Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 2 (Darsa ya 1/2)
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Huu ni mwendelezo wa somo la kwanza ambapo leo tutafanya mazoezi mballimbali yanaohusiana na somo lililopita.
Hakikisha umetazama Somo la kwanza sehemu ya kwanza ili kuweza kuendelea na darsa hili.
Kwa maswali na maoni andika kwenye comment hapa chini.
Maashaallaah Allhamdullaah mungu akuweke akupe Barak nyingi Amiin
Shukran maalim jazaka llah kheiran
Masha ALLAAH
shukran shekh
Shukran
Mashallah
Shekhe pendekezo langu ni kwamba andika kabisa sentensi ili tuweze kunakili kwani wengine hatuna vitabu vya light.
Kaka shukran sana ila andika ndio vzr zaid tupate kuelewa vilivyo
Maashaallaaah
Nipo oman sijui kiarabu hata mm napata tabu sana nimepata waswaili
Pole ndugu yangu tatu ☹️Mimi pia nipo omani Nina miezi Sita Tu lakini alhamdulillah 🙏🏻 naelewa kila waongeacho kama anavyoongea Hutu mwalimu na Nina watt basi rahisi Sana maana kila siku naongea nao.kiarabu kizuri sana
mashaallah
Maishallah somo zuri
Acha kusema ,na kadhalika ,usichoke kurudia majina ya vitu ,na pia acha kuenda haraka,kama ungekua unaandika ungekua na utaratibu mzuri wa kueleweka,unatufuna lugha geni ,kua mpole huezi funza kwa haraka hivyo ,take time you have agood book,hatuna time ya ku load
Masomo yako mazuri ila hi mi nyimbo katikat ya masomo unatu malizia mb zetu
Assalam aleykum jamani namtafuta huyu mtu kama ana mawasiliano yake
Tumia Whatsapp 0625528326
hbr yako mwalimu
Je unaweza kunitumia kwa email hicho kitabu
Je mwalimu nitapata wapi kitabu hicho ili niweze kuendana na darasa lako?
naomba unitumie soft copy ya hicho kitabu email yangu ni abdallahkiyeyeu8@gamail.com
Nimeipenda sana
MASHAALLAH