Huu Ndio Ukweli Usio Pingika Kutoka Kwa Duktur Islam

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 ноя 2024

Комментарии • 43

  • @mhusinigau3231
    @mhusinigau3231 2 месяца назад +2

    Allah atuwafikishe yaliyo ya sawa

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 2 месяца назад

    Na wenye hv tabia za kujifanya wamesoma n hawa wakisufi akisoma kidogo kiburi kinajaaa acheni kumuweka maneno duktur kwa mdomo Allah subhannahu wa taala awaongoze na awahifadhi masheikh wetu wa Sunnah

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 Месяц назад

    Ngurue ni ngurue Ali Funza

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 Месяц назад

    Haya anayo yasema ndio maneno ya ukweli kwani mawaidha anapewa Nani hayo ndio ya hao wanao radi radi wenzao Hali yakuwa bado ni watoto ktk elim

  • @Abuu-lr5bz
    @Abuu-lr5bz 2 месяца назад +1

    Wallah dini wangeachiwa masufi basi ingekuwa zaidi ya ukristo

    • @VuaiAli-zt9ib
      @VuaiAli-zt9ib 2 месяца назад

      Ujinga umekuzidi tu.

    • @zanlec7357
      @zanlec7357 2 месяца назад

      Leo ndio nimeamini kua USUFI na TAKATAKA. NA UOZA KABISA. TENA MASUFI NI WENDAWAZIMU KWA MUJIBU YA MANENO YA IMAM SHAFI

  • @ShamsudeenOmary
    @ShamsudeenOmary 2 месяца назад

    Huyuu anajiita Ali faza ataenda kujibu mbele ya mola wake hili analolifanya ana anawadanganya wasiofuatilia na kujua mambo yananenda vipi, sas utamdanganya vipi mtu km mimi kwa hizi clips ulizozikata😂 km si kujidanganya.
    Kwa faida ya wale wasiojua, hawa mashaykh wote watatu ni kitu kimoja hakuna anayeweza kusimama kumbeza mwenzake na wamejaaliwa hikma Maa shaa Allah

  • @mussajuma9281
    @mussajuma9281 2 месяца назад +2

    Dr mwenyewe ni mtu wa kupinga bida'a. Sasa mnakata vipande vipande

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 2 месяца назад

      Wanadhani hatujui hivi n duruus tofauti za kupinga bidaa hata wakiweka manusu yao hawawezi

  • @AshrafAKhan-ql1tb
    @AshrafAKhan-ql1tb 2 месяца назад

    Wanayoyafasiri/wanayotasoma hawa masheikh kwenye vitabu hivo yapo sawa kisheria? Ni maneno ambayo yapo sawa kisheria ndugu yangu ali faza?

  • @mzeemmwinyihajihatibuhatib9331
    @mzeemmwinyihajihatibuhatib9331 2 месяца назад +3

    Sheikh mche mola wako hayo maneno umeediting Akhui hata dr.islam hakumaanisha hivyo unavyo kutetea barazanji

  • @omarkhamys9818
    @omarkhamys9818 Месяц назад

    Hayo maneno ya hao vijana hata shk Abdallah Saleh si aliyazungumza? Shida nn? Kama vijana hawako sahihi ... Lete usahih wew si duktor kushaogelea bahar kubwa!!! Mambo ya shibr na ufukwe wala hayatusaidii

    • @ShabaniJumbe
      @ShabaniJumbe Месяц назад

      Huyo shekhe duktur ajazungumza kuhusu maulidi huyu jamaa kaeditu tu usimlaumu shekhe

    • @omarkhamys9818
      @omarkhamys9818 Месяц назад

      Nimekuelewa

  • @HusseynSingano
    @HusseynSingano 2 месяца назад

    Shekhe hiyo SIO maanayake mtumehafuti madhambi soma balagha

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 2 месяца назад

    Dr haku jibu mas'ala ya kwasidaha, lakini Dr anazungumzia maneno mengine ku husu bidaa haihusu masala ya ya shirkiati ya bazranji

  • @abdul8378
    @abdul8378 2 месяца назад

    Laa haula wala quwatta illa billa ...ww ali faza jichunge sana kufanya istihzai kwa dini machezo yako fanya kwengine si kwa dini plz

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 Месяц назад

    NIMESKILIZA VIZUR JAPO IMEEDITIWA ILA MAKUSUDIO APO NI KUWA BACHU NA ALI WAO BADO NI WATAFTA ELIMU WAACHE KIBRI WATULIE WAKAE CHINI WASOME WATAKUJA KUJIKOJOLEA BURE

  • @tariksalim2659
    @tariksalim2659 2 месяца назад +1

    Mpaka Leo hakuna Sheikh wa kisufi aliye jitokeza kutueleza ibara hizo za barzanji Wanyama kuongea lugha ya kiarabu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 месяца назад

      Hakuna au hujataka kusikiliza?. Wewe husikilizi Sufi, sasa UTAJUAJE kama tushajibu au bado?!

    • @tariksalim2659
      @tariksalim2659 2 месяца назад

      @@hilalkhalfan1452 nipe jibu bac ww shabiki wakisufi

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 месяца назад

      @@tariksalim2659 funga HAJI UPEPO , MAHYI DHUNUBY. PIA AL HATMY KAJIBU . KWA HADITHI ZA MTUME SAW. sasa husikilizi Ni mwenyeo

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 месяца назад

      @@tariksalim2659 shekh Haji upepo Msikilize, MADA, MAHYI DHUNUBY

    • @LalyBadi-r3t
      @LalyBadi-r3t 2 месяца назад

      Fuatilia Al ihsan TV umuone alofamfanya bachu ajikojolee akisherehesha barzanji

  • @ilyasawadh6375
    @ilyasawadh6375 2 месяца назад

    Tusiwe Na shine Sisi maamuma Ni Bora tuwashauri mashekhe wetu wawe Na munakasha nyingi zenye Amani. Ndio tufahamu vizuri kuliko kutuma comments zitakazo zidisha chuki kuliko elemu. Baada YA mjadala wewe Kama MTU mwenye akuli timamu utakuwa Na kuchagua upande urakao Pata.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 месяца назад +1

    Tuwashukuru sana wanachuoni kwa kutuekea
    Elimu ya " jarhu na taadili"
    La sivyo masufi wangeichafua sana dini

  • @TRIPLE.3Rs
    @TRIPLE.3Rs 2 месяца назад

    Khizirr ni najisi tu na wewe unaunganisha kuchafua ukweli kwa kusudi kuchafua ukweli..Ngurue kwa dini

  • @Muislamu
    @Muislamu 2 месяца назад +1

    Yani ww ali faza mizani yako kua kitu ni cha sawa mpka ikurudhishe ww na makhurafi...basi jua dokta islam akuzungumzia ww na kama ww

  • @binfarhan879
    @binfarhan879 2 месяца назад

    Ali Faza Muogopa Allah mbona hata yy Dr. Islam pia kwenye baadhi ya clips zake atasema maneno hayo hayo kama aliyoyasema Shekhe Ali na Shekhe Bachu.
    Je unamaanisha anaradi maneno yake?
    Muogope Allah then ni kwann haujamieka upo mbele Basalim na Haji Upepo na pia wao wavibri naatusi kwa Wanzuono!

  • @LASSUH4947
    @LASSUH4947 2 месяца назад +1

    Hahahahahaha maskini wanajiona kma ndio mashekh wakuu duniani kumbe ata bado ndo ata kuanza kusoma bado lkn wakisoma huenda wakajua makosa yao na kuacha kutukana watu

  • @bobsule5183
    @bobsule5183 2 месяца назад

    Ali Faza mnaafik tu

  • @mamduhjumaan5915
    @mamduhjumaan5915 2 месяца назад

    Hao watia maneno ya Daktur.. na kueka pictures za wanaopinga maulid. Kupotosha watu kama ambaye Daktur anawakosoa wao.. wanafik wakubwa kazi ku edit darsa na kueka pictures za wengine .. kuonyesha kama wanakhtalifiana. ALLAH ATAWASHINDA

  • @wamiujizacholo7413
    @wamiujizacholo7413 2 месяца назад

    Docteur islam unamtia vipi apo wakati yeye pia anapinga maulid,, 😂😂😂

  • @ZakariaBoy-fv3kh
    @ZakariaBoy-fv3kh 2 месяца назад +2

    We ni jahil hutaki haki Acha ku edit video ukitafuta utetezi wa uzushi

    • @ShamsudeenOmary
      @ShamsudeenOmary 2 месяца назад +2

      Huyuu ananikumbusha pale ambapo maquraysh walimuita mwenzao Abul-hakam kwa ule ufundi aliokuwa nao ktk kutia fitna, kisha mtume akamuita Abujahal kwa kuwa ujuzi wake anautumia ktk njia ya batweel wal iyadhu billah

    • @ShamsudeenOmary
      @ShamsudeenOmary 2 месяца назад +3

      Sasaa ali faza tukimfananisha na abu jahal kutakuwa na tatizo gani??