SOGGY DOGGY: Bora Remmy ONGALA kuliko ALIKIBA au DIAMOND
HTML-код
- Опубликовано: 29 ноя 2024
- LilOmmyTV channel maalumu ya Burudani na EXCLUSIVE interview kutoka kwa masta unaowakubali.
Hakikisha una Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp au mitandao yako ya kijamii (facebook na twitter).
Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com
for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea lilOmmy.com
Wawa Ommy Watu Kama Hawa Ndo Wanataka Waibadilishe Game Kabisa He Is Real Man First To Know Him He Speaks it All..🙌🏽♥️🇰🇪🙌🏽
SOGGY NAKUMBUKA SANA WAKATI UPO TIMES ULIPELEKA NGOMA YANGU JUU WEW NA THAJI LIUNDI BIG UP SANA.
Unajua kuna kitu hua kinanishangaza saana....
Mtu unaanzaje Kudislike interview kama hii?
Kweli Wabongo hatuna Dogo
Kaka watu hudhani kudis Dis ndo kuonekana wanajua kumbe ni namna ya ku lack knowledge na upendo pia
Gerald Mstaulo
Pouwaa pouwa Kiongozi
Hahaha! Waafrika tuna tabu saaaaana
Daaaaah show kalii hii lilommy nimemfahamu Sana'a sogy kaongea point apo bits style za kuimba kufanana kiukweli sometimes it become monotonously this situations
SOGGY DOGGY PAMOJA SANA MZEE BABA itravyu iko play
Charles Edward interview
Nilianza kumsikia sogdogi mwaka 1999 kweli na mimi nishakua shabiki legendary wa mziki wa bongo flever 😁😁😁😁
Mzazi nimekuelewa sana,good memories Brother,May all Mighty be with us forever
Moja kati ya albums nlzonunua Soggy Doggy,Ngwear,Alikiba,Mb Dog, Daz Baba. Mziki wa zamani ulikua poa sana
Innocent Tendwa jay moe je
Kweli Soggy unachokisema.nyimbo zenu Ni Age yetu.....zikipgwa huwa nakumbuka mbali sana.Kibanda cha simu nini Asu yaan saana tu.big up broo....na mlivyokuwa mnavaa mabuga sasa bro mlitisha na mtaendelea kukumbukwa na wahenga kama cc
One love Brother nakumbuka anko wangu alikuwa anakusikiliza nadhani kulikuwa na Maneno kama "ilala maskani navyoipenda ilala" nmekusikiliza kama nna miaka 8 1995
wooow yaani ngoma alizogusa zoote ni hit songs aiseeeee
lilommy uko juu brother napenda sana kaz zako
Kurekodi TZS 10,000. Nimeanza kujikubali mi mhenga!
Kumbe ww ni producer mkali sana
😅😅😅
Ommy umetulizwa, huyo msenge anaongea balaa,
Story inazaa stories 😂
Huyo ishomile aka Chief Rumanyika...anaongea kuliko aliyemwalika!
Sogi noma sana yuko god sana na mdini yaliyokuwepo zamani hayapo sasa na kuyapata sijui tungependa bigapu kwenu.
Daaaaaah jamaaa namkubali Sana'a tangu yupo kule Uhuru FM na bidada yule Samira kiango pia kwenye kibanda cha simu aliua hadi ile nyerere ft chege
Nuhu Salim upoo Nuhu henzi hizoooo kibanda cha simu eti k... cha uzushi .... aisee mkali soggy bro Bongo ilikuwa bongo wallah
Sogy sio kwa uboraa huu wab interview aseee uko juu
Daaah,aseee huyu jmaaa ni noma sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 point nyingi @sogidogi 👏👏👏👏
Nakukubali Legend Soggy Dog Hunter from kitan kwetu Hot Pot Family
Oya lil ommy fanya interview moja ya kizaz sana na Afande sele kitu gani kilifanya wadisiane na Soggy kipindi kile si unajua afande kipindi hicho alikuwa na singo moja inaitwa mayowe aliimba na jay moe ilikuwa hot sana
Safi sana Soggy waeleze new school tumetoka wapi
Sogy nakumbuka 1995 tulikua darasa moja form 2 tukiwa ......hahaha akina Joshua,Wilfred etc
ni kweli soggy na ss tunatamani zipigwe za enzi zetu tunaenjoy sana ...tena ukinipigia kibanda cha simu ndio haswaaa
Madini sana. Big up
BBoy wapi jamani aisee? Hii track acha kabisaaa! Mi sina DEMU!!
😊😀😀😀☺☺regardless ya umeongea pointi au sio,tatizo ni pale unapoona wa sasa hawafanyi kitu ilihali nyinyi nyakati zenu hata Kenya tu ilikua shida,ni sawa na kufananisha elimu ya mkoloni na elimu baada ya mkoloni,ni vitu 2 tofauti,nyakati zinabadilika unataka vipi MTU 2018 aimbe kama ulivyokua ukiimba ww2002,mbona mnarudi kwenye game na mna switch huko huko,huwez lazimisha product yako tofauti na demand ya soko utafeliii tuuuu😀😀😀
Album ya kwanza ya bongo flava ilikuwa ya weusi wagumu asilia wwa akina fresh f...ambapo uzinduzi ulikuwa ustawi wa jamii
Mkuu tutafutie afande sele mkuu anamadini mengi sana mkuu.
Kama ukiweka watu kumi ambapo wanajua muziki huu ulipoanza 1990 naamini naweza kuwepo
Show ya Moto sana
Heshima yako kaka Soggy
kaongea point soggy
By the time akina hassan wa dar young mob walikuwa form two b.....nakumbuka enzi hizo p funk alikuwa kundi LA no name ....
I miss oldies 💔😥😥
U good men
Big up bro lilommy
Tunataka mtafute Afande sele...ana vitu vingi sana
Wahenga yuko pamoja
mm mpaka kesho bdo Ni shabiki Wa soggy mpaka kwenye flash yngu Nina ngoma kbao za soggy na nataman cku nfanye nae ngoma naitwa muddy no 0717744875
Wahenga wa bongo Flava
Ukionona nimeandika ujue nakukubali!
bigup broo
Kizaz sana wajina
Umesahau cm.yangu yako mwenyew
kibanda cha simu
Soggy uko vema kwa interview
Nyani haoni
Nenda Milembe wewe hauko sawa
Wewe mtoto bado hauwezi wajua hawa