RISASI YAFYATULIWA ARUSHA MUDA HUU KUTAWANYA MAJAMBAZI WAWILI, PIKIPIKI YACHOMWA KATIKATI YA MJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 303

  • @ReganChuwa
    @ReganChuwa 5 месяцев назад +29

    Hongereni Sana maaskari wa benki na Mungu hawajaze nguvu katika kazi yenu❤❤

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 5 месяцев назад +40

    Unaweza kuta waizi tupo nao online wanacheki tukio

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 5 месяцев назад +13

    Paro ndefu waweza kufa kabla hujapigwa 😂😂😂😂😂 huko mtakufa vibaka kila siku

  • @JosephM.meiliari
    @JosephM.meiliari 5 месяцев назад +34

    Inawezekana ndio hao unaowahoji

    • @twahiluiddi5312
      @twahiluiddi5312 5 месяцев назад +2

      Sio kila mtu Arusha anaongea hivyo ni mwizi

  • @dp.digital_
    @dp.digital_ 5 месяцев назад +22

    Craw nzima ya Ayo tv mnanifrahisha Kwa uharaka wenu

  • @GaudensiSilayo
    @GaudensiSilayo 5 месяцев назад +21

    Pengo umenifurahisha😅

  • @IreneCharles-l2f
    @IreneCharles-l2f 5 месяцев назад

    Jamani tumuombe Mungu sana Arusha imezidi na matukio

  • @ChristianKiponda-d7e
    @ChristianKiponda-d7e 5 месяцев назад +4

    Arusha Watoto wengi, wanalelewa na Mabibi Zao, au Mama Zao, Wengi Hawana Baba Mmoja, Mama Leo Ameingiza baba Huyu, kesho Baba Mwingine.kwa Hiyo Watoto wengi Hawana malezi Bora, Mtoto Lazima alelewe na Baba na Mama.

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 5 месяцев назад +13

    Imefikia hatua nikiwa barabarani,situmii wala kushika Cm kabisa.

    • @JoyceMugeta
      @JoyceMugeta 5 месяцев назад +1

      Mimi walishanipora dar mchana kweupe barabarani,sina hamu na tangu siku hiyo siongei na simu barabarani

    • @benjo_brighter
      @benjo_brighter 5 месяцев назад

      Pole sana

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 5 месяцев назад +27

    Arusha kunakazi kubwa sana makonda afanye kazi kweli kweli maana so poa Aisee mpaka kunaogopesha

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 5 месяцев назад +1

      anakatazwa kuwashughulikia wahujumu na wahalifu kama hao kwahiyo anangalia tu maana alianza vizuri mafumbo kwa rais yakaanza kua anafanya kazi kwa ubabe

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 5 месяцев назад +2

      Basi mtihani kwa kweli

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 5 месяцев назад

      ​@@aishaalbalushaishabalush8291Kwa kauli Ile wapigaji wa Hela za serikari hawataacha

    • @miriamdavis3893
      @miriamdavis3893 5 месяцев назад

      Kenya ipo Arusha jamani

    • @miriamdavis3893
      @miriamdavis3893 5 месяцев назад

      ​@aishaalbalushaishabaluhash8291

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje 5 месяцев назад +5

    Simu ya laki2 imetia hasara ya pikipiki ya milioni 2 hii ni akili au matope dah jamaa wanna hasara ya milioni na laki8

  • @angolina1768
    @angolina1768 5 месяцев назад +8

    Mmh Kardinal pengo weee 😂😂😂

    • @EdnaMbowe
      @EdnaMbowe 5 месяцев назад +1

      😂😂😂😂😂😂

  • @AlexMoses-mp8sl
    @AlexMoses-mp8sl 5 месяцев назад +3

    Kazi nzurii wezi Kam hao nawao wangechomwa na utakuta waezi wapo onlne wanasom coment zetu

  • @wabikeog_373
    @wabikeog_373 5 месяцев назад +2

    Kujielezea sas Kwa chugaa😅😅 ,bab ako

  • @aboudijaaboudija
    @aboudijaaboudija 5 месяцев назад +14

    Mwenye digrii😂😂😂😂

  • @stuntkizzy
    @stuntkizzy 5 месяцев назад +18

    Dah! kadinali pengo😂

    • @denismasele4130
      @denismasele4130 5 месяцев назад +3

      Oyaa sio poa cardinal pengo😂😂😂😂😂

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 5 месяцев назад +1

    Mimi ni mwathirika wa kuibiwa na watu wa bodaboda walipitia pochi yangu wakaondoka na ada ya mtoto wangu nililia mpaka nikaomba Mungu iwe ni ndoto...hawa watu wanaumiza sana sana aisee

    • @annamacha2518
      @annamacha2518 5 месяцев назад

      Pole nenda hospitality wanatibu fasta

  • @fatmamdihiri4164
    @fatmamdihiri4164 5 месяцев назад +6

    Alipoliza mzigo aliacha bonge la paroo 🤣🤣🤣🤣🤣🙈

  • @kulwamikwanga3112
    @kulwamikwanga3112 5 месяцев назад +7

    Degree ya wizi Arusha ya pamba moto Askari hongera sana kwa kazi nzuri mungu akubariki sana kwa umakini wako huenda wangepora pesa hapo hao ni vibaka tu kama vibaka wengine so majambazi makonda oparesheni maarum ifanywe mkoa mzima na kamandi ya jeshi la Akiba ndo wataizibiti Arusha bira huruma vijana hao wakamatwe walale sa 11 jioni mitaa ifungwe ndo watakua na hakiri binadam anajita eti wadudu kweri 🤔🤔🤔🤔🤔

    • @emanuelherman7029
      @emanuelherman7029 5 месяцев назад

      Peleka ureee huko wadudu tulale saa 11 umelogwa wewe kausha dingi huna lakusema kuhusu chuga yetu

    • @TumainiSawee
      @TumainiSawee 5 месяцев назад

      Achana nae huyo ​@@emanuelherman7029

  • @monicamwainunu7908
    @monicamwainunu7908 5 месяцев назад +27

    Kadinali pengo umetisha chaliii wangu

    • @ArafaAmirAmir-ci7ld
      @ArafaAmirAmir-ci7ld 5 месяцев назад

      😂😂😂😂😂

    • @mussatete2618
      @mussatete2618 5 месяцев назад

      😂😂😂

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati 5 месяцев назад +1

      Asimchafue kadnali huyo muhuni sio kadnali

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 5 месяцев назад

      😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉

    • @RoseKimath
      @RoseKimath 5 месяцев назад

      😂😂😂😂

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 5 месяцев назад +15

    Chuga yetu ni 🔥🔥🔥

  • @letthedeadburythedead2148
    @letthedeadburythedead2148 5 месяцев назад +15

    Ukiongea na sim road ishike kama roho yako, especially hapa chuga

  • @estermmafie1758
    @estermmafie1758 5 месяцев назад

    Arusha aina tofauti na Nairobi, lugha nitofaut na count zingine, na mikoa mingine kwa tz, utaskia paro, mbao n.k,

  • @Kibaadvocate
    @Kibaadvocate 5 месяцев назад +3

    Ila Arusha sijutiii kuolewa na mmasai ni burudani tuuu😅😅😅😅

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 5 месяцев назад

    Safi sana.Yatakamatiwa sehemu nyingine.

  • @RaphaeliYohana
    @RaphaeliYohana 4 месяца назад

    Noma Kwa sana

  • @UFALMEWAMUNGU
    @UFALMEWAMUNGU 5 месяцев назад

    WAKENYA ACHENI KUDHARAU POLICE WENU, SISI NI MAJIRANI WENU, KIKINUKA KWENU HADI MKAIONA NCHI CHUNGU MTATULETEA SHIDA SISI WATANZANIA ACHENI.

  • @SirajiJafari
    @SirajiJafari Месяц назад

    Eh yaan huko arusha matukio hayaishi kila siku mungu awapunguzie matukio ya aajabu ajabu

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 5 месяцев назад +3

    Balo ni panga au nikisu mmmh 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abuukamanda.s.mkenga6687
    @abuukamanda.s.mkenga6687 5 месяцев назад +1

    Mmenistua kusema et majambazzi. Jambazz anakwapua sim🙆??? Hao v baka

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 5 месяцев назад +20

    Hahahaha ripota umepata mtu wa kumuhoji

  • @saidbaker3339
    @saidbaker3339 5 месяцев назад +1

    Akatoa paru ARUSHA STAND UP

  • @CatherineMbatta
    @CatherineMbatta 5 месяцев назад

    Huyo ambaye amehojiwa anayesema ni msoni inaweza kuwa ndio yeye ,Roho inauma hapo boda yake imechomwa ina maana hajui kutamka panga ,hizo lugha wanazotumia hapo ndio hizo wanazotumia usiku ili usijue kasema panga au bisi bisi huo mngekamata mkasweka ndani,hao wote wanaoongea kama wanatoka usingizini iazishwe oparwsheni Yao mbona watazungumza vizuri Tu

  • @AgnessPetro-y3x
    @AgnessPetro-y3x 5 месяцев назад

    Ndio hao hao wameiba uku USA mara mbili jaman, ila hao lazima wafe

  • @DeruDeru-p4t
    @DeruDeru-p4t 5 месяцев назад +3

    Arusha noma sana jaman baba kazi unayo kila tukio ukisikiliza ni Arusha duh

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 месяцев назад

    Daah ase Arusha kwa matukiooo dah so Poa 😂😂😂

  • @JacksonJacksonjacki-c7b
    @JacksonJacksonjacki-c7b 3 месяца назад

    kweli kak nakubali

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 5 месяцев назад

    Mungu anawaona vijana wa Ar na viswahili vyenu😂😂

  • @lellovenance5702
    @lellovenance5702 5 месяцев назад

    Uyu chali ameongea sana mpaka Kidog atoboe siri eti mi hapa mwenyewe ukinichek mi sio mwizi lakin nkishikwa kwenye uwizi 😅yaani hapo alitaka kusema mi mwenyewe mwizi wenzangu ndio wamekimbia mi nilikuwa safisha njia wa mguuu 😅😅😅

  • @ezrageofrey9668
    @ezrageofrey9668 5 месяцев назад

    😂 😂 😂 Uyo witness nikama😂😂 au basi

  • @RoseKimath
    @RoseKimath 5 месяцев назад

    Kadinali pengo umetishaa babaakeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 5 месяцев назад

    Issue ya majambazi nendeni mjifunze Rwanda nimekuwa Rwanda kwa muda fulani lkn huwezi kuona jambazi na dolla zinauzwa peupe, kama hujui kubali kujifunza, Rwanda hakuna case ya jambazi hata moja.

    • @EphraimMwandemange
      @EphraimMwandemange 5 месяцев назад

      Arusha ya bashite

    • @ZuwenaSeif-m7y
      @ZuwenaSeif-m7y 4 месяца назад

      Kbx Rwanda hakuna wizi huo nimeisha kule muda mrefu pale nyamirambo yani kule unatembea muda wowote unatumia sim muda wowote bila wasi wasi

  • @frankkisiki4832
    @frankkisiki4832 5 месяцев назад

    Nime porwa simu siku ya Idd majuzi, na vijana wezi kwa mtindo huu wa kutumia pikipiki. Hali ya wezi wa namna hii lazima ikomeshwe ipo siku wata kuja kuingia choo cha kike.

  • @saydonahmed5469
    @saydonahmed5469 5 месяцев назад

    Kadinali Pengo noumaaaa 😅😅😂

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 5 месяцев назад +4

    Safi sana boda wa Arusha

  • @tuikezeezra1315
    @tuikezeezra1315 5 месяцев назад

    Aise watu wana maneno yakuchekesha, ila wezi nao wanapora hadi mchana🤣🤣🤣🤣🤣

  • @JubilateChristopher
    @JubilateChristopher 5 месяцев назад +8

    hiyo pikipiki iangaliwe plate no itakulikana mmiliki ni nani achukuliwe atua

    • @josamjoel2079
      @josamjoel2079 5 месяцев назад +2

      Je kama mmiliki kampa boda amletee hesabu

    • @StephanoMoses
      @StephanoMoses 5 месяцев назад

      ​@@josamjoel2079 ndo safi hyo bada alopewa diga ili alete hela akamatwe abanwe pumbu na shoti ya umeme ataje hyo cheni yoooote wanaoshieikana tatu mzuka

    • @emanuelherman7029
      @emanuelherman7029 5 месяцев назад

      Pikipiki nyingi chuka plate no ni bandia nyingi zinaibiwa kenya nakuingizwa chuga kiharamia ni chache sana ambazo zinafahamika

    • @amanijm746
      @amanijm746 5 месяцев назад

      Mi enyee ukinicheki, unaeza sema sio muizi, lakini ukinishika kwenye uizi, si ni mwizi...

  • @lellovenance5702
    @lellovenance5702 5 месяцев назад

    Anaongea kwa uchungu huyo chalii wa 1bmbona kama ROHO imemuuma bike kuwaka moto

  • @NAMAYANINANYARO
    @NAMAYANINANYARO 5 месяцев назад

    Mungu naomba uwaponye vijana wa Arusha..too much Pombe

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 5 месяцев назад

    😂😂😂uyu kijana amenichekesha san😂

  • @BabuNyau
    @BabuNyau 2 месяца назад

    Huyo shuhuda nacheka tu😂😂

  • @ClementSenkondo
    @ClementSenkondo 5 месяцев назад +1

    Mtu umekaa zako kwako unaona chumaako ulioandikishana na wauni wakuletee hesabu inakula Moto😂😂😂

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 5 месяцев назад +6

    Machuga.bila risasi hapakai sawa, simu ya Elfu sitini umekula hasara ya Laki Saba, akili mbovu tafuta hela wizi utakupeleka kaburini mapema

  • @selinathindwa9754
    @selinathindwa9754 5 месяцев назад

    😂😂😂😂 unaweza kufa kabla hujapigwa

  • @raymanmwangosi5041
    @raymanmwangosi5041 5 месяцев назад

    toa hao wazee acha machalii wa R watoe ushuda hao wazee hawakuwepo😂😂😂😂😂

  • @MichaelMaro-hj7yo
    @MichaelMaro-hj7yo 5 месяцев назад

    MNAIBA SIM KUCHUNGULIA KABURI ARUSHA KWISHA

  • @SadaKigwangala
    @SadaKigwangala 5 месяцев назад

    Mtihani mm naificha ata jwenye mkoba siweki maana wizi hatarii

  • @exodusmgohachi1733
    @exodusmgohachi1733 5 месяцев назад +1

    Aliyechoma pikipiki anawajua hao majambazi hapo ameoteza ushahidi kama pikipiki ilikuwa ya hao majambazi

    • @uwembatvonline
      @uwembatvonline 5 месяцев назад

      Kwani plate number hamna..?? Si tunaangalia..

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje 5 месяцев назад

    Kadinali pengo asie hata na mwanya😂😂😂

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka 5 месяцев назад

    Wapewa kibarua,kwa government 😮

  • @mwajumakatani4915
    @mwajumakatani4915 5 месяцев назад

    Hivi Arusha ni Tanzania Mana kila cku ni matukio

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc 5 месяцев назад

    Kadinal pengo sasa maneno kama pparo dah😂😂😂

  • @samohboy9937
    @samohboy9937 5 месяцев назад

    Huyo mwenye kofia nyeus mbon kama ndio mwizi mwenyewe😅

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 5 месяцев назад +6

    Shikamoo Arusha

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 5 месяцев назад +2

    Wezi wenyewe wapo apo apo

  • @emaneman7899
    @emaneman7899 5 месяцев назад

    😂😂pengo nina buku yako😂😂

  • @AnnaMollel-w6m
    @AnnaMollel-w6m 5 месяцев назад +8

    Duh chuga yetu na vijana wetu wanavoongea sasa😂😂😂😂

  • @FatmasaidhamesaHamesa
    @FatmasaidhamesaHamesa 5 месяцев назад

    Mm😂😂😂😂 leteni kenya huyu jamaa

  • @MaryNickson-z3q
    @MaryNickson-z3q 5 месяцев назад

    😂😂😂😂 kadinali pengo haki haki kizazi cha nyota 😂😂😂 Mungu tusaidie

  • @ShokishokiHostel
    @ShokishokiHostel 5 месяцев назад +1

    Paruu😮

  • @mirzah117
    @mirzah117 5 месяцев назад

    Kuwatawanya majambazi ila waandishi wa siku hizi

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 5 месяцев назад +2

    Waandishi muwe mnahoji watu wanaojielewa kama hao wawili wa mwisho

  • @dativalyamuya6972
    @dativalyamuya6972 5 месяцев назад +2

    Sema Arusha 🙌🙌🙌 lugha yao tuuu ya kihuni huni 😅😅 wenye D mbili ndo watawaelewa

  • @JoyceMwita-e3w
    @JoyceMwita-e3w 5 месяцев назад +12

    Kadinari pengo duh😂😂😂😂

  • @RukiaMhando-q8o
    @RukiaMhando-q8o 5 месяцев назад

    Askari anapiga risasi juu kwa wizi wa simu na huku aliliona tukio zima sasa wangekuwa majambzi wa benki angetumia nini.

  • @elandaboyz
    @elandaboyz 4 месяца назад

    Watanzania waoga Sana 😂 mnacha wezi wanakimbia

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 5 месяцев назад

    Si ndo kama ivi😅😅😅😅😅😅😅

  • @JosephAlakonya
    @JosephAlakonya 5 месяцев назад +2

    Ingekwa Kenya wangechomwa wote waizi pamoja na pikipiki

  • @JamuhurSifa
    @JamuhurSifa 5 месяцев назад

    Dah jaman EAH iyoo mpya

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 5 месяцев назад

    Dah! Hii ni hatari

  • @RithaMengi
    @RithaMengi 5 месяцев назад

    Chuga 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @FrankGasper-eq2ui
    @FrankGasper-eq2ui 5 месяцев назад

    Naskia pale kwenye hice wadada uuuuu kuangalia hiv mara naskia puuu

  • @nizoplatinumztz8025
    @nizoplatinumztz8025 5 месяцев назад

    Hahahaaaa 🙌 hawa wanao hojiwa wanajibu kwa mzaha sana

  • @ZariaAbdullah-r5t
    @ZariaAbdullah-r5t 5 месяцев назад

    Pengo nakukubali unajuwa kuchana vibaya mna unakipaji aise

  • @nyollystar2327
    @nyollystar2327 5 месяцев назад

    ila Arusha si ni Kenya tu huko sisi wa Dom tupo TZ hayatuhusu aiseeee

  • @MayungaPlatinumz
    @MayungaPlatinumz 5 месяцев назад +1

    😂😂😂 mwamba pengo anaelezea kwa umakin usipoelewa rud darasan

  • @rajabumalilo1875
    @rajabumalilo1875 5 месяцев назад

    Wameshindwa kuwakimbizA zamani mwizi anakimbizwa hadi anakanatwa

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 5 месяцев назад

    Usikute boss mwenye piki piki nae yupo hapo hapo roho inauma kishenzi

  • @hamadichopoti2996
    @hamadichopoti2996 5 месяцев назад

    Ila harmonize 🙌

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi 5 месяцев назад +4

    arusha mnafelii sababu ya kutamani vitu vidogo kuweni kma wachaga wanaba mamilioni ya pesa angalieni sasa mnajifanya wajanja akati wageni wakuja ndo wanamiliki pesa asee nyie ni machali zng asee achen upuuzi mtazidi kusema wachaga wachawi kumbe cc n wapambanaji

    • @knowledgeispower1118
      @knowledgeispower1118 5 месяцев назад

      Wachaggaa wanapesa za kuweka ndugu zao daharini na karibia kilimanjaro yote kila nyumba ina kichaa nenda rombo,kibosha n.k
      Kuwatoa ndugu zako kafara ili upate pesa maana yake umeshindwa kutafuta pesa kwa akili zako za kawaida mpaka unaomba misaada kwa mashetani.
      Swala la uwizi limetapakaa Dunia kote nenda nairobi,southafrika n.k..acha dharau we mtu wa kishimundu

    • @MandoliiMoshi
      @MandoliiMoshi 5 месяцев назад

      @@knowledgeispower1118 na ww nenda kaweke ndugu zako darini ili upate pesa wachaga ni wapambanaji toka miaka ya ukoloni kama wanaloga na ww kaloge

  • @ole_larusai587
    @ole_larusai587 5 месяцев назад +2

    Kuna tofauti Kati ya majambazi na wezi

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 5 месяцев назад +11

    Kwel Arusha Kuna vijana wa ovyo

  • @ConfusedBlueMackerel-cr6up
    @ConfusedBlueMackerel-cr6up 5 месяцев назад

    Ila wachuga mna nin jamaniii

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 5 месяцев назад

    Mii apa enyewe unaweza kusema sio muizi ila nikishikwa kwenye wizi si muizi wenye D mbili tumeelewa

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 5 месяцев назад +5

    Sio wa zoefu hao wenye kazi zao wanasoma mazingira kabla

  • @SalumMadimba
    @SalumMadimba 5 месяцев назад

    Cardinal pengo😂😂😂😂😂

  • @caltontones
    @caltontones 5 месяцев назад

    Mbn mnachoma bike ya chaliangu asee😂😂

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 5 месяцев назад +2

    Kuna mikoa kila mtu waeza muhisi ni mwizi japo ni kosa kuhisi hisi, piga picha hawa jamaa ndio mashahidi kwenye kesi yako labda hakimu , waendesha mashikataka , wanasheria na majaji wote watokee huko huko, yaani kuna vi swahili ukivizikia unatamani uzibe masikio, tunakuomba saana Mhe SSH Mpandishe cheo Makonda atoke huko maana hata yeye hajaumbiwa shida hizi haahahahaaha

  • @Rukwembe7712
    @Rukwembe7712 5 месяцев назад

    Me namuomba Mungu msimu ujao simba tubebe ubingwa

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 5 месяцев назад

    Duuuuuuu mtani nitakujakukucheki usambala uende