🛑FRIJI BOVU : HII NI BAABKUBA SIMBA YAWAOMBEA URAIA WA WACHEZAJI TISA, AHMED ALLY AWEKA WAZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 17

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 часа назад +1

    SAFI SANA SIMBA. NA WACHEZAJI WETU WAPAMBANE SANA NDY LIGI ITAKUWA SANA TANZANIA. SIMBA IKIFANYA KITU NA WENGINE WANAIGA.

  • @AndrewAristaricko
    @AndrewAristaricko 3 часа назад

    Ubayaa ubwelaa ❤❤,,ombeaa uraiaaa adi camaraaaa

  • @joackimumalya7138
    @joackimumalya7138 4 часа назад +1

    England,ufaransa

  • @JamesPaul-o2h
    @JamesPaul-o2h 3 часа назад

    Idadi sio shida frijji bovu hapo ndipo wazawa watakapo kaza Buti kweli kweli

  • @jonesrukonge4403
    @jonesrukonge4403 2 часа назад

    Hapo kwenye aliyeanza kubadirisha uraia siyo Black star, kumbukumbu zinasema kwamba Simba ndo wa kwanza kubadirisha uraia w Kibu D
    Kuwa mtanzania

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 часа назад

    WAZAWA HAWAPAMBANI KWENYE TIMU ZAO. WANAJISAHAU WASAJILIWE ILI KUKUZA LIGI YETU

  • @bavonichristopha1693
    @bavonichristopha1693 3 часа назад

    Je wachezaji wenyewe wapo tayari?

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 9 минут назад

    Jee wachezaji wenyewe wako tayari? Haya mambo ya singida na Simba ni jambo la kipuuzi kabisa

  • @AbdulWihambo-g3k
    @AbdulWihambo-g3k 3 часа назад

    Me naona fresh tu kama wazawa hawapambani si Bora wapew challenge Kwanz me nataman kwa maendeleo ya taifa staz

    • @Visionaria_HD
      @Visionaria_HD 3 часа назад

      na sio mara ya kwanza hata france si unaona

  • @saidbakari2408
    @saidbakari2408 3 часа назад

    Wapewe tu uraia kwaajili ya maslahi mapana ya nchi sasa si ndo watapambana hao wazawa

  • @markmangaya4947
    @markmangaya4947 4 часа назад

    Unajua wachezaji wengi wa Ufaransa ni wa Africa,wamepewa uraia kwasababu ya kucheza Mpira tunza kisiti hiyo friji bovu.

  • @LaurentMasangwaNyanda
    @LaurentMasangwaNyanda 4 часа назад

    Wanaruhusiwa kugombea ubunge na nk?

    • @LeninVladimir-i4v
      @LeninVladimir-i4v 3 часа назад

      Inahitaji muda kujihusisha na siasa pamoja na uongozi ni insue nyingine nk

    • @twalbuhaji
      @twalbuhaji 3 часа назад

      😅😅😅😅😅😅