SHEIKH ABDULQADRI ALJEILAN ALIKUWA NI SHEIKH WA AHLUSUNNA WALJAMAA WALAA HAKUWA TWARIQ KAMA MNAVYODAI NYIE MADAI YENU NI SAWA NA MADAI YA MASHIA YA KUDAI ALI BIN ABU TALIB ALIKUWA NI SHIA WAKATI WAJUWA WANAMZULIA UWONGO
Utaitwa na Allah utoe ushahidi alaf shia na sufi ni vitu viwili tofauti shekh usioende kuongea jambo ambalo huna elimu nalo ni bora unyamaze mm ni sufi na hayo khs ally ibn abi twalib ulosema ni uongo na unetuzushia na Allah atakutaka ulete ushahid juu ya hilo
Mtume s a w alisema kutakuja watu wajifanya wana ilimu lakini hawana wajuwalo kazi yako kutukana wana zuoni na mrongo ataonekana mkweli na mkweli ataonekana mrongo Kwa hio usishangae wanazuoni kutukanwa iko siku ya hukumu Allah atawahukumu tu hawa wanao tusi mashekhe wanazuoni
@@fikafikan8484Hii hadithi imeidanganya. Mtume alisema itakuja miaka ya khadaa, wataswadikishwa waongo na watakadhibishwa wakweli, na watatokea ruwaybidha. Au kama alivyo sema mtume. Lakini kidogo tu jambo la watukana maulamaa Albeidh alikua nayo, mara ngapi amembeza Ibn taymiya bila kwa hoja finyu.
Mungu akurehemu amiin
Shukran
Tatizo unasoma vitabu vya wenzio! Je kama waliandika tofauti na alicho kusudia
SHEIKH ABDULQADRI ALJEILAN
ALIKUWA NI SHEIKH WA AHLUSUNNA WALJAMAA
WALAA HAKUWA TWARIQ KAMA MNAVYODAI NYIE
MADAI YENU NI SAWA NA MADAI YA MASHIA YA KUDAI ALI BIN ABU TALIB ALIKUWA NI SHIA
WAKATI WAJUWA WANAMZULIA UWONGO
Utaitwa na Allah utoe ushahidi alaf shia na sufi ni vitu viwili tofauti shekh usioende kuongea jambo ambalo huna elimu nalo ni bora unyamaze mm ni sufi na hayo khs ally ibn abi twalib ulosema ni uongo na unetuzushia na Allah atakutaka ulete ushahid juu ya hilo
Mtume s a w alisema kutakuja watu wajifanya wana ilimu lakini hawana wajuwalo kazi yako kutukana wana zuoni na mrongo ataonekana mkweli na mkweli ataonekana mrongo Kwa hio usishangae wanazuoni kutukanwa iko siku ya hukumu Allah atawahukumu tu hawa wanao tusi mashekhe wanazuoni
kabisa kaka
Someni
@@fikafikan8484Hii hadithi imeidanganya. Mtume alisema itakuja miaka ya khadaa, wataswadikishwa waongo na watakadhibishwa wakweli, na watatokea ruwaybidha. Au kama alivyo sema mtume. Lakini kidogo tu jambo la watukana maulamaa Albeidh alikua nayo, mara ngapi amembeza Ibn taymiya bila kwa hoja finyu.
Wewe una ndevu
Je wewe ni mwanke?