Nime msoma aunt sio mchoyo anapenda kula kunywa kufurahi na marafikii ila kila siku Barth day sema tuu part ila sijawahii kuona worper akifanya part mchaga bakhili huyo
Mama cookie alipendeza ,mwacheni afanye jamani kam anauwezo aya maisha tunaishi kwa muda mfupi sana ukipata nafasi ya kuwa happy fanyA,karibu katika chanel yangu mjifunze wanawake
Steve nyenyere anajichubu au...halafu mastaa wetu bwana kwa kuji edit insta unamuona mwembamba ukikutana nae live...bongeee😂😂😂si juzi tu aunt alikua kakonda leo tena kafumuka..😂😂😂editing noma
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂yaan ww aunt Leo hao uliowaalika wotee Wana vituko wamemzidi mpk bentoke, mpka mwingine kaja na dera amekosoa kuacha mtandio hhhhhhhhhuhuhu
+Verdiana Steven lazima atakuwa kapewa mashrti na aunt Ezekiel kuwa asiende nae coz aunt na aunt jack ni mabest Wa karibu sana, na aunt ni mkali ndi mana hamo hapo anajitahid kuchangamka utadhani part ni yakwake! jack hana hats mpango! pia ukimfwatilia hpbd za aunt Mara nyingi huwa hapendi kelele za music ila tu najiuliza coz ktk hpbd zake nyingi huwa anavaa nguo ya rangi nyeusi na keki lazima I we ya kahawiya cjui ni kwann au lbd huwa anajikuta tyuu karudia! hiyo ni kifamily zaidi kihom Hom na kibest best ila imeelewrka sana.
Happy birthday swry mob lov anty yan nakupendaga acha tuuu
Mzee magu ametuwekasawa mashauzi pembeni birthday zafanyika bila muziki kama kuna masiba shikamooo pesa hatariiiii
😂😂😂😂😂😂
Rich mitindo ndani
wanalazimisha tu shuhuli lakini maisha ya sasa sio rafiki hasa kwenye tasnia ya filamu
Muimbaji ame niche kesho sana oooooh mbavu zangu anti safisana
mpiga gitaaa ni classmate wangu nimefurahi kumuona
Steve kapendeza kawa kama mzungu alochanganya . Maji tu hayo
Nime msoma aunt sio mchoyo anapenda kula kunywa kufurahi na marafikii ila kila siku Barth day sema tuu part ila sijawahii kuona worper akifanya part mchaga bakhili huyo
Habiba Khlifa wekamacbakhili fanyatukuone mayatima wamejaa wanaitaji misaada yualisha watu wanojiweza subhanallah
Hawa watu wao kila siku wanasherehekeya birthday tuu itakuwa wamezaliwa mara mbili Kwa mwaka mana haipiti miezi saba birthday 😀😀
abdul llatif 😂wapenda sheshe
abdul llatif kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake pole😂😂
abdul llatif hahhaaha😂😂😂 umenichekesha kweli😂😂
yan hawa watu Kila cku birthday
Hahahaha
Wasanii wa Bongo wanapenda kuvaa nusu uchi
harmonzi upo vizuri ana vibe
Mama cookie alipendeza ,mwacheni afanye jamani kam anauwezo aya maisha tunaishi kwa muda mfupi sana ukipata nafasi ya kuwa happy fanyA,karibu katika chanel yangu mjifunze wanawake
Steve kaushamba uwa bado anako Sana, t-shirt gani hiyo!
Hbd aunty wangu🎇🎈🎂🎃🎁🎍
Steve nyenyere anajichubu au...halafu mastaa wetu bwana kwa kuji edit insta unamuona mwembamba ukikutana nae live...bongeee😂😂😂si juzi tu aunt alikua kakonda leo tena kafumuka..😂😂😂editing noma
😂😂😂😂 eti kapicha kako nita kapost eee hbd auntie
Sweet Mama imekuchoma kumbe pili pili usioila weeyakuwashia nn ?? Ovyoooo
Steve Nyerere yuko bize
Huy stev nyerer kakomaa na hyo mapengo mfyuuu
Steve Hilo T-shirt la kipaimara au vepe 😂😂😂😂hbd Auntie
Shizzle mreal 😂😂😂
Shizzle mreal 😂😂😂😂😂😂😂😂umeniua mimi unadhambi wewe
yan nyiny kil cku part eeh hay bado nan😃😃maan naon mmezaliw kil baad ya miez😆😆
Raheema 1995 wivu utakuuwa wewe
Raheema 1995 Yani my dear mpaka na me nashangaa
+Hassanova junior 😅😅😅😅😅hpo umesema atakufa mapema kwa wivu
Steve kwa huo ufupi+ T-shirt hatari sana
Emanuel Belato 😂😂😂
amependeza
wema yuko wapi
Mama cookie alipendeza
mmmmh Steve nYErere 😂😂😂😂😂
Steve hiyo Tshirt kama umeazima😂😂😂👏
Harmonize penda wewe Sana,...
sitvu anaoa lini jamani
😂😂😂😂stive eti kata harakahara si itachomokq jamani hbd ant
Stive kma katuniiiii
Stive bana sio kwa dera hilo😂😂😂
Hassanova junior we we umenichesha sana tena nimecheka kwasauti heti dera unavituko wewe
Hassanova junior 😂😂😂😂😂😂😂una dhambi my
Asha Said 😂😂😂😂😂
Shizzle mreal cheka my😂🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂yaan ww aunt Leo hao uliowaalika wotee Wana vituko wamemzidi mpk bentoke, mpka mwingine kaja na dera amekosoa kuacha mtandio hhhhhhhhhuhuhu
Tishet ya steve2😂😂😂😂😂😂
uyo kistuli sijamuelewa
Hahahahah Rammy Galis eti amenipa ndogo....
leo nimependa harmonize bure
kamuwacha wo Sarah
aunt ezekiel nguo zake zote sare
cuteness hbd
Team wcb aija kamilika why ?
huyo kaka mbona mshamba sana anarazimisha kumchukua mtu video kwani lazima,, mshati wenyewe makwapa wazi chefuuuu
Jomoni mbona hivyo???Aunty kama hana furaha vile!!!
Nice part
yani habari zako za kitoto sana sikuhzi
mbona mzungu wa harmo hayupo
+Verdiana Steven lazima atakuwa kapewa mashrti na aunt Ezekiel kuwa asiende nae coz aunt na aunt jack ni mabest Wa karibu sana, na aunt ni mkali ndi mana hamo hapo anajitahid kuchangamka utadhani part ni yakwake! jack hana hats mpango! pia ukimfwatilia hpbd za aunt Mara nyingi huwa hapendi kelele za music ila tu najiuliza coz ktk hpbd zake nyingi huwa anavaa nguo ya rangi nyeusi na keki lazima I we ya kahawiya cjui ni kwann au lbd huwa anajikuta tyuu karudia! hiyo ni kifamily zaidi kihom Hom na kibest best ila imeelewrka sana.
What happened to music?
Hakuna mziki huhu
so fun jaman
mbona huwa amutajagi miaka yenu jomoni????????
jamani watanzania ni kama watoto....watu wazima na kila mwaka lazima maparty za birthday. boooriiiiiing 😨
Navua kofia kata
Smart phone zinakaz
umennep umekua mbaya
ilikua poa sanaaaaa
yobo cokie hawakwepo
😁😁😁😁😁
😂😂😂Steve
Wana pesa zakucheza hawa
Samantha Ali Na wewe tafuta zako uzichezee. Mbona roho yakuuma? 😂
Nimemuona mtu km Kanumba jaman
Steve n mjing et hhhhhhh
😅😅😅😅😅
Party ya kibabe, amenipa idea yakufanya birthday bila magoma na miziki ya fujo.. Nina marifiki wawili wanapiga guitar nitawalika.. Duuh
Stive la yamemkolea🤣🤣
Nyie mavi nn na nyie s mfanye mara 6566 kwa mwaka auntie fanya uwezanyo lol
uyo kistuli sijamuelewa