Masha Allah wallahi sheikh Mansour mawaidha mazuri sana Allah anijalie mimi na wewe na wazazi wetu na watoto wetu na waumini wengine tukaingie peponi kwa pamoja , Amiin
Allahuma aaamiin Allah akupe umri mrefu akupanulie rizki yako kwani umewafungua macho waliokuwa vipofu Allah akuingize pepo ya juu ya firdaus اللهم قلت قلبي على دينك🌹🌹🙏🏻🙏🏻🙏🏻😥
Sadaqta ya sheikh hamza Mansoor Kwa khutba Yako hiyo inagusa moyo wangu na pia na omba allaah hiyo khutba ishike ya hawo wandugu zetu uwarabuni haswa wavijana wakarne ya Sasa wasipoteya katika ujahilia yazama zile kabla ya uisilamu kushuka hapo.duniani allaah away rudishe kwenye Noor kabla mawti.yawo inshaallaah tabaaqa.allaah ameen
Kati wa maustadhi bs uyu namkubali sn sm yangu nimewek mawaidha yk na Kila sk lazma niskilize itokee tu Bahat mbaya naskiliza sio Kwa muda huu kabla ya ramadhan lazma nikumbuke kifo ipo sk ntakufa na kifo kipo kalibu
Masha Allah wallahi sheikh Mansour mawaidha mazuri sana Allah anijalie mimi na wewe na wazazi wetu na watoto wetu na waumini wengine tukaingie peponi kwa pamoja , Amiin
Mashallah uhibukafiillah shekh
Mashallah shekhe Allakupe mwisho mwwema
Allah ukutuhifadhie Sheikh wetu naakupe mwisho mwemaaaa katika Maïsha Yako allahuma amiiin ya rabbi lalamin 🤲
Akupe Mola umeri yenye kheir ba baraka kesho mbele zake ustdh Hamza
Mashaallah
Allah atjalie mwisho mwema
Mashallah tabarakalah!mawaidha mema shekhe,Allah atujalie kheri na neema ya kuidhamini maisha ya Akhera InshaAllah.
Mola wetu atupe mwisho mwema 🤲🙏☝️
Yaaa cheik mwenyezimungu akujaliy mwisho mwama
Mashallah
Shukran Allah akupe kila lenye kheri na akuepushie kila lenye shari
Jazakallah khaillha kwa ukumbusho
Subhaana llah
Aamin AllAh atujalie
Allahu akulipe wema zaidi na akujalie Jannah siku ya qiyama. Huu ni ukumbusho kubwa sana
Jaazakmlah ghaira
Mashaalah sheikh hamza my role model
Anla azidikukupa afya uzidi kutukumbusha inshaanla nakupenda kwaajili ya anla
Mashallah jazakllah khair
Allah akubariki na akuhifadhi
Sheikh wetu
Kwa ukumbusho
Muze mungu atulinde
Allahuma aaamiin Allah akupe umri mrefu akupanulie rizki yako kwani umewafungua macho waliokuwa vipofu Allah akuingize pepo ya juu ya firdaus اللهم قلت قلبي على دينك🌹🌹🙏🏻🙏🏻🙏🏻😥
Mashaallah
Manshaalah mungu akupe kheri n atubariki sote n kutufungulia nyoyo zetu kwa kumkumbuka allah
Mashaallah❤️❤️❤️
Yaallah tujalie mwisho mwema 🤲😭😭
Amina 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mashaallwah Mungu atufanyie wepesi insha'Allah
"""""shukran sh. wetu """"
"""mungu tupe mwisho mwema """"
Shukran
Ukweli kbs shekh
Allah atuongoze
Ya Allah tujalie mwisho mwema
Swadaqt Sheikh Hamsa Mansoor Allah Aku fungulie milango ya peponi
Allah atujalie waumin mwisho mwema
MashaAllah
Sadaqta ya sheikh hamza Mansoor Kwa khutba Yako hiyo inagusa moyo wangu na pia na omba allaah hiyo khutba ishike ya hawo wandugu zetu uwarabuni haswa wavijana wakarne ya Sasa wasipoteya katika ujahilia yazama zile kabla ya uisilamu kushuka hapo.duniani allaah away rudishe kwenye Noor kabla mawti.yawo inshaallaah tabaaqa.allaah ameen
Swadacta kk
Mashaallah 😢😭😭😭
Allah,,ya Allah,,ya Allah,,machoziiii,,subhanallah
mashallah ❤❤❤
❤
Kati wa maustadhi bs uyu namkubali sn sm yangu nimewek mawaidha yk na Kila sk lazma niskilize itokee tu Bahat mbaya naskiliza sio Kwa muda huu kabla ya ramadhan lazma nikumbuke kifo ipo sk ntakufa na kifo kipo kalibu
Yani napenda mawaidha yako sana napenda nije kuwa kama wewe ndio malengo yangu
🤔🤔🤔
Kabisa
😭😭😭🙏🙏🤲☝️
Duu nikiwaza haya maneno hatali
Mawaidha yako ni mazuri shekhe unatupa faida
Mashallah
❤