka sote kwa pamoja.
Asalam Aleikum Warahmatullah Wabarakatuh shukran kwa kuliona hilo…
Maa Sha Allah… Mwenyezi Mungu Akupe Umri mrefu wa manufa ili tuzidi kunufaika kwa darsa zako… Aamin… nakupenda kwa ajili ya Allah..
الله الله الله
حفظك الله يا شيخ وليد
ورحم الله والديك ومشايخك أجمعين
Bismillah Masha Allah 💕 Allah awaheefadh Masheikh wetu wote. AMIN 💕
Mwali wa fundi ni fundi, Mwenyezi Mungu akuhifadhi Alhabibi Sheikh Walid, Mwenyezi Mungu alinawirishe kaburi la Sheikh wako Mwalimu Sheikh Mohammad bin Ayoub.
Allah arehemu shk mohamed ayub bado yupo hai
Allah mtukufu akuhifadhi sheikh walid
hakika sheikh walid amebadilisha kabisa maisha yangu kwa kupitia mawaidha anayotupa Allah amuhifadhi kipenzi huyu. Amin
Maashallah mm pia
sheikh letu Walid I am so happy to see in MTORO mosq
Shekh Abbas unam destruct shekh na wasikilizaji muachie shekh azungumze na ww achia mic shekh asikike pekee...
Allah atuhifadh wote
Kwelii kabisa
Mashallah
Mashaallah,
Rehma za Allah ziwejuuyenu
maashaallaah
Allah akupe kila lakheri sheikh letu tupate kufaidika na wewe pia akupe umri mrefu
Kiukweli huyu shekh ni mjuzi
Ppppp
Kiukweli huyu shekh ni mashaallah ni mjuzi