Msalaba Ibrahim kaseya

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 176

  • @evnicholasmusasia
    @evnicholasmusasia 3 года назад

    Wow great song,, well arranged,,, barikiwa Sana mtumishi,, hakika kwa damu ya yesu tumetakaswa.

  • @asekamusic309
    @asekamusic309 3 года назад

    Msalaba wako yesu ni ushindi kwetu
    sisi. Wimbo mtamu sana uliojaa itukufu wa Mungu.
    Barikiweni sana. 👏👏👏

  • @trizahk.3613
    @trizahk.3613 3 года назад

    Damu ya yesu inatosha🙌🙌🙌🙌

  • @adamkaseya5165
    @adamkaseya5165 3 года назад +1

    Ce glorieuse my uncl

  • @evansbaraka3255
    @evansbaraka3255 3 года назад +1

    More grace papa
    Musalaba wa Yesu ni wokovu... Na ushindi wetu sote .. barikiwa papa

  • @trizahk.3613
    @trizahk.3613 3 года назад

    Damu yako Yesu..inaosha kabisa

  • @Joycematenga
    @Joycematenga 3 года назад

    Kila wakati ninapo sikiliza wimbo huu nabarikiwa sana wimbo umejaa mafuta, Neema yako inanitosha
    Nguvu ya msalaba inatupa kushinda🔥🔥🔥🔥

  • @karikikennedy4310
    @karikikennedy4310 3 года назад

    Hakika damu ya Yesu yatuosha zambi zetu, hongera sana mtumishi kwa kazi nzuri vidio Safi kabisa

  • @mwantwebekennedy
    @mwantwebekennedy 2 года назад +1

    Hongera sana mtumishi kwa Kazi nzuri hii ubarikiwe sana

  • @zenamatenga9645
    @zenamatenga9645 3 года назад

    Neema yako baba inatosha katika maisha yetu, nguvu ya Msalaba inatupa kushinda👌🏾👌🏾

  • @evansbaraka3255
    @evansbaraka3255 3 года назад +1

    Tumehesabiwa haki kwa damu ya Yesu .. barikiwa sana papa.. ndani ya huu wimbo nahisi neema ya Kuabudu

  • @evansbaraka3255
    @evansbaraka3255 3 года назад +1

    Good song for Holy Communion...msalaba wa Yesu ni wokovu na ushindi wetu . Nahisi kumuabudu mungu . Asante sana papa... Kwa wimbo mzuri

  • @jesusfamilytv2608
    @jesusfamilytv2608 2 года назад +1

    Damu yako yaweza mambo Yote Bwana🙌🙌🙌

  • @ibrahimsonymalesotv2816
    @ibrahimsonymalesotv2816 3 года назад

    Sans l'oeuvre de la croix, notre foi serait vaine. Toutes mes félicitations mon très cher papa homo. Que l'esprit saint vous inspire encore.

  • @apostlecharlesmsimfukwe9873
    @apostlecharlesmsimfukwe9873 3 года назад

    Wimbo muzuri ubarikiwe Sana very good song powerful vocals bless you good work congratulations happy for you image very good

  • @apostlecharlesmsimfukwe9873
    @apostlecharlesmsimfukwe9873 3 года назад

    Alleluia Aleluiah kazi ya musalamba tune pona glory glory to Jesus Christ good work congratulations happy for you bless you wimbo muzuri Sana

  • @karikikennedy4310
    @karikikennedy4310 3 года назад

    Hakika damu yake Bwana yatosha, hongera sana mtumishi kwa kazi nzuri

  • @carolyneangilaandeche8192
    @carolyneangilaandeche8192 2 года назад

    Baraka tele 🎶👏👏 Damu ya Yesu inatuosha kweli🙏🙏

  • @evansbaraka3255
    @evansbaraka3255 2 года назад +1

    Msalaba wa Yesu ndio wokovu na ushindi... Hallelujah....

  • @trizahk.3613
    @trizahk.3613 3 года назад

    Tumehesabiwa haki kwa Damu yako...asante Yesu .more grace to you

  • @asekamusic309
    @asekamusic309 3 года назад

    Damu yako Yesu yasafisha
    Nice worship song 👏👏👏

  • @evnicholasmusasia
    @evnicholasmusasia 2 года назад

    Hallelujah wimbo nzuri Sana, barikiwa Sana mtumishi

  • @jacquesmatenga8242
    @jacquesmatenga8242 3 года назад

    Msalaba wako yesu
    Ni ushindi wetu sisi
    🔥🔥🔥Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri

  • @AliceShiundu
    @AliceShiundu 3 года назад

    Damu ya Yesu yasafisha makosa yangu nice worship be blessed

  • @jossyben5338
    @jossyben5338 3 года назад

    Oh yes,msalaba wa Yesu ndio kilakitu kwetu wakristo

  • @asekamusic309
    @asekamusic309 3 года назад

    Nimehesabiwa haki kwa damu ya Yesu.
    🙏🙏🙏Neema yako ni zaidi ya uovu wetu.

  • @israellukangaetshoko8570
    @israellukangaetshoko8570 3 года назад

    Barikiwa mtumishi kwa nyimbo nzuri sàana

  • @apostlecharlesmsimfukwe9873
    @apostlecharlesmsimfukwe9873 2 года назад

    Ubarikiwe kabisa kwa kujitoleya kazi muzuri Sana tunabarikiwa Sana good work bless you

  • @christinamsegu
    @christinamsegu 3 года назад

    Amen msalaba wako Yesu ni wokovu, ni ushindi wetu sisi. Mungu akubariki sana wimbo mzuri.

  • @minzasamweli7163
    @minzasamweli7163 3 года назад

    Hallelujah,,Neema yako yanitosha ee Yesu,asante kwa wimbo mzuri

  • @harrisonkahindi
    @harrisonkahindi 3 года назад

    Damu yako ya dhamani,.. Yaosha dhambi zetu zote... Such a touching and uplifting worship song.

  • @evnicholasmusasia
    @evnicholasmusasia 3 года назад

    🙏🙏🙏🙏🙏. More grace brother,, you are doing great job... This is pure and wonderful song.. Be blessed

  • @daisysyombua6410
    @daisysyombua6410 3 года назад

    Oh yes damu ya Yesu yasafisha makosa yetu .....

  • @Justkibomah
    @Justkibomah 3 года назад

    Kupitia kwa DAMU na mwili wake niko huru.asante Yesu wangu

  • @harrisonkahindi
    @harrisonkahindi 3 года назад

    Damu yako Yesu ya thamani, yatuosha na kusafisha makosa... So blessing

  • @carolyneangilaandeche8192
    @carolyneangilaandeche8192 3 года назад

    Naupenda sana wimbo huu barikiwa sana 🙏

  • @ruthbahatiwananda
    @ruthbahatiwananda 3 года назад

    Waooh nice Song nice video nice voice's. Mungu wangu awabariki NYOTE 🙏🙏💪🤝 ujumbe nzuri Sana brother🙏🧎🧎

  • @marywainaina2416
    @marywainaina2416 3 года назад

    Wimbo mzuri kabisa nashukuru Yesu kwa kujitoa juu yangu

  • @Joycematenga
    @Joycematenga 2 года назад

    Asante Yesu kwa neema yako
    Msalaba wako yesu ni ushindi wetu sisi

  • @magrethbisaku1299
    @magrethbisaku1299 2 года назад

    Amen sana inatoshaaaa inasafishaa kwa kila aminiye

  • @victormmudi
    @victormmudi 3 года назад

    Keep the good work be blessed in your ministry

  • @mrmhezi2653
    @mrmhezi2653 2 года назад

    Amen.. Wimbo mzuri saana. Barikiweni sana

  • @ckstudios9116
    @ckstudios9116 3 года назад

    Nehema yako buana nisaidi baba, 🙌🙌🙌

  • @marywainaina2416
    @marywainaina2416 2 года назад

    Thanks to God for the blood of Jesus Christ that washes away my sin

  • @neemampova6222
    @neemampova6222 2 года назад

    Mema yako BWANA nizaidi
    Barikiweni Na.MUNGU awainiwe ju

  • @zenamatenga9645
    @zenamatenga9645 3 года назад

    Asante kwa wimbo mzuri sana
    Mungu awainue zaidi
    Damu ya yesu Kristo inaitosha

  • @wanjalydia2753
    @wanjalydia2753 3 года назад

    I love everything about this song, 👌 👌👌👌

  • @lusambyamacinda1997
    @lusambyamacinda1997 3 года назад

    Neema yake Yesu Kristo yatosha

  • @anglaisfacile2
    @anglaisfacile2 3 года назад

    Wimbo wenye creativity kali

  • @AliceShiundu
    @AliceShiundu 2 года назад

    Wauuuu beautiful and nice song blessed

  • @agreylweshaofficial2717
    @agreylweshaofficial2717 2 года назад

    Dam ya yesu yasafisha makosa yetu hallelujah

  • @AliceShiundu
    @AliceShiundu 3 года назад

    Powerful song wauuu kweli nimeingia kuabudu kabisa Mungu akuinue

  • @veronicawonders2064
    @veronicawonders2064 3 года назад

    Hallelujah damu yako ni ya dhamani. Mema yako yatosha

  • @christinamsegu
    @christinamsegu 2 года назад

    Asante Yesu kwa Msalaba 🙏🏽🙏🏽

  • @TurkanaMedia
    @TurkanaMedia 3 года назад

    Amen ubarikiwe sana mtumishi

  • @zenamatenga9645
    @zenamatenga9645 3 года назад

    Nguvu ya msalaba inatupa kushinda
    Damu ya yesu inanena mema kwaajili yetu

  • @victormmudi
    @victormmudi 3 года назад

    Good work God bless and increase you

  • @gershonerasto7824
    @gershonerasto7824 3 года назад

    Amina wimbo imekaa vizuri Sana

  • @bijouxfatuma9134
    @bijouxfatuma9134 3 года назад

    Que dieu soit loué

  • @pianohamba216
    @pianohamba216 3 года назад +1

    Msalaba 👏👏👏👏

  • @agreylweshaofficial2717
    @agreylweshaofficial2717 3 года назад

    Damu yako yesu yatuosha hallelujah

  • @martinsikabwe725
    @martinsikabwe725 3 года назад

    Hallelua Hallelua Hallelua Hallelua Hallelua Hallelua Hallelua

  • @jerusahsitiabai5429
    @jerusahsitiabai5429 3 года назад

    Woow, this beautiful and powerful...more grac🙌🙌👏👏

  • @grapetwingospel1438
    @grapetwingospel1438 3 года назад

    Wow nice wimbo nzuri sana

  • @apostlesebastianmunyao4983
    @apostlesebastianmunyao4983 3 года назад

    I love listening to this song. The blood means all to me. Damu ya bei ghali sana.

  • @JoyDeborah2020
    @JoyDeborah2020 3 года назад

    Beautiful voice..God bless your ministry

  • @barakakings
    @barakakings 3 года назад

    Be blessed Brother Ibrahim KASEYA Papaa

  • @RabecaPeaceM
    @RabecaPeaceM 2 года назад

    This a beautiful group, may you keep together.

  • @sergemwengeofficiel
    @sergemwengeofficiel 3 года назад

    Félicitations frère vos oeuvres ns inspirent que Dieu vs bénisse

  • @redemptahmusili
    @redemptahmusili 3 года назад

    Hallelujah wat a powerful song ..the blood of Jesus

  • @bernicecheropofficial
    @bernicecheropofficial 3 года назад

    Wow!! Beautiful video,nice voices,

  • @rshekinahgospelmusic1495
    @rshekinahgospelmusic1495 3 года назад

    MUBARIKIWE KABISA NA BWANA ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @agreylweshaofficial2717
    @agreylweshaofficial2717 3 года назад

    Hallelujah damu yako yesu inatusafisha ili tuwe safi

  • @blessedfamily9733
    @blessedfamily9733 2 года назад +1

    Amen... Powerful song

  • @daisysyombua6410
    @daisysyombua6410 3 года назад

    Good song and the content is lit u are going far.

  • @fridahrichard7552
    @fridahrichard7552 2 года назад

    Amen.nice song more grace

  • @ephraimphilipo7910
    @ephraimphilipo7910 3 года назад

    Second time, I'm blessed
    Amen

  • @mamankarenmwengetvofficiel1461
    @mamankarenmwengetvofficiel1461 2 года назад

    Soit béni fr Ibrahim

  • @RabecaPeaceM
    @RabecaPeaceM 3 года назад

    I thank God for His flesh and blood that He gave us that we may live.

  • @MiriamSamuelke
    @MiriamSamuelke 3 года назад

    Keep doing this you are blessing us

  • @barakakings
    @barakakings 3 года назад

    Ubarikiwe sana Papaa Ibra,mpya hii ya kuabudu.

  • @martinsikabwe725
    @martinsikabwe725 3 года назад

    Amina amina Mubarikiwe

  • @espelyasako1625
    @espelyasako1625 3 года назад

    Tumehasabiwa haki kwa damu ya Yesu

  • @JoyDeborah2020
    @JoyDeborah2020 3 года назад

    Great song with a Powerful message

  • @apostlesebastianmunyao4983
    @apostlesebastianmunyao4983 3 года назад

    Well played and presented. The Blood of Jesus speaks volumes. God bless you.

  • @musyokapaulofficial4153
    @musyokapaulofficial4153 3 года назад

    The grace of God is always sufficient. He gave what was best to save humanity.

  • @hansmulaila7
    @hansmulaila7 3 года назад

    Amen Amen, neema yako ya tosha !!!

  • @favourjoyinviolata7515
    @favourjoyinviolata7515 3 года назад

    May God lift you higher.

  • @wanjalydia2753
    @wanjalydia2753 3 года назад

    This ministry shall go places 💪 in the name of Jesus Christ

  • @isayajoseph254
    @isayajoseph254 2 года назад

    Nice song, God bless you

  • @JulesImbanzia
    @JulesImbanzia 3 года назад

    Wouuuw very beautiful song

  • @Gershonpeter74
    @Gershonpeter74 2 года назад

    Amina Amina

  • @ephraimphilipo7910
    @ephraimphilipo7910 3 года назад

    Amen
    Nmebarikiwaa

  • @riko_g_blessed47
    @riko_g_blessed47 3 года назад

    Message full of blessings🙏🙏

  • @esperancenyandamira7884
    @esperancenyandamira7884 2 года назад +1

    Kazi nzuli

  • @carolyananga3537
    @carolyananga3537 3 года назад

    Wow mtumishi wa Mungu ubarikiwe

  • @judykeyah4651
    @judykeyah4651 3 года назад

    Thank for your blood JESUS

  • @musyokapaulofficial4153
    @musyokapaulofficial4153 3 года назад

    The blood of Jesus Christ cleanses us. Great song.

  • @bernicecheropofficial
    @bernicecheropofficial 3 года назад

    Beautiful video! Powerful message,nice voices,so touching.more grace to you

  • @riko_g_blessed47
    @riko_g_blessed47 3 года назад +1

    Whenever... I get in touch with this song... always feel His presence in Me..
    Bless the whole team behind this...